Kazi nzur mwl. Nakufuatilia had mwisho. Maana mim ni mwanafunz wa kinanda. Naomba msaada wako pia mbali na ninapokufuatilia mtandaoni. Naitwa Vicent Mzuka from Kigoma
Mwalimu nimefuatilia all the videos nice work but sijaelewa chochote.. ni lesson gani inafaa kua ya kwanza, pili tatu hadi ya mwisho kwa begginers wenye tunaanza darasa la kujifunza legato techniques kwenye kinanda ... Nieleweshe nijue pa kuanzia hadi kumalizia tafadhali..🙏🙏🙏🙏
Mnh...., binafsi bado natafuta wa kunitoa kwenye makosa niliyofundishwa, nina muda mrefu napiga kinanda lakini inafika wakati hata mimi mwenyewe huwa najiuliza "ni nini hiki napiga ? Lakini kwa sababu ya ukosefu wa mpiga kinanda inanibidi tu kupiga lakini nahitaji sana nijue namna sahihi ya kutumia hiki chombo cha muziki
nabarikiwa sana ndugu
Safi
Thank yov
Naomba ubadilishe voice, weka piano
Ok
Asante mwl.nimekuwa nikifuatilia mafunzo yako kwa kweli yananizibua, ubarikiwe na BWANA!!!
Asante sana endelea kufwatilia mwl kuna mambo mazuri mnooo yanakuja
Asante sanaaaa niko karibu sana maana uki upload lazima nipate notification
mungu akubariki sana mwal coz kupitia channel yako hii napata kufaham mengi sana
Asante sana bro
@@heavenlymusicproduction4360 nipo karibu sana na chanell hii nisipitwe na mema aliyokujaalia mungu kwaajil ya wa2 wake
Kazi nzur mwl. Nakufuatilia had mwisho. Maana mim ni mwanafunz wa kinanda. Naomba msaada wako pia mbali na ninapokufuatilia mtandaoni. Naitwa Vicent Mzuka from Kigoma
Nicheki watsap
@@heavenlymusicproduction4360 nakupat kwa namba gani?
@@vicentmzuka3923 0738718085
Asante kwa Masomo ya kupiga kinanda. Nitapata aje masomo haya kutoka mwanzo ili niweze kupiga kinanda. Sijaelewa ninafaa kuanzia wapi.
0738718085 watsap
Mwl ukianza aina nyingine naomba unitumie ujumbe
Sawa sawa usijali kaka
Bro hongera, kazi nzuri
Pamoja sana broo
Asante sana kwa darasa zuri
Mwalimu nitakupataje ili niwe na darasa binafsi kulingana na mahitaji yangu
0738718085 nitafute watsap au piga 0657188472
Nawezaje kukupata?? Nataman sana kujifunza
0738718085
Good lessons
Asante
Kazi safii
Asante
Mwl naomba unifundishe njia ya cross over
0738718085 watsap
@@heavenlymusicproduction4360 nashukuru sana
Naomba notes tafadhali
0738718085
Mwalimu nimefuatilia all the videos nice work but sijaelewa chochote.. ni lesson gani inafaa kua ya kwanza, pili tatu hadi ya mwisho kwa begginers wenye tunaanza darasa la kujifunza legato techniques kwenye kinanda ... Nieleweshe nijue pa kuanzia hadi kumalizia tafadhali..🙏🙏🙏🙏
Nimezituma kwa mpangilio
Njoo watsap nikutumie zote kwa mpangilio unaofaaa
Mwalimu uko mkoa gani??? unifundishe au darasa liko wapi unifundishe??? mimi nipo mbeya jiji.
@@traudkamugisha8051 dsm kaka
Mnh...., binafsi bado natafuta wa kunitoa kwenye makosa niliyofundishwa, nina muda mrefu napiga kinanda lakini inafika wakati hata mimi mwenyewe huwa najiuliza "ni nini hiki napiga ?
Lakini kwa sababu ya ukosefu wa mpiga kinanda inanibidi tu kupiga lakini nahitaji sana nijue namna sahihi ya kutumia hiki chombo cha muziki
Anza na hayo mazoezi nililotuma ama nchek 0738718085 watap
@@heavenlymusicproduction4360 hii namba iko sahihi ?