Nyiradi Za Kuongeza Rizki / Mambo 7 Ukiyafanya Rizki Zitafunguka / Sheikh Othman Micheal

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 гру 2022
  • Nyiradi Za Kuongeza Rizki / Mambo 7 Ukiyafanya Rizki Zitafunguka / Sheikh Othman Micheal
    Mashaa Allah Sheikh Othman Michael akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Nyiradi Za Kuongeza Rizki / Mambo 7 Ukiyafanya Rizki Zitafunguka / Sheikh Othman Micheal
    tizama mpaka mwisho usisahau kushare
    usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
    Support us DARSA TV
    M-PESA +255 765100906
    Paypal 👇👇👇👇
    paypal.me/DarsaTv?locale.x=en_US
    Get MORE of DARSA TV:
    ► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
    ► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
    ► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
    Subscribe
    Comment
    Like
    And
    Thanks
    Tu follow katika social media zetu
    Facebook @Darsa tv
    Instagram @Darsatv
    UA-cam @Darsa tv
    TikTok @Darsa tv
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 57

  • @sata3867
    @sata3867 Рік тому +8

    nimekuwa Niki sikiza dua, napenda kusikiza sana mimi sio muislamu, napenda tu sababu napata amani, kama nina maumivu naamka nikiwa sawa.
    Naomba usaidizi, hizi dua zilizotajwa kama kuna mtu anaweza kujitolea aniandikie au anielekeze mahali nitaziskiza.
    Asante

    • @zainabuibrahim538
      @zainabuibrahim538 Рік тому +1

      Mashallah

    • @fatumakissoky2504
      @fatumakissoky2504 Рік тому +1

      Chukua namba za simu kwa shekhe upate msaada zaidi

    • @rashdabdulazizi4193
      @rashdabdulazizi4193 4 місяці тому +1

      jitahidi uslim,ili upate kujifunza zaidi na ufaidike pia, karibu Sana ndugu

    • @HamidaAlly-ol4fp
      @HamidaAlly-ol4fp 3 місяці тому +1

      Mashaallah ALLAH akuongoze katika swilatwal mustaqiim ujue haqi Ni ipi na uifuate inshaallah

  • @rashidawangara1318
    @rashidawangara1318 Рік тому +3

    Allah akubarik sheikh. Mafunzo mazuri sana. Allah akuongoze uendelee hivyo na akupe umri mrefu wenye raha.

  • @user-vv7km5fc5x
    @user-vv7km5fc5x Місяць тому

    MashaAllah jazakaAllah kheir wajannat firdaus 🙏🙏nmejifunza mambo mengi mazuri kupitia kwako sheikh Allah akupe umri twawil uzidi kutufunza🤲🤲

  • @fatmatwalib8408
    @fatmatwalib8408 Рік тому +2

    Ma Sha Allah, Allah azidi kukupa elimu,afyq,umri mrefu na mwisho mwema.
    Zaidi naomba uniandikie hii dua sijaielewa vzr "Allahumma swalii alaa sayyidina Muhammad twiibiqul wadhawaiha......."
    Ile ya kusoma ukiwa na maradhi.Natanguliza shukran

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 Рік тому +7

    maashaallah maashaallah nitakuwa siaachi dhuha kma uzima upo

  • @chimamyjey1479
    @chimamyjey1479 Рік тому +3

    Mashallah tabarakallah shekh Allah akulipe heri katk dunia na akhera na akupe afya na uzima uzidi kutuelemisha zaidi.

  • @HamidaAlly-ol4fp
    @HamidaAlly-ol4fp 3 місяці тому

    Mashaallah shukran sana Kwa mawaidha Mazur yenye manufaa kwetu Allah Akubarik

  • @fatumakambi960
    @fatumakambi960 Рік тому +2

    MASHALLAH MWENYEZI Mungu akuepushe na shari za dunia inshallah

  • @yahyaazizi2178
    @yahyaazizi2178 Рік тому +3

    Allah akuhifadhi Sheikh uzidi kutupa elimu inshallah

  • @faizajuma1900
    @faizajuma1900 Рік тому +2

    Shukran jazakumullahul kheir.Allah atupe nguvu na moyo tuweze kuzishikilia ibada hizi nzuri

  • @fatmehfaraj5188
    @fatmehfaraj5188 Рік тому +1

    Mashaallah.Allah akulinde akuhifadhi na akupe afya na umri tuzidi kufaidika.

  • @DebalzacOmari-qn1yf
    @DebalzacOmari-qn1yf Рік тому +2

    Swadakta mwalimu, allah akujaliye kila la heri

  • @AsiaAbdalla-jx8rj
    @AsiaAbdalla-jx8rj Рік тому +1

    Mashaa-Allah, Allah atupe taufiq ya Kuykendall haya

  • @zainabuibrahim538
    @zainabuibrahim538 Рік тому +1

    Mashallah nimependa hapo katika swal ya dhuha inabidi niongeze mbili nyingine ziwe 4

  • @hidayajuma8777
    @hidayajuma8777 Рік тому +1

    Asalam aleikum naitwa hidaya juma kutoka Kenya ...mambo yangu hayaendi sawa kabisa ustadh ...sifuruhi kabisa Kila ninacho kifanya haieleweki naomba Dua zako za kutosha

  • @user-gs5wq5qg9f
    @user-gs5wq5qg9f 5 місяців тому +1

    Allah akulipe malipo yaliyo mema.

  • @yussuphsultan1400
    @yussuphsultan1400 Рік тому +14

    Clip kama hizi likes za kuhesabiwa...Allah sw atuongoze!!!

  • @AappTulipo-eh3rs
    @AappTulipo-eh3rs Рік тому +1

    Maasha Allah othman Michael #

  • @aishanyange1651
    @aishanyange1651 Рік тому +5

    Mashaallah

  • @sabrinayahaya952
    @sabrinayahaya952 Рік тому +1

    Mashaallah yarabi taqabal dua

  • @bilugwemwanzije
    @bilugwemwanzije Рік тому +2

    Mungu akuweke ufae wengine!!?

  • @ndayizeyenusla5935
    @ndayizeyenusla5935 Рік тому +1

    Masha Allah bismillah

  • @user-bb8wx2ho8t
    @user-bb8wx2ho8t Рік тому +2

    Naomba kwa ihsani yako tafadhali

  • @jumanneshabeni2009
    @jumanneshabeni2009 Рік тому +2

    shukran shekhe othmani🙏

  • @zakariaathman9019
    @zakariaathman9019 Рік тому +10

    Kweli tupuuu mimi nasadiki maneno yako shekhe nishafanya nishaona

  • @amanifadhi
    @amanifadhi Рік тому +2

    Jazakallhahulkheri

  • @asmahtamla4749
    @asmahtamla4749 10 місяців тому +1

    Amiiin thuma amiin 🤲

  • @joycelaura4611
    @joycelaura4611 Рік тому +1

    mimi mkisto lakini ninatamani niijue hii lugha Shekh anafundisha vizuri sana ndugu zangu waislam mnayo neema kwa Shekhe🙏

  • @araphabaraza3997
    @araphabaraza3997 Рік тому +2

    Jazakalhery

  • @halimaomari3415
    @halimaomari3415 Рік тому +3

    Asalam alaikum warahmatullah wabarakat sheikh,jee ss wanawake hatupitwi na swala yalfajir nas jee mbona hutujuzi

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 Рік тому +2

    Maashaallah

  • @ismagatarama1285
    @ismagatarama1285 Рік тому +2

    Jazakallahuhaylli ya sheikh

  • @minalgodlove2363
    @minalgodlove2363 4 місяці тому

    Asalam aleykum VIP kama hujui kusoma na ukabahatik kusikiliza tu mm mara nyingi nasikiliza

  • @FatumaBegamu-cy6ue
    @FatumaBegamu-cy6ue 6 місяців тому +1

    Write for us this duwa.

  • @user-bb8wx2ho8t
    @user-bb8wx2ho8t Рік тому +3

    Assalam Aleykum warahmatullah wabarakat samahani mimi naomba namba zako

  • @rehemarehemamasond-et3jw
    @rehemarehemamasond-et3jw Рік тому +3

    Asalam aleykum sheikh mm junzi nimeona mawingu ya mejichora mtu nini mahana yake

    • @al_huda_theguidance5034
      @al_huda_theguidance5034 Рік тому +1

      Whattt... Pia mm huu mwezi wa tano nimeona mawingu yamejichora kama mtu, akiwa ameshikilia kipande cha wingu akashuka lakini alianza kuumiza watu... Sijui Nini maana yake

  • @FaimaLubwaza-un1ns
    @FaimaLubwaza-un1ns Рік тому +1

    Asalam alaykum shehe naomba namba zako nakuomba

  • @farris_2549
    @farris_2549 27 днів тому

    😢

  • @fatihaal-amoody6308
    @fatihaal-amoody6308 Рік тому +1

    Asalam Aleikum ustadh naomba namba ya wht up

  • @ismagatarama1285
    @ismagatarama1285 Рік тому +2

    Ila sheikh si utuandikie dua izo

    • @neemamassawe9044
      @neemamassawe9044 Рік тому +1

      Nunua kitabu cha Hisn Al- Muslim.
      Kinga ya muislam. Ni 1,500/= Ni kizur sana kina dua nyingi

    • @ismagatarama1285
      @ismagatarama1285 Рік тому

      @@neemamassawe9044 capatikana wapi dada yangu

    • @neemamassawe9044
      @neemamassawe9044 Рік тому +1

      @@ismagatarama1285 kwenye maduka yanayouza vitabu vya dini.

  • @fatmatwalib8408
    @fatmatwalib8408 Рік тому +1

    Ma Sha Allah, Allah azidi kukupa elimu,afyq,umri mrefu na mwisho mwema.
    Zaidi naomba uniandikie hii dua sijaielewa vzr "Allahumma swalii alaa sayyidina Muhammad twiibiqul wadhawaiha......."
    Ile ya kusoma ukiwa na maradhi.Natanguliza shukran

  • @lailalaila8646
    @lailalaila8646 Рік тому +3

    Mashaallah