KONGAMANO LA BIASHARA NA UCHUMI LAFUNGUA NJIA KWA VIJANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 чер 2021
  • Kongamano la Uchumi na Biashara lililoandaliwa na na Taasisi ya MAYODA ECONOMIC GROUP, mkoani Dodoma, lawafungua macho vijana na kuanza kufikiria jinsi ya kuanza kumiliki uchumi wa nchi kupitia ujasiriamali

КОМЕНТАРІ • 5

  • @mrishojuma4857
    @mrishojuma4857 3 роки тому

    Vizuri sana

  • @mohamedaliy774
    @mohamedaliy774 3 роки тому +1

    Hizi nafas za kuhudhuria makongamano kama haya na sie tunataman kuhudhuria😰

  • @ladymayanka26
    @ladymayanka26 3 роки тому +1

    Watuangalie kwa jicho la tatu maana vijana ndio tuna nguvu za kufanya maendeleo lakini unakuta watu wa TRA bado kodi sio rafiki