Ukiwa Na Kanuni Unafanikiwa Kokote

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Changanya Uwezo Na Bidii
    Pepere:fumbuamacholeo@gmail.com

КОМЕНТАРІ • 48

  • @richardsamson8902
    @richardsamson8902 3 роки тому +6

    Asante sana nimeamka na kuona hii clip imenihamasisha sana real

  • @ReubenBuchege-zb2lx
    @ReubenBuchege-zb2lx Рік тому +1

    Ubongo wako uko juu sana

  • @anoldpotentin2446
    @anoldpotentin2446 3 роки тому +2

    Mafundisho yako bishop yananibariki sana, nimeanza kukufatilia toka mwaka 2012, kwenye kipindi cha fumbuo macho. Sahivi ninamiliki kampuni yangu ya real estate.🙏🙏🙏🇹🇿

  • @amakamraqterry5920
    @amakamraqterry5920 3 роки тому +1

    Barikiwa

  • @paschalkiniofficial123
    @paschalkiniofficial123 3 роки тому +3

    sawa kabisaaaa (ufunuo 2:9) nimekuelewa bishop

  • @herintimizi5154
    @herintimizi5154 2 місяці тому

    Absolutely revelatory message 🙏🏾

  • @Coachsamwel
    @Coachsamwel 3 роки тому

    Mafanikio ni matokeo ya kutatua matatizo ya watu..... Lazima uwe na uwezo kwanza pia jitihada katika za kutimiza jambo lako
    Ubarikiwe Sana. Kiukweli mimi napenda kuona matajiri sana tena wenye kumcha Bwana.

  • @drtobias_
    @drtobias_ 3 роки тому +1

    Mimi nimshirika wako tangu tukiwa furahisha,kanisa la mabanzi, Wakati mama mmoja alie kuwa Anaitwa Mama Mtui ndo alikuwa shemasi wetu kanisani, Barikiwa sana,

  • @drtobias_
    @drtobias_ 3 роки тому +1

    Baba naomba msaada ,Nahitaji kufika nchi za njee ila sijui pa kuanzia

  • @reginamarwa8636
    @reginamarwa8636 3 роки тому +1

    Pendeza kijana wa Yesu kabla hata sijakusikilizaaaa ha uwiiiiiiii.agayaaaa

  • @homeofvideos8893
    @homeofvideos8893 3 роки тому

    Nakupenda sana bishop anaekasirika kwa mafundisho unayompa basi atakuwa kazaliwa na ulemavu akilini.. Kwakweli unatupenda sana mafundisho yako yananibadilisha sana najiona wa tofauti siku hizi

  • @ngalulabutungo9660
    @ngalulabutungo9660 3 роки тому +1

    Bishop mpemba nimekuwa nikitumia maarifa haya unayoyafundisha tangu miaka ile ukiwa na mtumishi Emmanueli Raymond na katika kipindi chako enzi zile kupitia kwa Neema FM siku za Jumatano jioni kilichoitwa MAWAZO YA MABILIONEA.
    Hakika nimepiga hatua
    Glory be to God

  • @mosesjackson_tz
    @mosesjackson_tz 3 роки тому +1

    Full of knowledge and wisdom...clip hii imebadilisha mawazo yangu.

  • @doloselapaulo766
    @doloselapaulo766 3 роки тому

    MUNGu akubariki Sana Bishop

  • @sindanokali
    @sindanokali 3 роки тому +2

    Nakubaliana na wewe mia KWA mia

  • @JafariLukanya
    @JafariLukanya Місяць тому

    dah, ulinijenga sana kimafundisho Bishop

  • @greygoryhenry1969
    @greygoryhenry1969 3 роки тому

    Ubarikiwe Sana Mtumishi Kwa Akili Kubwa! Mungu Akulinde..

  • @joelkamau4265
    @joelkamau4265 3 роки тому +1

    Katika shida kuna mafanikio... Very true..

  • @swagatdebracy6447
    @swagatdebracy6447 3 роки тому

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu aliye hai.

  • @hdmusicsounds2601
    @hdmusicsounds2601 3 роки тому

    Amina baba

  • @angerlmoses1557
    @angerlmoses1557 3 роки тому

    Moses malganya hapa Amina Baba

  • @ezekielleonidas5798
    @ezekielleonidas5798 3 роки тому +1

    Kwakweli wewe ni mwalimu mzuri sana.

  • @samsongikaromwita3188
    @samsongikaromwita3188 3 роки тому +1

    Umeniamsha baba...
    Nabadilika

  • @lucasmakaka426
    @lucasmakaka426 3 роки тому +1

    Good

  • @faisalyahya7186
    @faisalyahya7186 3 роки тому

    unatupa principal za kweli mungu azidi kukubariki sana

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 роки тому +1

    principles never fails. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌.

  • @dyangwe
    @dyangwe 3 роки тому

    Mwake sana 👌🏾

  • @paulomgogosi8703
    @paulomgogosi8703 3 роки тому +1

    Akili kubwa hiyo

  • @giftyjackson2461
    @giftyjackson2461 3 роки тому +2

    Mpemba tunashukuru kwa kutufungua

  • @jerelkhondwani7165
    @jerelkhondwani7165 3 роки тому +2

    Agayaà

  • @comrade83
    @comrade83 3 роки тому

    Ameni

  • @jumaluchele5121
    @jumaluchele5121 3 роки тому

    Mzee wa kazi

  • @stevdwin8014
    @stevdwin8014 3 роки тому

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @drsumatz7539
    @drsumatz7539 3 роки тому

    Lakin kwann unatoaga speech ukiwa unadrive ?????
    However I do appreciate what U have dane

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561  3 роки тому +1

      Kwa kweli huwa napata jumbe hata ninapokuwa ninaoga. Lakini siwezi kurekodi ktk hali hiyo ya bafuni. Nimeizoeza akili yangu kuwaza mambo ya kusaidia watu na hivyo message hupambana kutaka kutoka. Narekodi sebuleni, chumba cha dining, ofisini kwangu nyumbani, ninapopaki gari au ninapotembea. Nikikutana na wewe unaweza shangaa nikakuomba uniruhusu kwa dk chache nirekodi kitu kabla ya kupata chakula. Sina muda wa kupoteza!!

    • @drsumatz7539
      @drsumatz7539 3 роки тому

      @@bishopaugustinempemba4561 nakubali Sana mpemba.

  • @anahanah9145
    @anahanah9145 3 роки тому +1

    Daha we hatar sana

  • @dadapechi
    @dadapechi 3 роки тому +1

    Always in 🚗

  • @jaykimoga1888
    @jaykimoga1888 3 роки тому

    Nimekuekewa sana leo