Huyu 20 percent ana akili kubwa sana kuliko hawa watangazaji. Ilipashwa haojiwe na mtu mwenye akili kubwa. Hizi radio zimevamiwa na hawa watangazaji upeo wao wa kutengeneza maswali ni mdogo sana.
@@kpetres2872 maswali wanayouliza ni very low thinking na 20 Percent ana akili kubwa kuwapita hao watangazaji na anajibu kwa ufasaha sana very philosophical
Mtafute Man Walter muturudishie madini kaka ....money money and Tamaa Mbaya was my favourite (anagawa kwa kila rika...nenda nendaaaaa) From KENYA
This is a true definition of Genius ..20% ni mwanafalsafa Mzuri sana.
his voice base is golden .... really a business for a morning show
Esse é o melhor de todos tempo, 20%, é cantor de melhor Qualidade deferente-mente com esses que cantam agora coisas que não são de responsabilidade
Ohngeza muziki Babu
Oh my god is man really good in music 🎶 lord help 20 to come in music
Tunamkubali,, nyimbo zake hata wachungaj wanasikiliza.. Tunapenda arudi top, urudishe ushindan mpya
Hakuna mwanamuzik kama 20 percent kwamaadili
Bien vraiment mon frère pour votre défense.
Haaaa raha san kweli kumsikiya kka yangu
Makini sana magic fm
Huyu 20 percent ana akili kubwa sana kuliko hawa watangazaji. Ilipashwa haojiwe na mtu mwenye akili kubwa. Hizi radio zimevamiwa na hawa watangazaji upeo wao wa kutengeneza maswali ni mdogo sana.
Wako vizuri, kwa kuwa wamemthamini na kutuambia vitu vingi ambavyo tulikuwa hatuyajui kuhusu huyu jamaa,,,,
Huu wivu Sasa. Mbona wako gud
@@kpetres2872 maswali wanayouliza ni very low thinking na 20 Percent ana akili kubwa kuwapita hao watangazaji na anajibu kwa ufasaha sana very philosophical
@@AmazingWars kwa mtazamo wako hawako vizuri wana upeo Mdogo wa kujenga hoja na kuuliza maswali, 20 Percent ana upeo mkubwa kushinda hao watangazaji
Hakuna msanii ambae anaweza kumpata katika kutunga mashairi na kuimba NEVER EVER
Tu es le meilleur 20, j'aime toutes tes chansons.
20 alikua Anandika nyimbo ata miaka yoyote unaskiliza nyimbo zake M/mungu akupe nguvu uwe mwana mziki na bongo movie
❤🎉20 unayaweza Fanya music
Nakukubali sana mzee baba
Nakukubali sanaa 20% nyimbo zako zinafundisha sana!!!👍👍✌️✌️
Kusema ukweri 20pasent uko vizuri
I appreciate you bro just forcuse on your dream
20% wewe ni mwalimu kweli kweli ❤❤❤
He's very smart and intelligent man.
Mwamba bado tunaishi na nyimbo zako🎉
Huuu mwamba 20% pacent bigapu naomba namba zake za whatsapp nikiw USA 🇺🇸 kutokea kigoma kasulu nyarugusu camp. Namupendaka sana naitaji namba zake
Huyu kijana ana mvuto wa kila kona unanimaliza hii sautii yako ❤❤❤❤ina mitego❤❤❤
Bi brain,big musician,big up bro 20%
%20 Nimekupata vzr kk
Ok upo vzr uko na maono makubwa sana ww ni jiniazi
Unaweza xana kaka nakuelewa
I love him so much his right
Mwanahume wewe
Nakukubali kk
It's really 🤴 lord bless him 🙏
Big up twent❤❤❤ much love
Mimi mu Congo Ila n'a kuku Bali sanaa 20% ❤❤️✌️🤝💪✅
Woow welcome back Brother
Mambo
Ntafute mtt mzuri 0788805616
Ameanza kujitambua kidogo,anaeleweka na anaweza kufanya kitu kwa sisi na tukajikonyeza#20%
Nakushuru 20% apa ni shabiki wako kutoka drc Congo.
20 percent tungar tunagupenda snaaaaa🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Namuelewa sanaa Brother
Nakukubali kinoma nduguyangu
I love him
Naikubari mistali ya nyimbo zako, upo makini kwa kuitandika, Endelea hivoivo bro.
Tunakupenda sana broo tunatamani urudi kwenye game
Wel answered
Broupo vizur nimependa majibu yako yanafunzo ndan yke
20/: nakukubali kaka
20% unanipagawisha kuanzia sauti yako, mistari yako na upeo wako wa akili...
Wewe ndiye mfano haufananishwi na ?
Katika ngoma za kuelimisha 20 kiboko
Very good twend pa👏
Dada hajui kuongea na mtu mwenye akili taaluma ya utangazaji hapo ni zero
Umeonaaaa
@@priscamlyuka5531 sure
Sure
Sureeeeely
Zero
minakukubali saana bro, urudiye kwenye nafasi yako,..
Nimepata moja >mtenda maovu hapendi kukosolewa nikweli kabisa.
l'artiste selon mon cœur
kaka twety nakumis sana mziki wako
Twenty per mwamba
Big brain 🎉🎉🎉
Courage mon boss
Anza tena mziki kijana wangu'' pacent wametuaribia mziki harmoniz'' diamond pl .....
Nakukubali bro
Napenda mziki wako ila kishwahili kimenipita
Brother nakuelewa sn
Nakupenda sana
20 ludi tunakupenda sana na unaimba broo si mchezo.
Duuuh! Kiumbe Fulani ivi, yani hadi nashindwa kumuelezea huyu mwamba, ila Dua njema ili urudi barabarani kiumbe wangu.
Naomba number ya Simu ya 20% am from Kenya🙏🙏🙏🙏🙏
Jiweke vizur bhna mandefu hayana ushirikiano afu umeyaacha tu jiweke vizur fanya kazi
Looh kama anayapenda unamfokea wewe c uyaache kama unayapenda
@@Jovitha1994 yule ni kiyoo cha jamii lazma awe smart
Kaliwe ww vp
Ww boya anyoe ndevu awe zuchu au
@@sniperbogo6210 Unafi.... nini wewe, kwani ndevu sio smart
Tunakukubali kaka
Aslimia, 100 nakpa broo
Ukwelitu nikwamba huna m'pinzani kwa kuandika !
Huyu jamaa Anavyo Wajibu waandshi hawa kuna mengi Sana ya kutufunza Wengne
🎉
Da akili nyingi
Binafs nimejifundisha mengi hakika ww ndio msaniee
Nakupenda bro??
Nice broo from home kimanzi 1
Amenifurahisha kusema wasanii wa Kinondoni hhahhahah Kinondoni
Nice poits✔
Nakukuabali sana mwamba
My dear 20parcent I miss you so much
Big boss
Ifike mahali tukubali tu 20% waachie vijana
Bon'arrive
Jamaa saluti
Naomba unitumie namba ya wantsap
Mimi tz kwa Sasa nipo zambia mpakani mwa Angola nakupta UA-cam videos
Come On Twenty
Niambieni anatoka na Nani nionyeshen anapta njia gan unajua sama 20%
Salut 👍
Jamaa huyo ni balaa
20 anaakili sana watu hawajui tu huyu jamaa ukimsikilizaa vzr utamuelewa
Ukiacha Mungu mimi bilamziki wa twents percent 20; napatabusana nikiwanamazo iliyaishe nawekamziki wa twents
Mh wasanii wa wazama walifunikwa na shetani siyo bule
Unatisha kaka
Nakukumbuka ulipofika Mtimbira mkoani Morgoro
Jaman hawa akina 20 ndio walikua waimbaji nyimbo za maadili sio akina mond za mitusi hawana adabu
20 tunakupenda sana
Mimi Malawian lakini sijawahi kuwono muyimbaji kama 20 na malawi tuu sasaivi Niko Cape town sijawahi kuona mutu kama 20 percent
Una sauti ya kiume haswaaa
Huyu dada kiherehere mpuuuzi
Nakuelewa music wako ujumbe umejaa
Uhakika
Big up 20%
20% bado unanyota
20% pandisha nyota no one like you don't
nakukubari sana 29% ludi barabaran m baba
Kwann atoi muv jaman 20
Nakuaminia