Narudi kijijini na Khadija ❤❤❤🔥🔥🔥 Wewe ni msanii mwenye akili kwa kujenga kijijini sehemu imetulia sana ya kutuliza akili na kufanya biashara nyengine baada ya mziki hongera sana ni mfano wa kuigwa 🇰🇪🇰🇪
Nakuelewa sana kakaangu na naamin IPO siku ntakujaga kufanya kazi nawewe kakaangu nakumbuka tuliwahi kukutana bkb tukapanga turekord mipango ikakwama ila kati yawasanii wanaonishawishi niendelee kuimba niwewe kakaangu nakupenda sanaa nimimi mdg wako mart mstarabu
@@rukiaiddyyahaya9506 maisha sio mepesi,ndiomaana jamaa baada ya kuona mjini yamembana na mwisho wa siku ngoma ya best naso ilipotoka na ujumbe huo akaona aitumie nafasi hiyo😂😂
Ni moja kati ya, ni moja kati,ni moja kati.waandishi wetu hasa hawa wa aniline TV’s mnalitumia sana hili neno tena kwa kulirudia rudia hebu acheni tabia hii jitazameni inatia hasira wakati mwingine.kwanini neno hilohilo kila wakati?halafu wote wanasema kitu kilekile!!!
Narudi kijijini na Khadija ❤❤❤🔥🔥🔥
Wewe ni msanii mwenye akili kwa kujenga kijijini sehemu imetulia sana ya kutuliza akili na kufanya biashara nyengine baada ya mziki hongera sana ni mfano wa kuigwa 🇰🇪🇰🇪
Hakika
Appreciation madame
Yeye nyimbo zake sote ziko na mafunzo mengi Sana, he's the best 💕
Kabisa namkubali sana jamaa
@@heavenlymusicproduction4360 ok
Namkubali mzee baba
@@heavenlymusicproduction4360 yote yana mwisho ni goma ninayo kubalisana
Nyimbo zake zote ni nzuri sana, Nampenda huyu kaka, yani hana shobo popote anaishi
Napenda Sana ngoma za naso zinaujumbe zinaelimisha
Kwanza kwahapa ntanzaniya ni yeye na best naso na 20 twent
Haki vile napenda huyu njamaa weuh plus his music on top kusema kweri❤❤❤❤
Nakuelewa sana kakaangu na naamin IPO siku ntakujaga kufanya kazi nawewe kakaangu nakumbuka tuliwahi kukutana bkb tukapanga turekord mipango ikakwama ila kati yawasanii wanaonishawishi niendelee kuimba niwewe kakaangu nakupenda sanaa nimimi mdg wako mart mstarabu
nampeda saana unyu musani wangu wa Tanzania na mimi nambeda kutoka haba kenya ndie napedasana mungu amulinde thenk you
Sisi Congo tunamukubali nason
Tanzania mm nitakuwa mshabiki namba1
Nice mm pia upenda maisha ya ujijini love u so much🇰🇪
Nyimbo zake zinafunza zina ujumbe mzuri sana, I like Best naso songs
Mam
Mawaida poa ❤❤❤❤
Nyimbo zake zote nazipenda .huyu ndiye msanii wangu pendwa nchini tanzania
Kiukweli mi namkubali sanna naakuna nyimbo yake ambaye siijui kuiimba
We utakuwa ni msukuma sio bure
@@ibrahimjumbe6434 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zangu jamani msukuma kwiyo
@@ibrahimjumbe6434 kabisa😁
Brother ww unaweza sana tu kama ni akili unazo nyingi sana brother ❤❤❤❤❤
Best naso we we ni msanii bora tz kwa nyimbo za mahadili na mahudhui tele, hongera sana best nasso
Asante bro Naso, nimekuelewa na kukubali sana kwa unyenyekevu wako , upoke na upendo wako👏
Brother ww unaweza sana tu! Kama ni akili unazo nyingi sana brother ❤❤❤❤❤
Nakupendaga san best naso nakubali ngoma zako zote ni nzuli san
Dio msani na weza sikiza nyimbo zake za maneno ya kufunza kabisa♥️
Best naso ni talented,,,kuelimisha na kukuza jamii yeye number moja Tanzania bila kuagalia Mambo na ufamous
Nampenda Sana ni mwenye kutumainika Sana,nampenda wimbo wake narudi Kijiji,
Narudi kijijini by Best Naso
Katixha xana
Best Naso nyimbo zake sote inaelimisha jamii kwa jumla
God bless you best naso nakupenda sana Mungu akupe miaka mingi ❤❤❤🙏🙏
Hadija ni ngoma pendwa sana upande wangu
Waujindile uyoo
BEST NASSO💪💪
WEE MWANA SANAA HONGERA SANA BROO
Mwandishi, sijasikia ukiumuuliza swali kama amewekeza nini hapo? Unawezaje kuuuliza kuhusu kuwekeza lakini huulizi kawekeza nini!!!!?
Hata kununua kiwanja na kujenga ni kuwekeza kwenye ardhi
Baa
Akili zako nimgando kwani wew huo kawekeza katika jengo hilo.
Ngoma ya bext naso
Napapenda san bezi hadi kayenze bukimwi nikiwa sumbawanga saivi. Namkubali san best. First mara
Mnamsahau sana msanii wetu Pendwa best naso
Best in town
Nyimbo zake best naso zote naipenda sana congratulations
Nassooo
Naso hana ngoma mbaya zote Kali
Narudi zangu kijijini Yani alipo achia Ngoma Ile nimerudi pia kijijini one time
🤣🤣🤣🤣✋Alikuimbia
@@rukiaiddyyahaya9506 yaah jamaa aliimbiwa🤣🤣
@@wazirmlogi7532 🤣🤣🤣ila maish haya acha tuu
@@rukiaiddyyahaya9506 maisha sio mepesi,ndiomaana jamaa baada ya kuona mjini yamembana na mwisho wa siku ngoma ya best naso ilipotoka na ujumbe huo akaona aitumie nafasi hiyo😂😂
@@wazirmlogi7532 hahaha wewe bana 🤣🤣🤣🤣daaa
Yuko vizur napenda sana nyimbo zake pia hazichuji kama zakina naniii!!
Mam na bola nirudi kijiji🔥🔥👍
Hongera kaka kwel maisha sio mjini tuu havijin ni mjinpia ukiwekeza 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏👈👈👈💕💕💕💕👍👍👍
Interview nzuri, big up kwa Best Naso...lakin quality ya video rangi yake mbovu
Hua sikupingi brother ♥️💪
Kaka best nakukubali sana mungu azidi kuwabariki sana inshaallaah
Best naso-mapenzi naikubali hii ngoma big up kwake
Alikodi Toyota yangu alipokuja mikumi kutangaza mziki wake mikumi moro hongera kaka imeupiga karibu tena mbugani
Mimbotuyako yote
Nampenda sana uyu kaka anaga shobo kama wenngine yaani anaga kujiskkia
Mi naipenda ya mamu wa dah na ile ya kurudi kijijini ya kuuza mkaa safi sana
Nyimbo zake zote zinaweza mbaya ❤❤❤❤
Umejiereza vzr sana naso pia utakua umewapa elimu hata wasanii wengine
Narudi kijijin, Mamu wa dar, nipe nafas, tuma ringa ni ngoma zangu za muda wote nakumbuka sana toka nikiwa sekondari
Big up sana bro uko juu siku zote
He iz humble,love it
wapi walipo mtaja mondi na kiba ivi mkoje nyiiiinyi mbwaaaa
Naso we ni best sana
Nyimbo za huyu best naso mpka Leo zikipigwa zinahit vibaya mno
My best naso nakukubali bro
Tutoke... Sababu ilishutiwa kwetu
Tuma naipenda sana narud kijijin pia nyingi
Rukia
@@burhanaweiss8789 eee rukia mimi ndio unanita😊?
Umenivutiya
@@burhanaweiss8789 nimekuvutiya? 🤣Nini hiyoo
@@TheNewKid_TV poa unanujua umeniita vizur🤣
Nipe nafasi , edga, mamu wa dar, na nyingine nying
nyimbo zake nzuri zote ila inayoniingia kwa damu ni wimbo wa tuma ringa
nice to see you establishing yourself broo
Bongo touch your the best kanda ya ziwa unaiibua bana
Hongera mungu akulinde
Hongera San kak naelewa San miziki Yako
Mashaallh uko vizuri bro Allah azidi kukubarik 🤲
Narudi kijijin, n.k🔥🔥🔥🔥
Mamu wa dar ni hatarii sanaaa
Fahar ni nyimbo Yang pendwa sana
Dah Kuna song linaitwa maisha ni utata mm Hadi huwa nalia nkilitizama
Best naso namkubari kwer
Hujawahi kuniangusha Best nasso
Mungu akubariki sana kaka best naso
Hanaga nyimbo mbovu nasso namukubari sana
Kweli we ni best...❤❤❤
The best ♥️♥️♥️♥️☑️🔥
Best, Best Naso💕💕💕. Sikufukuzwa kwetu, japonilikuwa nauza mkaa😍😍😍
Nope nafasi
Nipe nafasi
narudi kijijini...best song
Muandishi wa mchongo huna weredi kbs big up naso
Nyimbo iliyo niuma Sana wanawake wabaya tena wanauwa
Mm namkubari sana bestnaso
Nyimbo zake zote Kali sema wanawake wabaya ameua zaidiiiii
Nimekubali uyo jama iyo fasi nzuli sana pesa nyingi sana izo akaweka
💯💯💯 nakupa asilimia hiz brother
Nyimbo zake zote nzuri sana
Zote kalii za Best Naso hajawahi kukosea
Kazi nzurii sanaa
Best 👌 naso ivyo iyo ndio akili sasa
Nampenda huyu kaka sana kunakipind nimesikia kafariki jamani niliumia sana kumbe yupo
Nkajua hii media imechapia kumbe mxhkaj yupo hai...
Narud kijijin kiti poa san, hata mm bos wangu akinizinguwa namwambia bor nirud kijijin
Fanikiwa best fika mbali
Ni moja kati ya, ni moja kati,ni moja kati.waandishi wetu hasa hawa wa aniline TV’s mnalitumia sana hili neno tena kwa kulirudia rudia hebu acheni tabia hii jitazameni inatia hasira wakati mwingine.kwanini neno hilohilo kila wakati?halafu wote wanasema kitu kilekile!!!
Best nasso na 20% ndio wasanii wa jamii
Piga kazi Naso kwenye kuimba haujawahi kukosea hata nyimbo Moja.
Mi namkubali sana best baso
Yamotoni ni hatari .hongera sana
Mwenyew namkibali sana
Nakubali Sana Mwambie
Tuma noma sana
Hongera sna best naso
Good yuko smart sana ki akil huyu kaka
Kiujumla nyimbo zake zote ila hii hio niludishie mwanang Daaah hatal
Nakupenda best naso ata ma songs yote nayapenda apa zambia
Sema napenda xna nyimbo za best
Ohoooo kumbeeeee ndo maana kaimba nyimbo ya bahati mwambie best naso tukutane kwenye magroup la gude gude au kwa mbasha studio