Magic Fm Tanzania
Magic Fm Tanzania
  • 474
  • 248 743
KIUFUNDI: HAYA NDIO MAENEO AMBAYO YANGA SC WANATAKIWA KUSAJILI DIRISHA DOGO
"Bado Kuna Ukwasi!" 🟢💛
“Hawana Chama, Yao, Diara wala Max lakini wamekuwa na muendelezo wa kufanya vizuri. Ukitazama, kuna ukwasi bado upo kwenye hii timu …,” 👏
Mtazamo wa @kingsalum_ akifafanua maeneo yanayohitaji maboresho Yanga SC kwenye dirisha dogo la usajili. Je, ni nafasi gani Yanga wanapaswa kuimarisha zaidi? 🧐⚽️
#YangaSC #DirishaDogo #NBCPremierLeague
Переглядів: 36

Відео

UCHAMBUZI: HAKUKUWA NA ALIYESTAHILI ZAIDI YA ADEMOLA LOOKMAN TUZO YA MCHEZAJI BORA WA AFRIKA
Переглядів 51Місяць тому
Hakukuwa na aliyestahili Zaidi ya Ademola Lookman na ndio maana umeona imekuwa rahisi kwake kwenda kutwaa hii tuzo …,” uchambuzi wa @kingsalum_ kufuatia ushindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika, Ademola Lookman (27) ambaye ni nyota raia wa Nigeria anayekipiga katika klabu ya Atalanta BC ya Ligi Kuu ya Italia, Seria A.
DAKIKA 13 ZA RAIS SAMIA LEO AKITOA MAAGIZO AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MABALOZI ALIOWATEUA
Переглядів 119Місяць тому
Viongozi walioteuliwa na Rais Samia Suhulu Hassan Desemba 8, 2024 wameapishwa leo Ikulu ndogo Tunguu- Zanzibar. Uapisho huo uliofanyika leo Desemba 10, 2024 umehudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwepo Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango pamoja Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi.
ASKARI SABA WAUA MTOTO WA MIAKA MINNE KWA RISASI TABORA/ RPC ATHIBITISHA KUWAKAMATA
Переглядів 1,6 тис.Місяць тому
HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Tabora linawashikilia askari saba, watatu wakiwa ni askari wa Jeshi la Uhifadhi wa Misitu TFS na wanne wakiwa askari wa Jeshi la Akiba wakituhumiwa kwa mauaji ya mtoto, Grace Mussa (4) pamoja na kumjeruhi kwa risasi katika sehemu mbalimbali za mwili, Zengo Sandu Katemi mkazi wa Kijiji cha Igwisi wilaya ya Kaliua mkoani Tabora. Kamanda wa polisi Mkoa wa Tabora Rich...
WANAWAKE PUNGUZENI MIDOMO KWA WATOTO
Переглядів 60Місяць тому
WANAWAKE PUNGUZENI MIDOMO KWA WATOTO
RC IRINGA AZUIA LIKIZO KWA WAKURUGENZI/ ASEMA HADI WAKAMILISHE MIRADI YA MAENDELEO
Переглядів 29Місяць тому
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba amemuagiza Katibu Tawala (RAS) kutotoa ruhusa ya likizo kwa wakurugenzi watendaji katika Halmashauri za Wilaya mkoani humo hadi watakapo hakikisha wamekamilisha miradi yote ya maendeleo kwenye maeneo yao kabla ya mwezi Disemba. Serukamba ametoa agizo hilo katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC).
WANAUME HUZIDISHA MAHABA, VIKOBA VIKIVUNJWA
Переглядів 54Місяць тому
Magic FM is a 24 hours local radio station started in the year 2000. 92.9 FM Dar & Mtwara & Lindi | 101.7 FM Mwanza & Tanga | 98.5 FM Arusha | 93.3 FM Dodoma
IGP WAMBURA ATOA MAAGIZO KWA POLISI KATA NCHINI/ ATAKA KUZUIA UHALIFU KABLA HAUJATOKEA
Переглядів 2,8 тис.Місяць тому
Jeshi la Polisi nchini limesema litaendelea kujikita katika kubaini na kuzuia uhalifu kabla haujatokea katika Jamii pamoja na kupunguza matumizi ya nguvu kwa mujibu wa Sheria. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura leo Disemba 2, 2024 wakati akifungua Mafunzo ya Siku tano kwa Polisi Kata kutoka Mikoa ya Dodoma, Tanga, Kinondoni na Temeke yanayofanyika Shule ya Po...
SAKATA LA 'TRY AGAIN' KUJIUZULU : MICHEZO NA MAGIC JUNI 11, 2024
Переглядів 517 місяців тому
SAKATA LA 'TRY AGAIN' KUJIUZULU : MICHEZO NA MAGIC JUNI 11, 2024
UKIUJUA MCHEPUKO WA MUME UTAFANYA NINI?
Переглядів 1847 місяців тому
UKIUJUA MCHEPUKO WA MUME UTAFANYA NINI?
MAKALA MAALUMU YA KUREJEA KWA PAMBA FC KWENYE LIGI KUU
Переглядів 1078 місяців тому
MAKALA MAALUMU YA KUREJEA KWA PAMBA FC KWENYE LIGI KUU
GAMONDI "SIMBA WANATAKA KULIPA KISASI, HILO NI KOSA``
Переглядів 169 місяців тому
GAMONDI "SIMBA WANATAKA KULIPA KISASI, HILO NI KOSA``
KUELEKEA MIAKA 62 YA UHURU
Переглядів 10Рік тому
KUELEKEA MIAKA 62 YA UHURU
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
Переглядів 3Рік тому
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
Переглядів 3Рік тому
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
Переглядів 1Рік тому
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
Переглядів 2Рік тому
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
Рік тому
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
Переглядів 1Рік тому
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
Переглядів 1Рік тому
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
Рік тому
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
Переглядів 1Рік тому
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
Рік тому
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
Переглядів 1Рік тому
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
Рік тому
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
Переглядів 3Рік тому
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
Рік тому
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
Переглядів 1Рік тому
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
Переглядів 2Рік тому
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU
Рік тому
TUNAKUTANA TULIPOPATIA UHURU

КОМЕНТАРІ

  • @YohanaBahati-v8w
    @YohanaBahati-v8w 6 днів тому

    Kweli kaka uko vizuri xana unajiamini xana brooo

  • @MANIRAFASHAVestine
    @MANIRAFASHAVestine 24 дні тому

    Hhhhhjjkk maken

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f Місяць тому

    From 🇧🇮😢😢kuuwa mtoto mung wang

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 Місяць тому

    Hii haikubaliki hata kidogo huwez kuua mtoto mdogo kwa risasi. 😭😭😭

  • @frankmbatta440
    @frankmbatta440 Місяць тому

    Tanzania Yangu!!Ipo Siku !!Poleni kwa Msiba .

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 Місяць тому

    Mtani wangu, Mura Wambura yumkini maelekezo yako yako vizuri lakini tayari muda unaotoa maelekezo hata tayari Jeshi lako la Polisi haliaminiki na raia na hii imechangiwq na kushirikiana na ccm ktk kupora haki za hao raia! Ukweli tuuseme ili tutubu na Mungu atusaidie. Jikiteni tu kwenye majukumu yenu ya msingi siasa achaneni nazo hii itawajengea imani kwa wananchi. Hicho ndo ninachokiona mimi kama mzee huku mtaani

  • @halimasalim7891
    @halimasalim7891 Місяць тому

    20 anaakili sana watu hawajui tu huyu jamaa ukimsikilizaa vzr utamuelewa

  • @RajabuLanda-t2e
    @RajabuLanda-t2e Місяць тому

    Kama mwenyewe SII wakwer hapo

  • @boscomapunda87
    @boscomapunda87 Місяць тому

    Kwenda sio shida shida NI kurudi😅😅😅

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 Місяць тому

    Mmmmh

  • @StewadiMwiula
    @StewadiMwiula Місяць тому

    Huduma hakuna saivii,imanii na polisi imepunguwa, mmemezwa na ccm,wala hatujivunii na polisi mmekuwa policy.

  • @VicentNzaramyimana
    @VicentNzaramyimana 2 місяці тому

    Ndabakunda

  • @ConfianceKivalyandi
    @ConfianceKivalyandi 2 місяці тому

    l'artiste selon mon cœur

  • @AmiduMussa-i8e
    @AmiduMussa-i8e 2 місяці тому

    Kusema ukweri 20pasent uko vizuri

  • @jumamdoe3875
    @jumamdoe3875 2 місяці тому

    🎉

  • @MulutchaGloire
    @MulutchaGloire 3 місяці тому

    Mwanahume wewe Nakukubali kk

  • @PaulNgubule
    @PaulNgubule 3 місяці тому

    Dah m blo Bado nmkbl xn

  • @AkilinyoMussanyo
    @AkilinyoMussanyo 4 місяці тому

    Mwamba bado tunaishi na nyimbo zako🎉

  • @FelwusiFelwusi
    @FelwusiFelwusi 4 місяці тому

    Naomba unitumie namba ya wantsap Mimi tz kwa Sasa nipo zambia mpakani mwa Angola nakupta UA-cam videos

  • @FelwusiFelwusi
    @FelwusiFelwusi 4 місяці тому

    ❤🎉20 unayaweza Fanya music

  • @matildamunis5658
    @matildamunis5658 4 місяці тому

    Nice Munisi unaongea vizuri sana

  • @MUHAWENIMANAFillette-x3r
    @MUHAWENIMANAFillette-x3r 5 місяців тому

    ❤❤

  • @nondozabinamubananga3439
    @nondozabinamubananga3439 5 місяців тому

    Keep the fire burning 🔥🔥🔥

  • @KENETHBROWNMALILA-ld9is
    @KENETHBROWNMALILA-ld9is 5 місяців тому

    🔥🔥🔥

  • @KENETHBROWNMALILA-ld9is
    @KENETHBROWNMALILA-ld9is 5 місяців тому

    🙏🙏

  • @MUCUNGUZIEric-qw6if
    @MUCUNGUZIEric-qw6if 5 місяців тому

    Dj black ntabyo tukumva neza kuri 99.3

  • @GisèleSergeMotopamba-r1k
    @GisèleSergeMotopamba-r1k 5 місяців тому

    20% wewe ni mwalimu kweli kweli ❤❤❤

  • @JimmyVardyboy
    @JimmyVardyboy 5 місяців тому

    Mwambie belembu mech ya mwsho ya pre szon magol ya simba yalifungwa na mutale na mukwala

  • @hawamohammed9740
    @hawamohammed9740 7 місяців тому

    Jaman hawa akina 20 ndio walikua waimbaji nyimbo za maadili sio akina mond za mitusi hawana adabu

  • @hawamohammed9740
    @hawamohammed9740 7 місяців тому

    Huyu kijana ana mvuto wa kila kona unanimaliza hii sautii yako ❤❤❤❤ina mitego❤❤❤

  • @KhamisSaid-k6u
    @KhamisSaid-k6u 7 місяців тому

    Twnt pasnt

  • @JumaMugaza
    @JumaMugaza 7 місяців тому

    Kwann atoi muv jaman 20

  • @shandatembo
    @shandatembo 8 місяців тому

    Brother nakuelewa sn

  • @simiyugidson2411
    @simiyugidson2411 8 місяців тому

    Napenda mziki wako ila kishwahili kimenipita

  • @oscarmakalikali3945
    @oscarmakalikali3945 8 місяців тому

    Tu es le meilleur 20, j'aime toutes tes chansons.

  • @KodolskiMerki
    @KodolskiMerki 9 місяців тому

    Anza tena mziki kijana wangu'' pacent wametuaribia mziki harmoniz'' diamond pl .....

  • @abdulkhafidh7946
    @abdulkhafidh7946 9 місяців тому

    20 alikua Anandika nyimbo ata miaka yoyote unaskiliza nyimbo zake M/mungu akupe nguvu uwe mwana mziki na bongo movie

  • @ScolaMwansasu
    @ScolaMwansasu 10 місяців тому

    Huyu dada kiherehere mpuuuzi

  • @JosuéOfficiel-k6e
    @JosuéOfficiel-k6e 11 місяців тому

    Nakukubali bro

  • @JosephNtumba-x2p
    @JosephNtumba-x2p 11 місяців тому

    Wel answered

  • @MartinNduwayo-ju8df
    @MartinNduwayo-ju8df 11 місяців тому

    20% uku burundi tunakupenda uje kwetu ufanye muzkii bro watangazaji jamani ebu mizki ya sasa .munayiona sawa mbere watoto wenu? kama nyiyi wazazi 🤭

  • @AbdlahmanMnyawami
    @AbdlahmanMnyawami Рік тому

    Very good twend pa👏

  • @HamisSaidi-h3u
    @HamisSaidi-h3u Рік тому

    Huyu jamaa Anavyo Wajibu waandshi hawa kuna mengi Sana ya kutufunza Wengne

  • @MadoshiMakelege
    @MadoshiMakelege Рік тому

    Aslimia, 100 nakpa broo

  • @EliasEmanuel-yg5po
    @EliasEmanuel-yg5po Рік тому

    Ifike mahali tukubali tu 20% waachie vijana

  • @ZaireMudeba-lx8pt
    @ZaireMudeba-lx8pt Рік тому

    Huuu mwamba 20% pacent bigapu naomba namba zake za whatsapp nikiw USA 🇺🇸 kutokea kigoma kasulu nyarugusu camp. Namupendaka sana naitaji namba zake

  • @ISAACLEVIS
    @ISAACLEVIS Рік тому

    Courage mon boss

  • @ISAACLEVIS
    @ISAACLEVIS Рік тому

    Courage mon boss

  • @ISAACLEVIS
    @ISAACLEVIS Рік тому

    Courage mon boss

  • @nasibuabdallah1803
    @nasibuabdallah1803 Рік тому

    Big brain 🎉🎉🎉