Leo nimegundua kwa nini Mungu hakuruhusu uondoke ktk dunia hii , hakika wewe ni sauti ya mtu aliaye nyikani, endelea kutuonya hata kwa njia ya mtandao injili itahubiriwa , Bwana azidi kukulinda kaka yangu, proud of you 👏.
😂😂 hakuna aliyemkamilifu chini ya jua Yesu mwenyew alisema maneno haya nayeye ndiye hakimu wa haki angeona aonavyo kakaako basi angemfukuza yule kahaba aliyempaka mafuta
Paschal uko sawa unayosema Mungu akubariki maana huna unafiki watu wanang'ang'ania sana miujiza kwa sasa kuliko kufuata neno...kila unabii uoimwe na neno la Mungu watu wamungu...bwaan akulinde paschal nakuunga mkono asilimia 💯
Yaani haya NDO Mambo ya YESU SAFI SANA TUNA SHIDA NA NENO LA MUNGU NA SIO MAMBO YA AJABU HAYA DHAMBI IMETUTESA INATOSHA SANA NA MUNGU AMULINDE HUYU MTU WA MUNGU
@@geitandelwa299 Humjui YESU unaijua Dini yako Yesu alihubiri injili aliponya watu na kutenda maajabu mengi sana kufufua wafu,kuwalisha mikate 5 watu 5000,kumponya vipofu , alitumia Hadi tope la mate yake kumponya kipofu leo mnampinga Mtumishi wa Mungu kutumia mafuta na maji
Nimeamini katika maisha ya hapa duniani vita ni kubwa sana kumlenga mtu moja kwa moja ni wivu tena upo wazi kabisa tunajua watu wanahitaji kulijua meno la Mungu Ila kwa binadamu wa sasa Mungu ananjia njingi jinsi ya kumfikia
Yes tumechokaa kura kwa SABABU ya uongo wa shetani na MUNGU ATUSAIDIE KUACHA DHAMBI MAANA MAFUTA NA MAJI NA MATAKATAKA MENGINE YAMETUCHOSHA AAAAA YESU ANAKUJA NA TUANZE UPYA
Duh hatar kweli mungu atuhurumie jicho lako bovu hafu unataka kumponesha mwingine Mungu atusaidie siku za mwisho ndugu na ndugu watagombana na mataifa kupigana
Kwa Mwamposa ni madhabahu ambayo watenda dhambi wanakimbilia humo wasaidiwe kuacha dhambi. Mfano wachawi,waganga,walozi na washirikina,wavuta bangi, watumiaji madawa ya kulevya,malaya,wanaoonewa na kutumikishwa na ibilisi kwa njia mbalimbali nk wanakimbilia humo wasaidiwe kuacha maovu hayo. Hapo ndipo Yesu Kristo anatukuzwa kwa kiwango kisicho cha kawaida. Kupitia madhabahu hiyo wengi wanaokolewa na kumpokea Yesu Kristo kuwa mwokozi wa maisha yao.
Mungu akusamehe ndg sababu inaonekana hata ibada za Mt Mwamposa usikilizi, Mt Mwamposa anafundisha neno la Mungu kwa asilimia mia hata Yesu alitumia mafuta acha kutafuta hasira ya Mungu fanya mwito uliyoitiwa na Mungu na siyo kutafuta kiki kwa Mtume acha kabisaaaaaaa
Amen barikiwa saana mwinjilist, mungu azidi kukaa ndani mwako, ata yesu mwenyewe wali mkana kwa kusema ukweli, ila yote n kusema alie na masikio na asikie, mimi nazidi kukaa nda ya yesu nikiilinda nafsi yangu isije kwa ngamia,
Ameen tunampenda mwamposa Sana wewe fanya ya kwako acha kuangalia ya mwenzako tunampenda mwamposa Sana tumeona mkono wa mungu kwake tutamfuata popote iwe kawe iwe wapi!!!na mungu ampe maisha marefu sana
Kwa jina la YESU CHRISTO MUNGU Akupe maisha mema maana uriyo yazungumuza niya kiroho tu. Tena mtu ambae hana MUNGU katika moyo wake hawezi kuelewa unabii huu. MUNGU Akubariki sana amen.
Shikamana na Mtumishi wa Mtumishi wa MUNGU Mwamposa Mungu atakutendea mengi sana achana na wajinga wanaomsema vibaya hawamjui Mungu wanazijua Dini zao na viongozi wa dini zao MUNGU hakai katika Dini
Kaka nakupenda sana pamona na nyimbozako zote lakini kakamimi naiona kama umekosea kwa Nini umuhukumu mtu wewe sio mungu mungu ndo anaye paswa kuhukumu mtu
Barikiwa sana umeongea ukweli mchungu walio Rohoni wameelewa hao wanaokupinga na kukudhihaki mharibu ameshawaharibu wamepigwa kwa upofu hawawezi kamwe kukuelewa sisi wengine tumeelewabarikiwa sana mtu wa Mungu
Paschal mchane huyo anaye toa miujiza hata neno halijui alafu mashetani wenzie wataka miujiza wanamsapoti, mtumishi Pasua na mungu akulinde na akujengee fensi LA chuma,
Wanadamu tunaroho dhaifu biblia takatifu inasema siku zamwisho watakuja wengi wanaoponya kwajina langu lakini simanabii binafs niwe muwazi sijawai kuamini juu ya uyo mwamposa
MPAKWA MAFUTA WA BWANA SIJAONA BAYA LA MWAMPOSA MBONA ANAFUNDISHA KUTUBU NA PIA YESU ALIKUJA KUWAOKOA WALIOPOTEA MFANO WAKINADADA HAO WANACHUKUA MAFUTA YANAWAFUNGU MANABIII WATAISHI KATIKA NYAKATI NGUMU SANA MWAMPOSA MUNGU WA MBINGUNI AKULINDE YESU KRISTO AKUFUNIKE KWA DAMU YAKE 🥰🥰🥰🥰💘💘💘
Kwahiyo mnataka kusem mwamposa kazi yake ni kugawa mafuta na maji tu? Hafuñdishi habari njema źa ufalume wa mbinguni? Fuatilia vizuri mafundisho mafuta ni sehemu tu ya mafundisho yake
Bwana Yesu asifiwe mtumishi. Ninavyojua na anavyofanya Mwamposa ni kuwa neno LA Mungu linatangulia na ndipo anagawa mafuta. Hapa inataka kuonekana kama anatumia tu mafuta bila neno LA Mungu. Biblia ni msitu tushirikiane kuijua
Mungu atusaidie sana ila ukweli uko wazi wengi wao huwa injili ya maonyo imetupiliwa mbali mpaka inatupelekea kuvaa tile tunavyo taka bila kusahau kwa mungu hakuna uhuru Kwan leo hii hata uwae mavazi ya aibu hakuna wa kukambia wala kukukosoa kanisani, ila nakuombea sana mtumishi mungu akutunze daima umejisekrifire juu ya ukweli ❤❤❤
Iyo iko vizuri kweli ifike maali watu wafundishe.lkn ndugu yangu kweli mwamposa anafanya kazi ya mungu kweli ila tu ambie watu ukweli ili wakupona apone wakimbia akimbie ijulikane mungu wakweli niyupi.
Mungu kakusamehe nilitaka kuandika kitu ila basi,baba yangu au yetu Mwamposa kazi iendelee sasa hivi ni mtaa kwa mtaa lazima taa ziwake kwa jina la Yesu haturudi nyuma tunasonga mbele🔥🔥🔥
Dah asante sana yani...... Ambae hajawahi kutendewa pale alipokua haoni nini tena cha kufanya hawezi elewa karama Mungu aliyoweka juu ya mtume Mwamposa Na mafuta yale ni kawaida tu... Cha muhimu ni upako unao ombewa juu ya mafuta yale..... Na imani ya mtu anayoiweka kwa Yesu kupitia mafuta yale Yale mafuta bila imani na upako ni ya kawaida tu Hata mtume mwamposa hua anasema hayo Na mavazi sio kigezo cha kwenda mbiguni Maana ata biblia ina hadithi ya mama alienda kutoa centi kama sadaka ....akiwa na mavazi chakavu Na pia kulikua na matajiri wenye dhahabu na mavazi mazuri....... Ila sadaka ya mama yule ilikua na thamani kwasababu aliitoa kwa imani bila kujali mavazi yake Kuwepo kwa Mungu sio mavazi.... Ni imani yako yako kwa Mungu
Neno linasema siku za mwisho watakuja manabi wa uongo watadanganya hata wateule tena watatumia jina la YESU Jihadhalini na miujiza ya siku hizi tunazoishi Someni maandiko yawape maarifa Mbarikiwe sana Neema ya BWANA iwafunike mweze kujua kweli na uongo Asante sana
Wewe una uhakika gani mchungaji wako kanisani kwako ni nabii wa uongo au wa kweli Acha judgement iwe kwa Mungu Hata mwamposa hafanyi miujiza......anaefanya miujiza ni Mungu pekee Yule ni apostle..... Ni mfundishaji..... Sio mfanya miujiza...... Yeye mwenyewe hukiri kua anafundisha zaidi kuliko kuombea mtu Jaribu kuattend ibada yake ata moja...... Then utaelewa point iko wapi
Mbona mwamposa mnamwandama kisa watu wengi kuriko watu waende kwa muganga si bora kwa mwamposa ,hagawi mafuta bila neno la mungu na hicho ndo chakula cha milele acheni wivu
Mi nakushauri tu, watu ambao hawajamjua Mungu NI wengi NI wengi, ingekuwa vema iendelee kuhubiri badala ya kuhangaika na hayo unayoyangea. Yaani nadhani umekosa kazi ya kufanya unapoteza mda wako bure. Pigs hema wahubilie wasio mjua Mungu achana na mtumishi wa Mungu watu waendelee kupata uponyaji
😂😂😂😂 🙏🙏🙏 Umenifurahisha. Inabidi wale wasiongozwa sala ya toba huu muda wooote angeutumia kuwaita kwenye kanisa lake ndo ningemuona anaakili hapo kapoteza muda tu
Yesu alipakwa mafuta na kahaba,usihukumu utahukumiwa Yesu alitambulika si kwaneno tu na miujiza,,usimuhukumu mtumishi ambaye hujui aliyendani yake yawezekana kwaakili ya kibinadamu ukadhani unamsahihisha yeye kumbe unamsahihisha Yesu aliyendani yake,Roho Mtakatifu aliyemsaidizi wake, Mungu anayeiruhusu pumzi yake kwake ili kila cku asimame madhabahuni akifanya kazi aliyotumwa “”tuwe na kiasi hakuna aliyemkamilifu chini ya jua tusifanye kuyafurahisha mataifa tukasahau kwamba hakimu wa haki ni Mungu Yesu alitambulika kwa miujiza,, hata yule mama aliyetokwa damu, hata kipofu na aliyepagawa pepo hakuwaita na kuanza kuwahubiria neno lkn aliwaponya neno walilipata kutoka alipowahubiria watu wote cku zote hata mwamposa anaanza kwa kufundisha neno kuongoza sala yatoba kisha maombi yanayoambatana na mafuta
Inaonekan wew unaendag kwa mwaposa huo ni ukwel usio pingka hat kwa akil ya kawaid bil hat kuhum unayatambua hay kabsa now weng ni mbwa mwitu walojitwk ngoz ya kondooo ndgu Ang usindanywe na shuhuuda na miujuza smam na neno
Namuonea huruma uyo kaka kwasababu hajui maandiko wala uwezo wa Mungu ndo maana kasema yote hayo,watu tumechoka injili za kawaida,watu wanataka kumuona kumuona Mungu Anatenda kazi katikati yako.
@@jacobkisanji2964 nkuulze k2 kwann maft yanauzwa na wat wanakanyagishwa , lakin neem ni buree kabsa juuu yet na yesu kashalip pale msalabani katk Moy wak hujwaz tu why hakik Mach tunay na hatuon na masikio tunayo hatuskii
Kwanza Mimi mwenye ni wasi wasi na wewe acha kumuhubiri mtu mhubiri kristo Tena nilikuwa nakupenda Sana kwa hilii na nyimbo zako zote natoa kwenye flash yangu na kwenye sim yangu nikushauri tu fanya yako achana na watumishi wa Mungu ujawaita wewe acha Alie waita ataamua mwenyewe acha kumsaidia Mungu kazii ujashauri chochote ila umeongea utumbo tu Mimi sisali kwa mwamposa lakin nikiona mtu yeyote anaongelea vibaya watumishi bas uwa namchukia mtu uyo Sanaa kama unalijua neno kila ufunuo unaokuja kwako una upima kwa neno waambie watu wajue neno wajue kupima mafunuo
nachojua watu hawa taki kuambiwa ukweli bali wanataka kudanganywa tu mtumishi uko sawa kabisaaaaa na mungu akutumie zaidi na zaidi soma vizuri timotheo2 4:1 ~5 nafuatilia nyimbo zako na ninakuelewa sana Sana Sana mtumishi hizi ninyakati za mwisho najua hupingani na mafuta ila unanena juu ya wokovu kamili Paschal Cassian nakupenda Sana kwaajili ya ukweli unao sema barikiwa ( leo nitakuita jina hili nabii MIKAYA wa AGANO jipya)
Kila mtumishi wa Mungu katumwa kwa ajili ya kazi fulani wapo wanaofungua watu, wapo wanao fariji, wapo wazuri kwa kuhubir kwa pamoja wanajenga mwili wa kristo tatizo la watu tunataka watumishi wafanye kazi moja wote. Wote wakihubir tu nani atafungua waliofungwa na shetani?
Amen injili ya kweli imejengwa ktka Mambo muhimu haya 1 toba au msamaha. 2 utakatigu 3 kurudi kwa YESU au unyakuo Ukiona injili unayohubili inaegemea sana nje ya hapo rudi upesi magotini unyenyekee maana utakuwa nje ya injili ya kweli
We ndio unayao mafuta but tunaoabudu hapo tunajua ni jinsi gani tunafundishwa neno la Mungu na kulisimamia, kupata afya,na ila kilicholiwa na madumadu na palale kinarudishwa, kupitia Imani iliotokana na neno la Mungu lililojengeka mioyoni mwetu, ndipo tunatumia mafuta ya upako kwa Imani iliyopatikana ktk neno, maana ht Yesu alisema km hamniamini mimi basi ziaminini kazi zake. Ushauri wangu kwako SIMAMIA KILE UNACHOAMINI NA FANYA KAZI ILE ULIOITIWA, FUNDISHA NENO LA MUNGU, NA SIO MWAMPOSA, NAIMANI WW NI MTMISHI WA MUNGU SIMAMIA WITO WAKO ULIOITIWA.
Mungu hakukuweka ili kukosoa watumishi wengine kila mtu ameitwa kwa namna yake na kila aliyeitwa amepewa utalatibu wa namna ya kutumika na kama atakosea Mungu atamlekebisha mwenyewe huna mamlaka ya kuhukumu shwaini we
je umetumwa na Mungu au ni mihemko ya kibinadam, waache watu wapone bwanaa, swala la kwenda mbinguni ni lingine na kupona ni lingine, Mungu ndie anaejua, usihukumu usije kuhukumiwa, kila kazi itapimwa na aliegawa kaz mwenyewe ambae ni Mungu
Sijawah kuona mwamposa akiita wenye dhambi 'WANAOTAKA KUOKOKA AU KUMPA YESU MAISHA YAO' lengo la miujiz ni kudhihirisha uwez wa Mungu, uponyaj unadhihirish huruma ya Mungu na Wokov au kusamehewa dhamb ni kudhihirish upendo na rehema za Mungu.
Duh hiv kweli mnafatilia huduma ya mwamposa mpaka mwisho wa ibada au mnaongea tu kwasababu ya chuki zenu mmethibitisha mnschoongea mwamposa ajawai kumaliza ibada bila kuwaongoza watu sala ya toba kumpokea yesu sema Mara nyingi anafanya mwisho wa ibada embu acheni chuki zisizo na maana Kama mtumishi wa mungu umkubali unasehemu yako unapaelewa vizuri kukaa kimya tu mwamposa Kila siku anaongea kuhusu mtu kuwa safi moyoni na hii kauli anaitumia Sana usiweke vitu moyoni muweke yesu moyoni vitu vitakutumikia.
Amefanya Mara nyingi Sana na ninafikiri huwa anafanya kila ibaada yake,shida huu utaratibu wakuitwa mbele ndo huwa haufanyi kuepuka misongamano ya watu Kahiyo huwa anatoa maelekezo watu wakiwa hukohuko kwenye siti zao,
Leo nimegundua kwa nini Mungu hakuruhusu uondoke ktk dunia hii , hakika wewe ni sauti ya mtu aliaye nyikani, endelea kutuonya hata kwa njia ya mtandao injili itahubiriwa , Bwana azidi kukulinda kaka yangu, proud of you 👏.
Uongo tu hammjui Mungu nyie Muache Mwamposa
Kwan bila Iman unadhàn unapon
@@lizzybabyface8820 tunaye Yesu Kristo.
Well said!!
😂😂 hakuna aliyemkamilifu chini ya jua Yesu mwenyew alisema maneno haya nayeye ndiye hakimu wa haki angeona aonavyo kakaako basi angemfukuza yule kahaba aliyempaka mafuta
Paschal uko sawa unayosema Mungu akubariki maana huna unafiki watu wanang'ang'ania sana miujiza kwa sasa kuliko kufuata neno...kila unabii uoimwe na neno la Mungu watu wamungu...bwaan akulinde paschal nakuunga mkono asilimia 💯
Waoooo kazi Yako ninjema MUNGU akubaliki. Asante kwakunitumbulia huyu Mutu :
Hahahahaa
Nakupenda sana,na Mungu ninayemwamini,aliyekutoa ktk vifungo vya giza akulinde na hila za uovu
ujumbe mzito na wenye uzima ..Mungu akulinde na maadui washindwe kwa jina la Yesu
Yaani haya NDO Mambo ya YESU SAFI SANA TUNA SHIDA NA NENO LA MUNGU NA SIO MAMBO YA AJABU HAYA DHAMBI IMETUTESA INATOSHA SANA NA MUNGU AMULINDE HUYU MTU WA MUNGU
AMENI
Unapingana na Yesu bila kujua
@@geitandelwa299 Humjui YESU unaijua Dini yako Yesu alihubiri injili aliponya watu na kutenda maajabu mengi sana kufufua wafu,kuwalisha mikate 5 watu 5000,kumponya vipofu , alitumia Hadi tope la mate yake kumponya kipofu leo mnampinga Mtumishi wa Mungu kutumia mafuta na maji
@@geitandelwa299 Pole sana Mungu akusaidie kuijua kweli yake,
Nimeamini katika maisha ya hapa duniani vita ni kubwa sana kumlenga mtu moja kwa moja ni wivu tena upo wazi kabisa tunajua watu wanahitaji kulijua meno la Mungu Ila kwa binadamu wa sasa Mungu ananjia njingi jinsi ya kumfikia
Mwenye sikio na asikie, be blessed man of God for telling the truth. And that will set them free in Jesus name
Yes tumechokaa kura kwa SABABU ya uongo wa shetani na MUNGU ATUSAIDIE KUACHA DHAMBI MAANA MAFUTA NA MAJI NA MATAKATAKA MENGINE YAMETUCHOSHA AAAAA YESU ANAKUJA NA TUANZE UPYA
@@geitandelwa299 humjui Mungu wewe umejaa roho ya udini
Duh hatar kweli mungu atuhurumie jicho lako bovu hafu unataka kumponesha mwingine Mungu atusaidie siku za mwisho ndugu na ndugu watagombana na mataifa kupigana
Yer fantastic god bless you
Kwa Mwamposa ni madhabahu ambayo watenda dhambi wanakimbilia humo wasaidiwe kuacha dhambi. Mfano wachawi,waganga,walozi na washirikina,wavuta bangi, watumiaji madawa ya kulevya,malaya,wanaoonewa na kutumikishwa na ibilisi kwa njia mbalimbali nk wanakimbilia humo wasaidiwe kuacha maovu hayo. Hapo ndipo Yesu Kristo anatukuzwa kwa kiwango kisicho cha kawaida. Kupitia madhabahu hiyo wengi wanaokolewa na kumpokea Yesu Kristo kuwa mwokozi wa maisha yao.
Keep up my brother my name pascal
Mti wenye matunda ndo hupigwa mawe Kaza buti Mwamposa mimi sii kilema tenaaa 💃💃natembea
Daa Brother wangu Nakupenda SANA Mungu Asimame nawe Uzidi kutujenga mana unamchango Mkubwa SANA Katika hii Tanzania na Dunia Nzima
Ubarikiwe sn mtumishi wa hakika umenena vyema sn
Uyu kakosa la kufanya na mpenda sana mwamposa amenitendea mengii Asante yesu kwa kumutuma mwamposa kuja kutuokoa
Mungu azidi kukulinda na mabaya najua wengi wachukia kweli ya Mungu wa thamin uongo Paschal Cassian SEMA kweli na kweli ijulikane Mungu akulinde amen
Mungu wa mbinguni akubariki umenena vyema mwenye sikio na asikie
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Barikiwa mno Mtumishi wa Mungu Na Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi Amen Hallelujah Hallelujah Amen
Jamani,,,hebu tumwache Mungu aitwe Mungu,,,,cassian is a true servant of God,,,Mungu tunakushukuru kwa zawadi ya cassian
Ubarikiwe sana mtumishi na mungu akuinue viwango vya juu katika jina la yesu
Mungu akusamehe ndg sababu inaonekana hata ibada za Mt Mwamposa usikilizi, Mt Mwamposa anafundisha neno la Mungu kwa asilimia mia hata Yesu alitumia mafuta acha kutafuta hasira ya Mungu fanya mwito uliyoitiwa na Mungu na siyo kutafuta kiki kwa Mtume acha kabisaaaaaaa
Songa mbele mungu akulinde usiwaskie watu mtu wa mungu
Mungu akubariki ww ni mtumishi wa kweli wa Mungu Yesu akuzidishe
Mungu aaakubaariki sana Kaka..
Amen barikiwa saana mwinjilist, mungu azidi kukaa ndani mwako, ata yesu mwenyewe wali mkana kwa kusema ukweli, ila yote n kusema alie na masikio na asikie, mimi nazidi kukaa nda ya yesu nikiilinda nafsi yangu isije kwa ngamia,
Acha kumsema kwenye mitandao au ni umaarufu unataka. Busala ni kumfuata au kumsikiliza mafundisho yake.
Sikubaliani nawewe kwa kutumia mitandao
Ameen tunampenda mwamposa Sana wewe fanya ya kwako acha kuangalia ya mwenzako tunampenda mwamposa Sana tumeona mkono wa mungu kwake tutamfuata popote iwe kawe iwe wapi!!!na mungu ampe maisha marefu sana
ukweli mchungu lkn ni dawa.....
Sasa hapo unampenda Mungu au mwamposa
I support you 100% may God bless
Mungu azidi kukulinda mtumishiiiiii.....umeitendea kazi Ezekiel 2.....
Kwa jina la YESU CHRISTO MUNGU Akupe maisha mema maana uriyo yazungumuza niya kiroho tu. Tena mtu ambae hana MUNGU katika moyo wake hawezi kuelewa unabii huu. MUNGU Akubariki sana amen.
Yesu alifanya mate sembuse mafuta akapaka na akaona nimepaka mafuta natembea 🤲🤲namshukuru Yesu wa Mwamposa mim sii kilema Tn💃
Shikamana na Mtumishi wa Mtumishi wa MUNGU Mwamposa Mungu atakutendea mengi sana achana na wajinga wanaomsema vibaya hawamjui Mungu wanazijua Dini zao na viongozi wa dini zao MUNGU hakai katika Dini
Sema namshukuru shetani wa mwamposa sio yesu unamjua Yesu wewe
Shida siyo mafuta shida hakuna miujiza ya kufanana kila mtu muujiza unatokea kwa njia zake
Siku utakapokurudia huo ugonjwa utakuja kumtafta Pascal Cassian
Omba mungu akutoe kwenye kifungo
@@jesseyrweyemamu mwambie maana haelewi amefungwa
Mwamposa NI mganga was kienyej huyo
This is awesome.nayesu atusaidie.hasa kwa wale wanaokimbilia muujiza kulko kumkimbilia Yesu mnazareth
Mungu aangalii mavazi Wala dini Amana mungu ni wawote mungu anatazama moyo wako
Kaka nakupenda sana pamona na nyimbozako zote lakini kakamimi naiona kama umekosea kwa Nini umuhukumu mtu wewe sio mungu mungu ndo anaye paswa kuhukumu mtu
Uko vizuri mtumishi Ubalikiwe
Barikiwa sana umeongea ukweli mchungu walio Rohoni wameelewa hao wanaokupinga na kukudhihaki mharibu ameshawaharibu wamepigwa kwa upofu hawawezi kamwe kukuelewa sisi wengine tumeelewabarikiwa sana mtu wa Mungu
Cassian hongera hakuna uponyaji wa mafuta wa upako yesu amesema ombeni kwa jina la yesu lolote mtapewa amina
Paschal mchane huyo anaye toa miujiza hata neno halijui alafu mashetani wenzie wataka miujiza wanamsapoti, mtumishi Pasua na mungu akulinde na akujengee fensi LA chuma,
Mungu akubariki mtumishi. Watu wanahitaji kulijua neno la Mungu. Maana watu hawalijui neno kabisa.
Amina San mtumishi lazma utubu dhambi ndipo utamwoma huyu Mungu mtakatifu msa akamwambia vua viatu vyako
Mungu akubariki saana saana hayo yote biblia ilishatufundisha lakini wanadamu sijui tunashida gani Mungu wangu nisaidie nipate mwisho mwema
Wanadamu tunaroho dhaifu biblia takatifu inasema siku zamwisho watakuja wengi wanaoponya kwajina langu lakini simanabii binafs niwe muwazi sijawai kuamini juu ya uyo mwamposa
Mungu akubariki mtumishi was mungu
Walipue tu
Bwana Yesu kristo atusaidie Sana tuingie naye katika mji wa Yerusalem barikiwa sana mtumishi Wa Mungu
Nimekupenda bureeeeeeeee mungu akubariki sana nakupeeeeenda
Umeongea Vizur sana Baba Mungu akubaliki kwa ushujaa wako , hakika Biblia inawaitaji Mashujaa kama wewe kwenye kazi hii ya kumtumikia Mungu ...
Mungu akubalik mtumishi ukweli unauma lakini lazima ufike sehem sahihi Mungu akutuze
Amina mtumishi wa Mungu barikiwa Sana kwakijitoa muhanga. Well talked
MPAKWA MAFUTA WA BWANA SIJAONA BAYA LA MWAMPOSA MBONA ANAFUNDISHA KUTUBU NA PIA YESU ALIKUJA KUWAOKOA WALIOPOTEA MFANO WAKINADADA HAO WANACHUKUA MAFUTA YANAWAFUNGU MANABIII WATAISHI KATIKA NYAKATI NGUMU SANA MWAMPOSA MUNGU WA MBINGUNI AKULINDE YESU KRISTO AKUFUNIKE KWA DAMU YAKE 🥰🥰🥰🥰💘💘💘
Kwahiyo mnataka kusem mwamposa kazi yake ni kugawa mafuta na maji tu? Hafuñdishi habari njema źa ufalume wa mbinguni? Fuatilia vizuri mafundisho mafuta ni sehemu tu ya mafundisho yake
mwamposa anafundisha neno la MUNGU naninampenda Sana kupitia mafundisho yake nimepona
@@santosclassic9935 umefungwa wewe shituka Yesu yuko mlangoni utaachwa na Mwamposa wako oooho!
@@santosclassic9935 yani kila aliyetumia mafuta yamemharibu imani yake ya kweli na kufata mafundisho ya kishetani neema ya Mungu aliyehai iwarudishe
niwapi mwamposa alikuwa anafundisha habari za shetani ????
Nakupenda Sana Mungu akubariki sana
Ujumbe mzr sana umenibaliki kwakweli mungu azidi kukuinia.
Bwana Yesu asifiwe mtumishi. Ninavyojua na anavyofanya Mwamposa ni kuwa neno LA Mungu linatangulia na ndipo anagawa mafuta. Hapa inataka kuonekana kama anatumia tu mafuta bila neno LA Mungu. Biblia ni msitu tushirikiane kuijua
Mungu atusaidie sana ila ukweli uko wazi wengi wao huwa injili ya maonyo imetupiliwa mbali mpaka inatupelekea kuvaa tile tunavyo taka bila kusahau kwa mungu hakuna uhuru
Kwan leo hii hata uwae mavazi ya aibu hakuna wa kukambia wala kukukosoa kanisani,
ila nakuombea sana mtumishi mungu akutunze daima umejisekrifire juu ya ukweli ❤❤❤
Ongeza bidii kaka Mungu yupo kukutumia maana siku za mwisho zimekaribia
Iyo iko vizuri kweli ifike maali watu wafundishe.lkn ndugu yangu kweli mwamposa anafanya kazi ya mungu kweli ila tu ambie watu ukweli ili wakupona apone wakimbia akimbie ijulikane mungu wakweli niyupi.
Ubarikiwe sana...Mungu akutumie Kwa viwango vya juu,ni kweli tumechoka na nchili za uongo,jina la Yesu Kristo linashinda majina yote, na miungu yote
Ameni dhambI zimetutesa mno wahubili wa neno la MUNGU lisonge mbele
Mungu kakusamehe nilitaka kuandika kitu ila basi,baba yangu au yetu Mwamposa kazi iendelee sasa hivi ni mtaa kwa mtaa lazima taa ziwake kwa jina la Yesu haturudi nyuma tunasonga mbele🔥🔥🔥
Dah asante sana yani...... Ambae hajawahi kutendewa pale alipokua haoni nini tena cha kufanya hawezi elewa karama Mungu aliyoweka juu ya mtume Mwamposa
Na mafuta yale ni kawaida tu... Cha muhimu ni upako unao ombewa juu ya mafuta yale..... Na imani ya mtu anayoiweka kwa Yesu kupitia mafuta yale
Yale mafuta bila imani na upako ni ya kawaida tu
Hata mtume mwamposa hua anasema hayo
Na mavazi sio kigezo cha kwenda mbiguni
Maana ata biblia ina hadithi ya mama alienda kutoa centi kama sadaka ....akiwa na mavazi chakavu
Na pia kulikua na matajiri wenye dhahabu na mavazi mazuri....... Ila sadaka ya mama yule ilikua na thamani kwasababu aliitoa kwa imani bila kujali mavazi yake
Kuwepo kwa Mungu sio mavazi.... Ni imani yako yako kwa Mungu
Yani wamezoea waganga na wachawi kiasi kwamba hawawezi kuona nguvu za Mungu sijui wanatakaje binadam wengine mtu unashindwa hata kuwaelewa
Neno linasema siku za mwisho watakuja manabi wa uongo watadanganya hata wateule tena watatumia jina la YESU
Jihadhalini na miujiza ya siku hizi tunazoishi
Someni maandiko yawape maarifa
Mbarikiwe sana Neema ya BWANA iwafunike mweze kujua kweli na uongo
Asante sana
Wewe una uhakika gani mchungaji wako kanisani kwako ni nabii wa uongo au wa kweli
Acha judgement iwe kwa Mungu
Hata mwamposa hafanyi miujiza......anaefanya miujiza ni Mungu pekee
Yule ni apostle..... Ni mfundishaji..... Sio mfanya miujiza...... Yeye mwenyewe hukiri kua anafundisha zaidi kuliko kuombea mtu
Jaribu kuattend ibada yake ata moja...... Then utaelewa point iko wapi
Kwani ayo mafuta ynatoka wap
Mungu akulinde mtumishi wamungu
HONGERA SANA MTUMISHI PASCAL NIMEKUELEWA SAAAAANA.HUO NDIO WOKOVU.
Jamaa yangu yuko vizuri sana, wasiomuelewa wakachukue mafuta !!!
Ubarikiwe Mtumishi wa Bwana
Mungu akulinde umeongea vizuri kwa hekima na heshima.
Barikiwa brother
Mbona mwamposa mnamwandama kisa watu wengi kuriko watu waende kwa muganga si bora kwa mwamposa ,hagawi mafuta bila neno la mungu na hicho ndo chakula cha milele acheni wivu
Wameamua kudanganyana hii vita alioianzisha huyu ni ndogo sana kuliko vita alivyowahi kuvipitia Mtumishi Mwamposa
HAWATAMUWEZA.
Na mungu atamsimamia tu
Hakika mungu ameweka kitu ndani yako Asante kwa kutufahamisha wengu hatujui mungu ubarikiwe
Mi nakushauri tu, watu ambao hawajamjua Mungu NI wengi NI wengi, ingekuwa vema iendelee kuhubiri badala ya kuhangaika na hayo unayoyangea. Yaani nadhani umekosa kazi ya kufanya unapoteza mda wako bure. Pigs hema wahubilie wasio mjua Mungu achana na mtumishi wa Mungu watu waendelee kupata uponyaji
Hata ambao wanamhubiri YESU nje ya alivyotaka ahubiriwe wanahesabika kuwa fungu moja na wasiomjua MUNGU au waweza waita Wapagani.
😂😂😂😂 🙏🙏🙏 Umenifurahisha.
Inabidi wale wasiongozwa sala ya toba huu muda wooote angeutumia kuwaita kwenye kanisa lake ndo ningemuona anaakili hapo kapoteza muda tu
Ubarikiwe sana mtumshi wa MUNGU Pascco Kwa kuonyesha ujasri wa hali ya juu, MUNGU Wa mbinguni akutetee.
Kaka ubarikiwe kwa ujumbe wako mzr san
Watu jasiri kama wewe ni wachache uko sawa kabisa MTU wa Mungu
Kweli inauma bado itasimama big up
Mwamposa anafundisha neno kamili. Na anawaongoza watu kumpokea Yesu. Unalauhumu bila kumsikiliza mtu. Mwamposa anapata baraka sana. Wewe unautakatifu
amina mungu akubaliki anafanya biashala
Waambie Wapone. Talk the truth to shame the Devil! Barikiwa Mtumishi
Yesu alipakwa mafuta na kahaba,usihukumu utahukumiwa Yesu alitambulika si kwaneno tu na miujiza,,usimuhukumu mtumishi ambaye hujui aliyendani yake yawezekana kwaakili ya kibinadamu ukadhani unamsahihisha yeye kumbe unamsahihisha Yesu aliyendani yake,Roho Mtakatifu aliyemsaidizi wake, Mungu anayeiruhusu pumzi yake kwake ili kila cku asimame madhabahuni akifanya kazi aliyotumwa “”tuwe na kiasi hakuna aliyemkamilifu chini ya jua tusifanye kuyafurahisha mataifa tukasahau kwamba hakimu wa haki ni Mungu Yesu alitambulika kwa miujiza,, hata yule mama aliyetokwa damu, hata kipofu na aliyepagawa pepo hakuwaita na kuanza kuwahubiria neno lkn aliwaponya neno walilipata kutoka alipowahubiria watu wote cku zote hata mwamposa anaanza kwa kufundisha neno kuongoza sala yatoba kisha maombi yanayoambatana na mafuta
Inaonekan wew unaendag kwa mwaposa huo ni ukwel usio pingka hat kwa akil ya kawaid bil hat kuhum unayatambua hay kabsa now weng ni mbwa mwitu walojitwk ngoz ya kondooo ndgu Ang usindanywe na shuhuuda na miujuza smam na neno
Namuonea huruma uyo kaka kwasababu hajui maandiko wala uwezo wa Mungu ndo maana kasema yote hayo,watu tumechoka injili za kawaida,watu wanataka kumuona kumuona Mungu Anatenda kazi katikati yako.
@@jacobkisanji2964 nkuulze k2 kwann maft yanauzwa na wat wanakanyagishwa , lakin neem ni buree kabsa juuu yet na yesu kashalip pale msalabani katk Moy wak hujwaz tu why hakik Mach tunay na hatuon na masikio tunayo hatuskii
Safi sana mtumishi nimeipenda MUNGU akulinde.
Kwanza Mimi mwenye ni wasi wasi na wewe acha kumuhubiri mtu mhubiri kristo Tena nilikuwa nakupenda Sana kwa hilii na nyimbo zako zote natoa kwenye flash yangu na kwenye sim yangu nikushauri tu fanya yako achana na watumishi wa Mungu ujawaita wewe acha Alie waita ataamua mwenyewe acha kumsaidia Mungu kazii ujashauri chochote ila umeongea utumbo tu Mimi sisali kwa mwamposa lakin nikiona mtu yeyote anaongelea vibaya watumishi bas uwa namchukia mtu uyo Sanaa kama unalijua neno kila ufunuo unaokuja kwako una upima kwa neno waambie watu wajue neno wajue kupima mafunuo
nachojua watu hawa taki kuambiwa ukweli bali wanataka kudanganywa tu mtumishi uko sawa kabisaaaaa na mungu akutumie zaidi na zaidi soma vizuri timotheo2 4:1 ~5 nafuatilia nyimbo zako na ninakuelewa sana Sana Sana mtumishi hizi ninyakati za mwisho najua hupingani na mafuta ila unanena juu ya wokovu kamili Paschal Cassian nakupenda Sana kwaajili ya ukweli unao sema barikiwa ( leo nitakuita jina hili nabii MIKAYA wa AGANO jipya)
Yes very Good
Kila mtumishi wa Mungu katumwa kwa ajili ya kazi fulani wapo wanaofungua watu, wapo wanao fariji, wapo wazuri kwa kuhubir kwa pamoja wanajenga mwili wa kristo tatizo la watu tunataka watumishi wafanye kazi moja wote. Wote wakihubir tu nani atafungua waliofungwa na shetani?
Amen injili ya kweli imejengwa ktka Mambo muhimu haya
1 toba au msamaha.
2 utakatigu
3 kurudi kwa YESU au unyakuo
Ukiona injili unayohubili inaegemea sana nje ya hapo rudi upesi magotini unyenyekee maana utakuwa nje ya injili ya kweli
Huo ni ukweli 2pendane
Yes na sio mafuta ya upako ,hata kwenye biblia hayajaandikwa
Haswaaaaaa
Nakusaidia tu wewe ulisema mafuta hayaja andikwa yakobo 5-14
mtu wakwenu amekuwa hawezi awaite wazee wakanisa nao wamuombee nakumpaka mafuta kwajina la BWANA
nilichogundua wengi tunafuata mkumbo lakin hatusomi biblia
Alicho sema MUINJILISTI pascal nikwel lakn pia mafuta sishida shida ni watu watubu dhambii
Barikiwa Sana mtumish wa Mungu Mungu akulinde
Ubarikiwe kazi yako ni njema
Mungu akutunze Hakika wewe ni shujaa Katka Kristo Ubarikiwe
Nakuombea kwa Mungu mtumishi Akulinde
Asanteeeee sanaaaaa!!!ulindwe na mbingu nzima,,,na dunia yooote tunakuzingira kwa ulinzi wa Yesuuuu,,
Ushauri huu ni mzuri sana sana sana na Mungu akubariki wewe uliyeutoa.
Mimi nimekuelewa sana, shida ni kwa hao watumwa na mateka wa Mwamposa.
Yaani wanamwona Mwamposa ni mkuu kuliko Kristo.
We ndio unayao mafuta but tunaoabudu hapo tunajua ni jinsi gani tunafundishwa neno la Mungu na kulisimamia, kupata afya,na ila kilicholiwa na madumadu na palale kinarudishwa, kupitia Imani iliotokana na neno la Mungu lililojengeka mioyoni mwetu, ndipo tunatumia mafuta ya upako kwa Imani iliyopatikana ktk neno, maana ht Yesu alisema km hamniamini mimi basi ziaminini kazi zake. Ushauri wangu kwako SIMAMIA KILE UNACHOAMINI NA FANYA KAZI ILE ULIOITIWA, FUNDISHA NENO LA MUNGU, NA SIO MWAMPOSA, NAIMANI WW NI MTMISHI WA MUNGU SIMAMIA WITO WAKO ULIOITIWA.
Man of God Mungu aku bariki sana kwa ku simamia ukweli 🙋🙋
Mungu akubariki sana mtumishi wa Bwana. Kweli kila mara inauma,ila nashukuru maana ujumbe wako ulishafika kunabaki achague uzima wa milele au jehanam.
Mungu akubariki mtumishi
Umenena kweli Mtumishi,,,huo ushauri mzuri Sana
Ameen hongera mtumishi wa MUNGU
Ubarikiwe sana kwa ujumbe mzurii
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
Mungu akubariki Sasa na hata Milele
Umekosea kwa sababu pia mwamposa Ni mwalimu juu ya uovu na analijua neno vilivyoooo.....!
Mungu hakukuweka ili kukosoa watumishi wengine kila mtu ameitwa kwa namna yake na kila aliyeitwa amepewa utalatibu wa namna ya kutumika na kama atakosea Mungu atamlekebisha mwenyewe huna mamlaka ya kuhukumu shwaini we
Amen amen mi nakuelewa sana unaongea ukwel kabsa iv hua yanatengenezwa wap ayo mafuta
je umetumwa na Mungu au ni mihemko ya kibinadam, waache watu wapone bwanaa, swala la kwenda mbinguni ni lingine na kupona ni lingine, Mungu ndie anaejua, usihukumu usije kuhukumiwa, kila kazi itapimwa na aliegawa kaz mwenyewe ambae ni Mungu
Nmekupenda bure nakuombea Sana Sana
Hata yesu alipigwa na kutemewa mate
Huyu jamam anaogopa kusema moja kwa moja kama alimuona mwamposa kule kuzimu ula sisi wanye akiri tumesha jua
Barikiwa sana baba
Sijawah kuona mwamposa akiita wenye dhambi 'WANAOTAKA KUOKOKA AU KUMPA YESU MAISHA YAO' lengo la miujiz ni kudhihirisha uwez wa Mungu, uponyaj unadhihirish huruma ya Mungu na Wokov au kusamehewa dhamb ni kudhihirish upendo na rehema za Mungu.
Uko sahihi hata mm sijawahi sikia akiongoza watu Sala ya Toba..Bali ni miujiza ya paka mijusi na nyoka..Mungu atusaidie tufunguliwe macho ya rohoni
Duh hiv kweli mnafatilia huduma ya mwamposa mpaka mwisho wa ibada au mnaongea tu kwasababu ya chuki zenu mmethibitisha mnschoongea mwamposa ajawai kumaliza ibada bila kuwaongoza watu sala ya toba kumpokea yesu sema Mara nyingi anafanya mwisho wa ibada embu acheni chuki zisizo na maana Kama mtumishi wa mungu umkubali unasehemu yako unapaelewa vizuri kukaa kimya tu mwamposa Kila siku anaongea kuhusu mtu kuwa safi moyoni na hii kauli anaitumia Sana usiweke vitu moyoni muweke yesu moyoni vitu vitakutumikia.
Uongo sio mzuri,kama hujui ni bora ukae kimya.Na ninyi mnasthili kutubu hiyo dhambi ya uongo kamfuatilieni vizuri ili mjijue kwamba ninyi ni waongo.
@@johnrusibamayila6068 we nitumie kama una clips au video yoyote inayomwonyesha Mwamposa anawatubisha watu/ au sala ya toba wenye dhambi.
Amefanya Mara nyingi Sana na ninafikiri huwa anafanya kila ibaada yake,shida huu utaratibu wakuitwa mbele ndo huwa haufanyi kuepuka misongamano ya watu Kahiyo huwa anatoa maelekezo watu wakiwa hukohuko kwenye siti zao,
Ubarikiwe sana huo ndio upendo.kuwaambia watu kweli ya Mungu.