Napenda Kazi Yenu sana hadi ikanipa motisha ya kufanya nami kwa channel Yangu. Mungu abariki Kazi hii na iwapo anaye soma hii anaweza pia nipa support nitashukuru
Nawashukuru sana kwa nyimbo nzuri zilizonibariki. Nipo Marekani lakini nilipozisikiliza nilijiona nipo nyumbani kabisa. Mungu awabariki sana. Kwa kweli Tenzi za Rohoni ina nyimbo nzuri zenye utukufu wa Mungu. Asante Dino
Thanks dinu umefanya nimeskia roho yangu imetulia kapsaa kwa nyimbo hizi nakunipea hopes na maisha zaidi ya yote kunirudisha karibu na uwepo wa mungu nikikumbukw uzuri alizonitendea bila yeye maisha yangu ingefika mahali iko sai,nawaskiza nikiwa saudi
Wonderful gospel hymns. Glory to God for the uploads. From Uganda but truly enjoying every aspect of the hymns and been able to follow up and even learning Swahili at the same time.
BWANA YESU KRISTO ASIFIWEEEE.
Ameen
Barikiwa sana
Amina
Amen broo barikiwa sana
Ameen 🙏
AMEN
yesu kwetu n rafiki kila wakati
Ameeeen
@@DinuZeno mung awabarik kaz yenu njema
@@pakrifadaud8338 Amen asante sana
@@DinuZeno pic 1oolppoooopppy
Nyimbo hizi hakika zimenijenga Sana kiroho. Jina la Bwana libarikiwe-Amen
Amen asante sana. Waweza watumia wengine link ya wimbo huu pia
Amen
Nyimbo za.tenzi zina niinua nakunitia nguvu za yesu kristo amen ,mungu na akuinue sana
Amen
Amina Sana, akika nimepata nguvu ya imani kusikiliza nyimbo hizi, nimetoa chozi. Asnte Sana ubarikiwe
Hakika ni Nyimbo mzuri mno.
Mary Gimy mungu ni mwem
Ongeza zengine nyingi
Ubarikiwe
Asante sana mkuu
Kwa kweli nabarikiwa sana kwa nyimbo zako,mungu akubariki sana
Amen
Mungu wetu ni mwema nduguzangu
Binafsi ninamshukuru Mungu kwaajili yako.
Mungu awatie nguvu watumishi wake ambao anawatumia kusema nasi kwa njia ya nyimbo,asikiaye na afahamu.
Hakika napata raha kwa Yesu. Mungu nakupenda sana maana umenijua wakati wa shida hata wakati wa raha. Mbarikiwe sana.
Amen
Hakika tunamfurahia Bwana kupitia nyimbo hizi.
tena msichoke katika kutenda mema, maana, mtavuna kwa wakati wake msipozimia roho
Amen asante sana kwa kututia moyo
Naona uwepo Wa bwana ukishuka kupita tenzi za rohoni barikiwa mtumwa wa kristo
Ameen.Asanteni sana kwa kunitia moyo enyi watu wa Mungu.
@@DinuZeno ameni
Napenda sana huu wimbo unanbariki sana.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu awabariki sana, kweli ninaposikiliza napata nguvu mpya ya kupiga hatua natamani nije kuimba nanyi kwa kweli.
Mungu awabariki sana, nyimbo mzuri,
Nyimbo nzuli saaaana. Naomba ututumie instrumental za hizo nyimbo. Asante sana
Mungu ni mwema wakati wotee
Hakika yesu ni lafiki kwetu wa karibu barikiwa sana na mungu azindi kukupa ufunuo kupitia yimbo zake
Amen
It's a blessing to many souls, asante.
Kenyan living in Canada i love GOD THIS IS THE BLESSING WORSHIP
Amen
Napenda Kazi Yenu sana hadi ikanipa motisha ya kufanya nami kwa channel Yangu. Mungu abariki Kazi hii na iwapo anaye soma hii anaweza pia nipa support nitashukuru
Kazi nzuri sana. nimeipenda. subscribed to your channel
Kazi safi. salama rohoni nimeipenda na Nika suscribe
Good one. naipenda Hiyo wimbo ya zaidi zaidi. subscribed as well
Kazi nxr sana! Mbarikiwe sana Na MUNGU.
Hallelujah
Aminaaaah....kazi nzuryiiii
Am very very blessed thnx to the makers of this song's may God continue guiding u always 💞💕
Amen you are welcome
God bless you,,,, tenzi hutuliza roho kweli,,
Neno la Mungu lizidi kuwa ndani yako mtumishi. Nimebikiwa sana for your beautiful songs
Nyimbo zinanibariki sana
Bwana ni mwema
Amina🙏
Ni vizuri kabisa twenderee kamaivi MUNGU awabariki wore waimbaji
MUNGU awabaliki sana kwamfumo hu MUNGU awape Balaka zote na ayibaliki kazi yamikono yenu
MY FAVORITE SONG EVER.(KIJITO CHA UTAKAZO)
Kazi nzuri, nimebarikiwa na hizo nyimbo. Zidi kuimba nyingi
Nawashukuru sana kwa nyimbo nzuri zilizonibariki. Nipo Marekani lakini nilipozisikiliza nilijiona nipo nyumbani kabisa. Mungu awabariki sana. Kwa kweli Tenzi za Rohoni ina nyimbo nzuri zenye utukufu wa Mungu. Asante Dino
Amen hakika tunabarikiwa katika nyimbo hizi
Amen
Bwana awabariki kwa kazi njema
good idea, nimeifurahia sana, nimeimba, be blessed
barikiwa sana
Amen
Thanks dinu umefanya nimeskia roho yangu imetulia kapsaa kwa nyimbo hizi nakunipea hopes na maisha zaidi ya yote kunirudisha karibu na uwepo wa mungu nikikumbukw uzuri alizonitendea bila yeye maisha yangu ingefika mahali iko sai,nawaskiza nikiwa saudi
Tunamshukuru Mungu Baba wetu wa Mbinguni🙏🙏
Nimebarikiwa kabisa
Bwana Yesu asifiwe nimeupenda mfumo huu.
Asante sana kwa nyimbo za tenzi
Nyimbo za kubariki kweli kweli
Mungu awabark sana mnatubark na nyimbo hozi nzuri
Ubarikiwe sana ndugu na mungu azidi kukutumia ,natamani unge imba tenzi zote 🙏
God bless you Avery nice song
Nimebarikiwa na hizi nyimbo Mungu azidi kuwatumia
Hongera kwa nyimbo nzuri za tenzi Mungu akubariki
Amen
UbArikiwe Sana MUNGU akuinue zaidi mtumishi
Wonderful gospel hymns. Glory to God for the uploads.
From Uganda but truly enjoying every aspect of the hymns and been able to follow up and even learning Swahili at the same time.
Thank you and God be with you
Asante sana mtumishi wa Mungu nimebarikiwa mno na hizi nyimbo
Aki enyewe barikiwa Sana. Thanks for these sweet melodies healing my soul at the moment.
God be with you forever and ever
@@DinuZeno Amen. You too.
Asante Sana kwa wimbo mzuri nakuombea mungu azidi kukupandisha viwango vya juu zaidi
Yesu nilafiki wetu amina ubalikiwe mtumishi🙏🙏🙏🙏🙏
Vizur san
Be blessed for well singing
Thanks for this wonderful song
Amen
Vizur sana
Amina nimebarikiwa sana
Mfumo huu ni nzuri sana kwakweli mana tunajifunza kwa uzaidi Barikiwa sana Mtumishi
Wonderful worship.
Bwana u sehemu yangu haleluya
Nabarikiwa ameni
MUNGU wangu awabariki kwakazi njema Munaendelea kutangaza injili bwana tunabarikiwa sana acha Mungu akuguse na akutelembeye Amen
kazi nzuri tunabarikiwa
asante
Asante sana
barikiw nimepend
Congratulations, keeping going ni zuri kabisa
Am listening here in Madrid spain now. Yaani hivi ssa. Be blessed.
Mimeipenda staili hii, mungu azidi kuwainua
Barikiwa mtu wa Mungu we pray 4 you
Good job..be blessed
Amen
Ohoo! GOD I feel like I'm flying 🙏🙏
GOD always be there for you❤
Ubarikiwe sana no yako plz
+255625954315
Amen
Barikiwa!°Naimbaaaa kwa furaha
Amina baraka kweli kuwa na Yesu wangu
Mungu akubarik sana
Mungu awabariki tunafarijikasana sana nyimbo nzuri👏
Mungu akubariki sana kazi nzuri sana naomba mawasiliano kama itawezekana
Amen +255625954315
@@DinuZeno asante sana
God bless you all,,i real like and love this songs
Nimeipenda sana,naomba utoe zingine jamani nziri sana hii jamani,nangoja nyingine kama hii hii,mungu akubariki
napenda sana mfumo huu Mungu awabariki sana
That's great I like it so much brother may God bless you
Nabarikiwa sanaaa! Glory to God
Amina tupo pamoja 3/1/2020
Woow mzuri sana huwa unanibariki
Mbarikiwe sana Kwa jina la Yesy Kristo wa Nazareti
Haleluya Yesu rafiki mwema
amina
Nabarikiwa sana
Amen
nice collection be blessed
Mungu awabariki sana watumishi wa mungu kwa kazi nzuri
Ameeen nabarikiwa mungu akubariki
Great one
To God be the Glory
Soul relaxation
Bwana usehemu yangu rafiki yangu wewe..ktk safar yngu nitambea na wewe
Mungu azidi kuwabariki na kuaongoza katika safari yenyu ya muziki
Yes indeed we shall meet on the beautiful shore!
Real
Am blessed
May god bless you im blessed
M'barikiwe watumishi wa Mungu
ni nzuri sana
Amen
Barikiwa sana nimebarikiwa mnoooo
Amina kubwa hakika my so happy becuase is my loverly song blessed
SO NICE
AMEN BE BLESSED MY BROTHER!