Hatimaye Padre atoa SIRI NZITO kuhusu EKARISTI TAKATIFU / Pd. John Kulwa / Jimbo kuu Tabora / 2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 чер 2024

КОМЕНТАРІ • 64

  • @JastineJoseph-kk9rd
    @JastineJoseph-kk9rd Місяць тому +4

    Asante sana Father, baadhi ya mambo niliyojifunza.
    1. Ekaristi Takatifu ni Yesu mwenyewe. Mungu Kweli na mtu kweli.
    2. Ni nafsi ya Mungu mwenyewe anaumia, anatamani kupendwa kama tunavyopendwa na ndugu zetu
    3. Kisiwepo kitu chochote ambacho kitatutenga na uwepo Mungu, iwe ni mateso, mauti, wakuu n.k
    4. Kutenda dhambi ni kumzuia Yesu kuingia ndani ya mioyo yetu.
    5. Thamani ya Ekaristi Takatifu ni kubwa kuliko chakula chochote.
    6. Ekaristi ni chakula ambacho kinatupeleka mbinguni, katika kuwalea watoto lazima tuwalee katika kukua kwenye imani, sio kuwahangaikia tu kupeleka shule, kuwapa chakula lakini hawana Neno la Mungu.
    7. Ekaristi Takatifu sio kitu cha hiari kama ni kitu cha hiari kwako basi kuna dhambi imechukua nafasi.
    8. Tusifiche uovu lazima tuukemee kwa nguvu zote.
    9. Yesu hakuja duniani ili wadhambi tuendelee kutenda dhambi bali tuache na kuichukia dhambi.

  • @GraceElisha-v6l
    @GraceElisha-v6l 11 днів тому

    Barikiwa zaidi na Mungu,uendelee kutufungua mtumishi wa Mungu!!!

  • @agripinaitote-xl1lz
    @agripinaitote-xl1lz Місяць тому +6

    Kristo! Asante sana fr ni wazi wakatoliki wengi hatujakaa ktk nafasi zet kama mkristo .tumekalia lulu lakini ni wachache wanaolitambua.Kwa Huruma yake Mungu atufunulie macho ya ndani kama wale wafuasi wa Emau.MUNGU AKUBARIKI

  • @rosekalindo
    @rosekalindo 13 днів тому

    Asante sana Baba,Mungu aendelee kukuweke ili uliponye kanisa 🙏

  • @user-dx3he2ch5o
    @user-dx3he2ch5o 24 дні тому +1

    Asante padre kwa maubiri matamu tumebarikiwa sana.najivunia sana I wapo nayaona kwenye mitandao m’a Padri wetu Kutoa Injili .kanisa katoliki tujipongeze na Mungu atusaidie sana.Tumsifu Yesu kristu wa Ekaristi Takatifu.

  • @RenatusBarabara
    @RenatusBarabara Місяць тому +1

    Asante sana Fr. Injiri ya moto inayochoma kama upanga. Mungu akutunze sana.

  • @MarysianaPeter
    @MarysianaPeter Місяць тому +1

    Asante mungu kwa ajiri ya mtumishi wako huyu mungu na uzidi kumtumia kwa ajili ya roho zetu zipate uponyaji

  • @stellambunda161
    @stellambunda161 Місяць тому +1

    Mungu akubariki fr ,nabarikiwa na najengwa sana na mafundisho yako juu ya Ekaristi Takatifu. Mungu atuwezeshe na viongozi tuyatende ufundishayo.

  • @theresinasmuhinda1606
    @theresinasmuhinda1606 28 днів тому

    Barikiwa sana Fr. Kulwa hakika wewe ni Biblia inayoishi. Hilo andiko ....karipia, onya himiza... nmeliona kwako Baba. Nimekupenda bure.

  • @user-sm3vf8sl7p
    @user-sm3vf8sl7p Місяць тому +1

    Asante fr kwamafundisho mazuri tuieshimu ekarist ❤

  • @blandinakimbe8910
    @blandinakimbe8910 Місяць тому +1

    Baba barikiwa saana ,,Mungu tusamehe,

  • @imeldakapinga1869
    @imeldakapinga1869 Місяць тому +1

    Asante Baba kwa mafundisho, ni mazito hadi nafsi inasisimuka na mifupa inatetemeka, kuna mahali kabisa waumini tunakengeuka, tunakosa hofuu ya Mungu ndani mwetu kwasababu ya kiburii tuu.
    Eee Mungu tusaidie🤲 utuhurumie sisi na dunia nzima.

  • @leocardkipengele5029
    @leocardkipengele5029 Місяць тому

    Asante sana Fr. kwa ujumbe huu, Mungu atusaidie kuishi mashauri haya ya injili

  • @dianaelvas43
    @dianaelvas43 Місяць тому +1

    Asante baba kwa mafundisho mazuri

  • @DamianJustine-hs6dk
    @DamianJustine-hs6dk Місяць тому +1

    Asante sana pdr.John Kulwa kwa mafundisho yako Mazuri.

  • @stellanamukunda3515
    @stellanamukunda3515 Місяць тому

    Asante sana kwa mafundisho haya. Tuiabudu na kuiheshimu ekaristi takatifu. Amina

  • @nchimbilusda7259
    @nchimbilusda7259 Місяць тому

    OMG,,, sikujua Hilo , Asante sana Father, kwa elimu hiyo wengi haijawafikia, hawaelewi kabisa Nami pia sikuelewa, Sasa umenifungua, 🙏🙏🙏

  • @dadagertrudeamandusmichael3635
    @dadagertrudeamandusmichael3635 Місяць тому

    Asante sana Baba umenibariki kwa fundisho hili juu ya Ekeristi Takatifu. Utuombee sisi wakosefu.

  • @nikoletaugi3247
    @nikoletaugi3247 Місяць тому +1

    Asante sana
    Baba kweli tuponyuma

  • @patrickmsekwa4947
    @patrickmsekwa4947 Місяць тому +1

    Safi sana Mzee kulwa kwa fundisho kubwa na zuri

  • @vairethmhoza
    @vairethmhoza 27 днів тому

    Akhsante sana baba Mungu wetu alie juu na mwenye kuogofya Akutunze Hakika

  • @donathamarenge8734
    @donathamarenge8734 28 днів тому

    Kweli Baba Padre zinaa inaonekana kama ustaarabu fulani siku hizi kumbe ni upuuzi mtupu na kujilisha upepo! Mungu akupe maisha marefu father.

  • @evaristcosta4315
    @evaristcosta4315 Місяць тому

    Baba nashukuru kwa mafundisho mazuri kuhusu Ekaristi takatifu Mungu akubariki sana

  • @gracemkosa1894
    @gracemkosa1894 Місяць тому +1

    Baba asante sana.

  • @user-fo4dt3lh3d
    @user-fo4dt3lh3d Місяць тому +1

    Asante sana baba

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 Місяць тому

    Ee Bwana sistahili, sistahili ee Bwana uje moyoni mwangu. Lakini sema neno tu na roho yangu itapona. Asante Baba kwa neno lenye uzima.

  • @gracebuhatwa6359
    @gracebuhatwa6359 Місяць тому

    Asante Sana father kulwa sikujua niliona mazoezi tu.

  • @Poplicious1
    @Poplicious1 Місяць тому

    Asante Sana Father Kwa Mafundisho Ya Ekaristi Takatifu 🙏

  • @user-hy9hh1zg4y
    @user-hy9hh1zg4y 29 днів тому

    Asante baba! Mwenye sikio na asikie🙏🙏

  • @user-oz7un5lm2u
    @user-oz7un5lm2u Місяць тому +1

    Ukweri ni huo juu ya ekarist mungu akupe neema ya kueneza neno lake.

  • @TheresiaKapandila
    @TheresiaKapandila 26 днів тому

    Asante Fr kutulisha kiroho

  • @user-ec7tq1rt2q
    @user-ec7tq1rt2q Місяць тому +1

    Asante baba

  • @RoseJoachim-mz1kn
    @RoseJoachim-mz1kn Місяць тому +1

    Amina yesu atupe hekima ya kumjua zaidi kuliko chochote

  • @lamecklaurentius8936
    @lamecklaurentius8936 24 дні тому

    Naam. Call spade a spade. Nimebarikiwa sana na mahubiri haya.

  • @MariaSalus
    @MariaSalus Місяць тому

    Asante baba paroko,tunaomba rehema ya Mungu,kwa kuiudhi nafsi hii

  • @leonaldpaul4506
    @leonaldpaul4506 Місяць тому

    ❤️❤ mafundisho mazuri sana ya ekaristi takatifu

  • @violethbosha1666
    @violethbosha1666 Місяць тому

    Baba mungu akupe maisha

  • @godykibiki8852
    @godykibiki8852 Місяць тому

    Asante sana kuna kitu kimeingia kichwani mwangu

  • @edenusmrosso9225
    @edenusmrosso9225 Місяць тому +2

    Ekaristi Takatifu ni Yesu, na Yesu ni Mungu na kama ndo hivyo Mungu lazima apigiwe magoti na kwa Mila zetu tu mkono wa kushoto ni ishara ya utovu wa nidhamu unapoutumia

    • @user-dn9np8sp8g
      @user-dn9np8sp8g Місяць тому

      Wewe yesu co mungu, ni mwana wa mungu acha uongo

  • @saramassoy1593
    @saramassoy1593 Місяць тому +1

    Mapadri wangekuwa wanatulisha neno kama huyu tungekuwa na hofu ya Mungu, tungebadilika,

  • @Shemahonge-ku7xx
    @Shemahonge-ku7xx Місяць тому

    😭dah nimekuerewa sana ubarikiwe Kuna vitu nilikuwa nafanya bira kuerewa haya yote nikuchukurie biblia kamakitu chakawaida ubarikiwe sana maombi yetu yanaachakujibiwa kwakutokuerewa

  • @user-je1sm4fc2g
    @user-je1sm4fc2g 28 днів тому

    Asante kwa neno zuli ungeshuka mpaka vijijini watu wajue utisho wa MUNGU Asante sana.pd

  • @enatanonga3048
    @enatanonga3048 Місяць тому +1

    Asante sana pdr Kulwa kwa mafundisho mazuri

  • @RoseKimishabhalemi-oz9bn
    @RoseKimishabhalemi-oz9bn 19 днів тому

    Ukweli padri un alitukana sana lishetani lakini jua sasa liko linakuwinda usiku na mchana maana hayo uyasemayo umelipiga mkuki kifuani gandamiza hivyohivyo tuko pamoja baba.

  • @beatricenangale5439
    @beatricenangale5439 Місяць тому

    Huyu Fr. Analifafanua neno kiukwelikweli lilivyo, na kuwajenga wakristu kweli, jamani tujitahidi kumjua sana huyu Yesu Kristu. Maana huwa tunamuumiza sana

  • @erasminamaina8333
    @erasminamaina8333 Місяць тому

    Kweli baba ekaristi ni muhimu sana

  • @viddamgeneka8881
    @viddamgeneka8881 Місяць тому

    Amen!

  • @RoseMallya-dd6uu
    @RoseMallya-dd6uu Місяць тому

    Ni kweli kabisa,.

  • @frankmazinge3199
    @frankmazinge3199 Місяць тому

    Asante SANA Baba Padre Kwa Mafundisho Ya Hali Ya Juu Kuhusu EKARISTI TAKATIFU.

    • @MeshackMinyota
      @MeshackMinyota 27 днів тому

      Tatizo ni sakaramenti ya kitubio na kipako cha mafuta wanajua kesho Kuna maungamo Kwa padree

  • @ibrahimmwananjela5216
    @ibrahimmwananjela5216 Місяць тому +1

    Kama mafundosho yangekua yanatolewa hivyo kuanzia ngazi ya jumuiya wakatiriki tungekua nanidhamu katika kanisa

  • @alexmastila6604
    @alexmastila6604 Місяць тому

    Farther kulwa nayakunali saana mafundisho yake

  • @user-vf7yj1jz7m
    @user-vf7yj1jz7m Місяць тому

    ❤❤❤❤❤❤

  • @ernestmatundiri2341
    @ernestmatundiri2341 Місяць тому

    Homilia ya hali ya juu kabisa kwani ekaristi takatifu ni ukombozi wetu

  • @SusanMugassa
    @SusanMugassa Місяць тому

    Paroko wa kanisa gani hili? Asante sana kwa mafundisho mazuri yametugusa sana kutukosoa yale tunayoyaishi pasipo kuiheshimu Na kuijua Ekaristi takatifu!

    • @user-rt8df5ce4s
      @user-rt8df5ce4s Місяць тому

      Ni mlezi na mwalim wa seminari ya Segerea.

    • @josephlango5591
      @josephlango5591 Місяць тому

      ​@@user-rt8df5ce4sPadre Kulwa alirudi Jimboni kwake Tabora.
      Tumeyamisi mafundisho yake

  • @violethbosha1666
    @violethbosha1666 Місяць тому

    Kwani mkono wa kushoto siyo mkono? Basi ulimi tusiutumie

  • @RoseKimishabhalemi-oz9bn
    @RoseKimishabhalemi-oz9bn 19 днів тому

    Huyu padri wa wapi amejaa roho wa Mungu namna hiii!!

    • @josephlango5591
      @josephlango5591 17 днів тому

      Alikuwa Mwalimu Seminari ya Segerea lakini kwa sasa yuko Jimbo la Tabora