Ata kama mke amezaa watoto bado soko yake haya isha. Kama akipenda ku enda inje hatakosa mtu wake enda naye. Ni zamiri na woga wa Mungu tuu njoo inawa Chunga mu njiya halali. Kuna watu inje wanatamania wake zenu pia alakini anajiheshimia njoo anakatala.
Halleluya mafuzo mazuri sana ubarikiwe past
Mungu atusaidie ufikenakwreti Malawi ,LUTENGANO CCAP napa KARONGA AMEN
mgogo apewe mauwa yake jameni
Uko sawa baba
Amen 🙏 barikiwa wanaume wote wangejiunga katika hayo mahubiri nchi ingepona
Mungu aku ongezeye kipiwa baba. Mauwa yako Pastor.🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sahuti haikukuwa nzuri maneno mengi sikuya sikiya
Amen 🙏
🙌🙌🙌
Amina baba mpaka marawi tunakusia
Ata kama mke amezaa watoto bado soko yake haya isha. Kama akipenda ku enda inje hatakosa mtu wake enda naye.
Ni zamiri na woga wa Mungu tuu njoo inawa Chunga mu njiya halali.
Kuna watu inje wanatamania wake zenu pia alakini anajiheshimia njoo anakatala.
Umechoma pastar wanaume Mikono juuu
Amen mafundisho mzuri sana
Kwaukweli video hii nimeipenda sana inachekesha ❤❤❤❤😅
iko sawa pia nami nimeipenda ❤😂😂😂😂😂
True Amen 🙏💖
Ukweli paster Daniel
sauti inakatika sana pastor
Mungu niondolee tamaa
Kwel unasema kabsa
Uko sawa pastor
Ujumbe huu ni maana sana lakini unakatika sana jee Kuna vile unaweza kurudiwa?
Amen
Kweli
Pastor mi Kuna ktu chacheza kwa tumbo na nkienda hospital nambiwa CNA mimba na nkienda kwa waombez nambiwa n mimba naomba uniombee ionekane hospital
Video iyi sauti iko on and off
😂😂, ubarikiwe Baba mchungaji.
Wengi wamesababisha wanawake kutoka nje ya ndoa
Watu wa Media angalieni Connection sauti inakuwa Off and On we can’t enjoy the Video
Sema baba watu wapone
❤❤❤❤
Sema baba kanisa lipone
Mchungazi ayo maneno ulijifunzia wapi point tu
Somo la maana ila scratches kibao
Yani ma pasta wa kisasa ni hatari
Watu wa sasa wanatakiwa kuambiwa ukweli bila kupepesa macho haki
Hahahahaha muzee anatuchekesha. Sasa wamasikini wote watafute pessa namna hayo
Maubiri nimazuri lakini yanakatikati
🤣🤣🤣🤣🤣🙏
😂😂😂😂😂
😂😂
Uko sawa baba
Sema baba kanisa lipone
😂😂