Safi sana Fr. Joseph Mshana....Padri kijana kabisa.... hapa una mwezi kama sio wiki tatu. Wimbo ni mtamu kwa melody lakini pia umesheheni ujumbe mzito na unyenyekevu. Nimeupenda sana...ntaomba audio yake nikae nayo kwenye simu yangu kila wakati niuhitajipo niusikilize. Mungu Mwenyezi akusimamie
MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA ARIDHI NA VITU VYOTE VINAVYOONEKANA NA VISIVYOONEKANA WALINDE NA AWAJALIE NEEMA ,HEKIMA NA UPENDO KATIKA UKAMILIFU WA KAZI ZENU
Hongera baba Mungu akuinde na kukupa hitaji la moto wako tunakuombea utuombee nasisi iituweze kujua Yale yampendezayo Mungu
Amina 🙏
Hongera sana - Hakika wimbo huu nimeupenda sana
Asante sana 🙏
Mungu azidi kukubariki ktk utume wako
Amina 🙏
Hongera sana Padre wimbo mzuri sana unagusa moyo kiwawa mwenzetu
Glory to God
Amen 🙏
Nice song,congrats Fr
Thanks very much
Good song
Thanks very much
1:21 wana wa Buhongwa tumekukumbuka Sana Baba... Tunakutakia utumee mwema... Pia wimbo mzuri sanaa na ujumbee wake mzurii
Ninashukuru sana, nimewakumbuka pia
Well done vizur sana ,,,,
Asante sana
Kazi nzuri sana, hongera Fr Joseph Mshana👏 Mungu akujalie hekima na kutenda kazi yake vyema🙏
Asante sana
Hongera sana baba kwa Utume 🎉🎉🎉
Asante sana 🙏
Hongera sana fr Mshana!Mungu awe nawe ktk utume wako
Asante sana 🙏
Hongera sana father mungu azidi kukuongoza kwenye utume wako
Amina 🙏
Tunajivunia Wateresina Tunda hili la Kristo, hongera sana Fr.
Asante sana
Hongera sana Fr. Mshana.
Ninashukuru sana
Hongera fr.Jose Mwenyezi Mungu akujalie mema uzidi kulitumikia kanisa lake🙏
Asante sana 🙏
Hongera sana ...Msalimie huyo msudani..Mungu awatie nguvu zaidi
Amina 🙏. Zimefika ndugu
Hongera sana baba Mwenyezi MUNGU awe pamoja nawe, utuombee nasi tupate hekima
Asante sana dada yangu
Ki ukweli hongereni sana namuomba mungu awajalie neema poa nakupongeza mwl mshana mie nakukumbuka vizuri pale kilakale morogoro
Asante sana ndugu
Hongera sana Rev. Fr, Br J.E Mshana, OSA. M/Mungu azidi kusimamia na kuongoza safari yako ya kitume.
Asante sana
Mungu akulinde katika utume wako
Amina 🙏
Hongera sana kwa wimbo mzuri maneno ya unyenyekevu mungu aendelee kukupa HITAJI LA MOYO WAKO daima . Amen 🙏
Amina 🙏
Hongera sana fr Mungu akubariki sana
Amina 🙏
Hongera kwa utume uliotukuka
Asante sana
Hongera sana my classmate fr Joseph mshana....nimefurahi pia kumuona my brother Nelson Mwenda❤
Shukrani sana, ndugu yako tunaye
Kaka yangu huyoo barikiwa sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Shukrani sana sana sana
Hongera Saana Baba Mungu Akutunze Daima ❤
Amina 🙏
Hongera sana Father 🎉❤❤❤
Asante sana
Hongera sana baba ubarikiwe Kwa kazi Nzuri.🎉
Amina 🙏
Ninashukuru sana
Hongera Sana Fr.Kazi nzuri tunakuombea Kwenye utume wako
Asante sana dada yangu
Baba Mshana hongera Sana
Umetubaliki kwa wimbo huo...hekima iwe daima nasi
Asante sana 🙏
Kila lakheri ktk utume kazi nzuri
Asante sana 👏👏
Congratulations Fr. Joseph kazi safi sana❤❤❤❤🎉🎉🎉
Shukrani sana 🙏
Hongera sana baba Mungu azidi kukupa hekima
Amina 🙏. Asante sana
Hongera sana father, umenigusa sana wimbo huu. Hakika Mungu akutangulie katika utume wako
Ninashukuru sana
Hongera sana baba tunavijunia sana ww Mungu aendelee kukusimamia katika utume wako
Ninashukuru sana pacha
Bravo fr🎉
Thanks very much 🙏
Hongera sana Fr. Mshana mwenyezi mungu azidi kukupa hekima uzidi kumtumikia siku zote
Asante sana
Asante sana
Hongera sana Baba, Mungu azidi kukusimamia katika wito wako na katika maisha yako yote.
Amina 🙏
Hongera sana classmate ,kaz nzuri
Asante sana
Congratulations big brother
Thanks very much
Kazi nzuri Baba 🎚️🪘🎹
Shukrani sana
Hongera tosamaganga boy
Asante sana
Hongera sana Fr. Mshana kwa kazi nzuri
Asante sana kwa kutuinjilisha
Ubarikiwe na uwe na utume mwema Fr.
Amina 🙏
Kazi nzuri sana kaka Mungu akubariki sana naye mungu anijalie NAMI hekima❤❤❤
Amina 🙏
Safi sana Fr. Joseph Mshana....Padri kijana kabisa.... hapa una mwezi kama sio wiki tatu. Wimbo ni mtamu kwa melody lakini pia umesheheni ujumbe mzito na unyenyekevu. Nimeupenda sana...ntaomba audio yake nikae nayo kwenye simu yangu kila wakati niuhitajipo niusikilize. Mungu Mwenyezi akusimamie
Nakusihi bwana nijalie hekima #maneno mazuli sana fr Joseph mshana barikiwa sana
Amina 🙏
Hakika wewe ni tunda la kanisa Mwenyezi Mungu akawe Baraka ya maisha yako ya kitumi
Amina 🙏. Ninashukuru sana
Hongera sana kwa wimbo mzuri! Wenye ujumbe mzuri,pia.
Asante sana mama
Mwenyezi Mungu azidi kukuongoza kwenye utume wako.
Amina 🙏
Tosa product hiyo inang'ara Mt. Teresia awe ngao yako
👏👏👏Amina 🙏
Hongera sana fr. Mshana, kazi nzuri
Asante sana 🙏
Hongera sana. Mungu akuongoze katika utume wako
Asante mnoooo
🙏
🙏🙏
MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA ARIDHI NA VITU VYOTE VINAVYOONEKANA NA VISIVYOONEKANA WALINDE NA AWAJALIE NEEMA ,HEKIMA NA UPENDO KATIKA UKAMILIFU WA KAZI ZENU
Amina 🙏
Hongera sana Fr Mshana
Asante sana Baba 🙏
Hongera sana Fr Joseph Mshana
Asante sana dada yangu