EE BWANA USIKIE - J. MGANDU
Вставка
- Опубліковано 29 чер 2023
- Jina la wimbo: EE BWANA USIKIE
Mtunzi: JOHN MGANDU
Organist: PETER PERFECT
Studio: UCHAJI MEDIA
Waimbaji : UCHAJI MEDIA
Usisahau kusubscribe, kulike na kucomment
ASANTENI.
@KANISAKATOLIKITANZANIATEC @JugoMedia @rajopro @thegalaxypro6219 @tumainitelevision @KwayaYaMtSeciliaMakuburi @kftstjosephcathedral @kmkmakuburi @kwayayamt.josephmfanyakazi2842 @kftstjosephcathedral @kwayakatolikitza2042 @radiombiu372
Ninaposikiliza wimbo huu huwa nakumbka mbali Sana barikiwa Sana wakatolik wenzangu,mungu yupo amen
Wimbo safii sana mwenyezi mungu awabariki mtunzi na waimbaji wote na mpiga kinanda yupo vizuri
Napenda kuwapa pongezi waimbaji lakini kumkumbuka kwa sala mtunzi wa wimbo Dr. John Mgandu aliyekuwa nguli wa mziki enzi za uhai wake!
Kati ya version zote this is the best Hongereni sana wanakwaya pamoja na mwalimu wenu. Kaka kilangavana umetuchezea kinanda safi sana.....weka like apo kwa ajili ya kumsifu mungu❤
Yaaan mziki mzur sana, nyimbo yangu pendwa nyakati zote🥰🙏
Wimbo mzuri sana, mbarikiwe mno
Kazi nzuri. Inazifanya tungo na nyimbo za wakongwe wetu kutosahaulika au kupotea
Asanteni sana,Utukufu kwa Mungu juu Mbinguni
Hakika umekuwa msahada wangu na usinitupe ee Mungu,
Hakika ndo msaada pekee
Wimbo mzuri sana,wewe tu ndo kimbilio letu,tukihitaji msaada
Hakika nitamwimbia bwana mpaka sikuyangu ya mwisho wimb wangu niupendao hata nikiwa na magum nayasahau
Kwa kweli Mungu umekuwa msaada kwangu usiniache popote
Wakatoliki mmekuwa mkiimba kwa utulivu sana big apu
Hakika Nyimbo za Katoliki zimetulia sana
Huu wimbo kiukweli unatia nguvu ya neno
Asanteni wimbo mtamu
Neema yake Mungu wetu na iwe kwenu naye Baba muumba wetu atukushwe Milele. ❤
Umekuwa msaada wangu usunitupe.
Mbarikiwe sana. Natafuta sana audio yake
Tutumie email yako kwa ansrwenyu@gmail.com upate audio yake
Mungu ni mwema🙏🙏🙏
Wooow❤ hongera sanaa ✅ wambaji kwa wimbo nzuri sana yakupendeza
Amina Amina ❤❤❤
Mungu AWABARIKI Kwa ujumbe mzuri hakika nimebariki sana Mungu awatunze
Amina
Wimbo mzur na biti lake pia 🙏🙏🙏🙏
Sichoki kuusikiliza jamn huu wimbo mbarikiwe san, mmeimba kwa utulivu wa hali ya juu🙏🙏♥️♥️
🙏🏼
Wimbo ni mazuri sana na unatafakarisha kweli! Hongereni.
Ongera Kwa kazi nzuri ya kumtumikia mungu
Nyimbo nzuri sana
Nmuogope nani🙏🏽
Iwish am one of you guys nimeipeda sana
Wimbo mtulivu sana...heko kwa kazi mzuri 🎉
Nimebarikiwa sana na wimbo huu hadi nimelia ....................
Kwa wimbo huu na jinsi waimbaji walivyouimba na kuucheza sasa Kanisa linarudi kwenye mstari wake (njia yake)
Kazi nzuri sana Mungu awabariki
Muziki wa wa kutoa nyoka pangoni. The best quality version of this song. Very sweet!. Congratulations!
Hongereni sna kw kumtukuza mungu hawabariki sna tena sna
Nmefurah San wimbo mzur San👏👏👏🙏🙏🙏
Hongereni sana... Organist pia big up,...👏👏👏
Asante sana
Wimbo mtamu unaguza rohoni
Amina
Sikia bwana uwe msaada wangu nikuitapo
Jamaaaniii HONGERENI SANA kwa kumsifu na kumtukuza Mungu kama familia. Mwenyezi Mungu mnayemtangaza azidi kuwabariki na muendeleze utume wake kwa njia hii
Wimbo mzuri👍
Kama wewe uliyetaja mapumbuli ni mkatoliki basi kuwa na Kiasi katika kuongea la si hivyo utatuangusha wakatoliki wenzako hatuja pokea mapokeo ya matusi wala kuwa kera watu wa Mungu acha waimbaji waimbe wote wasikilizaji wataamua.
Hongereni sana. Kazi nzuri mno. Mungu azidi kuwabariki sana🙏🙏
❤
Hongereni Sana
Wimbo mzuri
Great
Huu wimbo unanibariki mnoo😊
Kama vile namwona kev
Lovely
Hongereni sana sana
Ame
Huu wimbo unanibariki sana, much love to the song writer and All singers ♥️♥️
Hongereni sana majembe yangu kazi nzuri
Hongerenii jamanii mmeimba vizuri❤
Mungu hakika umekuwa msaada wangu usiniache
🤲🤲 wala usiniache ee Mungu wa Wokovu wangu
Nyimbo nzuri. Shukrani kwaya kwa vyote. Mwenyezi Mungu Akubali kuwakumbuka katika utumishi wenu siku zote🙏
Enjoying from Spain 🇪🇸 🇪🇸 🇪🇸 🇪🇸 🇪🇸 🇪🇸
Wimbo unafariji❤
Hongereni Sana Familia ya Dr.Alex na Uchaji Productions...Kazi nzuri, Ujumbe wa Mungu unatufikia...tutakumbushwa Daima...Ahsanteni Sana Kwa Vipawa vyenu Nyote. Endeleeni Kumtukuza Mungu.
Hongereni Sana...Taifa langu Tanzania nakupenda kwa Moyo wangu wote
Noted
Hongereni sana mungu awaongezeee siku za kuish
Hongera Uchaji Media. Mungu awangezee siku za uhai
Kazi njema Peter perfect and the team.
🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Hongereni sana kwa ujumbe, MUNGU aendelee kuwainua katika hiyo huduma. Binafsi nimepokea na nimebarikiwa .
Asante sana Francis Mweko, habari za siku
Asante Francis, zidi kubarikiwa
Wimbo mzuri sana ila kupata Audio yake issue sna
Inapatikana
Dominic 11 mwaka b
Aweee ❤️ da Ansfrida nataka u nifundishe kuimba. 🙄Mmeupiga mwingiii
😂 nitakufundisha
Saf
Pongez kwenu mnatutia nguvu amen
Blessed nice song
Safiii 👍 hongereni, asante kwa ujumbe mzuri
Asanteni kwa tafakari njema... Hongera Uchaji.
Beau texte et melodie. Tres meditative,que Dieu soit loué!
Merci beaucoup pour votre appréciation. N'hésitez pas à faire des suggestions pour améliorer toutes les œuvres afin de réaliser en douceur la mission de Dieu.
Nabarikiwa sana ah🥰🥰🥰
Mungu awabariki kwa muda mnaotenga kwaajili yake🙏🙏
💘💘💘💘
🙏🙏
Ongera sana Mungu awabariki
Hongeren sana Kwa kazi nzuri Mungu azidi kuwaongoza
Pure catholics 🎉
Pongezi kwenu
Asante Calvin
Wimbo nzuri Sana. Mungu ni mwema sana.. Uchaji mnatisha . Nawapenda
Saaaf sanaaaaa
Asante sana😊
What a music!!!....quite consoling.......this is Catholic melody now!!!
✔️👌🏿!!
Thanks
Hongereni sana Mungu awabariki, nawapenda bureee ❤❤❤❤❤
❤❤eeh bwana usikie🕊❤️🩹
Hii sasa ndo catholic halisi
Kabisaaa nduguu yanguu sioo za ss hv cjuii tunaendaa wap
Proud to be a Catholic family
Safiii sanaa
Hii imeenda
😂
Pisi bado inapasua anga ❤
🎉 hongereni sana jmn.🎉🎉
Usi inche wala usinitupe
Peter perfect 👍 a cool guy
Roman Catholic identity. Walokole angalieni na mjifunze uimbaji siyo kupiga mapumpuli yenu na uimbaji wenu wa makelele bila mpangilio.
Kuimba ni utamaduni ambao Kila kundi la watu Huwa na WA kwao na huuona kuwa ni sahihi na ndio unawapendeza kuliko mwingine wowote.hivyo ni vyema kuheshimu namna wengine wanavyoishi
👍🏼
🙏🏾🙏🏾🙌🏾🙌🏾
Am really touched with the song🙏🙏🙏
You are so amazing 👏 nipo Marekani but kiukwel this is over amazing ❤
Mungu ni msaada wa kila mmoja wetu