PART 2: ROSE MUHANDO Amwaga MACHOZI Akisimulia ALIVYOTISHIWA BASTOLA, MATESO | HARD TALK
Вставка
- Опубліковано 1 вер 2022
- PART 2: ROSE MUHANDO Amwaga MACHOZI Akisimulia ALIVYOTISHIWA BASTOLA, MATESO | HARD TALK
HII ni sehemu ya kwanza ya mahojiano ya mwanamuziki wa Injili, Rose Muhando, katika kipindi cha HARD TALK, ambapo amezungumzia historia ya maisha yake, majanga aliyokutana nayo mpaka kufikia hapa alipo..
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline - Розваги
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE UWE WA KWANZA KUONA:🏾 bit.ly/3MraYdQ
Napenda Dada Liliani anavyoshangaa kwa kunena kwa lugha
Nakupenda sana dada❤️❤️💋🙌🏽
Waaaapole sana dada
Namuamini Rose anachosema,hata Mimi nimepitia hayo ili nisomeshwe😭😭😭,ukikataa unateswa
Pole kwa matatizo
Da Rose pole sana hiki kipindi kimenitia moyo
Pole saaana dadaangu Mpendwa Rose 😭😭😭😭😭 historia inaniliza jamani!!!!
Huu ushuhuda umenigusa sana!! Na Mungu atusamehe sana huwa tunawashtumu sana watu especially watu maarufu lakini hatujui ni nn wanapitia nyuma ya pazia!! Watu ambao wamebeba kusudi la Mungu wana vita sana!!! Mungu awatetee kwa kishindo!!! Rose i love you Mungu afanyike faraja kwako na tumaini
Haki haififishwi, pamoja na wito wa Mungu kuwa na amani na watu wote na kusamehe maadui. LAKINI HILI halivumiliki. Mimi nimeuona ukuu wa Mungu katika huduma ya Rose Mhando.
Nasema huyu mtu hatakiwi kuwa katika jamii. Ikiwa wauaji wa kimbari wa Hitla waliojificha wakakamatwa na kufiflkishwa mahakamani. Haki ionekane
Msamaha ni muhimu sana kwa uponyaji wa roho na utakatifu mbele za Mungu. Haki ni muhimu kwa jamii ione kuwa mwanadamu asiye ishi kwa amani na watu bali ni tishio la amani na utulivu katika jamii haki itendeke mahakamani aadhibiwe kifungo akiwa amesamehewa na Rose kwa faida ya Rose na mkosaji kuoneshwa neema ya Mungu inayookoa ili ikiwa Mungu hajamfungia mlango wa kuokoka atajitambua na kuokolewa na Mfalme na Bwana Yesu Kristo.
Ole kwa Makanisa yanayo wapendelea na kuwapa uongozi ndani ya Kanisa kwa sababu ya utajiri na umaarufu wao. Shetani ana maajenti wake Makanisani kama mtesi wa Mpendwa Rose Mhando.
By. Rev. T. Godda
Ameeeeen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💗
Wamejivalia ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu, na wamejaa kanisani!!!!! Pole sana dada Rose. Nimesoma kwamba nisimwamini mtu ila Kristo peke yake
Our prayers are forever with rose muhando. 254 loves you so much.
Ndio maana taifa la Kenya litazidi kusonga mbele zaidi na zaidi 🙏. Blessings to you dear Kenya, Mama Kenyatta na wote 🙏
Baraka Baraka dadaaa. Asante kwa kuomba taifa langu 🙏🙏🙏 Amina amina
Kajinga
Mungu nisamehe nilikuhukumu Rose Mungu anisamehe mno
Na mm ni miongon
Da Rose umeniliza mwanzo wa interview mpaka mwisho , baba wa Mbinguni aendele kukulinda mama, pole kwa uliyoyapitia umetuponya wengi asante da Lilian kwa kutuletea Rose Mhando
Pole saaana Dada yangu kipenzi hadi machozi yamenitoka😢😢 umeniku mbusha mateso yangu niliyo pata haliye kuwa Mme wangu achaa tuu Mungu njo kila kitu inshaa Allah
Rose muhando endelea kuimba, tunakupenda na tunapenda nyimbo zako sana, they are touching songs. Mungu akubariki sana na aliyekuumiza hivyo, wacha mungu adeal naye. We love you and your songs. Kumbuka MTi ulio na matunda ndio upigwa mawe.
Mungu ni Mwema sana🍃🌺🍃 Mungu akutunze Rose wetu,Amina🙏
We love our sister Rose muhando, God bless Kenya 🇰🇪🇰🇪
Twende mbele turudi nyuma watu wengi wa kanisa ni watu wabaya tofauti na tunavyowaona mungu atulinde
We love you as Kenyans Rose
♥️
Kenyans we love madam Rose God bless you
I have learnt that some of the anointing on people of God that we admire,,,it cost them so much to get there.
Dada dada Mungu atusamehe tuliozungumza mabaya juu yako EEE mwenyez Mungu msaidie huyu mtumishi wako
Pole Sana dada Rose. Umepitia magumu sana lkn ni MunguBaba bdo ankusudi na we na ndo maan mpka sasa upo Hi ...🙏
I wish Osinach would get this help, true ministers of the Gospel are going through alot omg
@Rose Muhando nitakupata wapi jamani.... You are an angel sent from heaven... Hii ushuhuda umenitia moyo sana. Huwa nasikiliza nyimbo zako na huwa inanisaidia kiroho haswa ile ya wanyamazishe bwana.... God bless you
a very huge hug from Kenya,we love Rose 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
A living testimony, barikiwa sana dada Rose
Touched story and painful nimeshindwa kuzuia machozi hakika
Nitacommet part3 ukiwa tayari..Ila dada rose pole Sana wewe sio wa Kwanza kupitia hayo Ila malipo ni hapahapa duniani
Kenya twakupenda Rose njo uishi Kenya
Please we love rose muhando as well can you pls tell rose muhando to share her testimony in kinyarwanda people need to hear this in all languages in the name of Jesus
God bless you people from Kenya for everything you did to this wonderful woman
Jehovah atukuzwe kwa ushindi, natamani u toe sacrifice kwa the higher Altar Mwezi Mungu akutetee akupiganie kwa Vita vyote, pia natamani Mungu aku saidie uimbe Kama zile wimbo za upako Kama za kitambo zilikuwa zani bariki saana na kuni saidia Ni karibie Mungu, Ujumbe kwa Rose Muhado
Rosemuhando is a living testimony
what a testimony Dada Rose... you are such a strong woman, a blessing woman. May God see u through and justice be done. Mungu hamwachi Mja wake...
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
I am a muslim i love rose and i have shed my tears
Kumbe ule wimbo "WAABISHE" ni kweli umeyapitia. Pole sana Rose nahisi kwa sasa umekuwa huru na ndiomana mwili umekuwa vizuri.
😱😱 Aki pole sana rose kwa yenye yalikupata mungu ako pamoja nawewe.🙏🙏
Rose we love you and your songs. God will use your wounds to bring victory in your life and Glory to His Name. Watu wengine ni zaidi ya wanyama wamejicha kanisani
Huyo "(mtu-mzee wa kanisa)", anayetaka kumuua, kwa maelezo anajulikana, si na Rose pekee, bali na watu wengine, Inakuaje polisi hamchukulii hatua??
Ameen dada rose umenibariki sana
Swali mzuri
Kweli kabiza
Rose hajaruhusu polisi wamchukulie hatua, badala yake amewasamehe wote.
Thank you Rose for this testimony. Watching from Kenya. Needed to hear this today. I have learnt alot .
Repentance and forgiveness is the key to overcoming rejection and pain. May GOD heal you and your children Dada Rose Mohando in Jesus name 🙌🙌. We Kenyans love you so much Dada Rose Mohando 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Rossy you r great we love you as kenyans, you have bess us. Mimi kama jane umenibariki sana sana toka mteule, jua kwamba kunalo jambo unalo dani mwako ambaye adui yu walifuata, aliyopitia yesu furahi ukiyapitia maana kama haungelifuata huyu yesu haugelipitia haya, adui hakomi tumuishie huyu yesu. Wewe ni baraka kwa wakenya na afrika kwa jumla. We love jane from kenya.
Sis Rossy pole sana, na pole Zaidi, keep serving the Lord, i hate this mistreatment on you, your voice is indeed for many including myself, i love you, will meet you someday.
Duniani hakika kuna watu wanapitia magumu! Baba Mungu wavushe
So sorry dear Rose Muhando,may almighty God continue using you to enlighten the whole world....I love you
Enyewe watu hupitia mengi. Pole sana Rose Muhando my favourite singer. Keep serving your purpose of life and let nothing stop you.
Pole sana nimelia sana kwa uchungu Mungu akutie nguvu
Pole Sana Rose !! Km yupo hai mfungulie kesi
Dada Lilian kwenye interview za Hard Talk uweke TISSUE kwaajili ya kufuta machozi
Kwakweli jamani
My God will guide your family my dia Rose 🌹 my favourite singer
Namshukuru mungu kuisikia historia yako nimejifunza mengi sana ili tungae lazima tupitishwe.
This is hardtalk
Wengi tunapitia mateso, ambayo kwa haraka uwezi weleza mtu akaelewa, tz hospital nyingi hasa vijini walau angekuwa anawekwa daktar mmoja anayehusika na masuala ya saikolojia, walau ingesaidia, maana gharama za kuwaona hao special doctor ni kubwa kwa mtu wa kawaida inakuwa ni vigumu
Pole sana dada rose Hakika unapitia magumu Ila dhahabu safi lazima ipitie kwenye moto so simama na Mungu amini siku yako ya kufutwa machozi yaja
Nakupenda mno
Ee MUNGU simama kuwatetea watoto wako,,, makanisa sasa yamekuwa miamvuli ya kufichia maovu,,, tunapaswa kumwomba sana MUNGU atujalie macho ya Rohoni ili tuweze kuona huu uozo.
Pole sana dada Roz
Pole sana kila binadamu hupitia magumu maisha ni mapambano.sahau na usonge mbele😭
Asante yesu kwa kunushuru maisha ya huyu dada
Does it mean the security apparatus in Tz doesn't have power to😮 deal with criminals as such who are hiding in religion??? So sad,may God bls u sister Rose & continue using u to higher heights. & give u more spirit of perseverance. God bls u. So touched with ur testimonies, so sad,even body scars out of physical wounds. So sad
This is my biggest question
Nakupenda sana Rose Muhando! Ishi tu kwa neema ya Mungu. Mungu akutunze kwa ajili ya ulimwengu
Makanisa yameficha
Wachawi
Wauaji
Wabakaji
Mafisadi
Malaya
Na mafirauni
Wamama / wanawake mnaawaamini sana hawa watu Mnajiharibia maisha yenu na vizazi vyenu
TUMIENI COMMON SENSE
Umeongea ukwel kabisa
Very true
It's my prayer that you forgive Olivia Uganda
Ndio maana nyimbo zako unaziimba kwa hisia sana kumbe nikwasababu zimebeba uhalisia......Ee Mungu ponya wale wote wanaopitia haya
Amen
A living testimonie sister Rose👑🏆🌟 🙏
May the good Lord continue using you for the glory of God.
I love Rose am from kenya.weeee.God bless you
Amwamini mwanadamu alaniwa...watu wapole niwakatili sana wengi wawo
Yaani unapitia haua na unaba nyimbo zuri sidi wakenya twazipenda pole rose saba mum we love you kenya
Strongest women I know 😍🫶🏾I love you mama
Kenya tunampenda sana Rose
Mungu awabaliki sana na akubaliki na wewe pia
God bless Kenya for helping our Daughter Rose Muhando.,Anastasia and Solomon Mkubwa God bless you guys msipungikiwe milele!
Mungu bariki Kenya🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Weeeh....youre healed mama....we love your songs
Any annointed person go through.stuff... to be a warrior lazima ukuwe na scars..
Story zako zinatia uchungu mno mungu azidi kukutetea mama😞
Pole sana Rose MUNGU kuweka kitu ndani yako ila cha msingi rose tafuta kanisa la watu wanaoenda mbinguni sio kila penye msaraba kuna kanisa la kweri hapana mengine makaburi tu
Ooh my God kweli ulipitia magumu dada Rose 🤕🥺😭
Mmh Pole sana dada Rose, kwa Mungu mbalii mweeeh
Very sad indeed...you are a fighter.tables have turned....
Pole sana rose,asante kwa kubariki 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu atu samee maana uliwazalo silo pole dada rozi mungu akuinue
Asante Sana Rose muhando kutupatia testimony yako nilimba mungu kunionesha testimony yako sasa nashukuru Mungu
Mimi kwa kweli Dada Rose wewe ni Role model wangu tangu nianze kukusikiliza nikiwa darasa la Tano. Mwaka wa 2003.
Hadi leo nakupenda tu dada . Jerusalem, bwana Yesu nakupenda, akina mama waleo, na nibebe, dada nyimbo hizo hadi leo ni taa yangu. Nilisikia ukiwa umelazwa nikawa na mawazo mengi lakini kama kanisa tulifunga na kuomba . Mungu akulinde. Sikumoja tu natamani nikusalimie tu kwa mkono
Woman of God you are a real servant of God. God loves you so much and he allowed this to uplift you up your testimony is Soo toutching. It's making me shade tears but najua mungu ana sababu ya Kila jambo you are a really servant of God. kwa mapigo yake sisi tumepona .
Very powerful testimony
pole sana dada rose God has a good plan of your life#
Mwasha myb have tissues, for when smn is crying? 😭😭😍
Ooooooh mungu zidii kusimama na mwimbaji mwenzangu nyimbo Zake injili Rose muhando
Rose God Bless You. Thank you for defending your faith.
WOG am so sorry for all challenges you have been through, thanks for sharing you helping someone out there
Amina sana ubarikiwe pia dada rose wakenya tunakupenda sana na nyimbo zako twazipenda sana mana zako zinatia ujasr
I really love her songs kwanza hizo za mwanzoni ile ameimba pale part one mteule uwe macho 👌👌
Pole sana
Pole sana Dada Rose yote hayo Mungu Alikuwa anakutengeneza
Pole sana mtumishi wa Mungu Rose,
Pole sana rose , mungu alikuona akutumie ww ili uje kuponya mioyo ya wengi and now you are a living testimony ❤️ ❤️
Dah Mungu atusaidie sana Mungu Bado ni mwema sana kwetu aendelee kulinda makusud ndani Yetu alioyayaweka
Asante dada LlLYAN, tunaisubili hiyo part 3
Pole Sana dada ushuhuda huu umeniguza moyoni mwangu natamani Sana MUNGU anipe roho mtakatifu anipiganie kwenye maisha yangu Amina!
Pole sana so painfull endelea na kazi yako wimbo zako uwa zinanibariki sana god blessed you so much
May God bless you Rose. Your songs blessed us really great as our mum would play them via cassette on the radio. Your songs have always been a blessing
😭😭😭😭 only God wipes tears 🙏🙏🙏🙏🙏. God bless you 🌹💞💞
Nagomba nizungumze kwa kipindi hiki kabisa kabisa kabisa Mungu mwenye kuumba mbingu na nchi atihulumie nasikia kumbe Kila mtu kwa kazi yake Kuna mateso Kuna vikwazo tuache kidomodomo Mungu atalipa Kila mtu faida yake kulingana na kazi yamikono yake ndo fariji nilimwandikia Mchungaji Mwakipesile nawale wameteshwa kwa kazi ya Mungu Ngangania Imani.
😭😭😭😭 the testimony touched my heart 😭😭Kenya we Love you mummy 😭😭😭 WASAMEHE wote waliokukosea waachilie na Mungu azidi kukubariki,kukuinua na kukutumia katika kazi yake 🙏
Wacha nimelia yangu yote
@@julietnaserian7242 nothing to say 😭😭😭 huyu mtumishi wa Mungu amepitia makubwa lakini Mungu azidi kumtumia
@@judithnzuku1860 I'm telling you mama, but when you've God you have everything 🙏🏿🥰🥰🥰
OH MY GOODNESS! ROSE MUHANDO'S STORY HAS TOUCHED MY HEART AND I AM ENCOURAGED MAY GOD KEEP PROTECTING YOU DEAR ONE AND YOUR CHILDREN... YOUR SONGS HAVE BEEN A BLESSING TO ME AND TO MANY...
Rose a really Strong woman indeed...unaenda mbali mamaa...Hapa Kenya bado tunakupenda.