PART 3: ROSE MUHANDO ASIMULIA ALIVYOTAMANI KUJIUA, MADAKTARI WAKAMUOKOA | HARD TALK
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- PART 3: ROSE MUHANDO ASIMULIA ALIVYOTAMANI KUJIUA, MADAKTARI WAKAMUOKOA | HARD TALK
HII ni sehemu ya tatu ya mahojiano ya mwanamuziki wa Injili, Rose Muhando, katika kipindi cha HARD TALK, ambapo amezungumzia historia ya maisha yake, majanga aliyokutana nayo mpaka kufikia hapa alipo..
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE UWE WA KWANZA KUONA:🏾 bit.ly/3MraYdQ
Tayari🙏🙏🙏
Please naomba namba ya Rose n mkenya.🇰🇪
Aky mungu anisamehe mm nldan yuko iluminat
Mungu na anisamehe mm pamoja na wale wote tuliomfkria vibaya huyu mama😭😭😭😭😭
Kweli kabisa mana tuliambiwa anatumia madawa ya kulevya Mungu atusamehe sana
Akii😢😢
Kweli kabisa Mungu anisameye kwani nimeambiwa kama ni mchawi na nika anza kumchukiya sana but God forgive me and help me not judge others
@@kerencikuru6039 mimi pia Mungu anisamehe kbsa
Mimi ukweli niliishi kumuamini mama rose sikuwai fikiria mabaya kutokana na hali yake
👏👏👏👏👏Among great women Rose Muhando you are. Mungu akunjaalie hitaji la moyo wako dada daima.
Bwana Yesu asifiwe dada Rose,ki binafsi naomba msambaa kwako,maana niliwaza labda ulikua freemasonry apo zamani,ukashindwa na masharti zako,ndo uka tuletea drama za kuunguzwa. Nasema nisamee kutoka moyo mwako,ili niwe na amani. Nashukuru kwa shuuda yako,nime ifata mwanzo hadi mwisho. Bwana akuinue zaidi❤from dr congo 🇨🇩
Hata Mimi niliju hvo kabsa Mungu anisamehe sana Mungu akubaliki akuweke viwango vya huu zaid ya hapo ulipokua mwanzoni 🙏🙏
Nimechelewa kukujua dada yangu naanza kukufatilia wewe nizaidi ya maaskofu
Aiseeee, nimeelewa sana...nikiwa na uchungu niimbe zaburi. This is so powerful
Ahsante Mama angu rose nimeondoa uchungu moyoni nami ninaachilia msamaha kwa walio nikosea ili moyoni mwangu kuwe na furaha naomba MUNGU Anipe maarifa na hekima ameeeen 🙏📖📖📖📖
Namshukuru Mola aliyenipa moyo wa kumwombea huyu mtumishi wa Mungu Mara tu niliposikia uvumi kuhusu maisha yake. Rose amekuwa Baraka kwangu sana na ninashukuru Mungu kwa urejesho. Akulinde kwenye mwendo huu
Huku Kenya tunasema Wueh!!
Rose umetoks mbali na story yako imenibariki na kunielimisha.
May the Lord lift you to higher heights.
Kenya loves you.
Wow,wow,l didn't know that your maturity enough, kiroho na kimwili Mungu akutunze, mtumishi wa Mungu
Amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏am healed through this talk😭😭 depression could have killed me...thank you so much
I remember praying for you Rose one particular night for God to fight your battles, restore you and heal you when you were in hospital, am so grateful to God
Pole sana dada yangu Rozi mimi ni mkatoliki wakati wa tukio lako la kuombewa ni kweli watu waliongea mengi.Mimi nikasema huyu dada Mungu anataka kumpandisha kiwango kingine.Tunamshukuru Mungu kwa madaktari aliyowandaa kwa ajili yako.
Even though I don't understand the language, but I understand few really God is with this woman, she is really God's vessel and she is going far with the gospel music, may almighty God give her more power and protect so she can turn more people to christ, singing is also preaching, am very happy to know this woman thank you..
Nmetoka tik tok ili nimalize kuwatch hii story ya rozi I love this woman so much🇰🇪🇰🇪 likes from Kenya please
Jaman hapo kwenye uchungu mmenisaidia Jaman, Mungu awabariki, Mara nyingi nilikuwa nikipata uchungu nilikuwa naomba mpaka nalia kumbe sivyo
I grew up listening to Rose and all along I knew she was living like a queen you should have seen how my whole village in loitoktok Tanzania border adored Rose. ..I'm happy to know that you are okay and that God has been using you to heal and change souls....God bless you 🙏 ❤️ kenya we love you ...
Rose Muhando ni mhubiri. Pengine Mungu amempa kipawa sio tu cha kuimba bali kuhubiri pia. She's not boring. Akizungumza unatamani kumsikiza zaidi na asiache.
Rose u r just a blessing to many..... May God bless you.... But ukiimbia huezi dhani una hizo shida... Tx for changing my life
You are always welcome to Kenya. We love you Rose Muhando.
I have cried...I have learned alot from this interview Rose muhando....I Thank God you never compromise your belief in God...I'll keep my trust in God
Hongera sana Solomon Mkubwa. Asante sana Wakenya kuwa sababu ya wokovu wa Rose Mhando. Rose Mhando bado safari ni ndefu ya kiroho jikite ndani ya Bwana Yesu, ufunikwe na uweza wa Mungu
Nakupenda rose nmepata aman ya moyo kusikiliza maneno yako🙏🙏🙏🙏
I love you dada Rose Muhando 😍😍😍 MUNGU baba yetu wa mbinguni akutunze katika mapenz yake!!
Ninachompendea rose kwenye maneno kumi Kuna mstar wa Bible Nakupenda bure
Hallelujah 🙌. There is healing Power in forgiveness my brother and my sister. Thank you sister Lilian and Sister Rose
Tis always important to know the story behind the lifting...this one has touched me and inspired me alot....never knew much about Rose apart from her songs and how people criticized what they didnt know. Glory to God for preserving your life and keeping you to be a testimony that touches many. Your song "Mwambieni Mungu matendo yako yatisha" graced my wedding occassion back in 2005 and every song you do is inpired by God. Keep serving,,,,,Much love from Kenya.
Have lived loving and feeling Rose all alone my life since my childhood; I felt pain whenever I heard anyone talking evil about her though I didn't know how she was going through my conscious always told and tells me that she's indeed God's vessel. And I know that one day I'll meet her to fulfil God's will since I already saw it happen in spiritual realm and definitely it will come to pass...Rebecca from Kenya..Mungu akutende wema Rose
Aki wewe ni kama tu mimi I wish kuna siku moja nitakuja kumuona live
She is really God's vessel, may almighty God be glorified.
I really love this Lady Rose since I was a small girl, video ya 'Yesu Nipe Uvumilivu' ilikuwa story yetu Kama familia, tuliitazama almost Kila jumapili enzi zile Hadi mama akapona kutokana na uchungu wa ndoa mbovu, akampenda Mungu sana na kumtazamia. Mwenyezi Mungu akubariki sana
Nimebarkiwa kupitia rose muhando nimeondoa uchungu moyon asante mungu
10:58 Asante Rose! Wakristo wengi hawataki kusikia kuhusu counseling. Umetoa mgawanyo mzuri sana wa kupona kiroho na kupona kiakili ni tofauti... God bless you
Wwauh dada Roseit is ablessing having that counselling inatia moyo
My dear sister God has been faithful all through .He loves you very much. Since your kids witnessed the pains you had, they need too Counseling Therapy.
You are a blessing to many.Much love from 🇰🇪🇰🇪
God bless you Rose Muhando...just discovered hard talk! An awesome platform to listen to. A very sincere host, no hypocrisy! I love you. Asante sana Mungu awatende mema.
Asante sana mama kwa kunifundisha yaani umenifundisha yani nimefundishika mama mungu akuinue sana
nimejikuta nalia sana aisee ! mtumishi wa Mungu kapitia magumu sana ,Mungu aendelee kumuhudumia,kumsimamia,kumpa umri mrefu,amuepushe na mwovu ibirishi ,namkabidhi kwa Mungu akatembee kwa damu na damu ya yesu,malaika wa Mungu wamlinde kila atokapo na aingiapo,Mungu amwadhibu huyo baba wa dodoma mwisho wake uwe mbaya sana kwa ubaya aliomtendea Rose muhando ,eeee Mungu nakuomba umbariki huyu mama maan nyimbo zake zimeokoa maisha ya walio wengi na zimebadilisha maisha yetu .
Rose is so smart🔥
Kwakumsikiliza tu dada Rose! Aliempitisha Ako na hasara sana, au hongera kwake Kwa kumpiga chura teke
Rose nakupenda Bure! tangu nikujue rose nimejengeka pakubwa kupitia wewe, Barikiwa sana pamoja na dada liliani,tuonbeane sisi Kwa sisi sababu tuko katika ulimwengu wa shida Ameni 🙏
Hakika midomo ya walimwengu ilinena mengi, masikio yetu yalisikia mengi kumhusu huyu dada. Huwa nawaambia watu mengi yanayosemwa juu ya watu wa Mungu si ya kweli. Leo nimeendelea kuthibitisha. Nimekupenda dada
kbs wanadamu tuna penda kuhukumu bila kumjua mtu
Hakika Hilda hata Mimi nimegundua hilo, watu wengi wa Mungu tunapenda ya kusikia kuliko kumuuliza Mungu ukweli juu ya jambo la mtumishi wake, ni afadhari yanaposemwa sisi tumjuao Mungu tuwaombee kuliko kujiunga na makundi mabaya ya watukanaji
barikiwa dadaa🙏
Shetani hapendi Mungu atukuzwe
Wah haki nimelia.kumbe hujatokahapa karibu wueh!!Haki Mungu anisamehe kwa kumjudge huyu Dada vibaya in 2019.mungu Ni mkuu
What a testimony... So much to learn from this Great woman of God. God keep her.. She is a blessing
Amen dada Rose
Mungu akuinue zaidi Rose, wewe ni mbaraka kwetu and we love you so much from Kenya
Wow my darling sis Rose I have learned alot I thank God in all what she passed through in kenya i stood and i prayed for her
You will remain to be my favourite i like you so much barikiwa siku zote
Na ndio nilikuwa naambia watu waache kuongea vibaya Kwa huyu dada ila wasikize nyimbo zake watajua maana ya Yale mapito alikuwa anapitia. Kipindi hicho Rose alikuwa hospitalini nakumbuka wimbo wake wa Nalegea Wacha nichakae nje lakini utu wangu wa ndani wafanywa upya.....that song revealed to me why God gave her that song for He foreknew what she was going to pass through. Rose you are a great blessing to many especially myself one day God willing we shall do a collabo. Live long and stay blessed.
I learn a lot from her testimony. God bless you mhando
Rose you have a great gift which is even more than those who are preachers because you went through what many preachers have not experience. God has rewarded you with a gift of counselling through your experience. God bless you sister.
"Haturudi jana tunaenda kesho" Asante mama 🙏
wow am happy for that testimony Rose kenya tunakupenda God bless u🙏🙏
Your whole life is a testimony Rose. In tha topic of depresion I understand you very well because I have tested that bitter chalice and God is good, through counselling I improved alot. May God bless you.
Very inspiring mum Rose,may God preserve your life always and more Grace 🇰🇪we love you
WE NEED MORE OF THESE TRUE EXPERIENCES
Thank you for Rose. God wanted me to see and hear this testimony from our sister Rose. Umenipa mengi ya kutafakari. Ubarikiwe Sasa Rose.
I love the interviewer, she's doing her job so well. Rose Muhando,mob love tunakupenda sana hapa kenya 💕
Woow..finally you have told us the truth. May the almighty God watch over Rose muhando as she continues to serve God
UBARIKIWE SANA!
HIVI MUIMBAJI MUOMBAJI,AMEJAA NENO, ANABIDII KWENYE KAZI YAKE.KWANINI HASIWE MALKIA WA INJILI.
BARIKIWA SANA.
Asante Rozi muhando mungu akubariki sana kwani hata mimi nili pitia nirikonda irabaada yakusahau yote yario niumiza nirikua na furaha mbaka sasa niamani moyoni mwangu 🙏🙏
uyu dada
ndiyo msanii wakike
mkubwa wainjil east Africa
@@TALLUBOY na pengine anaharibu kila akiinuka juu
Asante nimepata funzo kubwa sana nimejifunza kitu
Mungu Aipazishe Sauti yako Mama Na Ibadili Mioyo ya Wengi na wapone kupitia Sauti yako ambayo Mungu ameipa Kibali Shukrani sana kwa history yako tupo wengi tutapona kupitia wewe God bless you always ♥ 🙏 thanks da Lillian Mwasha My God bless you so much 😊
Mtumishi wa Mungu umenifundisha vitu vingi sana,nakutakia baraka za Mungu
Rose nakupenda bure, Mungu mwenyezi muumba aridhi na mbingu akufunike na damu ya Yesu kiristo Amina. l like the statement that'usiombe wakati uko na machungu ' it's true. God bless you dada
Vile ninakupenda rose,🥰🥰🥰ni mungu tu anajua. Much love from Kenya
Rose muhando really me personally Vincent wesonga i love you the way you are and i love your songs since i was young upto now am singing and i have faith that we'll sing with you together. Be blessed 🙏
Mungu akubariki dada Rose. Una neema kubwa na Mungu anakupenda sana.
Amen dada Rose!! Unayonena ni kweli! Umenibariki san,
I love you Rose Muhando Mungu aendele kukupigania hakika nimejifunza leo mengi kutoka kwako
This story is touching Kuna mungu aliye mbinguni 😭😭😭😭😭😭
She is really smart and brave
Mungu akuinue zaidi na zaidi dada Rose, ushuhuda wako unajenga Kiukweli japo uliumia sn, Mungu Akubariki sn.
I really love Rose aki.mungu azidi kukupa nguvu mamaa
Asante mwanamziki wangu mpendwa now i know your testimony.nipate mtu anakuaribia jina atajua
Haka kamama nakakubali😄, nimebarikiwa sana na nyimbo zake, na kwenye mapito yako nilikuombea sana, nyimbo kama shujaa wa msalaba, tabu zangu are my favorites, God bless you sis.Rose
Shukran sana Dada Lilian na Dada Rose natumai wengi tumepona kwa kupitia kipindi hiki
Kenya tunakupenda Sana Sana,be blessed🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
MUNGU azid kumbariki na kumtunza mama yetu kipenz rose muhando
Ubarikiwe sana mama,AK Mungu anisamehe nlkufikiria vbaya,pia asante Kwa counselling yako ,Mungu akulinde,akupe maarifa pia yakuelimisha wengi wajigundue,Mungu akupe maisha marefu Amen 🙏, more love from kenya❤❤
Rose muhando has been my role model since I was young. My wish tu ni nimuone siku moja. Nimepatana na watu wanaomujua na ata wale walikuwa wakiprint CD covers zake Kenya nikawaomba no. Yake wakaninyima bt nisawa tu.Lilian unaweza nisaidia kuja kumuona rose siku moja? Nitafurahia sana. Mungu aendelee kumbariki Simba wa kike. Maureen From kenya
Nimeipenda hii saana Mungu Amzidishie neema kwelikweli
Kiukwel nabalikiwa Sana na rose nampenda Sana tangu nilivo kua mdogo ♥️♥️♥️♥️♥️
MUNGU akusaidie sana dada rose....aki fungua kanisa kwanza apa kenya uwasaidie wanarika ..umenisaidia sana.. nakupenda bure aki..
My prayer siku moja nipatane nawe dada Rose muhando
Mungu ni mwaminifu kweli mungu abarikiwe milele naomba namba yake dada rose niogee naye tafadhali
Mama angu nakupendaaa endeleaaa kutangazaa neno la Mungu atakuinua zaidii weweeee pamoja na kizazi chakoo mana😊😊
Mungu nimwema sana wewe kweli nimungu unawokowa ukamulinde kwamuda umemukadiriya kuishi Asante bwana wewe nimwema
Dah!! Kweli usimjaji mtu bila kujua ukweli.pole Sana Rozi🌍
Ur such a testimony rozee 😭😭💪💪💪💪💪💪 pls live long
asante da Ross mi nimuislam ila nimekuelewa sana tusipende ku jaji vitu tusivyo vijuwa
Asante Sana Mama Rose,Nampenda tu huyu Mtumishi wa Mungu..,Mungu anijalie Na Mimi Roho yangu ipone❣️❣️.
Ni kweli kabisa Rose muhando na hiki kipindi nakipenda sana.
Dada umenisaidia sana nashukulu,kwa mafundisho!!
Nimebarikiwa Dada Rose nakupenda Mungu akulinde natamani sku moja uje uwe na Kanisa uzidi kuponya mioyo ya watu na kuwaokoa upo na ufunuo mzuri
So inspiring mum,may God bless you more and more
I'm just blessed listening to Ros❤❤❤❤❤ i love you 2 my sisters in the Lord
Asante mtumishi nimeelewa na nimejifunza, Asante yesu
Wah.. sister rose may the lord continue to strengthen you more and more.i am blessed through your testimony...
pliz kwa hicho kipindi be ready with handkerchieves very sad past but God is so faithful
hapo mwishoni ni fireeeeee....👊👊.
Ya kaisari apeweeee, kodi ilipweee...
Asante sana Mtumishi wa.Mungu Rose Muhando....Barikiwa sana Lilian Mwasha
Rose barikiwa sana nimekua na depression pia mimi nimepona kweli pasipo maono taifa uangamiya napasipo usharui taifa uanguka I love that song
Dada Rose Muhando Mungu akubariki na akulinde, umenibariki sana kwenye hayo mazungumzo, Isaiah 54:17
pole sana Dada Rose kwa yaliyokukuta.mungu Yu pamoja nawe na hawezi kukuacha kamwe kikubwa uckate tamaa.
Mashallah Rose nakupenda.....dental formula ya Rose ni ajeee .....Iko poa hatareee Glory to God....ubarikiwe dada one day ntakutafuta.
Nimejifuza kitu hapa kikubwa mnoo
I "FLAVIOUS"keep moving there is the living God who will make me a living testimony as He did for ROSE
Mungu akutunze na akubariki sana.
Hakika nimejifunza mengi sana Mungu azidi kuwainua kila iitwapo leo Amen