Mimi nimefurahi kumtoa mabululu Mana alipofunga goli aliibyesha ishara ya dharau.yeye amesahhau kwa mkapa hatoki mtu kama unacheza na mnyama.kongolr kwa wanasimba zaidi kocha wetu amewajengea ustahimilivu wachezaji Hadi dk 90 ziishe lazima upambane❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Watu wametinga klabu bingwa makundi kwa kishindo we useme una furaha pekeako we kweli chizi yanga ndo baba lao kwa sasa maana hilo kombe yanga kafika fainali juzi
Huyu jamaa anataka kulinganisha ist na range rover hana akili we baki kwa waliofeli, umejisahau we mwenyewe ulikula 5 utasingizia nini wewe huko chekechea sie tuko chuo kikuu
Mimi nimefurahi kumtoa mabululu Mana alipofunga goli aliibyesha ishara ya dharau.yeye amesahhau kwa mkapa hatoki mtu kama unacheza na mnyama.kongolr kwa wanasimba zaidi kocha wetu amewajengea ustahimilivu wachezaji Hadi dk 90 ziishe lazima upambane❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
2:11
Atebaaaaaaaa,baluaaaaaaa,kibuuuuuuuu!!!!! Simba nguvu moja💪💪 ubaya ubwelaaaa.asante tajiri yetu mo Dewj👏👏👏
Na mavambo Fernandez
Pin pin Camara aujaona shughuli yakeeee respect kwake😅
😊
Hakika Huyo Ndio Mnyama, Hongera Sana Semaji La Caf
Simba nguvu moja naipenda jaman yaan huku kwetu geita shangwe had sasa
Hongera timu yangu simba sp❤🦁🦁🦁
Wow naringa huku mtaaan mwanasimba mm Asante Boss wetu mooooo Mungu akubariki
Semaji la caf mungu akubariki sana uishi miaka mingi uendelee kuongelea simba
Ira uwee makini nakupewa sumu na arii kamwe atakutoa huyoo
Semaji uko vizr unaongea kwa nidhamu na kwa madaha kweli ubaya ubwelaaaa tumetisha na simba yetu simba nguvu moja❤
Ila semaji la CAF ww bwana unawapelekea Moto ❤❤
Jamani leo nina rrrrraha nilikuwa na malaria lkn simba imeniponya kumbe simba ni dawa kuliko Mseto
Umetisha ndugu
Naipenda Simba daima 🦁👏👏👏👏🔥🔴😍😍😍😍
Havi huyu seating yuko sawan
hongera mo dewj Kwa uwekezaji huuu
Unatiririka vizuri sana semajiii
Amekwenda amekwenda amekwenda amekwenda, mkichoka kusoma amekwenda mnambie tuendelee 😂😂 uyu ndo semaji letu.❤❤
Hongereni watani,ilikuwa tete.. man of the match ni kipa wa simba... jazia nafasi zilizo wazi
Watajaza kinyeo
Hata kipa ni mchezaji wa Simba
Wewe pambana na hali yako
Ahsante mtani msimu huu twendeni mpaka nusu
@@SangaliPower sisi (yanga) tulicheza final kwenye CAFCC 2022/2023,jitahidini angalau mfike hapo
Hapa PA mkapa ni lazm hatoki mtu thank you ahmedy aly
Karibu sana unyamani Mpanzu
Good Ahmed ally good talented
Asante Mungu kwa kutupatia msemaji hasa ndo anastahili simbaaa naipenda sana simbaaa na wanasimba woteee
Ahmed Ali huna mpizan tanzania hiiiii❤
Mungu mwema mo mungu akupe umli
Hongera Wana Simba hatupoi
Amekwenda amekwenda amekwenda mkichoka amekwenda mniambie
Tumechoka😂😂
Raha xnaaaaa
Nitaishabikia simba mpaka kufa kwangu. I love simba
😂😂insha allah
Daah..!! Sema Huyu Mwamb Anajuw Hasw Kwa Kuwataniy Watani Wake
Hakuna zaidi yako tanzania hii
Ubaya Ubwela mwana simba ❤❤❤
Kweli Camara ni Spiderman 🕷️🕸️🦁♥️♥️♥️
Nina furaha sana timu yangu ya Simba kwaushind mzur
Naipenda sana simba😊
Hongera Simba kwa ushind
Hii sasa ndo simba ya ubaya ubwela❤❤❤
Sisi ndo SIMBA 🦁
Semaji la caf ❤
Wanasimba heshima kwa kibu dii na atebaaàa .Tamba semaji la kimataifa.
😂😂❤❤❤❤ themaji bana Raha kweliiiiiiii
❤ simbaaaaaaaaaaaaa simbaaaaaaaaaaaaaa🎉
Tunashukuru mungu
CBE ni team ya chuo cha CBE. Hata ihefu wangweza kichukia milion 85
asante semaj
Ilove you smba❤
Tunawapongeza wachezaj wetu kwa kuvuka hatua hii na kuingia hatua ya makundi
Semaji letu zuri unajuwa bwana 🥰🥰🥰
Pongezi nyingi pia ziende kwa kipa wetu Camara
Like nyingi kwa mashine ya kuongea 👇
Naipenda simba milele
Msimahau Fernandez mavambo Deborah
Amekwenda amekwenda amekwenda naijuwa iyooo
Semajiiiiiiiiiii la CAF
Ahmed Ally yupo serious
Kaeni kimya semaji anazu_____
TIM KUBWA CHAMA KUBWA SIO UBAYA UBWELA TUNAITA UNYAMA UBWELA 🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁MFALME WA MWITUNI
Ubaya ubwelaaa 🦁 💪🏽
Eti Mzee saidi na mzee masatu wanakaa hesabu 😂😂😂😂😂
Jamaaa anahadithia kwa sifa sana, hahahahahah lazima ucheke aisee huyu ane anafaa sana kuwa stand up comedy
Anakwenda anakwenda😂😂😂😂 semaji ❤❤❤😅😅😂
Simba nguvu Moja, Ubaya ubwela
Sema la caf
Hii ndiy simba yetu tunayoijua msimu huu watu wakila 10 wasishangae😮
Vizur sana
Yani ni kweli tunafuraha jamani😂😂😂😂😂😂kuliko binadamu wowote😂😂😂
Sio tu Tanzania ni Dunia binaadamu mwenye furaha Leo ni shabiki wa Simba 😂😂
Watu wametinga klabu bingwa makundi kwa kishindo we useme una furaha pekeako we kweli chizi yanga ndo baba lao kwa sasa maana hilo kombe yanga kafika fainali juzi
Kwa kumfunga nani? CBE haiwezi kufunga timu yoyote ya NBC@@ErastoChilanza
@@ErastoChilanza 😄😄Sasa si ukacomment kwa yanga wenzio huku unafata nini
@@winnielawrence6584 nimekufuata wewe
Goli la kibu ndo goli bora caf
Ubaya ubwelaaa❤❤
Tangu naijua Simba kamara ni kaseja wa2
Huyu jamaa anataka kulinganisha ist na range rover hana akili we baki kwa waliofeli, umejisahau we mwenyewe ulikula 5 utasingizia nini wewe huko chekechea sie tuko chuo kikuu
Jamaa mbona Simba iliwahi kuwa piga 6 mbona usemi?
Semaji la FIFA
Walker Cynthia Harris Shirley Garcia Melissa
Wengne hawajazungumzia kuusu kijana wa pemben ni mweus alaf yupo serious
Asante simba
Hongereni xana wana cmba
Sasa sisi wanasimba walioko canada 🇨🇦 tunahitaji number ya msemaji wetu
❤❤❤
😂😂😂😂 ila semaji hapo kwenye viwanja vya amani 😂😂😂
😢😢 surah tu
Nguvu moja❤❤❤❤❤❤
Wanasimba tunafulaha subwa kwasikuyaleo sana
Wahafidhinaa
Simba yetu ndio kawaida yetu nguvu moja ❤❤❤❤❤
This is simba 💃💃
Huyu jamaa hajaanz at kusema mm huwaga nachek balaaaaa
Yaan msemaji
Mashine yakuongea inajua kutupambania mashabiki na wapenz WA Simba sports club 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Simba nguvu moya UBAYA UBWELA😅😅😅😅😅😅
Kwel semaj la cuf umeongea ukwel mtupu wapinzan wanaumia sana
Kweli makonde mwenzangu ubaya ubwela
Watekoma mwaka huuuu
Simbaaaa ❤❤❤❤❤❤❤🇹🇿
Surely
Saw
Atebaaaaaaaaaaa
Kibu! Kibu! kibu! Kibu! Umepikwa ukapikika!
Wana simbaaaaa
Simba nguvu moja
Semaji la caf
Ubaya ubwela simba nguvu moja
Jamaa anajua kuongea bn😅
Simba tupeni raha jamani mana hatuna raha mtaani
😂😂😂😂😂😂😂😂semaji linakels
Haji manala leo amevimba
Amekwenda amekwenda😂😂😂😂😂😂😂
Tume wafanya vibaya mnooooooooooo!!!