Une femme n'est pas un vêtement ni un panier pour le marché!!! L'homme a vu +des femmes avant de se décider et un jour... Si l'homme ne valorise pas sa femme qui le fera à sa place... Ils sont devenus 1 dans Le Seigneur( par le lien du mariage) ne vous mêlez pas dans leur union... Une belle chanson de mariage avec plein de conseils. Aksante Muze Salomon.
Glory be to God, huu wimbo unanisimamisha sana kiimani hasa nikikumbuka yale nimepitia, namshukuru mungu kwa kuisimamisha ndoa yangu baada ya kupitia changamoto mingi ubarikiwe sana muhudumu wa mungu.
Every time I listen to this song, I cry…the tallest brother in this video was my very best friend. I lost him to death in 2010; I am still in pain. Brother Elizier, may your soul rest in eternal peace. I love you dearly and I miss you.
vyimbo zako zinaubariki moyo wangu mngu akubariki mutumishi wa mngu zinaerimisha zinafundisha zina bariki ukiwa rohoni nirazima uvune kitu kupitia wimbo huu mzr
wewewe ni kweli. wacheni hawa wawili waendeshe maisha yao wenyewe,wazazi mkae mbali mna fitina sana,mnatenganisha.wooooweee asante Solomon kwa ujumbe huu.Mungu akuongoze ujenge nyumba yako
Barikiwa ndugu solomon kwa wimbo huo unamafunzo yakutosha, umechanguliwa huo ndo utaimba kwa harusi yangu siku ya jumamosi nakupata nikiwa Istanbul turkey
Mungu nisaidie nimtunze huyu mdada uliyenipatia
my prayers always naomba mungu anibariki na mume mzuri mwenye anajua maneno ya mungu sio mwenye anakunywa pombe.Amen
Dorice usijali kila kitu Mungu atapanga kulingana na wakati wake
Tafuta tu yeyote mbadilishe baadaye, nigumu kupata kitu kizuri usichokuwa ata na kibaya
Usikate tamaa rafiki mungu atakupa wa ubavu wako
n so shall ur desires come to pass
@@jomoacornell2 you can't change anyone only God can.
Mkesi nguo Solomon
Usiingilie kati kabisa barikiwa kaka🙏🙏🙏🙏
Wangapi wako hapa❤
Napenda huu wimbo jameni 🙏🙏🙏🙏
Une femme n'est pas un vêtement ni un panier pour le marché!!!
L'homme a vu +des femmes avant de se décider et un jour...
Si l'homme ne valorise pas sa femme qui le fera à sa place...
Ils sont devenus 1 dans Le Seigneur( par le lien du mariage) ne vous mêlez pas dans leur union...
Une belle chanson de mariage avec plein de conseils.
Aksante Muze Salomon.
Asante YESU umenipa mume. Ubarikiwe kwa ujumbe mzuri mtumishi wa MUNGU
O
@@neemajosephatneemajosephat32 hongera sana
Muke si nguo. Upendo uko juu ya yote
aliponiona moyo ukagongagonga kongkong am blessed Solomon
dorice 123jalango Aya bwana dorice
Hizi nyimbo zanibariki sana.
Ubalikiwe sana mungu azidi kukupa nguvu na mpumzi uzidi kutupa ujumbe mzur kupitia nyimbo za dini kweli ujumbe nimeukubali sana
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏,i feel renewed so strengthen in the name of Jesus christ.
Ndio kabisa iko na mafundisho na hekima mazuri inafaa watu wasiekie huu wimbo nzuri sana mungu akubariki Solomon Mkubwa
Longue vie et grâce sur grâce pasteur Salomon .
duuuuuu huuu wimbo ni mtamuu sana
mungu akubariki zaidi..kwel mke c kitunguu👌👌
Hongera sana Mungu akuinue
Amen nami nasubiria wa kwangu maana mume mzuri anatoka kwa maulana pia wakati wake ni ndio na amina ...ufunuo mzuri kaka Solomon Mkubwa
Doreen Nasike
Wimbo mzuri umejaa Mafundisho ya hekima, barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Naomba nipate mchumba pia mm siku moja niwe ni mm
I like that song so much. I will play in my wedding
Tabitha Mkila kiukweri
ujumbe mzuri, sauti nzuri,mpangilio uko vizuri video inalipa. Be blessed
Wimbo Mzuri sana unanikumbusha mbali sana
Nagupenda sana mungu akumbariki sana
huu wimbo waaah🎷🎸🎸✔✔✔💯
Joseph bulugu naupenda sana huu wimbo unamagundisho
Woi mungu wangu he's no more God help us... prince be strong
Ameeeen hallelujah 🙏🙌🛐 😲.👏👏
This song touches my heart kweli ndoa iheshimiwe
wow this will be one of the song I will play on my wedding day.Its a nice one be blessed man of God.
Mungu mkubwa man of God
kweli kabisa lazima kila mtu atunze mwenzake.
Hongeral kaka kwa taranta hii ya kumtukuza mwenyenzi mungu nyimbo zako zinanibariki
Wow ! I love this song so much,I must sing it to my wife.may God continue exalting His work,be blessed bro.
No day I will stop listening kind of songs like this one. Sinanipa nguvu na dumaini maishiani mwangu. Naamini safari yaelekea kufika Thank you LORD.
Elvis asala
Jamani wimbo mzuri sana ukweli watu wasiingilie ndoa
Tuliza.stop being jealous of others you got yours
Stay with her
Kwa kweli naomba siku moja nami nifikie hapo. Nabarikiwa sana kwa huu wimbo amina hiwe hivyo sisi hambao twatarijia kuingia katika ndoa.
Fofo Nassr were Fofo.
Ok thanks we will talk more.
Fofo Nassr am well bt a u a lady or guy cz. i so you on google+.
Fofo Nassr Ok so ua nt free wth ua phone?.
Fofo Nassr ok sawa a u oky there.
Nyimbo nzuri ubarkiwe mungu akpandishe viwango vya juuu zaid amen!!
Huu wimbo Huwa una nitulinza moyo I love this song Solomon my god bless you so much
solomoni Wimbo wako nimewa samehe umenifulahisha sana mungu akubaliki sana?
mke si nguo mungu bariki waimbaji kwa wimbo mzuri wamenibariki sana
True n real Gospels....they touch my soul big time....I can feel them this far in somalia. God bless KDF soldiers.
Safi sana ujumbe umefika
Nimebarikiwa sana na huu wimbo mungu akubariki na kukupa maono zaidi
Amen also praying for my hasband to come my way
Kweli umenena ndugu Solomon
Mko vzr hadi raha kwa yesu.
Wimbo wenye wasia na mafunzo barikiwa..
Ubarikiwe sana Na Mungu Akubariki sana
Hakika mke si nguo apatine dukani,Mungu akubariki sana mtumishi,na azidi kukuinua katika huduma yako
Pongezi nyingi kwako kwa kuzidi kutuelimisha kupitia nyimbo zako, Mungu akubari sana…
Soon will be my song in my wedding day❤❤❤❤❤
God bless you man of God
Those beats and the dancers!!..
kweli kabisa ..mungu akubarikia sana great job.
yaan huu wimbo anatakiwa apewe tuzo huwa nausikiliza ata mara 10 /day
Amen umenibariki Sana
Glory be to God, huu wimbo unanisimamisha sana kiimani hasa nikikumbuka yale nimepitia, namshukuru mungu kwa kuisimamisha ndoa yangu baada ya kupitia changamoto mingi ubarikiwe sana muhudumu wa mungu.
Naupenda hii nyimbo
Anointed song. Ty Mr Solomon Mukubwa
Asante mkubwa kwa huu wimbo nimebarikiwa sana ndoa ya wawili usingilia katika.
Every time I listen to this song, I cry…the tallest brother in this video was my very best friend. I lost him to death in 2010; I am still in pain.
Brother Elizier, may your soul rest in eternal peace.
I love you dearly and I miss you.
mungu azid kuku inua braza
ubalikiwe mtu wa mungu kwa wimbo mzur ameeee
napenda sana nymbo zako mtumishi ubarikiwe na Mungu......
mke sio nguo,.........
ulpomuona ........moyo ukagonga gonga
naipenda sana hii Nyimbo naimani muda wangu utafika wakati sio mrefu maana Mungu wetu uwa hachelewi wala hawai..
God bless you Solomon Mukubwa.I❤u
Solomon hii wimbo ya ndoa inanibarki sana ninapotarajia kufunga ndoa yangu ,,nkt mungu ainue kipawa chako na ubarikiwe sana
Very inspiring song,I love it..mungu akapate kutupa hekima na maarifa ya kutunza ndoa na mahusiano yetu..
I love this song🥰🤩🤩🥰🥰🥰🥰😘😘😘😘😘😘😘😘😘 inanigusaaaaaaaa roho. Blessed man Of God🙏
Muke singuo kaka barikiwa sana
kweli usiingilie kati ya ndoa za wengine
vyimbo zako zinaubariki moyo wangu mngu akubariki mutumishi wa mngu zinaerimisha zinafundisha zina bariki ukiwa rohoni nirazima uvune kitu kupitia wimbo huu mzr
Lakini ulipomuona dada fulani....MOYO UKADUNDADUNDA!!!
...so blessing song!!!!
I love the song inanibariki sana
Wonderful song God bless you man of God Solomon Mkubwa
Mungu akulinde had uingie mbinguni unatufundisha xana
Kweli mpende sana wa kwako hata kama iko na Bi mashavu
Love stil only Love😀💝.
surely mke siyo guo wacha ni take ya wangu.
Amen ubarikiwe Sana
Da best song to be played wen walking down the
isle
Kwa ukweli mke si nguo... Like it
wooow nimependa hii song aki mke si nguo barikiwa xna Solomon
I love the Rhumba Gospel Style,
God bless you brother
Congrats bro
Bro Solomon u bless me so much please organise for another new wedding song I wish you d best as u prepare
Where was this song when I was walking down the isle!? Love it! God bless you man of God.
wewewe ni kweli. wacheni hawa wawili waendeshe maisha yao wenyewe,wazazi mkae mbali mna fitina sana,mnatenganisha.wooooweee asante Solomon kwa ujumbe huu.Mungu akuongoze ujenge nyumba yako
Kwl kabisa
I love this its soo nice ,it wanna be atheme to my wedding ..Love it God bless ad uplift you more ad more Solomon
so sweet, hii wimbo uniondolea mangumu ya ndoa kabisa, God bless
Amen
Nice educative song: how and where not to get a mate. Only God will bring His choice that He created for you!!
Kaka barikiwa sana. natamani siku moja uje kuniimbia kwenye harusi yangu.
Barikiwa Mutumishi.
Maneno ya kujenga
Thanks my brother Solomon, ndio ombi langu kila siku ili na Mimi niwe hivyo, Ameen ameen sana, najua itakuwa hivyo!!
Barikiwa sana a very nice song
Barikiwa ndugu solomon kwa wimbo huo unamafunzo yakutosha, umechanguliwa huo ndo utaimba kwa harusi yangu siku ya jumamosi nakupata nikiwa Istanbul turkey
Waau,wonderful song,Mungu akubariki Solo,ungekua hapa ningekupa a big hug,
my wedding best,God willing,Amen
Ilike Swahili song BT ineed a freind to be my translator my # +265 0995509347
this was my wedding dance song.BeautIful!
Wimbo mzuri sana. Ubarikiwe na Bwana mtumishi.