SIMBA WATUMIA NDGE TATU KUWAFATA WAARABU, WAHOFIA BARIDI KALI NA RATIBA NGUMU YA LIGI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 12

  • @MakalasingaZanzibar
    @MakalasingaZanzibar 8 днів тому +1

    Safi sana semaji letu halikosei😅😅

  • @Annaonesmo-x5b
    @Annaonesmo-x5b 8 днів тому +1

    Mungu nimwema tutafungaa love ❤️ simbaaaa simbaaaa itafanikiwa tu kikubwa uzima na kumuomba mungu tu❤❤❤❤

  • @SunguraOmary-qs8vy
    @SunguraOmary-qs8vy 7 днів тому

    Mimi kwa mtazamo wangu hicheza mpila mzuli sana mchezo tulio cheza kwa mkapa ulikua na mambo mengi ata kushinda lile goli tushukuru mungu mtazamo wangu ndio uwo

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 8 днів тому +1

    SEMAJI LA CAF SAFI SANA TUNAKUPENDA SANA NA HATUKUACHI HATA IWEJE. JAMANI HUYO KAGOMA VP?MUNGU WABARIKI WACHEZAJI WA SIMBA WAPATE AFYA NJEMA.NA WAPATE USHINDI ULIOO TUKUKA

  • @chrizostomchristian1884
    @chrizostomchristian1884 8 днів тому +2

    Wanasimba tunaomba cocha wetu aeshim timu zote hatutaki aibu, maana simba iliyocheza na walibya cio ile iliyocheza na waangola 😢,ajue simba lzima ifunge goli nyingi ,ikumbukwe hii ni shilikisho cio champions league, simba nguvu moja ❤❤❤

  • @anthonymilinga8696
    @anthonymilinga8696 8 днів тому

    Mwandishi msenge sana kichwa cha habari hakiendani na taarifa inayo tolewa.😮

    • @SubiragaKabango
      @SubiragaKabango 8 днів тому

      Mungu ni mwema tena ni mwaminifu! Na atawasafirisha salaama,na hali ya hewa utakuwa ya baridi ya kawaida mtacheza Mpira na kuleta matokeo mazuri! Na Mungu wetu amesema USIOGOPE!( Biblia,Kitabu cha Isaya 41:10 na AYUBU 5:12 na Yeremia 15:20 KWA jina la yesu Kristo) MBARIKIWE SANA! Shalom! Shalom!

    • @habibahassan8429
      @habibahassan8429 8 днів тому

      Ugal unatafutwa kwa tabu

    • @MtumishiEphrem
      @MtumishiEphrem 8 днів тому +1

      Kwan lazima umtukane ndugu yangu. Kukosea mbn ni jambo la kawaida tu

  • @JosephMasaba-u2x
    @JosephMasaba-u2x 8 днів тому

    Kwani.kawafanyia.huyonimazuzu.tu.semeni.kamammekosa.zakusajiria.hAnna.jipya.mnazidi.tu.kuiaibisha.nchi.mama.anawapa.kira.kitu.lakini.mnabugizwa.tu.hyo.dosemaji.larchi.utoporonyinye

    • @JosephzakayoPius
      @JosephzakayoPius 8 днів тому

      Na wewe bwege tu inakuhusu SI ufuatilie Tim yako au tusema wafungwa nenden mkafunwe huko

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 8 днів тому

    Kocha kocha hana jipya muda mrefu simba hai crique hi!!