Dr. Chris Mauki: Fanya Haya Kuepuka Hofu Na Wasiwasi
Вставка
- Опубліковано 4 лют 2025
- Wengi sana wamekatishwa ndoto zao kwa sababu ya hofu na wasiwasi na kama haujui, wengi wamejikuta wapo mahospitalini kwa sababu ya magonjwa yanayosababishwa na hofu na wasiwasi. Utaepukaje na kuzishinda hofu na wasiwasi? Hizi hapa mbinu bora kabisa za kukusaidia
Ubarikiwe mkuu
Ahsante Sana mkuu nimekupata vema
Asante tunakupata kutoka italy
Asante sana Bro chris Mungu akuzidishie zaidi
Hofu kwangu imetawala
Nitaepuka wasiwasi na hofu vipi na husband anaishi cost na mm meru na majukumu nyumbani ya watoto wake anasema ana pesa nmechoka mm tayari kuondoka better nikiwa mwenyewe 😂😂