Am single and able , nalea watoto wangu watatu wawili wakiwa sekondari na hataaaa sifanyi usherati ...single mums out there big up kuwa single sio kilema ❤❤❤❤❤❤
I'm proud to be single mom the only best way it's to be confidence for anything that you may face in life,, thenxs Jay n author kitty fefe God bless you 💞🥰
And this is where most of single moms fail maana unakuta wanawake wengi tunakosa kujiamini,,, I'm single and I'm proud of that na hata sitamani mwanaume ktk maisha yangu yalio nikuta I even can't explain bt I thank God for this far na wanangu wanajuvunia mm wanaamini ni na play part ya dad n mom
Wanawake wenzangu tuna fail sana kuona kuwa single Yani ni kama ugonjwa me I’m single and I enjoy sina mtu wa kunyanduana nae na kingine I RESPECT MYSELF maana mwili wetu ni hekaru. I need to take care what is mine maana kama Sinta weza kutunza changu je cha mwingine. Na Sio hicho tuu I RESPECT MY KIDS Hata kama ni wadogo lazima wanastahili heshima
Vp anko wasemaje huyo anaemba tumsapoti,umeamini kuwa wewe ni mwamba Jabali wetu King 👑 mpaka wenzio wanaomba wadau wako,twazidi kukuombea mungu uwe juu zaidi na zaidi ufanikiwe popote uwendapo daima twakupenda sana Jabali wetu King 👑❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Don’t worry my dear to be single mother is not problem l’m single mother of twins my husband passed away when l was one month pregnant so don’t worry about what people say about you sweetheart keep be strong people they don’t know how we feel 😢😢😢😢
Hivi duniani unaweza kuwa na rafiki Mwanamme wa ukaribu alafu mwanamme mwingine aelewe tu, mapozi ya kushikwa Bega nywele hata sio poa. Megan siwezi kumlaumu
Me to I'm single anko Jay kwani umetujua au unakisia tu mana tupo wengi si gigy money tu, wanaume si watu japo twawaza sisi ila tabia zao apana kabisa twaachia mungu tu kila jambo
Huyu Megan hafai kuwa mume kwani anapenda historia hapendi mtu,ni mchafu na anawapenda wasafi,hana upendo wa kweli mwanaume mwenye maneno ya shombo hivyo
BONYEZA HAPA 👇 KUSIKILIZA PART 02 ua-cam.com/video/Doz4vMUSkCs/v-deo.html
❤❤❤
Am single and able , nalea watoto wangu watatu wawili wakiwa sekondari na hataaaa sifanyi usherati ...single mums out there big up kuwa single sio kilema ❤❤❤❤❤❤
I'm proud to be a single mother of two little girls, and am always happy i don't care what people talk about me
I'm proud to be single mom the only best way it's to be confidence for anything that you may face in life,, thenxs Jay n author kitty fefe God bless you 💞🥰
Don't worry, Darling!!Am single too,but being single is not a dead sentence...Uzuri kwa Mungu hamna Cha single mum wala nini..
Uuuuuuuuuuuiiiiiiiii nimefikiwa..im single and im happy❤❤❤❤❤❤.na Anko tunakumiss sana..simulizi ikikosa tu kwa siku moja ni kama mwezi bila.❤❤❤❤
Single mum mko wapi kujeni tujiunge na anko uuuuuu kimeumana apa❤❤❤❤❤❤ naketi padeii
😭😭😭 huyu dada jamani mbona rahisi unapeana tu ovyo kipochi manyoya .niko single na najiheshimu sana mwili wangu ,nangojea mume mwema kutoka kwa mungu
And this is where most of single moms fail maana unakuta wanawake wengi tunakosa kujiamini,,, I'm single and I'm proud of that na hata sitamani mwanaume ktk maisha yangu yalio nikuta I even can't explain bt I thank God for this far na wanangu wanajuvunia mm wanaamini ni na play part ya dad n mom
Wanawake wenzangu tuna fail sana kuona kuwa single Yani ni kama ugonjwa me I’m single and I enjoy sina mtu wa kunyanduana nae na kingine I RESPECT MYSELF maana mwili wetu ni hekaru. I need to take care what is mine maana kama Sinta weza kutunza changu je cha mwingine. Na Sio hicho tuu I RESPECT MY KIDS Hata kama ni wadogo lazima wanastahili heshima
Jamani mbona hajapeana ovyo😂😂😂
@@maseleenaesleen8149 😂😂😂 we acha tu
Hivi ni wote tumesikiliza Kam mm au Mimi sijasikia sehem anapeana ovyo jamani..
Asante anko j ilove you so much nipen like zangu tusiwe wachoyo nimewapi wacha nikae vizur kilichomo ndani yake i'm single 🤗🤗🤗🤗
Mi pia am single again. Halafu this time nataka boyfriend ambaye nae anasikiliza hadithi za anko J. So guys kama uko single tupia namba hapo❤❤❤
😂😂😂😂
Weee keeli au
Mkuryaaa uwiii😮
Murise don't run ,,,,,,,,,
Wakurya wanawezana na wakurya tu wengine wanatafuta kufa tu
😂😂😂😂😂😂😂
Acha uongo wewe nawanajua kupenda sana
Pole. Dada. Sisi. Wote. Ni. Single. ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 naitwa bisuni rashidi kutoka tanga
Hii story ni tamu let me listen for part 2❤❤
Anko tunashukuru kwa simulizi zako nzur tunaenjoy kwa kweli na kujifunza mambo mengi ktk maisha mungu akubariki
l' m single mother ila najiechimu sitaki mazoweya kabisa na wanaume kwa sababu kilicho nikuta aisée ni mungu tu anajuwa 😢
❤❤❤❤❤❤❤tunakupenda anko jjjjjjjjj
Congratulations 👏👏👏👏 i love your job napenda sana kazi yako anko Jay wacha tu niseme ukweli I'm addicted too much 💞❤❤❤❤
Hunger.anko,Jay.doctor.wa.saratani.ya.matiti.part2plz.simulizi.zakonzuri
Yes ! I'm no.1 thanks Ankoj ❤❤❤
Jamani,kila mtu akili zake anazijua mwenyewe,kwani ukiwa na mume,unajua kama Mungu amekupangia kuishi naye muda gani?inachekesha sana!!
I'm single mother na enjoy life 😊
Hoihoi love anko jay kwa kutujali wa sikilizaji
Sijawahi kuwa wa kwanza jamani 😀😀😀😀like zangu bas
Utamu wa simulizi za anko Jay upate watu washasikiliza na comments kibao😂😂😂
Vp anko wasemaje huyo anaemba tumsapoti,umeamini kuwa wewe ni mwamba Jabali wetu King 👑 mpaka wenzio wanaomba wadau wako,twazidi kukuombea mungu uwe juu zaidi na zaidi ufanikiwe popote uwendapo daima twakupenda sana Jabali wetu King 👑❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Mm napenda Anko ubebe uhusika jmni napenda
Wa Kwanza am single wooow what a good day leteni likes tukisonga na kuenjoy simulizi ya kitty fefe ❤
....,,,
P😊
I'm🎉🎉
Don’t worry my dear to be single mother is not problem l’m single mother of twins my husband passed away when l was one month pregnant so don’t worry about what people say about you sweetheart keep be strong people they don’t know how we feel 😢😢😢😢
Invisible listener.🎉
unasauti nzuri unavutia
Mbona haiendeleiiiii
Leo wa kwanza asante anko jay❤
Asate sana ako Jay
Makubwa
Hunger.ankojay.plzmasawepart2
ANKO JAY MWENYEW SIMULIZ ❤❤❤❤
Duuuh atr sana
Safi sana
Number one 😂today thanks bro🤛
nakuku bari San anko j🤭🤭
Hivi duniani unaweza kuwa na rafiki Mwanamme wa ukaribu alafu mwanamme mwingine aelewe tu, mapozi ya kushikwa Bega nywele hata sio poa. Megan siwezi kumlaumu
Shukran ankoJ nice simulizi much love❤❤❤❤
Thank you anko jay ❤
Ki ukweli simulizi hii imenigusa😔..... Nakubali baba✌️😎 @anko jay. Kwakutupa vitu
I' M SINGLE kuwa SINGLE raha sana kwanza ata ukichelewa nyumbani hakuna wakuuliza 😂😂
Ukizoea kua single ndoa waiona kero😂😂
@@Zaynab-ny6grumeonaeee 😂😂😂
❤❤❤❤❤ single let's gather here
Mmmh,mkuria mambo yatakupata T
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Ahsante anko Jay ❤❤❤
Uncle Jay thx
Mmmh ank j umekuwa kmy sana ad nilikumis et
Tupo jana na leo ma singer mother
I'm single 😊 kunani tena
Me to I'm single anko Jay kwani umetujua au unakisia tu mana tupo wengi si gigy money tu, wanaume si watu japo twawaza sisi ila tabia zao apana kabisa twaachia mungu tu kila jambo
❤❤waoooo again ankojay nilikumis😊😊😊
Kuingia vip nafanyaje
Asante San 🎉🎉🎉❤❤❤
🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤
Waa! nimechelewa, lakini chelewa Kisha ufike
Apo ndo unapo nikosha anko jay😊
Nimekupenda vipi madam.pia mm ni single.
Wow Asante sana kaka Ankojay
Uncle jay leo hamna cha kulalia jamani mh
🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌❤
Huyu Megan hafai kuwa mume kwani anapenda historia hapendi mtu,ni mchafu na anawapenda wasafi,hana upendo wa kweli mwanaume mwenye maneno ya shombo hivyo
Hilo chozi ni laungo 😂😂
Anko jay siku hz unazingua ku upload jmn
Mbona jana kimy sana urikuwa wap
Huyu dada mbona kama Gigi money
Umeonaeeeeee ni Gigi kabisa
😅😅😅
Duuuuuuu anko tuleteeee Sasa ya double maaan umeleta single
Woooo...❤❤❤
Hi guys? Nakukubali Anko Jay, Asante sana ,tuko pamoja
Jamani nimechelewa 😢
I am single anko j umeleta yetu,hii imeenda 😂
😂😂😂❤
Daa ako j simulizi zako zinatukosha sana
Mm sijaelewa mwendelezo wake uko wapi hii simulizi?
Thank you anko jay
Asante ankojay
Mh a acha tuone kwann ako single
Thank you🌹❤❤❤
Mackini chidi wetu.
😅😅😅😅eti naijua hiyo
Yaani ulitiwa bila hata kinga kweli?
Asante ❤️ ❤️ ❤️ ❤️
Anko Jay 🙏🙏🙏🙏
shukran
Anko j hii simuliz imekatishwa au imeisha
Part 2 Inakuja
Mie mwenyewe imebidi nirudie 😆 😂
@@ankojay_ OK tunasubiri ni lini hiyo?
VIP part two anko jey@@ankojay_
😂😂😂
Ktk story zote ulizowahi kusimulia hii imejua kuchoropoka chaaaaa
Anko j mbona unaongea kivivu hivyo,umechoka?nikununulie enegy drink,,,,au ni kwa vile ni ya siku nyingi miez 9 iliyopita
Jamani mna wahi cjui wa 10 😢
Waooooooooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
I'm single yes
To be continued
❤️❤️❤️❤️
Kunawatu wanawahi umundani jmn mmh😉
Sijui wanalala humu sielewi yaani😁
Anko usharudi songea
Hvi wtt wa kike tunashida gni.mtu humjui kupima hujapima hta kinga pia hutumii?
Ni aibu halafu mtu akiambiwa kaathirika unakuta linalia sasa unalia nini wakati unafanya mapenzi bila kinga😢😢😢😢
Wa nane leo huku kwa single mum❤❤
Anko j group la wasp je
nzuri sana ila imeisha ghafla sana