FULL VIDEO H BABA atoa ya moyoni kuhusu HARMONIZE ni muongo DIAMOND hajawai kumkosea

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 214

  • @adetonahsounkoura8038
    @adetonahsounkoura8038 2 роки тому +7

    Today is day for Diamond. All ennemis will talk Mashallah. It is good to you Hbaba to free your heart.

  • @alkadkomba5449
    @alkadkomba5449 2 роки тому

    Point broh Baba LEVO juzi kamtukana mgonjwa alimpigia simu amsaidie hata hela ya dawa Alimtukana sanaaa

  • @johannahakim8470
    @johannahakim8470 2 роки тому +3

    Umushukuru harmonizehakuna ana alité kuwa anakujuwa

  • @loganpoul
    @loganpoul 2 роки тому +3

    Kwenye hio Ngoma alikua na mkataba wowote?alikua na makubaliano gani na mashahidi ni wapi?uchawa utawaua na njaa jamani,,,

  • @starfordalex4139
    @starfordalex4139 2 роки тому +2

    Nakukubali saana H baba

  • @rachelwilly863
    @rachelwilly863 2 роки тому +3

    Usituchoshe bwana si tuko bize kuangalia video ya DUNIA 👌🏻

  • @donmahela2412
    @donmahela2412 2 роки тому +2

    Sasa hivi munamuona anaropoka wakati muda alokuwa anamsema diamond mulimuona yupo sahihi

    • @lelarubea6405
      @lelarubea6405 2 роки тому

      Ni kweli watu wote walimsapot hbaba alipokuwa anamsema daimond

  • @starfordalex4139
    @starfordalex4139 2 роки тому +2

    H baba umefanya vizuri kuachana na huyo Pimbi

  • @gracetanyungu4727
    @gracetanyungu4727 2 роки тому +2

    Mwambie huyo harmo ukweli

  • @fathiyaomar9009
    @fathiyaomar9009 2 роки тому +2

    Jamanii njoooooni h baba anatafuta bwana huku maana kote kapigwa buti

  • @official_manchipa
    @official_manchipa 2 роки тому +2

    H baba upo sahihi harmonise ni miyeyusho kinoma 😂 maana naona hata Ile nyimbo ya ATTITUDE alifanya wizi

  • @benitokibwaa4251
    @benitokibwaa4251 2 роки тому +1

    Simbaaa 🔥🔥🔥🔥

  • @officiatuga
    @officiatuga 2 роки тому +1

    Amefulia huyoo kwanza hana mpaya ananimalizia mb tyuu😱😱😱

  • @agustinorichadi1253
    @agustinorichadi1253 2 роки тому

    😂😂😂😂😂 sema sema

  • @jonaskitabuzi4503
    @jonaskitabuzi4503 2 роки тому +3

    Harmonize tatizo anamazalau

  • @ndayijeanclaude5094
    @ndayijeanclaude5094 2 роки тому +3

    Harmonize anatakiwa awe anahangalia kwa umakini sana watu anawo wapa support,ahangalie watu anawa wapa shout out, mfano huyu Hmama hii siku ako anapewa Interview kwa ajili ya ukalibu alokua nawo na KondeBoy, alimpa nafasi ya kuimba kwenye wimbo wake attitude mpaka sasa hivi anasimama mjini juu ya support ya KondeBoy, lakini anasimama hapo anamsema vibaya, nikikumbuka maneno yako hapo awali nashangaa sana.

    • @shimbirobo9586
      @shimbirobo9586 2 роки тому

      Mbona harmo alilia airport kuwa amedhurumiwa na wakat alimshika mkono nyimbo nying tu??????? Au Nyan aoni kundule lake

    • @ndayijeanclaude5094
      @ndayijeanclaude5094 2 роки тому

      @@shimbirobo9586 kulikua na mkataba, siyo kusaidiana. Je huyu mandevu alikua na mkataba gani?

  • @hamisigeorge7472
    @hamisigeorge7472 2 роки тому

    njaa kk mbaya sana fanya kaz uchawa so mzr

  • @maxlattinokiki8105
    @maxlattinokiki8105 2 роки тому +3

    Mwisho wake atakuwa shoga !! Mtoto wa kiume una wezaje kutegemea mwanaume mwenzio tena Mdogo wako, hakuna mkataba mlio funga huwo ni uchoko,

  • @miskyabdikadir9467
    @miskyabdikadir9467 2 роки тому +1

    Njaaa inakuuwa tu😡😡

  • @anthonyboniface4181
    @anthonyboniface4181 2 роки тому +7

    Anatuzalilisha sisi wenye ndevu jitu kubwa Lakini kujieleza hajui kelele nyingi kujieleza hawezi

  • @WORDOFMYCREATOR
    @WORDOFMYCREATOR 2 роки тому +12

    This man is demandi alot of attention from his fellow man.He should just work hard for himself. Harmonize gave him a big shout out that's why he is being interviewed today.we had so along time ago forgotten him.Its just Harmonize who brought him back.He is supposed to use the opportunity not to be fed.Harmonize aache hawa tuzee tubaki tumesahulika.Same goes to Kajala.She was brought out with Harmonize but after they in Town they forgot.

  • @abubakarimuhono3584
    @abubakarimuhono3584 2 роки тому +2

    Huyu mwandishi nais hakwenda shule maana haelewi kabisa dah

  • @nasseralhabsi4121
    @nasseralhabsi4121 2 роки тому +5

    Unalopoka buree tu wala huwezi mfanya konde chochote we bwabwaja weeee ukichoka utanyamaza ulibwabwaja kwa daimond mwishowe ukanyamaza fanya kazi zako achana na maneno ovyooo sanaa

  • @OMANOman-qc1lm
    @OMANOman-qc1lm 2 роки тому +8

    wasani wa zamani sio wa kushika mkono awafai utawashika mkono mwisho wake ndo Aya wanakuchafua kwa maneno ya uwongo alafu jinsi anavyo zungumza unajua kabisa katumwa

    • @suleimanmakame3029
      @suleimanmakame3029 2 роки тому +1

      Huyo kanunuliwa kwa bei rahisi sana

    • @omaryntagala3740
      @omaryntagala3740 2 роки тому +1

      Wewe na hbaba nani anamfahamu harmonize

    • @Officialvplat
      @Officialvplat 2 роки тому

      Mbn Harmo katolewa n Simba n anamchafua 😂😂😂 sheria ni msumeno 😂😂😂

    • @msalabanireko1518
      @msalabanireko1518 2 роки тому

      Ww mbon hrmo alitolewa na simb lkn mwisho wa siku alikuja kumchafua kumtukana mpeni aki yake

  • @songamberetv2219
    @songamberetv2219 2 роки тому +4

    Maskini umekonda 🤣🤣

  • @hamisiissa8628
    @hamisiissa8628 2 роки тому +2

    Ana njaa huyoo mpumbavuu acha kulialia umepoteza nn kwa harmo jinga kubwa

  • @noelmsimbe3293
    @noelmsimbe3293 2 роки тому +3

    Huyu jamaa Hana akili hatujui tuamini Nini kinachotoka mdomoni mwake

  • @eliadsimbaya5156
    @eliadsimbaya5156 2 роки тому +10

    Watu wanatoaga comments Kama machoko,,,unaanzaje kuamini Diamond hajawi kumkosea Harmonize au Harmonize hajawi kumkosea Diamond, Tena watu walioishi pamoja kwa muda mrefu,,Ni vitu vya kawaida na Tena yawezkana kweli Diamond kamkosea dogo janja Kama alivyowahi kuelezea Harmonize,,lakin alichokosea kusema madhaifu ya Diamond hadharani hakufanya poa kwani mazuri yake angeyatumia Kama dasta ya kufutia maovu yake

    • @chapaboyclassic3907
      @chapaboyclassic3907 2 роки тому

      Wew ni kuma mbichiiiii, unajikuta Nani wew

    • @eliadsimbaya5156
      @eliadsimbaya5156 2 роки тому

      Hahahaha! Inaonekana unajuwa kutukana sana,,, Thanks yu chief.

    • @musleetz297
      @musleetz297 2 роки тому +1

      @@chapaboyclassic3907 we mwenyewe kuma

    • @eliadsimbaya5156
      @eliadsimbaya5156 2 роки тому

      @@musleetz297 Achananaye mburura hajielewi huyu,,mm najarbu kumweleza ukwel anapanic

    • @kakorejrboyz6447
      @kakorejrboyz6447 2 роки тому

      Vijana wanaotoka kwenye Familia za Kimaskini wakisaidiwa wakitoka wanaanza Zarau nankusema aliyemsaidia ni mbaya .

  • @pj3497
    @pj3497 2 роки тому +9

    acha uongo,,harmonize tulimjua ata bila ww

  • @sulexseif1531
    @sulexseif1531 2 роки тому

    Daaa pole sana kiongozi ila Haki ya mtu haipotei utaipata2 Haki yako

  • @hamiduomar1316
    @hamiduomar1316 2 роки тому +2

    Mbna amepungua sna , lile shavu halipo tena, mwli umepungua, maisha ni safari na huijui kesho yko,

  • @nasrahamisi9266
    @nasrahamisi9266 2 роки тому

    Hb baba ullipotea kwenye gem harmo ndo kakuludisha ...

  • @ashrafmohammed2636
    @ashrafmohammed2636 2 роки тому

    kaishiwa huyooooooooooooooo

  • @mamukinyogoli5549
    @mamukinyogoli5549 2 роки тому +1

    Hbaba hujuwi kujieleza wala kujenga hoja so sad😥

    • @Kaankaraz
      @Kaankaraz 2 роки тому

      Hah kumbe na ww umeona jamaa hajui kujieleza

  • @ramashemngindo5719
    @ramashemngindo5719 2 роки тому

    📌📌📌📌📌

  • @shabanichaye8255
    @shabanichaye8255 2 роки тому +2

    Mxhamba H baba

  • @zamibrahim3014
    @zamibrahim3014 2 роки тому +3

    Harmonize alikuleta mjini, ukazubaa. Baba levo Katumia fursa. Jilaumu mwenyewe. Wacha kulialia unajithalilisha .si umwulize vipi album ya dukuduku? 😄 🤣 😂

  • @matazahpatrick8329
    @matazahpatrick8329 2 роки тому +1

    Wee mwanzo ndo ulharibu wimbo wa Attitude

    • @qtrqtr8016
      @qtrqtr8016 2 роки тому

      Hakuiharubu wewe tena wajua mziki

  • @zainababudalla8063
    @zainababudalla8063 2 роки тому +2

    Ile show ndo imekutoka Imani🤣🤣🤣🤣

  • @idrisjafar37
    @idrisjafar37 2 роки тому +2

    Yeye h baba mpaka kufatwa ma interview mpaka mkoani kwao ni kwa ajili ya harmonize🙄💯💯..huna jipya bro tafta kazi huezi mchafua bakhresa😼💯

  • @josephkalamazoo7979
    @josephkalamazoo7979 2 роки тому +4

    Kwani ulitumwa umpambanie?wacha hasira ya muziki h.baba na harmonize...wivu tuu unakusumbua

  • @ramaosman8060
    @ramaosman8060 2 роки тому +2

    Let's Goo Winin Team 🏆. Konde Gang For Everybody 💯.
    #LjayKitchen #LjayStunner #OrganicSalad #SwahiliKachumbari

  • @rahimmoshi6331
    @rahimmoshi6331 2 роки тому

    😂😂🤣🤣

  • @feristerjames4522
    @feristerjames4522 2 роки тому

    Ww unamwaminisha mtu wakati ww mwenyewe huaminiw alafu unamwongezea mtu kitu wakati ww mwenyewe hauna kitu sasa sijui ulimwongeza nini

  • @idrisjafar37
    @idrisjafar37 2 роки тому +1

    "Naweka rekodi" jamaa mshamba kweli yani😂😂 rekodi ipi io ya mana sasa🙄🚶

  • @julianamushi3392
    @julianamushi3392 2 роки тому +2

    Hivi hbaba ile tuzo uliompa harmo c ilikuwa ya heshima au ilikuwa ya nini jmn

  • @ManzabaySalim
    @ManzabaySalim 2 роки тому +2

    Kubwa jinga H mama

  • @OMANOman-qc1lm
    @OMANOman-qc1lm 2 роки тому +3

    sisi bila harmonize tusingekujua wewe nawewe umepata mashabiki kutoka kwa harmonize tusha jua wewe mnafki ata useme lolote tunajua mpo wengi mnao mchafua na kutoka kumshusha harmonize ila kwa harmonize mtasubir sanaaaaaa

    • @bovickpascal6554
      @bovickpascal6554 2 роки тому

      Hamna banaa we know h baba long time ago before hamo kkkkk

    • @jonessalum6325
      @jonessalum6325 2 роки тому

      Uyu ninkengee TU

    • @dontsto3865
      @dontsto3865 2 роки тому

      Wamakonde mumeshika simu juzi....mnajiona wamjini kumbe washamba tu...wafikiri h baba ni wa leo

    • @marympochela7903
      @marympochela7903 2 роки тому

      Biggysmals ongea na kondeboy usiongee na wamakonde,

  • @mejamiela7436
    @mejamiela7436 2 роки тому

    Pasuka tu boss

  • @northerntanzaniatv4033
    @northerntanzaniatv4033 2 роки тому +2

    Mtangazaj bado sana kaza mzee interview uwez

  • @salehkhamis3000
    @salehkhamis3000 2 роки тому +4

    Kwan alikuwa na kaz gan pale huyu, mwanaume mzima unamlalamikia mwanaume mwenzie kha!

    • @bovickpascal6554
      @bovickpascal6554 2 роки тому

      Kkkkk yah is good

    • @oledolokos802
      @oledolokos802 2 роки тому

      Leo.mna muona hafai ila kipindi amekuwa aki mtusi mond anafa hhgggg bongo bana

  • @WORDOFMYCREATOR
    @WORDOFMYCREATOR 2 роки тому +2

    Harmonize si mwongo tuachie mbona uwongo huo ndo kitoeo cha konde Fans.H b unajukosea heshima.

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 2 роки тому

    Wasanii wa hapa bongo hamnaga chochote tofauti na kulipa watu wawapigie kelele ili mwonekane mko vizuri kimziki na kimaisha, Kumbe hamna kitu! Sasa kuna faida gani kutafuta sifa za muda mfupi afu baadae mnakuja kuaibishana mbele za watu? Akili ndo hamnaga nyie, Tafuta maisha ya ukweli kama mimi! Mimi hata nikikosana na rafki yangu hana chakunipondea, Kwanza stafuti sifa mjini, Siwezi kumtuma mtu kunisifia, Tunza heshima zenu!

  • @chapaboyclassic3907
    @chapaboyclassic3907 2 роки тому +1

    Mwandishi kilazaaaaa😜😜😜

  • @biggievandar254
    @biggievandar254 2 роки тому +6

    huyo h baba nifala anatabia zakike hajijui hajitambui fala sana

  • @dusesebaseba1623
    @dusesebaseba1623 2 роки тому +5

    H. Baba aujaimba kitu ,Kwanza we sio msanii bwege2 umeimba Nini kwenye Ile nyimbo njaa hizo zinazokusumbua

  • @ramaally5391
    @ramaally5391 2 роки тому

    Asnte H Baba

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 2 роки тому

    Mm nimemjua huyu aliponiunga TU kondegang, wengi walikuwa hawamfahamu

  • @kylesmeight4837
    @kylesmeight4837 2 роки тому +1

    Alikutuma nan ufanye biashara bila mkataba

  • @moviekaa
    @moviekaa 2 роки тому

    H-BABA alikuwa anajitolea hahhahahaahah. tuma maombi ajira portal kama unataka ajira.

  • @subirachuta8169
    @subirachuta8169 2 роки тому +6

    Mtangazaji hujui kazi!! Interview haina mashiko!! Yaani umeng'ang'ania swali moja tuu hadi interview inaboa.

    • @Ashiprizeg
      @Ashiprizeg 2 роки тому

      Interview si ungeifanyw wewe ikaacha kubowa wee vipi watu wengine bana sijui mmrogwa 😂😂😂

    • @subirachuta8169
      @subirachuta8169 2 роки тому +1

      @@Ashiprizeg
      Tuko hivi tulivyo kwa sababu Mungu ndo ametuumba hivi. Sasa unapouliza "Watu wengine sijui tukoje" sijajua unataka kujua nini!!!
      Alafuuuuu🤔 hivyo Mimi ndivyo nilivyoona, yaani interview IMENIBOA sasa Kama wewe UMEENJOY pita kushoto!!!

  • @julianamushi3392
    @julianamushi3392 2 роки тому +1

    Hbaba Rayvanny naye katoka nenda kamsaport huyu lbd hata kuzulumu maan unalia san

  • @sanjeyfundi2795
    @sanjeyfundi2795 2 роки тому +1

    Duli alichomfanyia hamo c cha kiungwana vile vile. So hamo hajakosea

  • @fpmissguyalbertor209
    @fpmissguyalbertor209 2 роки тому

    Hbaba construet ed do your music leave harmoniez

  • @shaaqlassique6644
    @shaaqlassique6644 2 роки тому +2

    Mtangazaji unazingua unauliza swali moja 23 min.... Huyu hbaba anakujibu kiutuuzima muelewe sila ima aseme straight..... Heshimaaaaaa

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 2 роки тому

      Ndiyo maana watangazaji wanatakiwa wakasomee hii kazi siyo kama huyu! Anauliza maswali kama yuko kijiweni

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 2 роки тому +1

    Kweli wewe umeishiwa katafute kazi ya kufanya

  • @salumwaziki3399
    @salumwaziki3399 2 роки тому

    umetumwa umsemee basi ungemwambia akupe kz ya kumsema tushamsahaau tayari bongo bwana atari sana

  • @msalabanireko1518
    @msalabanireko1518 2 роки тому

    Uyu h baba anaongea ukweli mtupu Yan adi raha namkubali uyu

  • @ismailabdulrahman7216
    @ismailabdulrahman7216 2 роки тому

    Ndugu mtangazaji nae mbishi kweli

  • @emmanuelkess8891
    @emmanuelkess8891 2 роки тому

    Mh huna mbinu Tena Kaka

  • @mabulashata2233
    @mabulashata2233 2 роки тому

    Ofcoz hbaba Kama anaongea kweli kabiss

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 2 роки тому

    Wewe Akili huna tafuta maisha Yako achana nayo Tunajua wewe ushapotea kabisa na huwezi kirudi umelala yooooo

  • @timelessdaddy.2542
    @timelessdaddy.2542 2 роки тому +1

    Anamizuka

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 2 роки тому

    H baba Ishi katiaka Maneno ya #SalamSK Biashara haihitaji Ushikaji Biashara ni Mikataba Sasa unaishia kuongea na kutapatapa

  • @Eliadzyke10
    @Eliadzyke10 2 роки тому +1

    Mwanaume ni kujiheshimu sana

  • @janviermukeha8019
    @janviermukeha8019 2 роки тому

    naku that's nineq traitor

  • @jumajuma7215
    @jumajuma7215 2 роки тому

    H baba fanya mziki acha kulia lia

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 2 роки тому +1

    Huyu ni mnafiki hata Afande sele mayiki zinamfata

  • @dandola9323
    @dandola9323 2 роки тому +1

    Unachuki ju ulifukuzwa konde wacha chuki nakuharibia harmo jina

  • @CamiloAfonso
    @CamiloAfonso 2 роки тому

    Auna hakili wewe h mama

  • @nestormpokwa2734
    @nestormpokwa2734 2 роки тому

    H baba una jipya man, fanya inshu zako acha kuzungumzia wenzio badilika kweli ww ni msu kumaa tu

  • @johnjonath6687
    @johnjonath6687 2 роки тому +1

    😂😂😂😂 tafuta hela Kaka acha uchawa

  • @dasheeismael855
    @dasheeismael855 2 роки тому

    HBaba endelea kutoboa siri maana wanazidi kumchafulia Diamond Platnumz jina kwa mambo ya uzushi

  • @osmandingi
    @osmandingi 2 роки тому +2

    Huyo ni njaa inamaumbua tu

  • @kulatendaudi7671
    @kulatendaudi7671 2 роки тому

    Mtangazaji kumbuka huo sio mdahalo ni intervew

  • @OMANOman-qc1lm
    @OMANOman-qc1lm 2 роки тому +14

    sisi atuwezi kuamini lolote kuhusu wewe sababu ulisha sema utamchafua harmonize kwa jins yoyote pili wewe zilipendwa nawewe pia unae oji uyo zilipendwa akuna mashabiki wanao kuliza kuhusu h.mama sema umenda kumuoji kwa unafki wako na maslai yako na kazi yako ili upate kula sababu umeona medya yako akuna mtu anae kufatilia pili sisi mambo ya harmonize na diamond atutaki kujua lolote wanajuana wao kama wao kiundani Zaid harmonize anajua sababu gani iliyo mfanya atoke wcb sema wewe h.mama mnafki mkubwa alafu mchonganishi sana sisi ndo tusha mkubali jeshiiiiiiiiiiii alafu kwanza nenda kajifunze jins gani ya kuva

  • @AbuBakar-fu9ov
    @AbuBakar-fu9ov 2 роки тому +1

    Waandish mjitahid kupangilia maswali vzur ili kupata full details za mahojiano kuliko kuunga unga mahojiano

  • @bukurudaudi1543
    @bukurudaudi1543 2 роки тому

    Uyo naye ajuwi kuoji ana ata adabu utawaza katumwa

  • @jumannerajabu1356
    @jumannerajabu1356 2 роки тому +1

    hizo maiki nashukull kondo kavu ww kwani ulikaamda gani bira bira maiki kuja kwani zilikua hazipo konde kakuvua kwenye mto boya ww urikua ushapotea

  • @ismailkushinda8830
    @ismailkushinda8830 2 роки тому +6

    H baba una gundu mzeee mama🤣🤣🤣🤣

  • @wardamunguakuzidishew9399
    @wardamunguakuzidishew9399 2 роки тому

    Yani uyu kaka atasimuelewi kabisa heshima ya nn mbwa ww

  • @shaniashani7026
    @shaniashani7026 2 роки тому +1

    Mnafunga safari kwa ishu za hovyo kunamatukio kibao yani inakuwa news stori uko mikowani hamna jipya jifunzene na kuipenda kazi zenu sasa hapo kitu gani kitawastua watu🤣🤣🤣

  • @kasukukasuku3896
    @kasukukasuku3896 2 роки тому +1

    Hii ndio shida Kula na kipofu ukamgusa mkonowe🤣🤣🤣🤣🤣

  • @philoteuslwena3082
    @philoteuslwena3082 2 роки тому

    We mjinga bhana na upumbavu pia unao kama alivyosema mwalim nyerere...
    Harmonize yukojuu sahz unajidhalilisha tuu Dingiiiii

  • @rosejoely4518
    @rosejoely4518 2 роки тому

    Hatukuamini ulimtukana sana daimondi mugu kisha anza kuwaumbua

  • @jonessalum6325
    @jonessalum6325 2 роки тому +1

    We pia huna shukrani ndo Mana unalialia tatizo lenu ninyi wasaniii wazamani haku invest chochote ndo maana wewe umeshahau Kama harmonize ndo alikufanya watu Tena wakusikilize

    • @rahimmohamed5268
      @rahimmohamed5268 2 роки тому

      Kuma wewe kama shoga ivi mkundu wako ww unamsemaje konde

  • @diamondplatnumz649
    @diamondplatnumz649 2 роки тому

    Tafteni mwandishi mwgne huyo cyo

  • @abdalahshaban8068
    @abdalahshaban8068 2 роки тому +1

    MUONGO WW ULIKUWA UNATOKA POVU KIPINDI KILE LEO UNAMUONA MUONGO MUONGO WW BWEGE TU HUNAMPANGO WW USHAKUWA CHAWA WA MONDI MPUMBAVU SS UNAJIFANYA HARMO MBAYA SS UMEISHIWA WW

  • @mactone1
    @mactone1 2 роки тому

    Tafuteni mtangazaji hamna mtangazaji hapo hajui kwenda sawa na msanii afunguke badlands yake anamuuzi source wake ana mu defense source kakomalia swali baada alisapot

  • @issanyagawa9661
    @issanyagawa9661 2 роки тому

    Sawa H BABA🙏🙏🙏