IKIWA UNAUMWA ,MAOMBI KWA WAGONJWA , POKEA UPONYAJI SASA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @AnnaMallya-u2x
    @AnnaMallya-u2x Рік тому +1

    Amen,kwa kupitia maombi haya mwanangu akawe mzima wa afya katika jina la Yesu🙏

  • @LindaNdikumana
    @LindaNdikumana 8 місяців тому

    Amen Amen baba mtumishi napokea uzima kwa jina kuu la yesu kristo🔥🔥🙌🙌

  • @LindaNdikumana
    @LindaNdikumana 8 місяців тому

    Asante baba mtumishi mungu akubariki sana 🙏🙏 napokea uponyaji katika familia yangu yote kwa jina la yesu kristo🔥🔥

  • @TinaNombo
    @TinaNombo Місяць тому

    Amina, kupitia maombi aya natangaza uponyaji kwa mdogo wangu Lucia Baba naomba ukamponye tumbo lake linalomsumbua mala kwa mala🙏🙏

  • @EugenieKABURA
    @EugenieKABURA Місяць тому

    Tumepokeya maoombi Yako
    Kwa kukufata katika usiku h'uyu
    Amen Amen

  • @LindaNdikumana
    @LindaNdikumana 8 місяців тому

    Amen Amen Amen napokea uponyaji wa mwili wangu kwa jina la yesu kristo🔥🔥🙌🙌

    • @zelidapetro7854
      @zelidapetro7854 2 місяці тому

      Nashukuru Mungu Hali niliyokuwa nayo nasikia nafuu Mungu ni mwema nimekubali ukiomba kwa Imani Mungu anasikia maombi yako Asante Mungu wangu

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 Рік тому

    Ameeen Baba yangu Mzee Reginald anapokea uponyaji pale.hosipitali.alipolazwa

  • @AnithaMbogoye-q6z
    @AnithaMbogoye-q6z Рік тому +1

    Amina naamini nitapona na nitapata nguvu kama zamani eeeh Mungu nisaidie ulisema Aaminipo ulioo omba umejibiwa

  • @cerecere5758
    @cerecere5758 Рік тому

    Amen amen napokea uponyaji Kwa jina la yesu na mungu akubariki sana.mtumishi🙏🙏

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 Рік тому

    Ameen Nakuomba Mungu umponye baba yangu Rejinald Moshi

  • @theodorakwai145
    @theodorakwai145 5 місяців тому

    Amen. Nitapona Kwa jina la Yesu. Wanangu watapona

  • @SaraA-u8v
    @SaraA-u8v 10 місяців тому

    Amen mungu namekuja hap juu ya baba yangu na mtoto wa wa sister yangu kataka jina la yesu

  • @flavianajohn4930
    @flavianajohn4930 Рік тому

    Amina Mtumishi, nimepokea uponyaji kwa Jina la YESU. Naamini sasa mimi ni mzima.

  • @ruthsebastian4633
    @ruthsebastian4633 Рік тому

    Amen mtumishi wa MUNGU aliye hai

  • @lall2037
    @lall2037 Рік тому +4

    Naomba muombee mwanangu luckman kesho haamke salama awe amepona kwa jina layesu pokea uponyaji mwanangu na izo dawa unazotumia kwa jina la yesu na babu moses pia akaweze kukusaidia shida nilizomuomba kwa jina la yesu

  • @SelinaNyakoa
    @SelinaNyakoa Рік тому

    Asante sana kwa maombi nimepokea uponyaji....kwa jina la yesu

  • @SoosanOman
    @SoosanOman 3 місяці тому

    Amen. Nimepotea uponyaj kwa dam yes Kristo

  • @judithmutio-mp6sn
    @judithmutio-mp6sn 9 місяців тому

    Amen namini mtoto wangu atatembea kwa jina la yesu 🙏🙏

  • @VeiceMwaluko
    @VeiceMwaluko 3 місяці тому

    Nabarikiwa na maombi mwiili nimgonjwa wote nishakupigia simu niombee sa

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 Рік тому

    Ameen Nungu naomba umponye baba yangu Reginald pale Marangu Hosp apokee uponyaji ktk jina la Yesu

  • @marylnemshai5959
    @marylnemshai5959 2 місяці тому

    Amen nimepokea uponyaji kwani jina la yesu Amen

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 Рік тому

    Paster barikiwa kwa maombi nina imani mwananguu Proches amepata unyaji kwa maombi haya Ameen

  • @MaggieJohny-x4f
    @MaggieJohny-x4f 7 місяців тому

    Ameni napokea uponyaji wa Rafi yangu kwajina la yesu

  • @bidallaabdalla4270
    @bidallaabdalla4270 Рік тому

    Asante pastor nilikua naumwa na kichwa siku nyingi kama miezi miwili mpaka nikilala naumia nilipo ona aya maombi yako nikasikiza ilikua usiku badae nikaisi miguu yawaka moto apo nikaona nafuu nashkuru sana ubarikiwe pastor

  • @flavianajohn4930
    @flavianajohn4930 Рік тому

    Amina Mtumishi, nimepokea uponyaji kwa jina la Yesu.

  • @hamisimwaya61
    @hamisimwaya61 9 місяців тому

    Amina amina mwanangu anapokea uponyaji kwa jina la yesu

  • @lall2037
    @lall2037 Рік тому

    Amina mwanangu luckman pokea uponyaji kwa jina la yesu kristu amen kesho ukawe mzima mwanangu🙏

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 Рік тому

    Ameeen Mungu naomba umponye baba yangu Rejinald Barikiel

  • @atupakisyekyando890
    @atupakisyekyando890 Рік тому

    Amina.mtumishi wa Mungu barikiwa

  • @tatusaid3934
    @tatusaid3934 Рік тому

    Ameen ameeeeen na amini katika jina la yesu mtoto wangu kanyanya amepona magonjwa yote amina 🙏🙏🙏💯💯

  • @roselyneatieno805
    @roselyneatieno805 Рік тому

    Amen 🙏🙏nmepokea uponyaji kwa Jina LA yesu christo🙏🙏🙏

  • @dfkcic3184
    @dfkcic3184 Рік тому

    Amen napokea uponyaji katika jina la yesu kristo

  • @Akilunah
    @Akilunah Рік тому

    Namuambatanisha Mme wangu katika jina la Yesu

  • @claudinemuhimpundu7940
    @claudinemuhimpundu7940 Рік тому

    Amen,napokeya uponyaji katika jina la Yesu christo wa nazareti🙏🙏🙏🙏

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 Рік тому

    Asante Mungu nakuomba baba yangu Reginald apate uponyaji

  • @lilsligmajor8812
    @lilsligmajor8812 Рік тому

    Amen 🙏🙏 napokeya uponyaji napenda maombi yako muniunganishe na wat zup natokea jenya

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 Рік тому

    Namwambatanisha mume wangu na maombi ya uponyaji kwa jina la Yesu

  • @lall2037
    @lall2037 Рік тому

    Maombi kwa mama mbawala naomba umponye hainuke aseme ale vizuri na awe na furaha kwa jina la yesu mtumishi🙏

  • @اال-خ2ت
    @اال-خ2ت 10 місяців тому

    Mimi ni Ann ingabi Amen mungu aku linde san. Kwa ma ombi. Asante 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @saudamgallah880
    @saudamgallah880 11 місяців тому

    Kwa kupitia maombi haya nipokea uponyaji Kwa dadaangu Sara mungu akubaliki mtumishi🙏🙏🙏

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 Рік тому

    Ameen Baba Yangu akapokee uponyaji pale Marangu.Hosp

  • @LilianLumeme
    @LilianLumeme 8 місяців тому

    Amina napokea uponyaji kwa damu ya yesu kristo

  • @rehemasilasi2985
    @rehemasilasi2985 Рік тому

    Kupitia maombi haya napokea uponyaji kwa jina la Yesu naamini ameen

  • @RauthatiMuhd
    @RauthatiMuhd Рік тому

    Amina baba lakini baba naomba maombi kunamutu amefungwa baba aelw kitu baba unawza mwta ata mala mbili asikuskiy na omba maomb baba

  • @MarcoKalonda
    @MarcoKalonda 4 місяці тому

    Amina napokeya maombi 🙏🙏🙏🙏

  • @saudamgallah880
    @saudamgallah880 11 місяців тому

    Eee mungu naomba nipokee uponyaji wa babaangu Janisoni mgallah

  • @LULULIAM
    @LULULIAM 2 місяці тому

    Amen napokea uponyaji wa mwanangu liam

  • @lall2037
    @lall2037 Рік тому

    Namwambatanisha mama yangu mama mbawala apokee uponyaji kwa jina la yesu akawe mzm kabisa kuanzia ivi sasa🙏❤

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 Рік тому

    Ameen Kwa Inani babanyagu anakwenda kupokea uponyaji

  • @mungabenjamin7195
    @mungabenjamin7195 Рік тому

    Amen mutumishi

  • @GraceMoraa-n1h
    @GraceMoraa-n1h 6 місяців тому

    EE Mungu wangu nikumbuke usiku Wa Leo niondole maofu ya masetani iniondokee Niko magochwa tumbo mgogo kichwa kifua mokono miguu nipokee Nyota yangu nipone

  • @BajouNizeye
    @BajouNizeye Рік тому

    Amen baba

  • @ruthsebastian4633
    @ruthsebastian4633 Рік тому

    Napokea uponyaji katika jina la YESU kristo aliye hai

  • @queenmmole
    @queenmmole Рік тому

    Ameen nimepokea uponaji

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 Рік тому

    Namuunggamanisha mume wangu Godleess na haya maombi

  • @AishaHassan-fg7rf
    @AishaHassan-fg7rf 14 днів тому

    Namuombea mwanangu kesho shingo yake iphone amen

  • @giseletandaamundala5923
    @giseletandaamundala5923 Рік тому

    Amina 🙏🙏

  • @ChristopherGambi
    @ChristopherGambi Рік тому

    Amina

  • @fridakulola1015
    @fridakulola1015 7 місяців тому

    Napokea uponyaji kwa jina la yesu

  • @lall2037
    @lall2037 Рік тому

    Maombi kwa mwanangu luckman naomba umponye mtoto wangu

  • @NellyKadenyi-qc3em
    @NellyKadenyi-qc3em 8 місяців тому

    Maombi yaponye baba mzazi

  • @AzizaMshana-ss4fv
    @AzizaMshana-ss4fv 2 місяці тому

    Naomba umuombe mchumba wangu anaitwa ramadhan apate uponyaji mapema

  • @naramatleah5729
    @naramatleah5729 Рік тому

    Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @VailethAlex
    @VailethAlex 7 місяців тому

    Naomba umuponye mdogo Wang sitera apate kupona haraka jioni hii yaleo amina

  • @dorismatias5170
    @dorismatias5170 8 місяців тому

    Napokea maombi hayakwa Jina LA yesu

  • @BlandinaPeter
    @BlandinaPeter 4 місяці тому

    Aminaa

  • @AnjelaKavishe
    @AnjelaKavishe 6 місяців тому

    Naomba uniponye mgongo

  • @mayxh650
    @mayxh650 Рік тому

    Amen Amen Amen

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 Рік тому

    Smeen

  • @JosephineKengaa
    @JosephineKengaa 9 місяців тому

    Ameen

  • @paulinaalvin9567
    @paulinaalvin9567 Рік тому

    Amen

  • @liliannaserian4350
    @liliannaserian4350 11 місяців тому

    amen

  • @MIKEMUNENEKINOTI
    @MIKEMUNENEKINOTI 6 місяців тому

    ameni ameni

  • @nellykadenyi
    @nellykadenyi 3 місяці тому

    my aunt apoke uponyaji

  • @JoyceKumwembe
    @JoyceKumwembe 8 місяців тому

    Baba nakuomba muombee mama yangu anaumwa

  • @happinessphiribert6122
    @happinessphiribert6122 Рік тому

    Napokea uponyaji

  • @NorahSamoita
    @NorahSamoita Рік тому

    Naomba uniombee Niko mgonjwa kifua nafungana kinjwa kuumwa

  • @BelindaMgimba
    @BelindaMgimba 7 місяців тому

    AMINA NIMEPOKEA UPONYAJI KWA NIABA YA MAMA ANGU MKUBWA 'HILDA MHAGAMA'

  • @consolataanyambililemwakib1111

    Ameeni

  • @Lizzy-rt3ep
    @Lizzy-rt3ep 9 місяців тому

    Nimeipokea uponyaji

  • @AishaLutta
    @AishaLutta Рік тому

    Najingamanisha na ww nipate uponyaj wa tumbo

  • @lisajohn9246
    @lisajohn9246 2 місяці тому

    Amina

  • @SalomeKija
    @SalomeKija 9 місяців тому

    Amen 🙏🏻🙏🏻

  • @Maua-y2c
    @Maua-y2c Рік тому

    Amen 🙏🙏

  • @steven1madelemo109
    @steven1madelemo109 Рік тому

    Amen

  • @user-Ndashuka001
    @user-Ndashuka001 Рік тому

    AMEN AMEN AMEEN

  • @BahatiKadenge-n5r
    @BahatiKadenge-n5r Рік тому

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @SelinaDama-k3l
    @SelinaDama-k3l 10 місяців тому

    Amen

  • @Francismutunga-qc9oh
    @Francismutunga-qc9oh 8 місяців тому

    Amen

  • @االل-ث3ش
    @االل-ث3ش Місяць тому

    Amen 🙏🙏🙏