Hayati Ndugu Sembuli Mbaraka Mwinshehe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 18

  • @hassanbinsalman1437
    @hassanbinsalman1437 Рік тому +4

    The talented soloist legend Tanzania has ever produced ,his music will never fade.May Allah rest his soul in etarnal peace Ameen.

  • @ahmedjack4135
    @ahmedjack4135 4 роки тому +9

    ulale salama mbaraka mwinshehe ulimuimbia mtuu ila siku yako ilifika na ww ukaenda maishari yako yataendelea kubaki kwetu

  • @msafirimunna1279
    @msafirimunna1279 3 роки тому +5

    Mliutendea haki muziku
    Na mziki wenu umebaki ndio mziki wa Tz.
    Mungu awalaze mahali pema

  • @ogetoj6245
    @ogetoj6245 2 роки тому +2

    Gibson Sembuli wa TZ sawa na Motego, Khayota na Dr. Masiga wa Kenya. Alale pahali pena peponi. Waaah!

  • @davidgithiomi4071
    @davidgithiomi4071 2 роки тому +4

    Nyimbo za huyu bwana Hadi nyakati hizi Bado zatia fora.

  • @danstanpanga8490
    @danstanpanga8490 3 роки тому +3

    Hayati Gebson Sembuli mmoja kati ya wanasoka mahiri waliopata kutokea. Ulale Pema Ndugu Sembuli

  • @chachanyaigotti-chacha4765
    @chachanyaigotti-chacha4765 4 роки тому +7

    Ulitimiza wajibu wako Rafiki Yangu. Muziki wako bado unaviuma Duniani.

  • @danstanpanga8490
    @danstanpanga8490 3 роки тому +3

    Hakika ya kale ni dhahabu huu ni uzalendo wa hali yajuu

  • @abdallahyahaya9760
    @abdallahyahaya9760 3 роки тому +3

    Mzaramu wa mzenga moja baalaaaaa Sanaa aka fundi international soloist

  • @MohammedAwadh-gq9si
    @MohammedAwadh-gq9si 9 місяців тому +1

    Hii ndio miziki sio ya siku hizi kila nyimbo ni matusi mapenzink

  • @danstanpanga8490
    @danstanpanga8490 2 роки тому +2

    Ulale Pema Ndugu Sembuli

  • @collinkamalizeni9064
    @collinkamalizeni9064 4 місяці тому

    Good stuff thanks learnt a lot

  • @timothywekesa1077
    @timothywekesa1077 2 роки тому +1

    Mungu akube malezi mema pinguni

  • @abdallahyahaya9760
    @abdallahyahaya9760 3 роки тому +2

    Old is gold

  • @fredrickmaritin1193
    @fredrickmaritin1193 3 роки тому +2

    Ya kale zahabu