Utunzi wake marehemu mbaraka mwinshehe mwaruka akiwa bess imepigwa na Athuman babu second solo imepigwa na Charles kasembe rizim David senyagwa trumpet said makele
Angalau umeuleta wimbo huu kikamilifu ndugu yangu. Niliwahi kumwomba @Power Nguzo aulete lakini akaishia mitini! Wimbo unanikumbusha siku moja bendi ilipopiga pale Chuo cha Uhazili Tabora nikiwa mwanafunzi wa Tabora Boys nika-antilog kuingia ukumbini bila kulipa. Wimbo huu uliombwa urudiwe sana na tulifurahi sana usiku ule.
@Zilipendwa Tanzania. Shukran sana kwa kuiweka hii full kabisa. Sasa please turudishie zote ambazo ulituwekea hapa lakini for some reasons zimepotea..kama Mseto Bingwa 1975 ya Maestro Mbaraka Mwinshehe.
Hawa jamaa walikuwa wazuri sana; nasikiliza wimbo huu kila siku tangu ulipowekwa hapa. Unajua kuna mtu aliyekuwa anaimba sauti ya nyuma vizuri na sijui kama kuna wasikizaji wanajua hilo. Alikuwa anajua kuifutalia sauti ye mbele vizuri sana.Nitatafiti kujua ni nani aliyekuwa anaimba backround hiyo.
Waiting for Afrika too. A very inspiring song by Mbaraka Mwinshehe. Especially the saxophones in it. Very inspiring but also sad. l think he produced it in 1974.
Kuna mtu anahifuhata sauti ya mbaraka kwa heshima ya hali ya juu sana hii nyimbo imenitunza na imenijenga sana baba yangu ndiyo Wimbo wake huuu
Ni miziki yenye mafunzo kweli kweli tofauti na miziki ya Leo!
Utunzi wake marehemu mbaraka mwinshehe mwaruka akiwa bess imepigwa na Athuman babu second solo imepigwa na Charles kasembe rizim David senyagwa trumpet said makele
Nyimbo safi sana nasikia lilikua dongo la Bonzo ilo
Hakika Mbaraka mwana wa Mwinshehe alikuwa hana mpinzani kwa sauti nzuri, tungo bora, upigaji gitaa la solo
Sauti yeke safi
Angalau umeuleta wimbo huu kikamilifu ndugu yangu. Niliwahi kumwomba @Power Nguzo aulete lakini akaishia mitini! Wimbo unanikumbusha siku moja bendi ilipopiga pale Chuo cha Uhazili Tabora nikiwa mwanafunzi wa Tabora Boys nika-antilog kuingia ukumbini bila kulipa. Wimbo huu uliombwa urudiwe sana na tulifurahi sana usiku ule.
@Zilipendwa Tanzania.
Shukran sana kwa kuiweka hii full kabisa.
Sasa please turudishie zote ambazo ulituwekea hapa lakini for some reasons zimepotea..kama Mseto Bingwa 1975 ya Maestro Mbaraka Mwinshehe.
Sawa kaka, ile channel ya mwanzo ilipata matatizo, hii ni nyingine
Hawa jamaa walikuwa wazuri sana; nasikiliza wimbo huu kila siku tangu ulipowekwa hapa. Unajua kuna mtu aliyekuwa anaimba sauti ya nyuma vizuri na sijui kama kuna wasikizaji wanajua hilo. Alikuwa anajua kuifutalia sauti ye mbele vizuri sana.Nitatafiti kujua ni nani aliyekuwa anaimba backround hiyo.
Wimbo mzuri wenye mafunzo,unaelimisha,unaonya na kuburudisha.
Nimeona hiyooo
Huyo anaeimba sauti nyuma ya Mbaraka Mwinshehe anaitwa Robert Simba.
@@kunjukomedia Asante sana; bado yuko hai au naye alishatangulia?
Endelea kutuburudisha kwa nyimbo zenye nasihi Asante
Asante jamani barikiwa sana maneno ya busara
Huyo mbaraka alikuwa gwiji wa muziki Afrika mashariki na kati.
Asanteni sana kwa wimbo huu kamili. Nilikuwa nikiutafuta tangu utotoni bila mafanikio. Mungu awabariki sana!
Karibu sana
Waiting for Afrika too. A very inspiring song by Mbaraka Mwinshehe.
Especially the saxophones in it.
Very inspiring but also sad.
l think he produced it in 1974.
Song evokes inexplicable memories of my music icon Mwinshehe in that era gone for good.
Basi tulikuwa tunasikia ujeuri
Jeuri ubaya ooh hoo
Jeuri mbaya oohoo
I remember my uncle singing these songs and made me like mbaraka to date
Mbaraka Mwinshehe Mwaluka,Sololist wa karne
Nadhani Kasembe, Bonzo, Mpalanje, na Salumu walikuwa kwa stage wakati huo.
Kasembe amepiga rizim katika wimbo huu 1975 devid senyagwa America second solo trampeta said makelele
Thank you!
tutafutie MAPENZI YA SIMU by this legend
Waaoh this song touching my life greatly
Hadi raha
Nakumbuka Safari ya Kondoa-Dodoma kutumia mabasi ya railways 1979 Konda alikuwa akiimba
What is the name of the person singing the second voice
He is perfect
Mie nitafutie ule wa "sema kweli yako wala usinifiche "
Good song
Nyimbo yenye mafunzo Kwa jamii
Nyimbo zake zote
Kipindi icho niko JKT na mzee Kikwete sijui km anakumbuka😂😂
Dah! Ulikuwa kambi gani wakati huo? Mimi nilikuwa bado niko sekondari Tabora School nikiwa mwana muziki pia
Wmbo mzuri sana. Lakini sound quality sio nzuri. No bass
❤😂😮😮
❤😂