Unanitafutia Nini Mbaraka Mwinshehe & Super Volcano

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 171

  • @salamamwalagho2570
    @salamamwalagho2570 Рік тому +3

    Hizi zilikuwa zinavuma na mawaidha. Mungu apumuzishe roho ya Mbarak pahali pema Mbinguni

  • @emmanueljoseph6171
    @emmanueljoseph6171 5 років тому +15

    Huyu ndo original msanii,anatunga, anapiga solo na sauti tamu, sio hawa wa kizazi kipya kila kitu kimetengenezwa na compyuta mpaka sauti, na wengine hata kupiga chombo chochote cha mziki hawajui,

  • @newtonsimba7930
    @newtonsimba7930 Рік тому +6

    Awesome. Rest In Peace maestro,❤️🇰🇪.

  • @dangeorge6205
    @dangeorge6205 4 роки тому +6

    Will we ever have such kind of music in the near future? Congratulations to old gone great musicians.

  • @levisnsengiyumva8433
    @levisnsengiyumva8433 2 роки тому +5

    Mbaraka Mwishehe Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi

  • @issamangwaji
    @issamangwaji Рік тому +1

    Inanikumbusha Amani Kwemdimu

  • @KULWANyanda-d1c
    @KULWANyanda-d1c 10 місяців тому +2

    Enzi zetu

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 5 років тому +7

    Nakumbuka mwaka 1975 ulikuja nyumbani huko korogwe Tanga nikakupa asali kwa kuwa sauti ilikuwa haitoki vizuri, na jioni uliweza kuimba vizuri. RIP.shemeji.

  • @jumamganga5136
    @jumamganga5136 Рік тому +1

    Hata mie nilinyang'anywa mchumba 1984

  • @philipachikindubi5128
    @philipachikindubi5128 Рік тому +1

    those years when i used to hear this song from my uncle nyangau's philips radio when picking pyrethrum, good music indeed,

  • @365lau8
    @365lau8 Рік тому +1

    Nakumbuka loksal farm namkumbuka gery hoops, john fool, gerad miller na baba yangu ,rpi michael lopia Mwaijavire

  • @PhillipMwanthi
    @PhillipMwanthi Рік тому +1

    Naipenda muziki wa Baraka maneno matamu na maziri

  • @danielrasugu2425
    @danielrasugu2425 5 років тому +12

    Had this guy lived for a few more years i can't even imagin the amount of entertainment his songs would have given us like this sweet melody that I will never tire listening to. Anyway death is a big robber. RIP MMM till we meet!

    • @PhilomenaSteven-tq2tx
      @PhilomenaSteven-tq2tx Рік тому

      Kweli kabisa nampenda sana mbaraka mwishehe japo umri wangu ni mdogo nilikuwa cjazaliwa ila nampenda sana anaimba vzr sauti daah vzr avidumu uwa nawawekea wazazi wangu UA-cam wanafurahi wananipa history ya izo nyimbo wanakuwa happy sana bc kwenye mziki mkubwa wana enjoy sana❤❤❤❤❤❤

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 11 місяців тому

      ​@@PhilomenaSteven-tq2txnmezaliwa miaka Kumi na moja baada ya kifo chake ila ni shabiki wa nyimbo zake mpaka sio vizuri

  • @khalifasaid7695
    @khalifasaid7695 2 роки тому +4

    Kulwa Salum saxophone,Athman Babu Bass gitar makelele trumpet there. Amazing colabo!

  • @roslynroz6510
    @roslynroz6510 Рік тому +1

    This song reminds of my dad😭😭😭😭😭

  • @georgewilfred818
    @georgewilfred818 7 років тому +28

    I LOVE THE CHORUS
    utafanya mengi
    utakujashindwa
    ulienidhulumu
    unampenda sana
    lakini ujue atakujakukutoroka anirudie tena wee times2
    Nilimzoesha
    maisha ya ajabu
    wewe utamweza
    utakujaambiwa
    nimegutuka lakini siku moja utakujalia mama wee times2

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 3 роки тому +5

    2021 bado nasikiliza nyimbo za mbaraka.rest in peace shemeji.10.07.21.

  • @davidndunguwanjohi8238
    @davidndunguwanjohi8238 3 роки тому +5

    Back to back 2021.rest in peace legend Mbaraka

  • @issamangwaji
    @issamangwaji Рік тому +1

    Wapi Mzee Semkiwa Nageza

  • @saleemalshuk8147
    @saleemalshuk8147 6 років тому +9

    1975 baba yangu alikuwa na transport za mabas yakiitwa sumbawanga bus servece niluwa maneger wa hiyo compny nikisafiri kutoka sumb to mbeya v.tunduma tunasimam kwa ajili kupat lunch resturent ya msomali tuna fika mcha saa 1.30 na Rtd mchana mwema kipindi kikitowa miziki mbarak musheh ulikuwepo amani na upendo wa watu tulipendana na wanake sana

    • @mkazilakwamchilloh3563
      @mkazilakwamchilloh3563 7 місяців тому

      Wewe uko wapi sasa tuwasiliane mimi nataka kuanzisha transportation ya lori

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 7 років тому +35

    nilikuwa na umri wa miaka 15 hivi niliupenda sana wimbo huu,baadae na mume alienioa alikuwa rafiki yake na mbaraka sana,nakumbuka siku moja alikuja nyumbani nikampa asali usiku wake alikuwa anatakiwa akaimbe korogwe kwenye hall.basi ile asali ilimsaidia sana,na aliweza kuimba bila tatizo.R.I.P.shemeji.23.06.17.

    • @careca7476
      @careca7476 7 років тому +2

      Ilikuwa wapi hiyo, Tanga?

    • @Ambagaye
      @Ambagaye 7 років тому +4

      Mariam! nimevutiwa sana na kumbukumbu zako za enzi hizo.

    • @mohamedalamri8846
      @mohamedalamri8846 6 років тому +2

      Kumbe wewe ndiye Mariam Makeba
      Ajabu nasi sikujua yoote hayoo

    • @arufaniwaziri5411
      @arufaniwaziri5411 6 років тому +3

      Mariam Fritsi hongera sana mama mmoja mwenyewe nampenda sana nyimbo zake japo nimezikuta r. i. p mbaraka mashehe mwangarupa

    • @gabrielmzomkunda9487
      @gabrielmzomkunda9487 6 років тому +1

      safi sana Asante sana kwa history hiyo

  • @johnzwere513
    @johnzwere513 4 роки тому +3

    Mbarakas songs still popular ..thanks

  • @heriel2002
    @heriel2002 6 років тому +7

    This guy was a mighty singer...and his songs will live forever. R.I.P Mwinshehe!!

  • @ogetoj6245
    @ogetoj6245 Рік тому +1

    Namuenzi jabari huyu wa ajabu, Mbarak-- Kaimba, kacheza gita! Salum kacheza saxa taratibu.
    Kuninyanganya mpenzi wangu wa haki!
    Nampa Maisha ya kiwango ya juu--- utamuweza Kaka wee wee? Mwishowe atanirudia. Maisha ya mapenzi ni hawamu ya Maulana pekee.
    Akulaze peponi kwa tundu la utulivu. Dr. Ogeto International

  • @stephenenamusyule3877
    @stephenenamusyule3877 4 роки тому +6

    Badly missing Mbarak and Moro Jazz. He introduced me to organized teenage life 1970s.

  • @thomasaura5236
    @thomasaura5236 5 місяців тому

    Very classic music and well arranged instruments

  • @olivermathias5147
    @olivermathias5147 2 роки тому +3

    Upumzike Kwa amani mbaraka

  • @bensonmangenge8436
    @bensonmangenge8436 Рік тому +2

    Very juicy muzik

  • @cromwelwanyama5771
    @cromwelwanyama5771 Рік тому +1

    Real maestro mwinshehe I salute you legend continue resting in peace ✌️

  • @armstrongmwangi3702
    @armstrongmwangi3702 Рік тому +3

    sweet words

  • @365lau8
    @365lau8 Рік тому +1

    Acha kabisa mbaraka ni shida

  • @nkubaliswasitasita9171
    @nkubaliswasitasita9171 5 років тому +4

    Ama kweli yakale nidhahabu mbalaka mwinshehe mungu akupunguzie adhabu yakaburi

  • @josephndaki8003
    @josephndaki8003 5 років тому +3

    I love the song. Unanitafutia nini wewe kaka ,kunyang'anya mpenz wangu hukutosheka

  • @adammuki2831
    @adammuki2831 5 років тому +8

    Sikia gitaa iloo nyoko uyu mtu mungu amsamehee alipokosea

  • @aliah1732
    @aliah1732 8 років тому +12

    This is music. RIP Mbarak

  • @prosperndonjekwa5143
    @prosperndonjekwa5143 6 років тому +6

    I remember this song with a lot of nostalgia, rip mbaraka.

  • @musaomarybudi2037
    @musaomarybudi2037 2 роки тому +2

    Kama umeimbwa leo

  • @hassaniabdallah401
    @hassaniabdallah401 4 місяці тому

    Bonge la song mzee wa morogoro jazi

  • @mimmy4899
    @mimmy4899 3 роки тому +4

    Much love from Kenya ❤❤❤❤

  • @mirajiswale2819
    @mirajiswale2819 3 роки тому +2

    I remember being a young lad thinking that death can't cheat me

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 Рік тому +1

    Kaaaaa zamani jamani duuu

  • @SaidiDiwani
    @SaidiDiwani 10 місяців тому +1

    Wapoo kiti saaafiii

  • @leonardmacharia1140
    @leonardmacharia1140 3 роки тому +2

    Good music 🎶.... remember those days

  • @jumaally4263
    @jumaally4263 7 років тому +7

    Yaani machozi yananitoka. Enzi hizo ukiitwa muziki huu ndo muziki. Sio siku hizi wanabana pua tu kama wana mafua

    • @euniceonguka2176
      @euniceonguka2176 7 років тому

      heshimu wenzako

    • @steveswakei9600
      @steveswakei9600 6 років тому

      hahaha nakubaliana nawe. wa sasa huteremsha suruali nusu uchi eti miziki! watumwa wa ma nigro

    • @shulestuff
      @shulestuff 6 років тому

      kiekiekie.".wanabana pua"

    • @barackjackson6585
      @barackjackson6585 2 роки тому

      @@euniceonguka2176 "Wenzie" wepi? kwani na yeye anabana pua na kushusha suruari ??

  • @musaomarybudi2037
    @musaomarybudi2037 2 роки тому +1

    Huyo ni mamba hakuna mfano wake.

  • @RehaniNassoro
    @RehaniNassoro Рік тому +1

    Nimeinjoi Sana kwakweli!!

  • @robertmwangila4287
    @robertmwangila4287 2 роки тому +2

    Real Blackman musicians

  • @marystellamakene7820
    @marystellamakene7820 7 місяців тому

    Sully Bonzo akipiga trumpet RIP shemeji yangu.

  • @Salim-hp2ri
    @Salim-hp2ri 6 років тому +4

    Nakumbuka sana enzi zile nikitoka shule naweka cassette player ya mwaruka 1980 na mpaka ss twakumbuka ss tunaipa ktk yoube

  • @hemedbhai7987
    @hemedbhai7987 6 років тому +3

    Kwa kweli huyu mtu alikua na akili na uweze mkubwa sana. Nampenda sana huyu baba. Hapo nilikua na mwaka moja

    • @barackjackson6585
      @barackjackson6585 2 роки тому

      Meddy? Kipaji na Akili ni vitu viwili tofauty kabisa!! Msome Diamond na kesi ya kumkana babaake !! Ni wachache sana wenye Akili ktk Vipawa vyao! Mbaraka alikuwa na Kipaji na ukimuelekeza afanye kwa mujibu wa Akili, asingeweza kufika popote, ndio maana hao ni lazima wawe na ma-Meneja (hao hawana Vipaji ktk hiyo Sanaa bali wana Akili)

  • @tomjuma1938
    @tomjuma1938 Рік тому +1

    listen to great voices

  • @ramadhanisamata7485
    @ramadhanisamata7485 2 роки тому +2

    The guitar started and the entire lyrics go along like late Lwambo lwanzo makiadi of Kongo Kinshasa, did they go to study playing guitar at the same college? Someone who knows the pure history of these musicians explain please!!

    • @vijananarutomovement7625
      @vijananarutomovement7625 2 роки тому

      Yeah,sure,I want to know too

    • @omarimsangi4075
      @omarimsangi4075 Рік тому

      THIS IS A TANZANIAN NOT FROM KONGO HE WAS ALSO KNOWN AS SOLOLIST NSTIONALE THE ONLY SHARE THE ORIGN OF BANTUAND LOVE OF MUSIC AND SAME INSTRUMENT THOUGH MBARAKA STARTED WITH FLUTE

  • @albertokech8168
    @albertokech8168 7 років тому +2

    tutafutie wimbo Wa mbaraka Heshima kwa jina lingine Tabia njema

  • @aloiceangasa5420
    @aloiceangasa5420 7 років тому +3

    Excellent composition of mbaraka along with mshenga

  • @dnodyuzer9112
    @dnodyuzer9112 7 років тому +7

    inanikumbusha milima ya uluguru wakati ule inatiririsha maji maji mwaka mzima Moro ilikuwa na neema tele

    • @barackjackson6585
      @barackjackson6585 2 роки тому

      Usitukumbushe mambo hayo bro, yanatutoa machozi wengine

    • @barackjackson6585
      @barackjackson6585 2 роки тому

      "Morogoro oh, mjini petu kweli yapendeza, iko chini ya milima na mabonde ya mito oh Moro ya pekee" Iko wapi hiyo !??

  • @othmanali5362
    @othmanali5362 2 роки тому +1

    Ahh we acha tu hayo maneno yanaingia akilini na mazingatio.

  • @realmark8728
    @realmark8728 4 роки тому +2

    The best of all time

  • @hassaniabdallah401
    @hassaniabdallah401 4 місяці тому

    Msimbe mzee ufuta

  • @mbungembunge9865
    @mbungembunge9865 4 роки тому +1

    Wimbo mtam sana dahh
    R.I.P mbaraka mwishehe

  • @bwanahisanyanginywa9023
    @bwanahisanyanginywa9023 7 років тому +5

    nakumbuka enzi Niko kahororo sec huko bukoba 1975

    • @anifrutunu1670
      @anifrutunu1670 6 років тому +1

      bwanahisa nyanginywa majimaji, ujamaa, azimio, mapinduzi, jango road!!

  • @kokombwana5865
    @kokombwana5865 5 років тому +1

    Duuh,miaka ya utoto wangu,nikiwa Handeni

  • @andrewkayanda9887
    @andrewkayanda9887 5 років тому +3

    Mziki wa siku hizi 'kuku kapanda baiskeri, bata kavaa raizoni'.

  • @abisaidanielsule3523
    @abisaidanielsule3523 2 роки тому +1

    Wonderful memories

  • @egbertmwilima7689
    @egbertmwilima7689 4 роки тому +1

    elevated with this true vibe

  • @saidkinyaga
    @saidkinyaga Рік тому +1

    Mambo hayooo

  • @Salim-hp2ri
    @Salim-hp2ri 7 років тому +2

    Zilipendwa na Zilipendwa toka mm mdg mpaka ss I am 51 poa

  • @ابنعثمن
    @ابنعثمن 7 днів тому

    "....Sasa nasikia waniwinda kwa gari"
    Kama vile alijua kuwa umauti wake utatokana na ajali ya gari.
    Innalillahi 😢

  • @paulmutai8206
    @paulmutai8206 2 роки тому +1

    master piece, utakuja lia

  • @simiyudennis88
    @simiyudennis88 6 років тому +2

    Mungu mwenye uweso .

  • @florencehaji3119
    @florencehaji3119 6 років тому +2

    R.I.P my friend Hadija Mwaluko mis you Sana. Dom sec enzi zile

  • @saleheothuman9472
    @saleheothuman9472 6 років тому +2

    mungu akuremu mbaraka

  • @majurajohn4939
    @majurajohn4939 7 років тому +2

    nice song

  • @simiyudennis88
    @simiyudennis88 6 років тому +1

    Wacha yeye aangaike lakini Huyo ni wako mwaruka hapooo.

  • @sweetbetmpaluka6515
    @sweetbetmpaluka6515 8 років тому +2

    Asante power Nguzo! hapa kazi tu!

  • @hassanishabani2429
    @hassanishabani2429 8 років тому +2

    mambo ndio hayo jamani

  • @Ambagaye
    @Ambagaye 7 років тому +8

    That was in 1974

    • @aliah1732
      @aliah1732 5 років тому +1

      1971. 1974 he was not with Moro jaxx

    • @favourme4519
      @favourme4519 5 років тому +1

      I was not born

    • @Ambagaye
      @Ambagaye 3 роки тому

      @@aliah1732 Unfortunately that is not true; this song was produced by Super Volcano: that rhythm guitar is handled by Charles Kasembe who was never a member of Morogoro Jazz where the rhythm guitar handler used to be Kulwa Salum.

    • @aliah1732
      @aliah1732 3 роки тому

      @@Ambagaye many songs he sang with Morogoro Jazz were again produced with Super Volcano

    • @Ambagaye
      @Ambagaye 3 роки тому

      @@aliah1732 That is not true for two reasons: (a) After Mbaraka left Morogoro Jazz, he wanted to establish his own brand of Super Volcano, so he could not play songs that reminded his followers of Morogoro Jazz. (b) All of Morogoro jazz songs were recorded and copyrighted by a Kericho based Polydor recording company, which also recorded and copyrighted Super volcano's songs. It can not happen for a company to record the same song from two bands, especially knowing that the recording process on vynils used to be a time consuming and costly process.
      Morogoro Jazz songs used to be stylezed as either Mizuka, Mahoka, Likembe,and finally in 1972 before Mbaraka left it was Sululu. This song is in Masika! You can tell the difference in the rhythm guitar. Kulwa Salum's Rhythm guitar is quite different from Charles Kasembe's.

  • @sofiambaga9911
    @sofiambaga9911 6 років тому +2

    Old is gold

  • @davidmutecho7300
    @davidmutecho7300 Рік тому +1

    😂

  • @armstrongmwangi3702
    @armstrongmwangi3702 Рік тому +1

    soloist national

  • @douglasnyagiro390
    @douglasnyagiro390 3 роки тому

    So nice

  • @hassaniabdallah401
    @hassaniabdallah401 4 місяці тому

    Mambi iddy James mwakamele charless kassembe Ramadhani kilo

  • @dianaokwach4008
    @dianaokwach4008 2 роки тому +1

    👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿

  • @ericapiyo263
    @ericapiyo263 8 років тому +1

    Mziki shwari kabisa

  • @johnmwandi7809
    @johnmwandi7809 2 роки тому +1

    Good

  • @masanjamasanja3021
    @masanjamasanja3021 4 роки тому

    Hadi raha

    • @abdallahmtosa6979
      @abdallahmtosa6979 2 роки тому

      Mola marehemu amuondolee adhabu ya kaburi Nyimbo zake zinakumbwa halisi zaziishi Radha Inshallah Mola ampe kauli thabiti.

  • @ZilipendwaTanzania
    @ZilipendwaTanzania 4 роки тому +4

    Unanitafutia nini wewe kaka? Kunyang'anya mpenzi wangu hukutosheka, kwanza umeyakatisha mapenzi yetu.. ooh dhuruma
    Umetupa pesa kwa waganga ukashindwa, hata sumu kwenye mabaa ukatumia, Sasa nasikia waniwinda kwa gari, unahangaikaa
    Utafanya mengi, utakuja shindwa, uliyenidhurumu, ninampenda Sana, lakini ujue atakuja kukutoroka anirudie tena eeh,
    nilimzoesha Maisha ya Ajabu, wewe hutomweza utakuja ambiwa, wewe gutuka lakini siku moja utakuja Lia mama weee

  • @zuberimpalala7795
    @zuberimpalala7795 2 роки тому

    OKAY.

  • @jhonnypaublottvasquez9819
    @jhonnypaublottvasquez9819 7 років тому

    kindo que tema

  • @geraldkimata3567
    @geraldkimata3567 7 років тому +1

    he died on 13th January 1979 the year i was born

  • @evelynongati8271
    @evelynongati8271 4 роки тому

    goat

  • @dismaskelvin83
    @dismaskelvin83 3 роки тому

    Mambo ozokkkxkoz

  • @albertokech8168
    @albertokech8168 7 років тому +2

    tutafutie wimbo Wa mbaraka Heshima kwa jina lingine Tabia njema

    • @omaribakari8478
      @omaribakari8478 7 років тому +1

      tabia njema ni silaha utapendwa popote