KIMENUKA; MZEE MAGOMA WA YANGA ALIPULIWA NA SHEHE SHAFII KISA KURUJUANI HAKUNA KITU KAMA HICHO?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 22

  • @AminaMsimbe
    @AminaMsimbe Місяць тому

    Asante shekh Kwa kutuelimisha

  • @sporttz15
    @sporttz15 Місяць тому +1

    Kurudisha uadui

  • @abuusadick9891
    @abuusadick9891 Місяць тому

    Kurujuani c dua nikitabu kilicho kusanya mambo mengii na hakuna kitu asicho kiiumba muungu mwenyewe

  • @salemarahbi9171
    @salemarahbi9171 Місяць тому

    😅😅😅😅😅huyu Shafii huwa nampenda sana

  • @SkinAfrica
    @SkinAfrica Місяць тому

    Makoloo mtakufa Kwa ujinga jieleweni na tim yenu ya waasi wa mapinduzi ya Tanzania 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @makamesaid9137
    @makamesaid9137 Місяць тому

    Aaa kumbe Magoma halijui alofanyaloo😂

  • @saidilindukwa
    @saidilindukwa Місяць тому

    😂😂Sheikh shafii Mie nakuhusudu Sana,sababu unamchana mtu live

  • @rugoraharuna5172
    @rugoraharuna5172 Місяць тому

    Shee tulia mzee Magoma akuhusu

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 Місяць тому

    Huyu shehe wenu kujifanya kila kitu anajua yeye yan lzm ajibu,,mshamba huyu

  • @kibwanasuleiman263
    @kibwanasuleiman263 Місяць тому

    Sasa wewe unashugulishwaje na mtu kama huyoo?

  • @user-zw9tv1pp3k
    @user-zw9tv1pp3k Місяць тому

    Hajamdharau kutolijibia ni mbaya kwani uislamu hauna longolongo usipoliweka sawa Quran itaaribiwa elewa Dini sio ya mzaha shekh yupo sahihi

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx Місяць тому

    Hakuna kurjuani na kama hamuamini mnaona huyu Sheikh hampendi mangoma basi ulizeni mashehe Kote Duniani aliptapi mangoma muoaga muhongo ...Wacha Dua hata dawa iitwayo kurjuani hakuna

  • @arjunimayagila9500
    @arjunimayagila9500 Місяць тому +1

    Si Kila kitu kijibiwe vingine ni kujishusha hadhi kumbeza na kumdharau mwanadam mwenzako ni sawa katika dini? Kama si sawa why Mzee Magoma kauli yako ni dhahiri ya kumdharau

    • @zuberimohamed43
      @zuberimohamed43 Місяць тому

      Kamdharau vip wakat kasema ukweli?? We KURUJUAN ndo nini
      Au we mjukuu wa magoma??

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 Місяць тому

      Kwa hiyo aseme uongo na wanaojua wasikurekebishe!?

    • @user-br7fz4zd5x
      @user-br7fz4zd5x Місяць тому

      Kolo kila mahali hawataki ukweli yaani hapo walitaka shekhe amsifie magoma !😂😂😂😂😂😂

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 Місяць тому

      @@user-br7fz4zd5x 🤣🤣🤣🤣

    • @thejelycho5087
      @thejelycho5087 Місяць тому

      Kajib swal aliloulizwa na ajadharau na kamrekebisha alipo kosea

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 Місяць тому

    Hakuna sheikh hapo ni shabiki wa yanga asiejielewa, tena koma kujiita sheikh nyoooko