HOUSE GIRL EP 29 | S2 | love story💞💕

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 630

  • @BettyShabbyWey-to6cf
    @BettyShabbyWey-to6cf 2 місяці тому +147

    To be honest among the best episodes hii ni the best wallah 👏👏 director u made alla of ur best tuna hope kupata wise na good ones .... Big up sana Busatitv 🫡🫡🫡🫡❣️love from......

    • @busatitv
      @busatitv  2 місяці тому +5

      🙏🙏🙏🙌🙌

    • @BettyShabbyWey-to6cf
      @BettyShabbyWey-to6cf 2 місяці тому +2

      @@busatitv worry not Jasmine still there👏👏👏

    • @LUCIENLWAMBA
      @LUCIENLWAMBA 2 місяці тому +3

      Jameni sis wangu kongomani kusikiya kingereza ni tatizo kubwa

    • @fgfvgggf6993
      @fgfvgggf6993 2 місяці тому +2

      Team candy msije kuwa mmueba hio mbuzi mkatuletea kwa kwa sherehe😂😂😂

    • @tsumamatano1901
      @tsumamatano1901 2 місяці тому +1

      ...
      😂😂😮😮😮😅​@@busatitv

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 2 місяці тому +151

    Ambao tulio kuwa tuna,,,,,,,,,tunasubilia
    Harusi ya khaii na zuuh..please gonga like tujuane 😂😂

  • @mkacibeiib7278
    @mkacibeiib7278 2 місяці тому +118

    wap like zuu jmn twasbria arusi ya zatiti na mr tasha wanp wanakubali zatit na mr tash watafunga ndoa🎉🎉🎉

    • @Marim-sj7oi
      @Marim-sj7oi 2 місяці тому

      Tupo hapa tunaisubiri kwa hamu🎉🎉🎉

  • @shadyazitueni5338
    @shadyazitueni5338 2 місяці тому +17

    Daaah hii yaleo mmeua wallah sijutii kufwatilia movie za busat tangu niifaham ni mwaka wa pil sas,,, aisee hamjawah kufeli mko juu mnajua mpaka mnajua tena kunakoelekea tutapata tuzo in-shaa-allah 🙏🙏🙏 BUSAT JUU JUU JUU ZAID 💪

  • @Rose-hy3kc
    @Rose-hy3kc 2 місяці тому +46

    Zuu kapendeza jameni team Zuu arusi tunayo hatuna 😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @DamarisNyaboke254
    @DamarisNyaboke254 2 місяці тому +67

    Atulali team strong mko wapi gaidi inangoja hii movie iwezi lala❤❤❤❤

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 2 місяці тому +50

    😂😂😂😂😂😂😂 harusi tunayo na tunatamba nayo wapi vigelegele aililiiii 💃💃💃💃💃💃❤❤🎉🎉

  • @SarahWanyonyi-dz6hq
    @SarahWanyonyi-dz6hq 2 місяці тому +20

    Nimeisubiri sana mamake ilikuwa imefika pazuri sana nawapenda Bure km unawakubaki zuu na Kai gonga tukisonga team strong😂😂😂

  • @JaneChanga-pi6lq
    @JaneChanga-pi6lq 2 місяці тому +5

    Mimi nilichojifunza kwenye hiki move vitu vingi sana chakwanza :::: kwa wanaume usiwe na haraka kwenye upande wakuoa endapo hujaanglia tabia ya mtu na pia usiangalie sura ya ila kikubwa mtu anaheshm na upendo:::: na pia tusisoklze maneno ya wat ::::na kuachana pia na marafiki wasofaaa kwenye maisha yetu ya ndoa ::;;; nawashukuru sana tena sana vitu vingi mejifunza na Mungu awabariki kazi yenuuuu

  • @Lucy-v3y
    @Lucy-v3y 2 місяці тому +9

    Weeeh asei hii nkali zuu na kai nawapenda ak❤❤❤❤

  • @tabithanzisa9755
    @tabithanzisa9755 2 місяці тому +7

    Woyooooo harusi tunayo🎉🎉🎉🎉❤❤❤ila timu kendy kumbe sania hawajui kutigiza na kendy 😂😂😂😂alafu bibi ebu wakomeshe hawa mahasidi wasije aribu ndoa yetu

  • @GilberthRajab-c3y
    @GilberthRajab-c3y 2 місяці тому +35

    Mpka huku Kenya 🇰🇪🇰🇪 tunaifatiria hii series 🎉🎉

  • @AishaRashed-m5o
    @AishaRashed-m5o 2 місяці тому +6

    Waooo Tasha kampata ampendaye Kai umetisha mwarabu kdg mpemba kwa wing mashallah ❤❤❤❤ wapi team kend na zaid ya mbuz weeeeee piga keleleeeee zak kwa zuuuuuuu😂😂😂😂😂😂😂

  • @ShamsouAley
    @ShamsouAley 2 місяці тому +27

    Kuna watu wanalala UA-cam 😢😢😢haya na mie wa 102 npo hapa😊😊😊maua kwa zuri❤❤❤❤🎉

  • @DeeDan-sj1mr
    @DeeDan-sj1mr 2 місяці тому +201

    Tokea nianze kufatilia hause girl sijawah pata like ata 1 mnaninyima wadau xio pow

    • @PeterMadale-t2z
      @PeterMadale-t2z 2 місяці тому

      Achana na mambo ya like toa maon juu ya hii movie ww unadhn wenye movie ndo wanachotaka huo upuuz wenu wa kusema Kila mtu wa kwnz anaomba like kwn like zinashibisha acha hzo mambo toa maoni pongeza juu ya ulicho kiona wabongo tupoje ss

    • @husnasimba5357
      @husnasimba5357 2 місяці тому +3

      Huw zinawasaidia nn like

    • @HudhaimaYussuf
      @HudhaimaYussuf 2 місяці тому

      Ila mna ujinga eti xio poa kwan mnapata faida gani 😂😂

    • @MariamMariam-kq7bb
      @MariamMariam-kq7bb 2 місяці тому

      Waambie waache upuuzi maan wamezidi​@@PeterMadale-t2z

    • @AdilianapetroKoburungo-co7qe
      @AdilianapetroKoburungo-co7qe 2 місяці тому +1

      Zikusaidie nini kipenzi

  • @saniambaraka
    @saniambaraka 2 місяці тому +7

    Yaani naangalia movie natabasamu mwenyewe😄😄 naenjoy

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t 2 місяці тому +8

    Kilamba ukwaju leo umenifanya nikuone mpya masha Allah ni muvi lakini mme pendeza sana ❤❤

  • @StewartYembi
    @StewartYembi 2 місяці тому +40

    Mnabiboa mnaoomba like mbaka basi toeni maoni na nini tunajifunza kuhusu hii episode chakushangaza watu mnaomba like tu hatutoe like hapa tupo kujifunza kitu watu tutor maoni

    • @EvethaSimba-i1c
      @EvethaSimba-i1c 2 місяці тому

      hakuna hata siku moja wameleta faida ya hizo like jamani na sijui wanamuuziaga nani

    • @ILMS02Infrastructure
      @ILMS02Infrastructure 2 місяці тому +1

      Kitu tunachojifunza wanawake tuwape mahitaj stahiki wanaumee zetu tuwe na lugha ya kumtia mwanaume moyo man mwanaume anahtj mambo 3 au zaid 1kumuheshimu,kumsikiliza na kujishusha ata kama kakosea kiufupi mwanaume kama mtot anahtj kuangaliwa

  • @Mygirl_1032
    @Mygirl_1032 2 місяці тому +7

    Mwenyewezi Mungu ailinde ndoa ya Kai na Zuuh maana wamezungukwa na maadui wengi Sana

  • @zafriiy
    @zafriiy 2 місяці тому +3

    Nitakuwa mchoyo wa shkurani km xijwasifu busati tv kiukweli kz nzuri mlioifanya tena sana chukuweni mauwa yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj
    @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj 2 місяці тому +7

    Mashallah iwe ya kher mwenyezi mungu awatungulie inshaallah ❤❤❤

  • @BucumiGabriel-ni5qx
    @BucumiGabriel-ni5qx 2 місяці тому +8

    Tulio subiri na wanaosubiri Mr Tasha na zaatiti kuitana wapenzi waukweli ukweli na si uongo uongo tena,gongeni like zenu apa tujuane

  • @esterester3628
    @esterester3628 2 місяці тому +7

    Kai na Zuu wetu wameng'ra kweli😂❤harusi njema kwenye jameni na wenye wivu wajinyonge😂😂😂😂😂😂🎉

  • @FaithJoshua-n8n
    @FaithJoshua-n8n 2 місяці тому +5

    Kila ninapo muona zatiti na Tasha wakiwa pamoja, roho yangu inafurahi tu❤❤, nawapenda timu kubwa🎉🎉

  • @كامليا-ر7ز
    @كامليا-ر7ز 2 місяці тому +64

    Walio frahi kumuona zatiti waka like ❤❤🎉🎉

  • @marconhandi9501
    @marconhandi9501 Місяць тому +1

    😂😂😂😂 ila team candy nyie mnawaza kuharibu tu. Anyway big up sana

  • @bintialijuma
    @bintialijuma 2 місяці тому +17

    Wapi team kulala leo kuamka leo Asante Dj

  • @tamtamtz
    @tamtamtz 2 місяці тому +15

    WALE TULIOKUWA TUNACHUNGULIA KILA MUDA TUJUANE 😂

  • @ZahidahAli-ys1fg
    @ZahidahAli-ys1fg 2 місяці тому +3

    Mashaalaah hongeran pambe san hatimaye team zuli tunafrahi sana ❤❤

  • @NasraKingazi
    @NasraKingazi 2 місяці тому +4

    Waoooh Kaz nzr sana congratulations 👏

  • @WardaMuhibu
    @WardaMuhibu 2 місяці тому +30

    Jaman tunaosubili ndoa ya zatiti na tasha ikiisha ya zuu na tunao subili cendy kilambe😂😂 tujuane kwa like 🎉🎉

  • @rehemakihanga
    @rehemakihanga 2 місяці тому +34

    Jaman kiukweli wapo vizuri saana ambao tunangojea baada ya ndoa ya kai na zuu ifuate ndoa ya mr tasha na zatiti gonga like tuwaone

  • @saidomar3291
    @saidomar3291 2 місяці тому +13

    Jamani hii ni movie ama ni storia ya ukweli wa kai na zuu mbona imenibamba. Nakama nimove basi hongera zenu nyote mulioshiriki. Hasa baba kikosi cha harusi cha baba kai mwaaaah from saudia

  • @lailatlaila-fr4su
    @lailatlaila-fr4su 2 місяці тому +16

    Ugonjwa wang napenda kusom koment uku naangalia yaan naipenda tabia yang❤

  • @edinnaelizayo6837
    @edinnaelizayo6837 2 місяці тому +11

    Bas hio harusi tutaangalia kam episodi kumi iv haaishi ngo'ooooo

  • @IreneAdhiambo-h7l
    @IreneAdhiambo-h7l 2 місяці тому +4

    Nini mbaya na babu jameni 😂😂😂😂wacha tucheze Ngoma,harusi tunayo hatuna🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Djikondj-on4le
    @Djikondj-on4le 2 місяці тому +15

    Wakwanza leo mimi apa shabiki wa clam vevo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HAWAMAULIDI-zl5xd
    @HAWAMAULIDI-zl5xd 2 місяці тому +4

    Harusi itembee pole pole mpaka episode ya 32 maana ndo kitu kikubwa tulio kisuburi kwa hamu

  • @MariamKessy-v9l
    @MariamKessy-v9l 2 місяці тому +3

    Mashaaallaha kai wangu kapendeza jmn ❤guyz na me nipen like ❤❤❤

  • @iddi29
    @iddi29 2 місяці тому +9

    Mpemba kakaa km mchawi kote kote yupo mziki yupo kupamba pia yupo 😂😂😂😂😂😂

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 місяці тому +3

    Jamanii watu mnawahii utadhani mnalalaa hapaaaaa daaa ilaa zuu kadaimshiii ikimaliza ya zuu inayofata tasha na zatiti😂😂❤❤❤❤🎉🎉

  • @ZenaAfreka
    @ZenaAfreka 2 місяці тому +2

    umetokelezea km wanavyovaa waowaji wa oman ila kitambaa cha kichwa kdg kimefungwa nyuma kisogee mbele ya uso kdg but pendeza sana❤❤❤❤

  • @OmanNizwa-uc4ub
    @OmanNizwa-uc4ub 2 місяці тому +4

    Pajapo pana furahisha watu wame pendeza balaa dah❤❤❤❤

  • @DidaAlly-iz1it
    @DidaAlly-iz1it 2 місяці тому +3

    Wanaompenda mama tasha tujuane kwa Iikee wadau wangu wa humu ndani🎉🎉🎉🎉🎉

  • @oswardignas3277
    @oswardignas3277 2 місяці тому +12

    Kiukweli house girl imenibamba sana

  • @NyamweruAlex
    @NyamweruAlex 2 місяці тому +10

    🎉🎉🎉🎉shida ilipo muu wachoyo ata kukalibisha mashabiki amna jamani ata kama wengine 2po Kigoma huku siku zoote munaanda shuhuri si tungekuja ata kwa miguu🇹🇿🇧🇮Karibu burundi dk 15 nchi jilani tunaingia.😂

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 2 місяці тому +3

    Hiii harusi watu wamependeza km kweli jamani😊😊😊

  • @aishabakari4686
    @aishabakari4686 2 місяці тому +3

    kai kapendeza MashaAllah Tabarakah 👏👏🔥🔥

  • @franktodory
    @franktodory 2 місяці тому +10

    jaman naombeni namimi japo sijui tunazipeleka wapi😂😂😂😂

  • @UmaziMdzomba
    @UmaziMdzomba 2 місяці тому +3

    Congratulations for good work 👏 🙌

  • @EveKaari-r7r
    @EveKaari-r7r 2 місяці тому +11

    Jameni yaaawa yaani 7 min nikifikiri n Mimi kunao 59 comments wah 🙆🙆🙆🙆🙆nipeni likes not sikie vile mnaskia basi Niko 60 😅🤣🤣nikazikaange

  • @GeorgeAdam-os2vt
    @GeorgeAdam-os2vt 2 місяці тому +9

    Dah yaani nlivyowah kumbe nmewahiwa 😅😅😅😅😅😅

  • @azizamussa4138
    @azizamussa4138 2 місяці тому +5

    Mko vizur Sanaa ila kwann mnachelewwsha kutuma na siku nyingine hamtumi kabisaaa?

  • @REHEMANCHALIKA
    @REHEMANCHALIKA 2 місяці тому +8

    Wapi kelele ya first top 100🎉🎉🎉

  • @AishaTanzania-t1g
    @AishaTanzania-t1g 2 місяці тому +3

    Jmn nimefrah kuwaona wazee wavisara maua yao jmn🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @Halima-l7k
    @Halima-l7k 2 місяці тому +1

    Waauh masha Allah mmependazana Kai na Zuu

  • @SalumuChonde
    @SalumuChonde 2 місяці тому +2

    nakubal sana hii move anaependa kama mm naomba like apo

  • @nasraAl-b1w
    @nasraAl-b1w 2 місяці тому +12

    Ndoa tunayo na tunatamba nayo😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MammyMeju
    @MammyMeju 2 місяці тому +3

    Kazi nzul ndug zangu nawap pongez ❤❤🎉🎉

  • @IreneJustine-d9s
    @IreneJustine-d9s 2 місяці тому +16

    Wa kwanza leoooo wadauuu umesinziaaa nimewahii naombeni likeee

  • @جاااحظمجنون
    @جاااحظمجنون 2 місяці тому +3

    Haki leo mumefanya kitu kizuri sana wapendwa Mubarikiwe nyote

  • @HalimaWalii
    @HalimaWalii 2 місяці тому

    Mashallah tabarakawah wallah wallah Kai ndoa tunayo watake wasitake

  • @georgekuuna1481
    @georgekuuna1481 2 місяці тому +15

    Kenyans mpo🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @AkimanaHusseinmassud
    @AkimanaHusseinmassud 2 місяці тому +15

    Allah awangamize wa kina kendi ndowa ipite

  • @PeterMadale-t2z
    @PeterMadale-t2z 2 місяці тому +3

    Hakika wapo vzr sana wanapita mle mle napotabir ila tu kwa ulewa wangu ndoa ya zuuh haiwez toboa

  • @mumfaraji5034
    @mumfaraji5034 2 місяці тому +20

    Watu wanakimbilia kuomba like kabla kumaliza kuangalia thamthilia jamani😂ila babu katisha

  • @kengefilms1
    @kengefilms1 2 місяці тому +3

    Wanao amini doa ya kai iko na majanga tujuwane ❤❤❤

  • @MasauShida
    @MasauShida 2 місяці тому +2

    Kazi nzuri wana Busati tv🇹🇿

  • @PurityDida
    @PurityDida 2 місяці тому +4

    Wapi wale wakuchungulia😅😅😅😅🎉🎉🎉🎉😢

  • @mamasalhat
    @mamasalhat 2 місяці тому +2

    Zatiti mzuri mashaAllah nampenda❤

  • @RichardMuteke
    @RichardMuteke 2 місяці тому +4

    Wake wa 2 wa bozen kaboga wamekutana Ila hawajuwane Siku watajuwana Dama sozi utakipata shako😂😂😂

  • @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص
    @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص 2 місяці тому

    Harusi imepamba moto hongereni sana ❤❤❤❤🎉

  • @Janvier-y4r
    @Janvier-y4r 2 місяці тому +1

    Tasha Kawa Shehe leo😂😂😂

  • @zaharahamadi3784
    @zaharahamadi3784 2 місяці тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nawapenda sana umependeza mashalahu ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @SaquinaMinrage-m4o
    @SaquinaMinrage-m4o 2 місяці тому

    Mpenzi wangu kandy kapendeza sana mashallah

  • @HAWAMAULIDI-zl5xd
    @HAWAMAULIDI-zl5xd 2 місяці тому +4

    Zatiti mmemsema sana kwa style yake ya nywele nayeye ameamua kubadilisha awaridhishe

  • @JaneMatiangi
    @JaneMatiangi 2 місяці тому

    Da zuri kapendeza kweli kweli ongeza zuri mungu you lakini huyo boss kai me rooho yangu imtaki kabisa manake ana mambo ya kuharibu arusi

  • @mwl.hassanzanjabeel1621
    @mwl.hassanzanjabeel1621 2 місяці тому +27

    Mimi ndo wakwaza leo nipeni like za kutosha

  • @zeynab7617
    @zeynab7617 2 місяці тому +16

    Hata like Tano Kwa ajili ya Zuu na Kai

  • @barkyabdallah170
    @barkyabdallah170 Місяць тому

    Mashallah leo mumependeza hakika dini ya uislamu ni nzuri mpaka mavazi

  • @fatfat9093
    @fatfat9093 2 місяці тому +2

    Harusi tunayo tunaisubiri kwa hamu hila mumependeza cn❤

  • @aishaallyaishaally3220
    @aishaallyaishaally3220 2 місяці тому +2

    Nice kazi inawaka hatar 😂❤❤❤❤

  • @hawaali8371
    @hawaali8371 2 місяці тому

    Mashaallah Mmependeza , Amakweli Mmeamua

  • @RachelNgalya
    @RachelNgalya 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂Vibe la kina Candy ni 🔥🔥🔥🔥🔥 yan daaah wakorofi ila Nawapenda bure 😂😂😂😂maua yenu🌷🌷🌷🌷🌷

  • @hashimgotta
    @hashimgotta 2 місяці тому +4

    mnanipa raha team house girl

  • @SalomeKadzo-n9f
    @SalomeKadzo-n9f 2 місяці тому +40

    Wakwanza Leo like ata tano

    • @SaadaHaroun
      @SaadaHaroun 2 місяці тому

      Like za nn naww at hujaangalia emu kakojoe ulale uko mxieeew

    • @EveKaari-r7r
      @EveKaari-r7r 2 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂 nilifikiri Niko first eti 60😅😮​@@SaadaHaroun

    • @Edna-w3z
      @Edna-w3z 2 місяці тому

      Umechekewa😅

  • @RehemaKombe-n3x
    @RehemaKombe-n3x 2 місяці тому +4

    Kwani notification yangu inaleta habari kuchelewa yani notification pap nagusa hivi comments 180

  • @vagrant_tz
    @vagrant_tz 2 місяці тому +1

    Toka tumeanza kuitazama hii epsode tamu sana hongera sana team nzima ya Busatii😮

  • @StellaDaniel-me6jq
    @StellaDaniel-me6jq 2 місяці тому +11

    Jmn ba!hatk kigoma

    • @EsterDododo
      @EsterDododo 2 місяці тому

      Jamn harus imebamba sana mmependeza👍👍👍👍🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @BrendaMogambi
    @BrendaMogambi 2 місяці тому

    Ewaaaaaah yaani hii nimenjoy ingawa nikidogo lkn noma Sana...sasa next ni Tasha 😂😂😂😂😂

  • @Aminah-r4s
    @Aminah-r4s 2 місяці тому

    Maashallah, zuu na Kai wamependeza wallah ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @AbdallahKipengele
    @AbdallahKipengele 2 місяці тому

    Hii move Bila kendi hainog jmn ilove kend mana umejua kucheza

  • @Tynamnyilis9824
    @Tynamnyilis9824 2 місяці тому +9

    Humu ndani like wanapeana wnyw mm tu ngoja 😬😬

  • @djbngudukwimba5682
    @djbngudukwimba5682 2 місяці тому +4

    Kitambo sana mzigo ushachotwa niite king dj b from ngudu kwimba

  • @aishahamis1609
    @aishahamis1609 2 місяці тому +1

    Mr kai kiukweli ukisilim itapendeza sana umependeza mashallah

    • @Kai_busati
      @Kai_busati 2 місяці тому +1

      Mimi ni MUSLIM🙏🏾

  • @MRSSUMAILI123
    @MRSSUMAILI123 2 місяці тому +15

    Wakwanza mimi nipeni like zangu please 🙏

  • @Asia-vc9em
    @Asia-vc9em 2 місяці тому

    Mambo ni moto kz nzuri tunaburudika ma house girl jmn😂

  • @christinemwinzi
    @christinemwinzi 2 місяці тому

    Kufikia hapo nmesoma mengi jamani 🙏 kazi nzuri sana

  • @kjhhh5322
    @kjhhh5322 2 місяці тому +2

    Vizuri Sana Kai na zuu kufunga ndoa 🤲🇧🇮🇧🇮

  • @VannyleyQessa-sn2eg
    @VannyleyQessa-sn2eg 2 місяці тому

    Jaman zatiti me nampenda jamani yuko byee ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ yani on time waje ata tanga kabuku