ZAI KIJIWENONGWA:UKIENDA KWENYE STAREHE NA MTU WAKE USILE/MAHESABU YATAPUNGUA/KUTAPIKA
Вставка
- Опубліковано 6 чер 2020
- Ni mastori ya Zai kutoka Kijiwenongwa leo anatuhadithia yanayowakuta wakitoka na wapenzi wao na mambo mengine kama hayo.
Unaweza kumfollow Instagram anapatikana kama Zai_Kijiwenongwa
Leo wakwanza weka like Kwa kijiwe nongwaaa
zai njoo dodoma utuchekeshe maana weee nomaa
Zai umedamsh bibi weye 👏
Geah una enjoy sana uswahilini
Mrs dulah au zena kihondo. Pambeee tuuu uswayln atakama ujala unafulaa muda wowote kwenye maget utacheka na nan.
Zai umependeza sana.. Macho ayo, Mashallah😍😍😍😍
Da zai wangu ,penda uyu dada bure ,I wish ningelijuwa na sisters wayivi ❤️😍🥰♥️ love you from America, NY
+255 683804081
Nicheki what's up mama
@@sehewawilliam9015 we ndio zai
@@khadijamadry7822 😎😀😀😀 ina vituko wewe
@@khadijamadry7822 🤣🤣🤣ndio zai huyo
Kusikia dem yuko mbele karoho kamemdunda
Love you zai from Mexico
Zai nakupenda bure
We zai mzuri ivyo. Unapata watu wa mahesabu namna iyo. Ama uko sijui wapi njoo kwetu. 😂😂😂
Kwan wewe unapata watu wa aina gani?
Zai umetishaaaa
Jamano Zai''''stori zako hapo kwa hapo.
Kifigooooo,kipupu,mamaeeeeeeeeeee mbavu zangu
Da zai wewe mbona unavunja mbavu zangu mie!😂😂😂
Wa kuanza leo nipeni like
Zai my friend mbavu zanguuu😂😂😂nakupenda buuure! Na umependeza sana😘
Nimecheka hadi machoz
Dah zai naomba no zako nakupend na vituko vyako unanichekesha adi basi
Zai❤️
Jamani zai mzuri...ila we noma😂😂😂😂
Zai unachekesha sana we ni commedian
Gea huyu mungemueka clouds
Zai anachekesha sanaaaa
Aloooh we zai ni mshenzi jamani mpaka nimepaliwa kwa cheko khaaah
Alafu mzur mashallah mwenyewe 😂😂😂😂
Zai nakupenda
Uswahili kwetu kweli nomaa,ila jamani hizo bamia nyanya chungu na mboga nyingine za majani mnazidharau huku ulaya ndio bei mboga za bei kali kweli...
Kweli kabisa uko nchi gani ulaya??
@@shabaniguma8696 niko german nishakaa holand belgium na ugiriki home boy waulize wasafiri wote tangu wazee wetu ,nakupa mfano hai kuku wa kienyenyi bei kali lakini kuku wanaoitwa wa kisasa na mayai ya kisasa ya kuku ,kuna siri za jando sisi wahuni tunazitoa kiroho safi..mzarau kwao ni mtumwa jiulize nishakaa nchi zote halafu...........sitaki kuongea mengi.
Kamaba hiyo
yaani huwa nacheka sana kuhusu Zai maana sio kwa maneno hayo.
Miss you zari wangu
Leo kapendeza huyu dada kavaa vizur
💖💖
Uyu dada apewenkipind chakututoa stress jamn ananipa raha balaaah
😂😂😂😂😂😂nakupenda bule zai
We zai utatuua😂😂😂😂
Nimecheka mpaka mkojo umenitoka zai noma
Katapika kipupuu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
😅 😅 😅 Zai imenitoa stress
Nakupenda mno
nimecheka sana zai we haaaaa
Nkiwa na stress zangu mimi huingia UA-cam tu nkaskiliza story za Zai.
We Zai weeeee🤣🤣🤣🙌
Da Zai umetupwaga hapa...tambi inatoka puani nzima 😂😂😂🙌
Maneno hadi chumvi 🤣
Huyu dada aende cheka tu. Yuko vizuri
Nikweli atapita
Hapa zai mkologo umejibu
Zai muongo wew 😀😀😀
😂😂😂Zai Mungu ana kuona 🤣🤣🤣
Penda sana mama lake
🤣🤣🤣inatia kinyaa
Jmn huyu dada nampenda sana gea utaishi sana kwa kucheka sababu ya zai😁😁🤣🤣
heyyyyyaaaaaa w mwnzo😜😜
Sema Zai mfanyieni mpango apate ghetto kali na usafiri
Hahaha duu kazi ipo
Zai weye una niuwa kucheka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Daah nimecheka pekeangu kama mwehu hivi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌
Zai mie ntatoka na mihogo yangu nachupa ya maji kwenye pochi nikifika naweka mezani🤦♀️🤦♀️
😅😅😅💃💃
Jamani zai ni hatari
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣DA zai noma sana
🤣🤣🤣😄we dada hpn🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌
🤣🤣🤣🤣 jamani nimecheka sana
Yani Zai😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂👐
Nimecheka mpk koromeo linauma😂😂😂Tambi ya pua
Niandikie Bill hahahaha noma sana
😀😀😀
Zai
Nacheka ivo da geah anavocheka😅😅🎉❤
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣zai wewe utaniua🤣🤣🤣🤣🙌
jamani nimecheka mie, eti tambi ukalie pombe hahahaha. sikujua zinatokeaga puani
😂😂😂😂😂 jamani zai wewe!!
Uuuuuuuwiiii mbavu zangu jmn
Eti legea sura
Jamani huyu zai huyu mhhh kweli nishidaa dagea huyu mtu kweli amejuwa kupendezesha kipindi chako
Dada namkubaliiiiii
😂😂😂😂nampenda huyu dada gea nipe no yake plz
😂😂😂😂😂😂😂😂 Zaiii mbavuuu zanguuuu
Ahahahahahah sasa iyo tambi haikutafunywa jamani khaaaah
Hahaaa zai mtihanikweri
😀😀😀😀😀😀😀
🤣🤣🤣zaiiiii
Ila zai 😂😂😂
Zai....unatumaliza na kicheko ooo😅😅😅
Hahaha uwiii misimtaki
Hahaaaaa
Hahaha.
😃😆😆😀Zai
Miguu y kuku n utumbo da zai bwan 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
Vingwasuma ndio nn jamani🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahah zai shikamoo
Jmn unajipatia rahaaa
Daaaaa😆😆😆😆😆😆😆 uuuwiiiii
Hi
🤣🤣zai unatuuwa wenzio
😀😀😀😀😀😀😀😀
Mm nahisi haya anayoeleza yot
😂😂😂😂😂😂🇹🇿🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸wewe dada unamaneno sijui mmeo inakuwaje😂😂😂😂😂😂😂👍👍👍👍nakukubali sana
Afu muongo huyo
@@hellenmanzi4740 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂umenifurahisha sana
🤣🤣🤣🙌
Ila zai 🤣🤣🤣🤣
Yamemtokea😂😂
Hahaaaa nimecheka kujamba
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣zai ww mungu anakuon
😄😄😄😄😄😄
Hahhahahhaha zai
Nimeceka mpaka Basi😜🤪🥰
😂na michachandu