MPENZI by SOLO THANG ft MR PAUL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 166

  • @mpembarino1917
    @mpembarino1917 Рік тому +11

    2023 nilipita apa nita continues tena 2030 uku nikibaki kuiyangalia comments yangu nani anaipa gwara

  • @SundayMoshi-t6h
    @SundayMoshi-t6h Місяць тому +1

    Oya ilkuwa noma hadi 2024 bado yamoto mm npo daily ngoma izi yaan kila cku

  • @abasihatibu4915
    @abasihatibu4915 Рік тому +5

    Daah nmeisklza ten hii ngoma leo 11/10/2023 nkiw lusaka daah bless san!!

  • @mkanjinjikalembo8878
    @mkanjinjikalembo8878 3 роки тому +10

    2022,,still ngoma bado mbichi..Kitambo sana P funk anamfukuzia kajala Makongo high school ndio ngoma hii majani anamuwekea mchumba kwenye gari.

  • @mouraj1376
    @mouraj1376 5 років тому +4

    Longtime Sana nakumbka kipind kile unaandika barua kutokea demu nilimuandikia mashaur haya...kwa Mpnz Wang Esther..alinikubali Kbsa mashair makal na hisia Za mapnz....

  • @HearlyChunga-h4h
    @HearlyChunga-h4h 3 місяці тому +2

    Hii ngoma ina nikumbusha mbali sana . Bonge la hit song

  • @hayleseffissa9899
    @hayleseffissa9899 2 роки тому +9

    the best rapper with unique writing skills,bigup urself bro,

    • @RioIpo
      @RioIpo 2 роки тому +1

      Kabisa yaani

  • @hildaeliya5582
    @hildaeliya5582 8 років тому +17

    Duh hii nyimbo kitambo sana''' nakumbuka 2003 nikiwa first year university of Dudley Uk huwa nikusikia nafikiria mbali sana'' hapa Solo aliimba''

    • @daudimasawa1781
      @daudimasawa1781 11 місяців тому +1

      The problem is, you cant type in Englisch, and you were in UK. So strange😮

  • @kisepspindr
    @kisepspindr 3 роки тому +5

    Acha niweke history hapa ya ku play hii ngoma ndani ya mwezi wa tatu 2021 na naisikia km imetoka mwezi wa pili 2021.... Classic

  • @mussaisaac
    @mussaisaac 4 роки тому +7

    Nasikiliza Leo tarehe 21/09/2020 gonga like kama na wewe unzipenda za kitambo

  • @barikiarastus8770
    @barikiarastus8770 Рік тому +2

    Bado nitaendelea kua hapa natamani umri ungerudi nyuma, solo sijui ulikua unawaza nini😢 ilo corus na beat ni 🔥🔥

  • @lacksinho
    @lacksinho 11 місяців тому +3

    10/02/2024, listening to this master peace ✌️

  • @husseinjarufu5047
    @husseinjarufu5047 5 років тому +9

    Who else listenin on 25.10.2019 still my favourite...

  • @nestormaasay7547
    @nestormaasay7547 5 років тому +13

    Leo 22.05.2019 bado track inabamba.Ila ukweli track kama hizi washamba hawazifahamu!

  • @esiliarthurmwaisango9146
    @esiliarthurmwaisango9146 5 років тому +4

    Nimekaaaa wiki mzima hii nyimbo inaimba kichwani huu mwaka 2019 mwezi wa 8 daaa kwa kweli mziki unaishi na radha haijapotea big up brother #solothang

  • @RuzoOwzy
    @RuzoOwzy 2 роки тому +1

    Kipindi cha verse 3, halafu bado zote tamu. Safi sana.

  • @rajabuthabiti4302
    @rajabuthabiti4302 15 днів тому

    oyaaaaa 2003 top 20 miez6 no1 mistariiiii imeandikwa haswaaaa

  • @ramamtetu2327
    @ramamtetu2327 4 роки тому +1

    Leo 31-05-2020
    Namsikiliza Ulamaa dahhh
    Huyu jamaa Kala pipa yupo USA
    Alikuwa anajua

  • @jabuakida2277
    @jabuakida2277 Рік тому +1

    Lirycs zimekwenda shule mpaka leo hazijaandikwa..2023

  • @abdallahmkupi8399
    @abdallahmkupi8399 6 років тому +7

    Nyimbo hii itabaki milele vitukuu vitaipiga popote broo

  • @barikiarastus8770
    @barikiarastus8770 4 роки тому +1

    Nyimbo km ipo namba 1 trend#utube. Balaa zito ili nipo hapa 2020. Nawachora wakina kiba na mond na nyimbo zao mbovu nachoka kabisa.

  • @monicageorge2181
    @monicageorge2181 4 роки тому +2

    2020 ulamaaaaaaa....dah years goo faster.Hawa wasanii wa siku hizi sijui wanaimba nini

    • @RioIpo
      @RioIpo 3 роки тому

      Hahahaj kwa kweli

  • @AbdulRahman-wx6iv
    @AbdulRahman-wx6iv 5 років тому +3

    Hi ngoma kali masela mpaka leo naipenda

  • @RioIpo
    @RioIpo 3 роки тому +1

    Dah hii nyimbo naikumbuka nipo kidato cha kwanza 2003 dah... Solo Thang hii nyimbo kali sana huji kuimba tena nyimbo kama hii.. Mr Paul did the rest

  • @jonastegemeo3431
    @jonastegemeo3431 7 років тому +2

    naikubali sana ngoma kiujumla sasa hivi hakuna waimbaji wapi wabana pua solo upo juu

  • @thabitification
    @thabitification 7 років тому +17

    Hizi ndiyo nyimbo za wakati wote, huu mwaka 2017 ngoma bado ipo juu

    • @azotv1405
      @azotv1405 7 років тому

      nakumbuka long time, high school.

    • @saidisururu6976
      @saidisururu6976 3 місяці тому +1

      October 2024, Bado kali sana. This song will last forever

  • @barikiarastus8770
    @barikiarastus8770 7 років тому +5

    naogopa sana siku zinasonga miaka inaongezeka track bado ipo fire

  • @davidcharles1745
    @davidcharles1745 2 роки тому +1

    Mwakilishi wetu wa pekee tmk 4 lyfe

  • @agnespius8979
    @agnespius8979 4 роки тому +1

    Nausikiliza Leo trh 3 mwz wa 3mwk 2020.... good song 🎸🎧📷

  • @agnespius8979
    @agnespius8979 4 роки тому +2

    Nupenda sana huu wimbo uko wapi solo tupe utamu 🥰

  • @metdotanzania9913
    @metdotanzania9913 6 років тому +1

    Kwangu SOLO THANG ni msanii namtambua kwa nyimbo zinazo ishi

  • @maximemasinga9504
    @maximemasinga9504 Рік тому +3

    2023 on 🔥

  • @AsheryLaizer
    @AsheryLaizer Місяць тому

    Lete nyimbo ya mwaka solo!!!

  • @brownngullo4051
    @brownngullo4051 4 роки тому +1

    Jamaa alikuwa fundi sana.. Form two hiyo 2003 .. dah leo 05/04/2020 after 17years

  • @sundayguy779
    @sundayguy779 7 років тому +3

    solo aliimba nyimbo ambazo ni kali mpaka kesho hawa ndo wanamuziki sio wasanii

  • @abubakarihamissi4178
    @abubakarihamissi4178 3 роки тому +4

    kweli sasa hivi hakuna muziki nimekubali, dedication kama hii ni hatari sana yaani hakuna ujanja ujanja ni kipaji asili sio promo wala nn

  • @nestorlucasmaasai8024
    @nestorlucasmaasai8024 4 роки тому +12

    Leo ni tarehe 11.03.2020 naisikiliza sasa saa 10:27 asubuhi !Hii ngoma ilikuwa 2000!Dah leo ni 2020!Maisha yanakwenda kasi sana!

    • @mshangaf1726
      @mshangaf1726 3 роки тому

      sure, itakuwa 2000 mwishoni au 2001 mwanzoni siyo 2003

  • @djrennykenya9264
    @djrennykenya9264 6 років тому +6

    my high school memories used to listen to this on radio free africa

    • @bobrona9765
      @bobrona9765 2 роки тому

      Man ,muhuni alitoa ujumbe..

  • @KapistoloBwetete
    @KapistoloBwetete 6 місяців тому +1

    SOLO THANG LEGEND MPAKA LEO HII UNASIKIKA #BUJA & #TZ

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 2 роки тому

    Ktk ngoma zote za SOLO THANG this is my favourite

  • @samuelpeter5807
    @samuelpeter5807 7 років тому +3

    14 years now but still hot kweli vya kale ni dhahabu

  • @nkuba_tz258
    @nkuba_tz258 5 років тому +5

    nani anacheki Jan 2020

  • @waki7472
    @waki7472 11 років тому +3

    daaah ebwana longtym.
    big up mwanazuoni uliye komaa.

  • @alexelias5434
    @alexelias5434 7 років тому +3

    Jamani rudini tumeumisi utamu wa nyimbo hizi,ni tamu hadi leo 2018.

  • @nestormaasay7547
    @nestormaasay7547 5 років тому +4

    Hii ndio bongo flavour halisi!

  • @slimshady5717
    @slimshady5717 4 роки тому +3

    What a beautiful song thanks a lot solo thang

  • @samsonsimon5107
    @samsonsimon5107 4 роки тому +1

    Nacheki Leo 19/05/2020.Wimbo mtam Sana za zaman sio za sasa

  • @AliciaJennyKurth
    @AliciaJennyKurth Рік тому

    Big up my big broo,nc msg,.............

  • @SHABANIGUGA-x9y
    @SHABANIGUGA-x9y Місяць тому

    Had Leo 21.11.2024 unyama ulikua mwingi sana enz zile mi darasa la 5 primary Sasa iv wanatamba washamba TU mziki hawana mbaka kiki na promo

  • @tanzaniatest4529
    @tanzaniatest4529 6 років тому +1

    Dah old is gold kwa kweli😭😭😭😭 it's 2018 I'll Ngoma bado iko moto

  • @kulwampalashimpalashi7224
    @kulwampalashimpalashi7224 9 років тому +6

    Solo unajua bro salute

  • @bobrona9765
    @bobrona9765 2 роки тому

    Ujumbe mzuri wa mapenzi ya kweli,fikra ngumu..

  • @ikramalmas7039
    @ikramalmas7039 3 роки тому

    Daaah ndani ya medula yeye ndie quuen

  • @ogfirewhitemantz5967
    @ogfirewhitemantz5967 8 років тому +9

    namba moja yangu kwa solo thank kila nikisikiliza hainishi hamu tangu inatoka mpk sasa

  • @meloarex1874
    @meloarex1874 3 роки тому

    Tisha saaaaana kaka daima tutaishi nalo mpka mwisho wa maisha

  • @HearlyChunga-h4h
    @HearlyChunga-h4h 3 місяці тому

    Hii Ngoma nilikuwa naitafuta sana

  • @georgeanthony1547
    @georgeanthony1547 3 роки тому

    Msafiri Kondo mwanazuoni aliyekomaa Solo Ulamaa

  • @deomwanicheta553
    @deomwanicheta553 3 роки тому +1

    Moja ya nyimbo ninyoipenda sana

    • @RioIpo
      @RioIpo 3 роки тому

      Hunishindi mie asee naipenda sana hii

  • @alexnass7741
    @alexnass7741 6 років тому +1

    Solo, rudi Bongo bwana, nisalimie Mike Jackson Rashid wa Cork City 😂

  • @iamnormal8648
    @iamnormal8648 Рік тому

    Hii ndo Bongo Fleva.
    Siku hizi wanaovuma wanavuma kwa Naija Fleva na Sauzi Fleva.

  • @godfreyshandui662
    @godfreyshandui662 2 роки тому

    This man is from another planet he predict coronavirus (Homa ya dunia)

  • @mlekwamohammed3222
    @mlekwamohammed3222 3 роки тому

    Solo tunakumuka mbari Sana izi ngoma brothe

  • @zahormohammed8392
    @zahormohammed8392 3 роки тому +1

    Huyu jamaa anaitwa msafiri kondo (solo thang) amezaa mtoto na wastara kabla hajaolewa na sajuki

  • @DominicMyumbilwa
    @DominicMyumbilwa 6 років тому +3

    Naisikiliza Leo Tena, 14/01/2019 Saa Moja Kamili Jioni

  • @allysalim4779
    @allysalim4779 8 місяців тому +1

    Daaaah😢

  • @victorvancharlz
    @victorvancharlz 2 роки тому

    February 2022 bado naisikiza tuuuu. Hiz nyimbo haziishagi utam aisee

  • @ndelexanderson3379
    @ndelexanderson3379 3 роки тому

    Miaka hiyoooo ilikua raha sana

  • @resteroste
    @resteroste 7 місяців тому

    The King Solo 🎉🎉🎉

  • @hamzazianmisana508
    @hamzazianmisana508 5 років тому

    mziki mzuri, flow nzuri beat kali salute solo thang

  • @msukomsuko9928
    @msukomsuko9928 12 років тому +4

    Man,this is what i call music..9 years ago but still appeals to fans!! love you SOLO..ULAMAA

    • @talibrashid782
      @talibrashid782 2 роки тому +1

      More than 9 years

    • @kingdawood.6157
      @kingdawood.6157 Рік тому

      ​@@talibrashid782angalia hiyo comment yake kaiandika miaka mingapi imepita

  • @hamadimsika4063
    @hamadimsika4063 6 років тому

    dah nakumbuka mbali sana kipindi nipo england mwaka 2004 aise kitambo sana

  • @godfeymiraji9321
    @godfeymiraji9321 4 роки тому +1

    what a lovely memory back then when music was music bro

  • @DeogratiusMwanicheta
    @DeogratiusMwanicheta 5 місяців тому

    Moja ya Ngoma yangu pendwa

  • @LeonardasheriMyovela
    @LeonardasheriMyovela 5 місяців тому

    Best artist 255

  • @emmanueljudas4522
    @emmanueljudas4522 5 років тому

    Solooo nampenziii mi na yee ..yee namii oyeee

  • @kaporosalum6123
    @kaporosalum6123 4 роки тому +1

    Msafiri Kondo hatokuja kuimba kama hivi

    • @RioIpo
      @RioIpo 3 роки тому

      Wallah haji kuimba nyimbo kama hii

  • @salimhassan9274
    @salimhassan9274 6 років тому +1

    hii ngoma kali sana

  • @ramadhanimtetu7246
    @ramadhanimtetu7246 3 роки тому

    Amesoma nA Kaka yangu Mbagala Kizuiani
    Ni Kaka yangu huyu Mwamba

  • @EmanuelAnael
    @EmanuelAnael 10 місяців тому

    Bomba sna

  • @francistadayo8064
    @francistadayo8064 6 місяців тому

    unyama ni mwingi sana

  • @inversedelcruise676
    @inversedelcruise676 2 роки тому

    Mwanazuoni aliekomaa

  • @mashairitanzania
    @mashairitanzania 12 років тому +4

    nice track....always keeping memory....

  • @eastafrikamizik8061
    @eastafrikamizik8061 8 років тому +5

    who is listening to this 2016??

  • @rajabuthabiti4302
    @rajabuthabiti4302 6 років тому

    nakumbuk hpo nko kidato cha kwnza 2003 nilikuw na mchumba wngu jiran by tha name grace aiseeee nilikuw namuimbia tha song yooote alikuw anaipend pale mwisho ntakutunz kam nnavyoitunza mboni

    • @tabilkamugisha7345
      @tabilkamugisha7345 5 років тому

      Rajabu Thabiti hii nyimbo ni hatari

    • @cathybranma8863
      @cathybranma8863 4 роки тому

      Zaxx hvi syo nymbo za kufariji maisha bali nyimbo za kutafuta ke na umaarufu wa muda mfupi tu leo ikipigwa nyimbo ya solo ulinikataa ukisikiliz unajuw watu walipambana

  • @sekundemaster460
    @sekundemaster460 6 років тому +2

    mkali Wa vina

  • @eddydben
    @eddydben 25 днів тому

    flow ,content language

  • @mpendakizamba9532
    @mpendakizamba9532 2 роки тому

    ngoma moto

  • @yusuphpilleboss2102
    @yusuphpilleboss2102 6 років тому

    BEATS N LYRICS ARE MOTO SANA..CAN'T GET OLD.

  • @hashjamal6071
    @hashjamal6071 6 років тому +1

    Bonge la ngoma all the time

  • @ahmednassor7877
    @ahmednassor7877 3 роки тому

    7 / 6/ 2021 kwani bro uko wapi tumekumis sana

  • @edwinismail9401
    @edwinismail9401 Рік тому

    limetulia sana hili goma

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 26 днів тому

    Wahenga tujuane

  • @patricksindagulu6438
    @patricksindagulu6438 3 роки тому

    Hakika wewe Ni mwanazuoni uliye komaa

  • @WalterMweyo
    @WalterMweyo Місяць тому

    Golden generation

  • @masuseleman978
    @masuseleman978 6 років тому +1

    2018??????????

  • @djgthehotstepper
    @djgthehotstepper 4 роки тому

    Kali saana

  • @negrodaima6876
    @negrodaima6876 7 років тому +1

    Gero to gero!

  • @ashirimakomao7463
    @ashirimakomao7463 6 років тому

    sichoki kuisikiliza mwezenu nina mpenzi

  • @hubertcheyo9249
    @hubertcheyo9249 8 років тому +3

    mbali I remember it was my hard time

  • @zakayomrangu3405
    @zakayomrangu3405 3 роки тому

    My playlist best slow song for some one you love