BABA JAY | LOVE STORY

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 112

  • @PhoebeWafula-d6c
    @PhoebeWafula-d6c 2 місяці тому +1

    Nimekutafuta sana ww atimaye nimefika❤❤ nice one

  • @Remsyjay482
    @Remsyjay482 3 місяці тому +15

    Wanne leo wacha tuone baba jay kafanyaje asante lucas kwa kutuburudisha unatufanya maisha yetu yawe ya kufurahisha na kutuelimisha❤❤

  • @FaithNdenge-k9i
    @FaithNdenge-k9i 3 місяці тому +12

    Asante sana Kwa simuliz Mpya 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MariahMariahmambo
    @MariahMariahmambo 3 місяці тому +8

    Waaah hongera kwa mashabiki yaani mnawahi kweli sio poa 😂😂😂😂 asante sana kaka Lukas Mungu atupe maisha marefu yenye furaha na upendo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @FatumaRamadan.Mwalim
      @FatumaRamadan.Mwalim 3 місяці тому

      Amin inshallah

    • @SofiaMchange
      @SofiaMchange 3 місяці тому

      Haya maisha yana changa moto ukizaa utaambiwa una zaa kama kuku usipozaa ni mtihan kwenye familia ya mume😢😢😢😢

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi 3 місяці тому +1

    Baba jay wewe nomaaa❤❤❤🇴🇲🇴🇲

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 3 місяці тому +21

    Wakwanza jamani kwa simulizi hii mpyaa naombeni likes zenu 🙏🙏🙏❤❤❤❤❤ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

  • @AminaSalum-g2j
    @AminaSalum-g2j 3 місяці тому +7

    Sijapenda mbn hakuna muendelezo wa chioma

  • @FaithNdenge-k9i
    @FaithNdenge-k9i 3 місяці тому +3

    Mishi ukosahii sana kumpenda anaempenda

  • @vailethvennance4651
    @vailethvennance4651 3 місяці тому +9

    Nimefika jamani 🎉🎉🎉🎉

  • @rosalienahimana6287
    @rosalienahimana6287 3 місяці тому +3

    Nitaumia saana mume wake akikuta yule mtoto sio wakwake na Franco kampatia miimba. Inawezekana doctor ameficha siri ya Derike awezi kumpa mwana mke ujauzito inakua kwa wana wake wengi Derike atajuta mda simrefu. Ahsante saana Lucas ❤❤❤

  • @Holiness-to3wp
    @Holiness-to3wp 3 місяці тому +3

    Daaah patamu hapo basi tu huyo dada hajakosea pia yy ni binadamu ana hisia banaa

  • @zahrasahi9302
    @zahrasahi9302 3 місяці тому +2

    Yan hii simuliz iko hot

  • @latifahali8228
    @latifahali8228 3 місяці тому +3

    Me namungaaaa mkono 💯

  • @mumbikibathi7036
    @mumbikibathi7036 3 місяці тому +4

    VIP. Mumbi Wa Naivasha ako Ndani wapi likes

  • @mwanasiti83sete63
    @mwanasiti83sete63 3 місяці тому +2

    asant kaka lucas ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @AminaSalum-g2j
    @AminaSalum-g2j 3 місяці тому +7

    Yaani mtu unasubir kuendelezo hadi unasahau za mwanza sijapenda😢

  • @Kellyperry947
    @Kellyperry947 3 місяці тому +12

    ᵁᵘᵘᵘʰ ᵃᵐᵏᵉⁿⁱ 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @christinahaule-p8i
    @christinahaule-p8i 2 місяці тому +2

    ❤❤❤❤

  • @Munira1044
    @Munira1044 3 місяці тому +3

    Yupo sahihi

  • @QueenDenise-i9u
    @QueenDenise-i9u 3 місяці тому +2

    Uamuzi amechukua mwanamke ni mzuri

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 3 місяці тому +13

    ❤❤ohooo kaka lucas utatuwa, namautam ya baba jay so kwatabasam hloo inaonekana🔥 sana haya masikio kw lucas wetu like chukuwen ote🌹🏃

    • @ReginaJumanne
      @ReginaJumanne 3 місяці тому +2

      Inabidi muwe mnapewa zawadi jaman maan 😢😢😢😢

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 3 місяці тому +3

      @@ReginaJumanne tupeni bas🙏🧎

    • @ReginaJumanne
      @ReginaJumanne 3 місяці тому

      Duuuh maan so kwa kwenda na muda huk 😢😢😢​@@TeklaNdekeja

    • @lareineminah1353
      @lareineminah1353 3 місяці тому +3

      Babe akee Roman upoo mamy😍😘

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 3 місяці тому +2

      @@lareineminah1353 nakwambia we achat

  • @sakinapili1569
    @sakinapili1569 3 місяці тому +5

    Kwanza amekuwa amechelewa mimi kipigo cha kwanza ningekuwa nimeshamuacha maana akuna ndowa apo ndowa ni upendo siyo karatasi nampa 100% na apo njo ata juwa ya kwamba yeye ni mgumba ao ni mume wake

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 3 місяці тому

      Hakka wanaume hawajui kua nao ugumba waweza kuwanao😊

    • @sakinapili1569
      @sakinapili1569 3 місяці тому

      @@TeklaNdekejakabisa

  • @MwajumaToh
    @MwajumaToh 3 місяці тому +2

    Kaka mimi ndio naaza pati 1 tuko pamoja kazi njema

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 3 місяці тому +3

    Kisheria wote wa3 maamuzi waliochukua sio sahihi
    Sio Mishi,Sio Baba Jay wala Derrick
    Waachane tu kwa amani
    Kila mtu aendelee na maisha yake 😊

  • @asmajuma-kp8jq
    @asmajuma-kp8jq 3 місяці тому +10

    🎉🎉

  • @LeeYanOm
    @LeeYanOm 3 місяці тому +8

    Leo tunakaribishwa na wimbo weeeee,maua yako bro.
    Ila bro Chioma umeosusa sana

  • @SizaPanupanu
    @SizaPanupanu 3 місяці тому +1

    Matangazo mengi yanakela

  • @ROSEROBERTROBART
    @ROSEROBERTROBART 3 місяці тому +3

    Huyu mwanamke kinganganizi kweli,mwanaume amekufanya fuko la mazoezi ww upo upo tu,mtu hakupendi,amekusaliti,lakini huondoki kisa ndoa ya kanisani duuh 😂😂

  • @sakinapili1569
    @sakinapili1569 3 місяці тому +2

    Kaka Lucas zingine simulizi Apana maana zinatuharibiya mudi kwa kweli Tupo kwenye ndowa ila uvumilivu wa ivyo Apana uyo ujasiri sina wa uyo uvumilivu

  • @michaelmbilinyi7442
    @michaelmbilinyi7442 3 місяці тому +8

    Chioma kaka lucas

  • @YasintaHongela-j4s
    @YasintaHongela-j4s 3 місяці тому +7

    Asante kaka Lumbas Kwa mzigo mpya

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 3 місяці тому +3

    Kiupande wangu kama mwanamke maamzi aliyoyachukua huyo bidada namuunga mkona asilimia 100

  • @Joycetatu
    @Joycetatu 3 місяці тому +7

    Baba jay anani tena😂

  • @RebecaJoseph-t9j
    @RebecaJoseph-t9j 3 місяці тому +2

    Waooooo

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 місяці тому +2

    Mawifi wengine bn mnavalia mambo yasiowahusuu unafurahia kaka yako kuoa mara yapili wakati hamjajua shidaa iko wapi ila kitambo ifike mwisho huyuu derick naona hana kizaxi kauxiwaa mbuxi kwagunia.huyoo Angelala mwezi mxima mahabusu tuuuu mana hafai..naona mish ataolewaa na baba jei tuuu

  • @UmySele
    @UmySele 3 місяці тому +2

    Nahisi yeye amevumilia sana

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 місяці тому +1

    Mish kwaza alichelewa kuchepuka huyo mwanaume amemuumizaa Sana kupigwaa hivyoo mm mwenyewe nisingevumilia naninauhakika mish atapata mimba ya Frank huyoo mume nahisi hayuko kamili wacha tuone kunaendaje lkn kuna mtu kulia kauxiwaa mbuxi kwagunia ..halafu huyoo atembezee kiatuu mtu amekusaidia ukiwaa nashida sasa yy kapata shida hujamsaidia wewe unafurahia

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 3 місяці тому +1

    Bismillah😂😂😂 Unatulazimisha kama sehem ya 31 Ilikuwa na taarifa nyingi Hatuja kaa sawa unatuleteya Baba Jay hatukukubaliyanaga hiiiiiiiiii ratibaaa😢😢😢😢 haya bhana tunyanyaseeee

  • @SofiaKhamis-ol1bn
    @SofiaKhamis-ol1bn 3 місяці тому +14

    Sijachelewa sana na mm nipeni like hata 5🎉🎉🎉😂😂😂❤

  • @ShadyaKipingu
    @ShadyaKipingu 3 місяці тому +7

  • @nchidabajuma9401
    @nchidabajuma9401 3 місяці тому +1

    akuchomae nawe mchome tu da Mishi kazi nzuri sana

  • @elizabethkatoko8867
    @elizabethkatoko8867 3 місяці тому +9

    number 20 ...give me some likes plz 🙏 guyz

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 3 місяці тому +8

    Daah wanaume wengine bwana ni moto wakuoteya mbari iweje umushutumu mke wako hazai na kipigo juu kisha hashiki mimba ,wanawake wengine uvumilivu utawauwa kisha ndoa kwanza mume ame cheat yanini kungangajia ndoa yenye iko na vituko,sasa huyo michi sijuwi nani kasha cheat na yeye hapo asubilie ujauzito, ila yote sawa kama bwayi bwayi tu wahenga wanasema ukisusa wenzio wanakula kwalaha zao😂😂😂😂😂😂

    • @FatumaRamadan.Mwalim
      @FatumaRamadan.Mwalim 3 місяці тому

      😊😊😊

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 3 місяці тому +1

      @@FatumaRamadan.Mwalim yani hawa viumbe vinavyo itwa wanaume vikikubadirikia utajuta kuzaliwa ila wanawake nao wamezidi kuvumilia ushenzi.

    • @FatumaRamadan.Mwalim
      @FatumaRamadan.Mwalim 3 місяці тому

      @@Evelynmoreen3655 nifu nikiona kisa ndoa mamaangu mwenyewe aliache mm ninani nifie ndoani 😂😂

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 3 місяці тому +1

      @@FatumaRamadan.Mwalim wr acha tu Mungu mwenyewe ndie anajuwa maisha ya mtu.

    • @FatumaRamadan.Mwalim
      @FatumaRamadan.Mwalim 3 місяці тому

      @@Evelynmoreen3655 kweli

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 3 місяці тому +9

    Wewe Lucas mbona umeanza kuzingua sasa chioma Iko wap mbona humalizii

    • @FalidaRahma
      @FalidaRahma 3 місяці тому +1

      Alaf ishaisha ndugu yangu wew

    • @scollamwanisisi2739
      @scollamwanisisi2739 3 місяці тому +2

      @@FalidaRahma sio Arafa nimechanganya majina kweli hiyo nimemaliza hata mm si pale mwsho anapata bwana mzungu

    • @scollamwanisisi2739
      @scollamwanisisi2739 3 місяці тому

      @@FalidaRahma chioma ndio bado

    • @jasminmohagthari3730
      @jasminmohagthari3730 3 місяці тому +2

      Kheee arafa gan tena jaman mbona aliisha kitambo ila mashabik wa lucas tusipoona edna tunakuwa kama na kitete😂😂

    • @scollamwanisisi2739
      @scollamwanisisi2739 3 місяці тому +2

      @@jasminmohagthari3730 ahahahahah nimechanganya kumbe ni chioma jamn

  • @OmanBahla-i5g
    @OmanBahla-i5g 3 місяці тому +2

    Anko mwenzie na mtoto analea Tena yeye akibanie cha nn kwanza nyumbs ni ya kwake khofu ya nn (baada ya kisa mkasa)🤙🤙🤙🔥🔥🔥🌹🌹🌹🌹

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 3 місяці тому +2

    Na mimba inaingia apo apo 😊

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 3 місяці тому +1

    Watu wanaoa mke lakini Derick anaoa kizazi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 eh,mjoni kisomo🤣🤣🤣

  • @jasminmohagthari3730
    @jasminmohagthari3730 3 місяці тому +6

    Baba jay kafanyaje tena jaman nayeye anakojolea watu kama roma au yy mpole hana maajabu😅😅😅

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 3 місяці тому +5

    ❤❤❤

  • @Eshaomar-ge2nf
    @Eshaomar-ge2nf 3 місяці тому +7

    Chioma vipi jamani😢 nimemmic mume wake suruali ya kitambaa na flana ya yanga😂😂😂😂

  • @michaelmbilinyi7442
    @michaelmbilinyi7442 3 місяці тому +7

    Kaka lucas uwe unatoa na simulizi za ceo

  • @rosalienahimana6287
    @rosalienahimana6287 3 місяці тому +2

    Maamuzi walio chukua wako sahihi kabisa

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 3 місяці тому +1

    Mke wa Mtu my tail yaani Mtu kapiga kama gunia la maharage wanawake wengine tuliumbiwa roho za nyau😃😃 yaani mpk utolewe roho kwenda kuzimu alafu huko utakuwa Mke wa naniii!!!

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 3 місяці тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @Damkubawa
    @Damkubawa 3 місяці тому +2

    Nice

  • @matihassanmwachigutu-hq7ei
    @matihassanmwachigutu-hq7ei 3 місяці тому +2

    🎉🎉🎉😂

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 3 місяці тому +6

    🙏🙏🙏❤🎉

  • @melissaivanyi
    @melissaivanyi 3 місяці тому +5

    Wacha nifurahie simulizi nitatoa comment❤❤❤❤❤🎉

  • @candidekaneza8587
    @candidekaneza8587 3 місяці тому +5

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 3 місяці тому +3

    Yaan wanawake wa hivi siwapend mtu unahela zako bado unatesekea ndoa tena anakupiga kidogo huyo mumeo ujinga kabsa

    • @lareineminah1353
      @lareineminah1353 3 місяці тому

      Yaniiii hapo ndo si elewagiiii😢😢😢😢

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 3 місяці тому +2

    😮♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹🌹💃

  • @EstherMlai
    @EstherMlai 3 місяці тому +7

    Ndo xx Hawa kwa list tuko pamoja bro like zenu wapenzi wangu

  • @ElizaSada
    @ElizaSada 3 місяці тому +2

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂

  • @dinahnamalwa
    @dinahnamalwa 2 місяці тому

    Mm mish ningemove on,,,frango alikua nyege ya muda lkn Derick angempata angemua unless frango awe nguvu kumshinda

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 3 місяці тому +1

    Huyo franco hsna adsby😂😂 nyumban kwa watu ila mish yuko sahih ila turn asingefanyia homes coz sio sahih angeenda tu hotel

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 3 місяці тому +1

    Hii simulizi inanihuzusha kwakweli, nimeisikiliza mpka mwisho nimejikuta nalia aki,,mm mwanaume akinipa hata kofi siku hiyo hiyo namkimbia😂😂😂😂

    • @KhadijaTsumo
      @KhadijaTsumo 3 місяці тому

      Aki Tena mi ninavyopenda mwili wangu

  • @Damkubawa
    @Damkubawa 3 місяці тому +1

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @marthasonia5005
    @marthasonia5005 3 місяці тому +2

    🧎🏻‍♀️😭😭

  • @KhadijaTsumo
    @KhadijaTsumo 3 місяці тому +1

    Jamni mishi atakama Ni uko kulinda ndoa sikwakipigo icho

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 2 місяці тому

    Lukasi makweri unajuwa yiko sahihi samebebesha mimba ugisema canini wenzio wanasema ntagipata rini uuuuuuiiiii mupe yote😁😁😁😁😊

  • @NafuuMohammad
    @NafuuMohammad 3 місяці тому +4

    ❤❤❤❤

  • @sarakahidi6348
    @sarakahidi6348 3 місяці тому +1

    ❤❤❤🎉🎉

  • @nellylewa4457
    @nellylewa4457 2 місяці тому +1

    ❤❤❤❤❤

  • @Damkubawa
    @Damkubawa 3 місяці тому +2

    ❤❤❤❤❤

  • @khadija.kkhadija.k7885
    @khadija.kkhadija.k7885 3 місяці тому +1

    ❤❤❤❤❤

  • @zuhramwavyoni8400
    @zuhramwavyoni8400 3 місяці тому +2

    ❤❤❤❤❤

  • @aseaaaa5812
    @aseaaaa5812 3 місяці тому +2

    ❤❤❤❤❤❤