❤❤wauuu kujen tulo cherewa dak2 twaalikwa simliz tam yakuburudisha asante Mungu kwa neema nakibal cha kuwepo ad leo Nirehema zako Mungu wetu🙏🙏🙏Lucas tukopamoja🎤🎧🪑
Huyu shanny anaroho mbaya yani alijiachia kwenye mali za kaka yake nakuzitaifisha sasa anamutesa mtoto wa kaka yake simulizi imeanza kwauzuni sana.mbona nifupi sana japo Naila anapitia misukosuko ila simulizi ni tamu sana.
😮♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹🔥🔥🔥ngoja tusikilize mambo ya Naila nae,asanteni Luas Lumbasi na Sabrah Abdalah
❤❤❤🎉🎉
Shukurani kwako lumbasi na mtu zi simulizi Ina chekesha kweli Naila na vituko vyake 🙏🔥🇨🇩
Kitu kipyaa 🎉🎉❤❤
❤❤wauuu kujen tulo cherewa dak2 twaalikwa simliz tam yakuburudisha asante Mungu kwa neema nakibal cha kuwepo ad leo Nirehema zako Mungu wetu🙏🙏🙏Lucas tukopamoja🎤🎧🪑
🌺🌺🌺🌺🌺🥰
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ee mungu wetu ni warehema
Kitu kipyaaa❤❤❤❤
🔥🔥🔥
Namie nipo🎉
Wakwaza leo
Wa pili ni mm jmn😘😘
❤❤❤🎉🎉
Jamani nails kafanyaje tena
Mweeeh wapili
❤❤❤🎉🎉
Kitu. Kipya❤❤
Uyoooooooooo Naina amezima kisa njaa
Nice 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Jamani naila😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ok twamsikia naila
Naila wewe jitambuwe unacho kitenda bikef Laila asante Lucas lumbas Kwa simulizi tamu
Naila wow 😊
Mdhigo mpyaaaaaaa🎉
❤❤❤🎉🎉😂😂
@zenaathumani8144 ni full vituko 😂😂nimecheka sina mbavu
@@LeeYanOm usiniambie mi ndio zaidi ninacheka kama mwehu jamani daaah yaani acha tu ngoma zito hii 🤣🤣🤣🤣🤣
@@zenaathumani8144 Hii simuliz ata kama una stress mbn zitaisha kwa muda 😂😂😂😂😂nimecheka jmn
Tuwahishie pat lumbas kabla hatujasau tuliko ishia unatuwezea sana
𝐊𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐫𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐰𝐚𝐧𝐳 𝐤𝐮𝐰𝐚𝐡𝐢😄𝐰𝐚 12 𝐰𝐨𝐲𝐨𝐨💃💃💃😂😂😂😂
❤❤❤🎉🎉
🥰😘
Wa5🎉❤
Wakwanza jamani likes zenu 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao wote wanafamily wa Lucas
❤❤🎉🎉💯👏
Nimekuona 🎉🎉🎉🎉
Nipo ❤❤❤🎉🎉
Aisee naila ananifuraisha sana jamani daaah 🤣🤣🤣🤣♥️♥️♥️♥️
Hivi luca ua unazitoanga wapi jamani hizi story yaani zinatupa raha sana jamani daaah hongera sana ♥️♥️♥️♥️🔥🔥
😂😂😂😂😂he Naila kituko sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Naila nzuri ❤
❤❤❤
Shukran kaka Lucas Lumbasi kwa simulizi mpya ❤❤❤❤
💃🏽💃🏽 🎉
Woooow kitu kizuri na cha 🔥🔥🔥🔥🔥Naila😅😅Naila 😅😅Naila 😂😂😂😂 sio kwa vituko hivyo.
Yaani Shani atakuja kujuta kumyanyasa mtoto wa marehemu
Sijachelewa sana
Ila simulizi nzuli sana nimechukia kuisha alaka
@@Regina-p6r mda mdg
Naila kanifulahisha San jamn sio kwa vituko hivyo😂😂😂😂❤🎉
Kka lucas hii simulizi imeweza jamani si kwa vituko vya Naila 😂😂😂😂😂
Kaka Lumbas una tupatia vitu nusu ungekamilisha kwanza ALeX
Aya najua nimechelewa ila naombeni like ata5 bs wanafamilly wa Lucas
Nipen ht like 5 wadau mung awariki kila umoja kwakila kazi zake❤
Simurizi tamuu
😅😅kwaheri maji kwaheri maua naomba mnizoee😅😅 nimecheka sana
Wapili jamani ❤🎉🎉
Waooo
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂jamani waaa
🎉🎉🎉
Asant Lucas rinasubir
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nimewahi leo
Naila na vituko vyakeee jamani vinachekesha ck mbili kashaharibu kila kityuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂 hapo kwenye kula pesa ata ww almas usingekubali pesa alee mwingine kazi ufanyee ww uliona wapi😂😂😂😂😂😂
😢😢 Lucas simulizi zako zinanipa nguvu
Nashukuru sana🎉🎉🎉🎉❤❤
❤❤🎉
Naila unanifrahisha ila utayashinda yte ayo unayo fanyiwa
Mmekwisha ondika au upo Naingia sasa kuisiklza😂😂
@TeklaNdekeja umechelew me nikewahi leo 🤣🤣🤣
Amakweli vya haramu aviliki😢😢
Nimekuwa wa 83 naomben nikae nimechoka sana
Jameni karma iko
😢😢😢
Jmn me mutanivunja mbavu
Naomba upendo jamani. Nipitieni katika hadithi zangu.
Story gani dear angusha link
@MwanatumuJumaa-rj4fg sawa
Jamani mbona hii story imenichekesha sana ela naila mambo mbaya yaani chizi haswa
Naomba mwendelezo naila part 2
Hahahaha jamani kungekuwa na uwezekano waku comment na voice ningecheka Mimi 😂
Sinikweli lkn godoro pia alitumia😂😂😂
😂😂😂😂😂😂NAILA ni mwehu hata chumba angemuachia😂😂😂😂😂😂
@Evelynmoreen3655 eeh 🤣🤣🤣
@@Aishwaraimasiennah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sasa siameingia chumbani na akakivuruga
@@Evelynmoreen3655 nimekumbuka nikashindwa kuzuia kicheko😅😅😅😅
@@Aishwaraimasiennah 🤣🤣🤣🤣 Naila hakiri zake anazijuwa mwenyewe
Huyu shanny anaroho mbaya yani alijiachia kwenye mali za kaka yake nakuzitaifisha sasa anamutesa mtoto wa kaka yake simulizi imeanza kwauzuni sana.mbona nifupi sana japo Naila anapitia misukosuko ila simulizi ni tamu sana.
Kuna watu na viatu,ukiwa hai huwezi jua tabia za ndugu zako kama ni wanyyama au watu😢😢😢
Kweli kabisa mimi kaniudhi nahiyo tabia yake keakufanyia Naila hivyo acha huyo Sada abebeshwe mimba huko shuleni ndo atajuwa hajui.
@Evelynmoreen3655 uovu wowote lazima unalipwa na Mungu kwa wakati wake😓
Kweli kabisa maana malipo ni hapahapa duniani.
❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤🎉🎉🎉😂😢52
Kaka lucas tuleteye Naila na Leo maana Alex kazi nikuvuruga mambo tu nakujisabashia matatizo😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Brother Lumbasi hii nikali natamani part 2 na 3 zinger wait maana watu hatupati usingizi by Beatrice sanga
89❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤l
😂part 2 please. Ime ningusa sn ihi simulizi yahn uyu Naila uy😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂❤
❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂
Part 2 lini
Jaman lucas fany nyengine kam ya zulfa
🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤
🎉🎉🎉👏
❤❤❤❤❤🎉
❤❤🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤
❤️❤️
❤❤❤
❤❤❤❤❤❤