Paula | Simulizi fupi ya kweli na yenye mafunzo | Love story

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 159

  • @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
    @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI  11 місяців тому +32

    Mahusiano yangu na Joseph haikuwa riziki huyu niliyempata ndo chaguo sahihi kutoka kwa Mungu na ni kama Mungu alinitoa kule kwa J ili aje anikutanishe na familia yangu 😭😭😭nakumbuka kuna kipindi mme wangu alipata hitilafu kidogo kwenye kazi ikampelekea kufanya kikao na waajiri wake, siku aliyotakiwa mme wangu kuhudhuria kwenye kikao aliniomba tuongozane na hiyo siku ndo niliyoenda kukutana na familia yangu😭😭😭 baba pamoja na pacha wangu wao ndo wamiliki wa kampuni iliyomwajili mme wangu ni kampuni kubwa ya maroli ya mizigo yanayosafirisha mizigo mbalimbali ndani na nje ya nchi🙏🏻🙏🏻🙏🏻nimepitia misuko suko mingi sana ya maisha kwa hapa nilipo ninasema alhamdulilah kila kitu hutokea kwa sababu sina budi kusahau yote ya nyuma🥰🥰🥰kwa sasa mimi ndo kipenzi cha baba na vile hakupataga muda wa kunilea nikiwa mdogo now ndo nayaenjoy mapenzi ya baba ananipenda mnoo💃🏼💃🏼💃🏼na kawekeza kiasi kikubwa mno cha pesa kwenye biashara yangu........Tunaishi kwa kusudio la Mungu na kila linalotokea kwenye maisha yetu limepangwa na Mungu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻Nimeamini kweli mwisho wa kilio ni furaha❤️❤️❤️furaha niliyo nayo sasa ni zaidi ya furaha niliyokuwa nayo kipindi cha nyuma🙏🏻🙏🏻🙏🏻Asante Mungu kwa kila kitu❤️

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 11 місяців тому +3

      Kuna.sababu na kusudi.kwa kila pito linalompata mja...God have great.plans in our.lives....nyc story

    • @TheopistaMakoi
      @TheopistaMakoi 11 місяців тому

      P0

    • @AminawafafAmina-zy6bm
      @AminawafafAmina-zy6bm 10 місяців тому

      😊😊😊😊😊😊²22²2

    • @alicelenard5954
      @alicelenard5954 5 місяців тому

      😢😢😢😢😢😢 Hiii imenigusa mnooo ila kupitia simuliziii hiii napenda kutoa tamko kwaa mwamamke au msichan yyt anaingilian mapenzi ya watu anaharibu aman na furaha ya watu yaan umekuta mtu ana mwanamke wake wanapendan ww unaingilia kati unamloga mwanaum ili upendwe ww mwenzako ateseke😢😢😢 litakukut jambo aki
      nasem ivo maan mie nliumizw san na mwanwmke mwenzang alinipokonya tonge mdomon na sijawah kumsahau kweny maish yangu ila sintosahau magum nliuopitia😢😢😢😢😢🙌🙌🙌
      nashukur Mungu amenipa pumziko ten nmempat mwanaume anayejua thmn yangu
      yaaan nina story chungu ambayo nikitoa ni simuliz kabisaaa loooooh mapenz jmn
      ila mwanaume halogwi jmn😢😢😢😢

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 11 місяців тому +19

    Jamani Mimi Leo kama shabiki WA Lucas ni WA kwanza naomba like zenu tuzidi kusikia simulizi pamoja nasauti ya Lucas wetu vile anaa tusimulia simulizi nzuri karibu mashabiki tuwee pamoja asante kwa like zenu❤❤❤❤

  • @gladyssamba8370
    @gladyssamba8370 11 місяців тому +11

    Jamani mbona mnalaumu sana hakuna binadamu hana
    Makosa na amejifuza hawezi kurudia tena hakuna mtu mkamilivu kwa hii dunia ,pia mwanawake before mume wako hajatoka nyumbani kwenda kazi piz make sure unamuombea kwa mungu juu huko inji siyo kuzuri
    .. thanks sana bro Lucas nimejifunza sana😊

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 11 місяців тому +10

    Pamoja sana rafiki yetu na burudan yetu lukas lumbas ,lumbas simulizi

  • @christinahaule-p8i
    @christinahaule-p8i 5 місяців тому +2

    Paula ni mjinga sana unaonaje mimba ya miezi 7 wadada tujifunzee maaana yaliyo mkata paula ni makubwa sana 😍😍

  • @christinahaule-p8i
    @christinahaule-p8i 5 місяців тому +2

    kuondoa uhai wa mwanamke mwenziyo kisa mwanaume paula mungu anakuona ni bora kujiroga tuu ili upendwe ❤❤

  • @sephrinewarenga2745
    @sephrinewarenga2745 11 місяців тому +4

    Wow kazi nzuri kaka,listening from Kenya,much ❤

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 11 місяців тому +13

    Weuweeeeee?leo wa 1 kabisa,like zenu tupendanao

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 11 місяців тому +3

    Shatani Hana jama kwa mtu yoyote mungu tu ndiye waupedo zura zuri roho wa kishatani si wewe ni shatani baba wa Dunia hasiye penda watu. Asente Sana Lucas lumbasi

  • @MorineMachimbo
    @MorineMachimbo 11 місяців тому +4

    Penzi si dawa penzi ni damu❤

  • @MwantumuBakari-v7p
    @MwantumuBakari-v7p 11 місяців тому +2

    Nimewah kumsikiliza Paula akafanyaje ❤❤❤🎉🎉

  • @PriskaShio
    @PriskaShio 11 місяців тому +1

    Naituwa priska shio Niko Moshi kilimanjar na barikiwa sana na simulizi zako nimejifuza megi sana mungu abariki kazi yao akupe afya bora sana tuzidi kufuraia

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 11 місяців тому +4

    Wakwanzaaaa❤❤❤❤❤

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 8 місяців тому +1

    Kweli shetani siyo wakutaniwa,tumtangulize Mungu ktk kila jambo letu kwakweli,tusali sana daima bila kukoma,na tusipambane wenyewe kwa wenyewe bali tupambane na yeye

  • @TamariKivambe
    @TamariKivambe 11 місяців тому +3

    Asante japo leo imechelewa kidogo 😊

  • @Clareindusa-qp5gc
    @Clareindusa-qp5gc 11 місяців тому +6

    😢😢😢hii simulizi leo imeninguza pia mm nilijaliwa mapacha ila mila haikuhurusu sasa ivi natafuta pesa ili niende nikachukue watoto wangu juu walininyang'anya

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 8 місяців тому +3

    Uvumilivu wa Tunu siupendi kabisa,mtu akikugeuka wakati wa uchumba,ni vizuri kwani unakuwa umeshaepuka magumu ambayo Mungu anayajua,unang'ang'ania mapenzi?yakishakoma shukuru Mungu

  • @ManisaboSifa
    @ManisaboSifa 2 місяці тому +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @anifamashaka7680
    @anifamashaka7680 11 місяців тому +3

    Wanawake tuna roho mbaya sana hatuoneani huruma Mungu atusaidie

  • @RachealMwaganjoni
    @RachealMwaganjoni 11 місяців тому +1

    ❤❤❤n imenifunza mambo mengi snaa

  • @ManisaboSifa
    @ManisaboSifa 2 місяці тому +1

    ❤🎉

  • @rehemanifasha5524
    @rehemanifasha5524 11 місяців тому +2

    Asante sana kwa kitu kipia jmn Lucas ubalikiwe sn 😊😊🎉🎉

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 11 місяців тому +2

    Wewe
    Uko juu lucas lumbas from UK 🇬🇧

  • @ZawadiEdward
    @ZawadiEdward 9 місяців тому

    Japo nimechelewa but uko vizur bro congratulation👏👏❤️

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 11 місяців тому +3

    Kutoa mimba kaniboa sana heri angeacha angetunzwa kwa ajili ya watoto wake damu ni nzito kuliko maaji nyambafu zake tena mapacha endelea kuumia sasa

    • @jennytugara9470
      @jennytugara9470 11 місяців тому

      Alitumia hasira pasipo kutumia akili ni tatizo letu wanadamu lkn baadae huwa tunajifunza somo toka kwa Mwalimu Dunia

  • @VanesaMunuo
    @VanesaMunuo 10 місяців тому +1

    Kwani mabinti bikra wanapatikana kweny simulizi za lucas😂😂.. ila mauwa Yako Lucas 🎉🎉

    • @lareineminah1353
      @lareineminah1353 9 місяців тому

      😂😂😂😂😂 Kila simulizi ni Bikra😂😂😂😂😂

  • @OrnellaHabonimana-gr7wp
    @OrnellaHabonimana-gr7wp 11 місяців тому +1

    Boom Boom kabisa kweli namimi nilifanyia ayo poula kafanyiya mke WA jii

  • @LightnessRemy-nx8xi
    @LightnessRemy-nx8xi 11 місяців тому +13

    Wakwanza Kwa mara nyngne likes zen vipenz

  • @ROSEROBERTROBART
    @ROSEROBERTROBART 4 місяці тому +1

    Sijawai kuona mwanaume mpumbavu kama huyu,hana msimamo, kama alikua hamtaki huyu msichana asinge owa,alafu paula nae hayo unayomfanyia mke mwenzake sio kabisa,hilo limbwata lina mwisho wake

  • @HaluwaMosi
    @HaluwaMosi 11 місяців тому +1

    Ujumbe uwafikie

  • @AsiyaMangaza54-qr1kk
    @AsiyaMangaza54-qr1kk 11 місяців тому +1

    Asante sana mtunzi na musimuliaji🙏🎊

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 11 місяців тому +3

    Kutoa mimba hapana naningemtoa wangu ningejutia mana sahii ako 20yrs.mapenzi yadawa hapana nakwann utumie dawa iliiwejee?

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 11 місяців тому

    Good 👍 job nice story be blessed ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @PhoebeWafula-d6c
    @PhoebeWafula-d6c 11 місяців тому +2

    Paula una roho mbaya

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua 11 місяців тому +2

    Leo wa 16🎉🎉🎉🎉

  • @MwajumaAli-w3o
    @MwajumaAli-w3o 11 місяців тому +1

    Asante japo leo nimechelewa❤

  • @SamsonMzehe
    @SamsonMzehe 3 місяці тому

    Na wanawake tujuwe kukataliwa tusilazimishe mapenzi kama haiwezekani ujue siyo fungus lako

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 11 місяців тому

    Waa alimtesa mwenzake asante sana lucas kwa simulizi nzuri

  • @saadamohammed7431
    @saadamohammed7431 11 місяців тому

    Mambo moto mashalla Lucas hongera❤❤❤❤

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 11 місяців тому

    Santee simulizi nzur yuo lead others follow ❤❤❤❤

  • @QUEENJoseph-kh6cb
    @QUEENJoseph-kh6cb 11 місяців тому +1

    Jamani hee

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 11 місяців тому

    Wow nice story 🎉🎉🎉

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 11 місяців тому +1

    Mmmmh uchawi una mwisho. Ety😮

  • @RashidaHamad-o2g
    @RashidaHamad-o2g 11 місяців тому

    Asant kwa simzliz tamu🎉

  • @MwanakomboMangwe
    @MwanakomboMangwe 11 місяців тому +1

    Paula kaniboo kweli kutoa mimba😢😢😢😢😢

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 11 місяців тому

    Safi kabisa

  • @MussaMchalo
    @MussaMchalo 7 місяців тому

    Hatari❤❤❤

  • @DoreenwangilaNanjala-rd5wi
    @DoreenwangilaNanjala-rd5wi 9 місяців тому

    Nimeenda,imaburudisha sana

  • @AnithaArakaza
    @AnithaArakaza 11 місяців тому

    Thx Mr Lucas ❤❤

  • @salmarajabu1626
    @salmarajabu1626 11 місяців тому

    Paula we hufai😊

  • @NgendahayoJeanmarievianney
    @NgendahayoJeanmarievianney 11 місяців тому

    Nice story daaaaa

  • @EpiphaniaMallya
    @EpiphaniaMallya 11 місяців тому

    Ahsante sana bro kwa ushauri

  • @akimanaramy4629
    @akimanaramy4629 11 місяців тому

    Mimi nataka par2 ya chris

  • @leah5307
    @leah5307 11 місяців тому

    Thanks LUCAS ❤❤❤

  • @KhadijaKassim-k8d
    @KhadijaKassim-k8d 11 місяців тому

    Asante sana

  • @JulietNamukoko
    @JulietNamukoko 11 місяців тому

    Nzuri inafundisha

  • @ShamiraShamiiY
    @ShamiraShamiiY 10 місяців тому

    Duuh we Paula umeyaweza

  • @SheilaApondi-dn5lh
    @SheilaApondi-dn5lh 7 місяців тому

    Namuenea huruma paula

  • @AminaJumar
    @AminaJumar 11 місяців тому

    Sijaipenda story huyo dada katili

  • @dashuushu6883
    @dashuushu6883 11 місяців тому

    Nice❤❤❤❤

  • @irne2926
    @irne2926 11 місяців тому

    Yani hii nikali nime sikia vibaya inauma sana😢😢😢

  • @faridakanda-ct8uo
    @faridakanda-ct8uo 11 місяців тому

    ❤❤❤nzuri mno

  • @saudagama4359
    @saudagama4359 11 місяців тому +1

    naomba umwambie paula anipe namba za babu

  • @khadijamohd5741
    @khadijamohd5741 11 місяців тому +1

    Jamani Paula umeweza hebu nipe number za huyo mganga

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 11 місяців тому

    Hakika hasira hasara ulijifanya jeuri ila wewe ndiwe mjinga utupe watoto wako ulio wabeba kwa ajili ya wivu tiuu ili ufaidi maisha ya kitajiri na huogopi kuwa umepoteza watoto na kizazi chako faida yako ni ipi

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 11 місяців тому

    faida ya uchawi ni mateso nakuishi maisha ya dhiki na shida na mwisho kuwa mtumwa wa mganga kwani kila upatacho nikwamganga

  • @Sss-b9w6f
    @Sss-b9w6f 11 місяців тому

    Shukrani sana Mungu awatanguriye 😂❤❤😢

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 11 місяців тому +2

    Paula umshenzi sanaa yani jamaa alikwambia ukweli kua ako namchumba ila ukajitia hamnazo sasa kitakacho kupata atasiezi kukuhurimia😏😏😏

    • @ZenaidaDaniel-r9d
      @ZenaidaDaniel-r9d 11 місяців тому

      😏😏kanikera kweli huyu Paula kama mazuri kwa Nini atumie uchawi ila unamwisho😮😮

    • @wertqwe8326
      @wertqwe8326 11 місяців тому

      Wooow ameniboo mmi mwandishi bado mwanafunzi hajajui haya anayo pitia huyu tunu alikuwa niapitie yye Paula basi

    • @priscillahsirya6544
      @priscillahsirya6544 11 місяців тому

      @@ZenaidaDaniel-r9d niivo

    • @priscillahsirya6544
      @priscillahsirya6544 11 місяців тому

      @@wertqwe8326 ndomana ikaletwa tujifinze kupitia hiyo stori

  • @bas2823
    @bas2823 11 місяців тому

    KAMA TO DINNY TO DANNY👌

  • @ZenaidaDaniel-r9d
    @ZenaidaDaniel-r9d 11 місяців тому +1

    🤣🤣paula uchawi una mwisho hiv kwanini umtese mwanamke mwenzio🤣🤣🤣

  • @ElikaHosea
    @ElikaHosea 5 місяців тому

    Kam kweli ulifanya ivo mngu akuulaani

  • @PendoAbasi
    @PendoAbasi 11 місяців тому

    Inaumaa lakni pau ww😂😂😂😂😂

  • @NuruAbdullah-h7g
    @NuruAbdullah-h7g 11 місяців тому

    Yaani hii simulizi angeyelezea tunu kuja jambo kubwa kujifunza kupitia tunu sio huyo muuwaji na mungu kampa laana kuishi bila kupata mtoto hata uwe na pesa vp ni bileee mbwa huyo atahangaika maisha yake ya uzeeni nyau huyo

  • @AlidaTheobard
    @AlidaTheobard 11 місяців тому

    Lucas simlizi zako nzur

  • @Emmah-kg4du
    @Emmah-kg4du 11 місяців тому

    Leo wa 20

  • @mwanaibrahim3288
    @mwanaibrahim3288 11 місяців тому

    😂😂nimewai kidogo jaman🎉🎉🎉🎉

  • @leah5307
    @leah5307 11 місяців тому +1

    Paula 😭😭😭😭😭

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 11 місяців тому

    Siezi roga mtu waume ni wengi sana mwisho wa ubaya n aibu

  • @khadija.kkhadija.k7885
    @khadija.kkhadija.k7885 Місяць тому

    Uyu paula mjinga sana xxxxxxxx

  • @bas2823
    @bas2823 11 місяців тому +5

    MONEY GOES MONEY COMES! THE TRUE LOVES WILL REMAIN FOR LIFE N FOREVER❤

  • @Hetra-l9c
    @Hetra-l9c 4 місяці тому

    Paul ni mubinafsi san sija pend

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 8 місяців тому

    Mhmm, ubinafsi wa Paula ni wa hali ya juu,jamani hata huruma yakujisingizia hana, kwani hakuna wanaume duniani 😢😢sura haina mvuto kwani wanaoa sura?

  • @NeyMarco-b8g
    @NeyMarco-b8g 2 місяці тому

    Uchawi tu,, mkaka wa watu ninamloga tu

  • @OmanBahla-i5g
    @OmanBahla-i5g 11 місяців тому +1

    Hujatuelezea jee hawakuwahi kuonana Tena hata njiani na mchepuko wake

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 11 місяців тому

    🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

  • @LetisiaKazimili
    @LetisiaKazimili 11 місяців тому

    Apo kwenye uch sasa😅😅😅

  • @ShamiraShamiiY
    @ShamiraShamiiY 10 місяців тому

    Duuh Paula unayawe

  • @ElikaHosea
    @ElikaHosea 5 місяців тому

    Naamin watu hawan hakili mimba ya miyez ,7 unatowa unataka kufa wewe au ndouwongo mnatudanganya

  • @ashalwamba8286
    @ashalwamba8286 11 місяців тому

    Paula wewe ni mchezi sana.

  • @Agnes-y2z
    @Agnes-y2z 11 місяців тому +1

    Nimechelewa lakini nimefika

  • @BimukubuwaMusa-hd9np
    @BimukubuwaMusa-hd9np 11 місяців тому

    Mh Jamani Uchawi cio Nzr

  • @dashuushu6883
    @dashuushu6883 11 місяців тому

    Waooooo 🎉🎉🎉🎉

  • @victoriangasa
    @victoriangasa 11 місяців тому

    Waooooh ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @HafashimanaDorine
    @HafashimanaDorine 11 місяців тому

    Kinasho niumiza wale watoto agewaasha inauma😢

  • @irne2926
    @irne2926 11 місяців тому

    Yani imeniua lakini inapendeza

  • @NasrahhassanNana
    @NasrahhassanNana 11 місяців тому

    Nijipongezeeee nime wai piaaa😂❤

  • @ruthkavai3453
    @ruthkavai3453 11 місяців тому

    No No why oh my god 😢😢😢😢

  • @SheilaApondi-dn5lh
    @SheilaApondi-dn5lh 7 місяців тому

    Uchawi hauna nguvu

  • @BarakaLusasi
    @BarakaLusasi 11 місяців тому

    Ulijuaje km inauma wakati haujawah kufanya acha uongo

  • @NeyMarco-b8g
    @NeyMarco-b8g 2 місяці тому

    Hili lipaula linanikela