Big up simba la masimba u r a game changer..since day one, even ur opponent wana haha na nisema kitu yaan mwenyezi Mungu akisema achukue leo basi na bongo fleva ndo itakua imekufa kama bongo movie baada ya kifo cha marehem kanumba
Hahaha unazani k2 rahisi kuwa karibu na drake ndug hizo revo nyingine ndug rick mtu wa African yani kuna wasanii wa mbele kuwafuta karbu sio lahisi kam drake.future lil durk lil baby da baby uwe revoo za juu sabab wasanii hawo washawakacha wasanii wakubwa wa African sio Tanzania
Teacher ushabok simba a awe za kumtambiya. The boss. Antalya vizuri wakati anamuonesha margari the boss nae akamunesha kidoooogo ya Kwake Tati I yard ya simba haina mataa. Gari hazionekani kuna viingi via kijifunza. Ndiyo maana ulimsikiya simba anaomba kwenda kutembelea Jamba la bosstana tusimjaze ujinga pambana mwanabgu simba bigup
Kama unajua ule msemo husema tajiri haongei sana jionee hapa Sasa 😂😂😂😂 tajiri ametulia na mzinga wake huku Diamond anaongea pale kizungu cha Tanzania 😂😂😂
Wanangu zombi amepigatena vitaminu music 🎵🎵🎵🎵💯💯💯🙏🙏🙏
Simba i didn't know that he can speak nice english like this❤❤❤❤❤
Simba tu na zubiri izo nyimbo tu toka drc Kinshasa i Love you
Big Simba La masimba Dangote yani President haujui end Rick rozay 💥💥💥💪🙌🙏 nimependa sana Rozay alivio tamka New song abayeke😂😂😂✌️
Simba is Simba! You just can't ignore him no matter what!
Kuna redio mpya inaitwa crawn au Kuna daimond na rick❤❤❤
Diamond platnumz na rick ross❤❤❤
Mara paa wamekata umeme😂😂😂😂😂😂😂😂😂
mwanangu unachekesha sana
The first song yooh🔥🔥
Huyo ndo simbaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
...unajua kutuheshimisha mashabiki zako
Safi sana bloooooooodie twakuombea mema watanzania wenzako 🎉🎉🎉🎉
Otile amenyamazashwa .. ATI sio international .. doohh kakaushwa noma ja stima ..
Simba la🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿Masimba dagonte
Na simba la masimba dangote🔥
Kwa izo slang za simba watasubir saaana wasanii kibao except tema yai nation apa bongo kwetu
Big up simba la masimba u r a game changer..since day one, even ur opponent wana haha na nisema kitu yaan mwenyezi Mungu akisema achukue leo basi na bongo fleva ndo itakua imekufa kama bongo movie baada ya kifo cha marehem kanumba
Simba you're taking Tanzania to the world mmmmm
we Zombiii weweee🙌🏼
Simba baba lao
Simba achia album watu wawehuke huko na vijiji vyao hebu kesho enda live na drake au breezy afe mtu
Hahaha unazani k2 rahisi kuwa karibu na drake ndug hizo revo nyingine ndug rick mtu wa African yani kuna wasanii wa mbele kuwafuta karbu sio lahisi kam drake.future lil durk lil baby da baby uwe revoo za juu sabab wasanii hawo washawakacha wasanii wakubwa wa African sio Tanzania
😂😂 yaana uku mtaan tunavimba tu fans Simba
💯
Nimefrahi sana hizo song
Simba we mkubwa kaka nakusapoti
Pesa zinakufanya uwe mnyamwezi .Ungenge kama mbeleee daa Mondi watandale😂😂.
We, zombie aujui
Mwanangu zombie amepiga tena
Dope SHIT
Haaahaaaa saivi comment za diamond ni freemason naztafta szion haters where are you
Yan rick ros ana sema nioneshe gar
One Nation Under God..🙏🙏Thank You Simba And Rossey..
Wabisha wabishe sisi mbele kuanbele mungu yuko nawewe milele wonyeshe
Simba la masimba you are real❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤ King
Ongera sana kk❤❤
DEM SIMBA
simba la masimba hakuna wakukutingisa,, thnx simba!
I love your motivation 😀
Dangote
Teacher ushabok simba a awe za kumtambiya. The boss. Antalya vizuri wakati anamuonesha margari the boss nae akamunesha kidoooogo ya Kwake Tati I yard ya simba haina mataa. Gari hazionekani kuna viingi via kijifunza. Ndiyo maana ulimsikiya simba anaomba kwenda kutembelea Jamba la bosstana tusimjaze ujinga pambana mwanabgu simba bigup
Lion ukinguruma porini kila mnyama lazima ashtuke bro upo sawa kijana
Abayeke😂
Not bad
💪💪👍🙏🙏
Me Simba la masimba dangote
WCB for life 😍
Proud of you Simba
Mwalimu wa kingereza wa diamond apewe maua yake
WAKENYA MNASEMAJE KUHUSU DIAMOND PLATNAMZ
Armonize anatoa ngoma friday sasa we tulia
TV ya familia 😅😅
Simba sie ndo mashabiki zako Leta kitu hawana pakujitetea hao
Paka Rick Ross apate bibi Tanzania😂🤜🏿🤜🏿🤜🏿heshima Simba lao
Ssmbaaaa
Rick Ross ni msanii anayependa wasanii wa africa
We zombi
Anaitwa simbaaa
Ile Pru mpaka MACCA
Simbaaaaa
🗣️we 💀💀🙌🙌🙌🙌🙌🙌👂😱
Wapi password and keys 🤔🤔🤔🤔
Ajipendekeza kw waume wenzie
Huyo ndo diamond nyie mbaki na local artists
Zee wanna zee wanna tje vibes etc....come on you can do better ..speak african English not copy dat zee this or that
Watu wana tamba yan simbaaa daa apo ume feli fom2 unge fika chuo jee si unge wauwa
Kama unajua ule msemo husema tajiri haongei sana jionee hapa Sasa 😂😂😂😂 tajiri ametulia na mzinga wake huku Diamond anaongea pale kizungu cha Tanzania 😂😂😂