Namuomba Mungu mwenye rehema awape nguvu na uwezo mkubwa ili tufanye vizuri katika Kila ligi yaan ngao,lig kuu, clab BINGWA , Toyota cup na shirikisho tubebe makombe yote katika jina la YESU kristo Amen
@@Enock-sy2en kijinga vip mm nimejisikia kuccoment hivi na sio kwamba Niko serious ningekua serious nisingeweka emoj za kuvheka ila nyie ndo mnajiona mnajuaga Kila kitu hapa mtandaon kama mnaleta usilias uku mtateseka sana
Namuomba Mungu mwenye rehema awape nguvu na uwezo mkubwa ili tufanye vizuri katika Kila ligi yaan ngao,lig kuu, clab BINGWA , Toyota cup na shirikisho tubebe makombe yote katika jina la YESU kristo Amen
NEXT BIG NAME IN NBC PREMER LEUGUE
All the best My team 💚💚💚💚💚✅🤲🏻🤲🏻🤲🏻🏆🔜🔝✌🏿
Pacomeeeeeeeeee tuna kupenda sana wanchiiiii love you
Mungu awape afya njema wanajeshi wetu. Juhudi hizi zitatulipa sana msimu huu.
Daima mbele nyuma mwiko
Tujitahidi kulipa ada zetu ili furaha idumu daima
Wewe ni mtu wa maana sana na umeongea kitu cha maana sana
Tutajitahidi kufanya hivyo 🎉🎉🎉
Umeupiga mwingi sana😂
Safi sana
Mungu Muweza yote awapiganie katika kila hatua
Nakuombea Sana Pacome asipate majeraha kabisaa
Halafu awe vizuri kiakili na kimwili
Eeh Mola mwepushe Pacome na adha ya majeraha msimu huu
Hadi raha
Daah napenda sana timu yangu
Zidane wa Africa 🎉🎉🎉
My team 💚💛💚💛
Timu kubwa mambo makubwa
🔥🔥🔰🔰 Professor pacome
Mwenyezi mungu uwlinde wachezaji wetu na wale wote wenye husuda
Mungu tulindie team yetu yanga❤❤❤🎉
Pacome 💚💛💯
Watasema tu kama chama ni Mzee au wao ndo wanaukataa uzee 😂😂
Huyu ndiye atakuwa shujaa wa msimu ujao
Sahihi kbs. Pacome ataimbwa sana. Narudia pacome zouzou ataimbwa sana ni moto wa kuotea mbali. Muda utasema tusubiri
Surely 🎉🎉🎉🎉
Inshaallah Amin na iwe hivyo
Emwenyezi Mungu awatangulie katika mashindano yote
Mungu awaepushie mbalimna majeraha kipindi chote cha msimu
YANGA FIRE 🔥
ROHO ❤️
Kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga
Prof
Aziiz 🎉🎉🎉
let's go
Alafu eti kambi Misiri ya nini.
Wee pacome weeee hadi rahatupu kipenzi cha wana yanga
All the best to my lovely team yangaaaaa all the way from QATAR penda Sanaa yangaaaaaaaaaa
Njooni Tuangalie Bonog Data
Love you yangasc💚💚💛💛🔰
We love u man
Naomba mungu awalinde na majeraha na kitu chochote kibaya na wenye macho ya husda pia
Atawamalizaaaa
Muda wa kazi
😂😂😂mwenye Ako karibu na pacome amuulizie anatumiaga Nini meno yake adi yanakua hivo nimechoka kua mmasai uku mm ni mkurya
Acha maswal ya kijinga ww
Kama huna Cha kusema unakaa kimy
@@MirumbeMarwa-eo2yl😂😂😂jamani kilamtu ana uhuru wa kuzungumza😂😂😂
@@MirumbeMarwa-eo2yl ubwaa wewe nitolee kiele ele chako nimekuuliza wew na domo kama mwijaku ninyamaze umeninunulia bundle maku we na uyo mwenzako
@@Enock-sy2en kijinga vip mm nimejisikia kuccoment hivi na sio kwamba Niko serious ningekua serious nisingeweka emoj za kuvheka ila nyie ndo mnajiona mnajuaga Kila kitu hapa mtandaon kama mnaleta usilias uku mtateseka sana
Tuwaombee sanaa wachezaji wetu
Mpenii no 6 ..auu 11
Yanga 🔥🔥
Good job idara ya habari maudhui🎉🎉🎉 mko juu sana ata kwa antenna hawawafikii🎉😂😂
Max🎉🎉🎉🎉
Munataka wasilete timu😮
Sure boy🎉🎉🎉🎉
Mzizeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nkane🎉🎉🎉🎉🎉
Job doc🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Pacome 🎉🎉🎉
Yanga raha sanaaa
Bacca ana vaa namba 2 lakini naona leo ame vaa azizi andambwile
Wawooooo
Kibabage🎉🎉🎉🎉
💚💚💚💚💚💚
Yaooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Capten 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉mwamnyeto🎉
Chama🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Muda🎉🎉
Acha vyuma viongee
el professor
Farid🎉🎉🎉🎉
Kwa haya mazoezi kama hajafa mtu kwa majirani sijui
Kuna mchezaji kavaa jezi ya Bacca..
Halaf Bacca mwenyewe haionekani..
Kulikoni jamaniii..
Msituambie eti wachezaji wanavaliana jezi😢
Uongozi unajua zaidi wewe lipa ada yako
tulia bacca yupo sana kashaongeza mkataba
Hyo ni kawaida2,mbna Chama kavaa jezi no 10 ambayo ni ya pacome?, kwahyo ni kawaida2,icwaze baca yupo
Tukutane 8 8
Aucho yupo wapi
Aucho Baka Azizi Gift Msonda hawajaripot
Maana tuseme ukweli bila aucho kuna mechi tutapoteza point
Kikubwa wawepo tu wasiondoke Ndiyo wasiwasi wetu
Kalipieni app maswali humu hayasaidii
@@onesmomnyeke3477lipa app upate taarifa
Vitaro wameyatimba
Mabingwa wa kila muda
aaaa
Ipo siku jitu litakufa 8-0
Wananchi!
İbrahim Bacca na mkude hawajaripoti?🙏🙏🙏
Nenda kwenye app
App lipia kaka
@@zakiakondo2849 nalipiaaaa mdogo wangu!
Unajua na mm pia ni Ukoo wa KONDO
Mbona namba ya bacca amevaa mchezaji mwingine ndio wametunyang'anya nini
Aisee hii yanga bwana league ianze tu ila jamani mkude yuwapi na musonda?
Mnona Baka aonekani na msonda kulikoni
Alaf aje aguswe mtu mseme faulo