UGHAIBUNI LEO :MAISHA YA UPWEKE MAREKANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 вер 2024
  • ‪@Mtangazaji‬ #diaspora #tanzanianews #kenyanews
    Daktari Mkuu wa Upasuaji wa Marekani Vivek Murthy anaeleza kuwa alikuwa miongoni mwa mamilioni ya Wamarekani ambao wamepitia "hisia kubwa ya upweke",ambapo ameonya kuwa kuwa nchi hiyo inakabiliwa na janga la upweke ambalo ni hatari kwa afya sawa na kuvuta sigara 15 kwa siku.
    Takriban Asilimia 50% ya Wamarekani wote wanadaiwa kuathirika na upweke.

КОМЕНТАРІ • 2