Habari! Naitwa Frank Fue Mbwambo, binafsi nimefurahi kuona vijana wenzetu waishio ughaibuni wanakumbuka na kuenzi utaifa/uhalisia wao wa Africa. Nimeona wazungumzaji wote wanafuraha wanapoelezea mataifa yao hasa ktk mambo ya kitamaduni bila kusahau umoja, upendo na mshikamano kama ilivyo tabia za mataifa engi ya kiafrika hususani Tanzania. Si hivyo tu nimefurahi kuona ndugu na rafiki yangu mkubwa Calvin Ahadi akikumbuka nyumbani, akikimbuka ndugu lkn zaidi sana akimkumbuka mke wake, Mungu azidi kuwalinda na kuwakingu huko ugenini, Amina Asante, kwa kipindi kizuri ndugu mtangazaji 🙏
Nimewapenda wasabato wenzetu hongereni Sana tunomba mfanye kazi za mungu kwa bidii ulaya ni pazuri ila mbinguni ni pazuri zaidi tendeni kazi za mungu mvute wegi wengi zaidi
Ndugu zangu naombeni mnisaidie niweze kufika huko marekani kwa kua ni ndoto yangu mda mrefu japo kua Mimi no msabato ila Sina nafasi ya kupata connection ya kuja huko.
Barikiwa sana
Mbarikiwe saana
Vzr san
Safi
Asante kwa video nzuri ndugu mtangazaji
Asante sana
Habari!
Naitwa Frank Fue Mbwambo, binafsi nimefurahi kuona vijana wenzetu waishio ughaibuni wanakumbuka na kuenzi utaifa/uhalisia wao wa Africa.
Nimeona wazungumzaji wote wanafuraha wanapoelezea mataifa yao hasa ktk mambo ya kitamaduni bila kusahau umoja, upendo na mshikamano kama ilivyo tabia za mataifa engi ya kiafrika hususani Tanzania.
Si hivyo tu nimefurahi kuona ndugu na rafiki yangu mkubwa Calvin Ahadi akikumbuka nyumbani, akikimbuka ndugu lkn zaidi sana akimkumbuka mke wake, Mungu azidi kuwalinda na kuwakingu huko ugenini, Amina
Asante, kwa kipindi kizuri ndugu mtangazaji 🙏
Asante sana
Nimewapenda wasabato wenzetu hongereni Sana tunomba mfanye kazi za mungu kwa bidii ulaya ni pazuri ila mbinguni ni pazuri zaidi tendeni kazi za mungu mvute wegi wengi zaidi
Am samson
Ila Kuna wasabato wenzenu tunaomba mtusaidie hate tuweze kupata nafasi kwa vijana wengine I'll tuweze kufanya Mambo makubwa sana
Ndugu zangu naombeni mnisaidie niweze kufika huko marekani kwa kua ni ndoto yangu mda mrefu japo kua Mimi no msabato ila Sina nafasi ya kupata connection ya kuja huko.
Kwahiyo kujiunga hapo lazima uwe msabato duu wengine hawahitajiki kwahiyo jumuiya hiyo only sabato
Kaka ninawapongeza saana
Shukrani sana