HAIJAWAHI KUTOKEA: AHMED ALLY AINGIA KIMASAI SIMBA DAY | UWANJA WALIPUKA | SIMBA DAY YAFANA TAZAMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 84

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 6 місяців тому +6

    Ubunifu wa hali ya juu sana hongera Ahmedy Ally.❤❤

    • @patyisaya4217
      @patyisaya4217 6 місяців тому

      Umetisha semajiiiiii chukuwaa. Maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @subralugege7019
    @subralugege7019 6 місяців тому +1

    🎉🎉🎉Ahmed Ally

  • @OLEDAUDI
    @OLEDAUDI 6 місяців тому +5

    haijawah tokea nahatatokea tena one love ❤❤❤

  • @STELLAMARCELY
    @STELLAMARCELY 6 місяців тому +6

    Umetisha semajiiiiiiii....🔥🔥🔥🔥🌹🌹🌹

  • @maikomatayo2794
    @maikomatayo2794 6 місяців тому +1

    wanangu wa morogoro salut kwenu popote mlipo mungu awabariki sana 🎉🎉❤❤

  • @AliceGuga-qs5eg
    @AliceGuga-qs5eg 6 місяців тому +6

    Mwenyez mungu akuwek nakukukulinda uzidi kukupigania Wana Simba ujuz unao Kila mwaka wewe ni mdano wa kuigwa na jamii wewe nirafiki nikaka wakuingwa I love nakupend msemaj Bora kabisa huna baya ubay ubwera❤❤❤❤❤❤👍

  • @PauloJeremia-i8s
    @PauloJeremia-i8s 6 місяців тому +2

    Safi sana tupende vya kwetu big up Mzee wa Ubaya ubwela.

  • @GeorginaMtunguja
    @GeorginaMtunguja 6 місяців тому +5

    Umetiisha❤❤❤❤

  • @HaruniKedeko
    @HaruniKedeko 6 місяців тому +1

    Tanzania ni wamasai❤❤❤

  • @maikomatayo2794
    @maikomatayo2794 6 місяців тому

    I love you simba dam dam mungu ibariki chama langu 🎉🎉❤❤

  • @FortunataMpunga
    @FortunataMpunga 6 місяців тому

    Ongera umetisha kaka

  • @IsayaMilya
    @IsayaMilya 6 місяців тому +1

    Mungu akubariki san semaji mweny akili nyingi

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 6 місяців тому +6

    SEMAJIIIII la DUNIA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 6 місяців тому +1

    Mie huwapenda tu wamasai❤🎉

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 6 місяців тому

    Ahmed Ally❤❤❤❤ishi sana kaka

  • @AishaHamisi-zy7zn
    @AishaHamisi-zy7zn 6 місяців тому

    Safi sana ndugu zangu

  • @AnifaAhmadi
    @AnifaAhmadi 6 місяців тому

    Ubaya ubwela semaji kutoka MTWARA Apo chezea ❤

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 6 місяців тому

    Ubunifu wa hatari 😀 usioigwa 💪💪🏹😀

  • @EricaNgonde
    @EricaNgonde 6 місяців тому

    Umetisha semaji letu

  • @ziadaabdalha3887
    @ziadaabdalha3887 6 місяців тому +3

    Tukisema Kuna semaji na Kuna mlopoka natoa mipisho mnabisha miaka mingi sana hamed ally

  • @snipershort6988
    @snipershort6988 6 місяців тому

    Mbona sijaelewa hata😮😮

  • @IsayaMalinda45
    @IsayaMalinda45 6 місяців тому

    👊👊👊

  • @LoiteyoAmakoMako
    @LoiteyoAmakoMako 6 місяців тому

    Ally one love❤❤❤❤❤

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 6 місяців тому +1

    UBAYA UBWELA 🤗❤️❤️❤️❤️😇😇🤍💟💟

  • @amosmohamedntandu93
    @amosmohamedntandu93 6 місяців тому +1

    Katisha nn wanathimbaaaa

  • @MassuodRashid-e4d
    @MassuodRashid-e4d 6 місяців тому

    Asanteni simba

  • @elimulikasolomon-dc2pt
    @elimulikasolomon-dc2pt 6 місяців тому

    ❤❤

  • @MishiSalimu
    @MishiSalimu 6 місяців тому

    Simbaaaa oyeeee nguvu moja

  • @ChelseaF.c-rx5tu
    @ChelseaF.c-rx5tu 6 місяців тому

    ❤❤❤❤😂

  • @NgoshaCostantine
    @NgoshaCostantine 6 місяців тому

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MariamPetro-o4b
    @MariamPetro-o4b 6 місяців тому

    Umeupiga mwig kaka

  • @jumaMohammedi-rt2ys
    @jumaMohammedi-rt2ys 6 місяців тому

    Hii ndo simb bhn 🔥🔥🔥🔥

  • @AprossaAdrian
    @AprossaAdrian 6 місяців тому

    Ubaya ubwelaa unajua sana semaji letu

  • @HajraOmary-g4f
    @HajraOmary-g4f 6 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂

  • @merinaamlundi
    @merinaamlundi 6 місяців тому

    Ahmed kibokooo

  • @MussaLepani-fk9yj
    @MussaLepani-fk9yj 6 місяців тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @سعادةزنجبار
    @سعادةزنجبار 6 місяців тому

  • @MaryAmbos
    @MaryAmbos 6 місяців тому

    Kabisa safari ubaya umerudi

  • @LeonardLaizer-r8s
    @LeonardLaizer-r8s 6 місяців тому

    Yanga mashoga tu

  • @Gadielrussia
    @Gadielrussia 6 місяців тому

    me yanga ila semaji lmetisha katuwakilisha maasai

  • @LewisiaNgomo
    @LewisiaNgomo 6 місяців тому

    Igeni na hii

  • @mconedimple5364
    @mconedimple5364 6 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤

  • @LewisiaNgomo
    @LewisiaNgomo 6 місяців тому +1

    Ww unaowaponda wamasai,wamasai ni Bora kuliko ww maana ww ni mtu WA hivyo kabisa hauna thamani

  • @SalumAdinani
    @SalumAdinani 6 місяців тому

    Imetsha Good

  • @FransiscaKilosa
    @FransiscaKilosa 6 місяців тому

    Huyo ndie msemaji wengine walopokaji

  • @IssaByiringiro
    @IssaByiringiro 6 місяців тому

    Apr vs simba

  • @BahatiJoramu-w2i
    @BahatiJoramu-w2i 6 місяців тому

    Watani nimewakubali

  • @MahirMasoud-p6h
    @MahirMasoud-p6h 6 місяців тому +1

    acha kuongea upumbavu wewe hawa pia miongoni mwa watanzania nao wananafasi katika taifa pia niutambulisho wa kitanzania halafu wewe unavyo onekana una ubaguzi hongera Ahmed Aly kwa ubunifu

  • @LewisiaNgomo
    @LewisiaNgomo 6 місяців тому

    Unganeni muige hii ndio simba taifa kubwa

  • @DambweRama
    @DambweRama 6 місяців тому

    Unyama UBWELA

  • @hamidabakari-i3b
    @hamidabakari-i3b 6 місяців тому

    😂😂😂😂subilikesho wakurungwa

  • @AsmaAlly-xc3oz
    @AsmaAlly-xc3oz 6 місяців тому

    Hakuna kama ww semaji

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 6 місяців тому +1

    Simba kweli tumejaza uwanja ila tamasha lipo Boring sana ... Yaani halina Ladha uwanjani😢😢😢

  • @GeorginaMtunguja
    @GeorginaMtunguja 6 місяців тому

    Ubaya ubwela

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 6 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂 yaani ovyo ovyo

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 6 місяців тому

    Tamasha limekuwa ovyo kabisa

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 6 місяців тому

    Hahaah, team imekabiziwa wamasai

    • @AgnesJohn-f1r
      @AgnesJohn-f1r 6 місяців тому

      Kama mzee magoma anavyoisumbua timu yake ya utopolo

  • @henelckneatunga2720
    @henelckneatunga2720 6 місяців тому

    KWANI MSEMAJI ANATAMBURISHWA?

  • @mikidadymohammedy7603
    @mikidadymohammedy7603 6 місяців тому

    Semaji la caf ww ni mbunifu haijawai kutokea wengine wanaiga tu.

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 6 місяців тому

    Huenda ao wamasai wamepewa oda ya kutengeza viatu vya wachezaj wa simba mwaka huu

  • @didah300
    @didah300 6 місяців тому

    Sijaon ubunif hapo ofcoz skuzot tunawatambua simba ni wamasai wa mjin wavaa tshet na sio lubega

    • @AshaShariff-lr6ry
      @AshaShariff-lr6ry 6 місяців тому +1

      Yaani pale kafanya kuonyesha tz kunakabila la wamasai show imeangalia duniani kote tambua mitandao sasa hivi anastahili pongezi

    • @PiusMalk
      @PiusMalk 6 місяців тому

      Hauna akili kama hayo macho yako makubwa yanaona upande marienge

    • @PiusMalk
      @PiusMalk 6 місяців тому

      Leo simba imetosha kinomanoma

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 6 місяців тому

    Tamasha liko shaghala bagala " du ! Mmetokota kweli. kweli "

  • @asifznz
    @asifznz 6 місяців тому

    Masaai kazi yaoni kuua simba sio marafiki concept mbovu kabisaaaaa

  • @Kiva1610
    @Kiva1610 6 місяців тому

    Tamasha ni la kutambulisha wachezaji sio la fiesta Kesho inawezekana kukawa na music sana lakini Muhimu kuweka mambo mengi inaweza ikawa ni upuuzi tu

  • @zachmaselle6635
    @zachmaselle6635 6 місяців тому

    Wamasai wa mchongo hawawezi hata kuruka jamani! Lakini nalo ni wazo.

  • @gloriaburamu8818
    @gloriaburamu8818 6 місяців тому

    Umeiga kwa diamond hata hututishi mshamba wewe

    • @neemamwijage
      @neemamwijage 6 місяців тому +2

      Kama amepiga kwa Diamond ko diamond aliiga kwa Rozi muhando mana ndiye aliyeanza kucheza na Wamasai

  • @MrDanielPatel
    @MrDanielPatel 6 місяців тому

    ❤❤

  • @ApsaAlly-m7b
    @ApsaAlly-m7b 6 місяців тому

    ❤❤❤❤❤

  • @MahirMasoud-p6h
    @MahirMasoud-p6h 6 місяців тому +16

    acha kuongea upumbavu wewe hawa pia miongoni mwa watanzania nao wananafasi katika taifa pia niutambulisho wa kitanzania halafu wewe unavyo onekana una ubaguzi hongera Ahmed Aly kwa ubunifu

    • @Ngeme-w4j
      @Ngeme-w4j 6 місяців тому +1

      Umeelewa lakn alichomaanisha au unaropoka tu we mtu kasema aijawai kutokea na so kwamb kuwakashfu fikiri kabla ya kuandika

    • @JanetSamwel-rw3ep
      @JanetSamwel-rw3ep 6 місяців тому

      Aelewi ame kurupuka​@@Ngeme-w4j

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 6 місяців тому

      Tunatangaza utalii wa ndani pia.wamasai katika ubora wao