I like the energy and innocents about this show!!! Some girls and boys should take notes, she or he was sharing some real man to man interaction advices!!!
Mi nimependa tu hapo uliposema "Bobmarley" ya Belgium si kama ya 'ARUSHA' Lakini pia hilo swali la 'kubakwa' mnaliuliza mtadhani ni jambo la kuchekesha huo ni ushenzi na muulizaji ni mshenzi. Huyo ni binadamu na anafeel kila dhihaka mnayomfanyia. Hata kama kuna mambo alofanya hayaridhishi jamii ni makosa yanayofanywa na kila binadamu katika maisha. Acheni kujifanya wasafi!
haswa!....at first i thought im misunderstanding,i thought kiswahili chani piga chenga, but fo ril yo...she did ask it dah! watu hujiuwa after kubakwa,its not a jokin matter
Not sure whats going on in this interview, but what a complete mess!!! Mnauliza aje issue ya kubakwa huku mna cheka cheka??? yaani ni kama munamuuliza ulinunuliwa nyanya sokoni???? Salama can you sit still!!! Have several seats!!!! Plus stop interrupting your fellow interviewees every bloody time they open their mouth!!!
+Zami Mila, i think the concept of this show is to make sure the interview happens naturally. i think they don't use a script and the hosts are allowed to move freely around the set which creates a good mood for viewers and makes the guest feel free....p.s scripted shows suck plus they are doing something different which is rarely witnessed on tv,
salamainterview nzuri but hao vijana sometimes wanahitaji mafunzo sio kumjibia mtu swali kama John kijibu kuhusu kuzalilika na huyo muba about kubakwa...its not good at allll.
salama mimi ni fun wako sana ila sasa tatizo utaulizaje maswali km la kubakwa halafu huoneshi kua una sympathy. yaani unacheka tuu. unaona simple tuu. hivi salama ungekua wewe ungejisikiaje kuelezea issue ya namna hiyo kwenye media? halafu anaye uliza anachukulia mzaha.
Salama napenda kazi yako imekusuti sanaa na unaiwezaa.keep it up.i never want to miss ur show.nakupenda sanaaaa
Huwa nampenda Shilole bila sababu yani ni muwazi sana yani big up
I love her principles of life
Maisha yanatoka mbali Sanaa kumi na Tisa shishi bongee
Salama..Muba..John..I enjoy the show!
Shilole ni honest..down to earth!
na mpenda sana dada shishi
Salama we umetisha nakupenda bureee 😍😍😍
Nimemiss kuhona mkasi, kwanini lakini Salama😅😅
I like the energy and innocents about this show!!! Some girls and boys should take notes, she or he was sharing some real man to man interaction advices!!!
mwisilamu umevaa nguo magoti yako nje, subhannalah
N'dzimwenga Rizik mavazi hayaangalii dini ni tabia ya mtu
Salama mznguaji unajisahau sana matusi c pake "yule.......kikeke ametufunika kwenye tuzo 2"
This girl... amenihamasisha :)
Niko hapa 2022 salama unajua sana
Katika Wana wake salama huwa namkubali sanaaaaaa for really
salama ana miguu mizuriii
looool shishi umenshinda tabiaa kaaaaah nakugawa bureeeee 😅😅😅😅😅
Shilole na dhana ya mduara ..Afrika kuna wanawake lakini kama watadumu kwenye maadili
Nimependa wearing style ya salama hasa ile addas
haaahaaahaaa nmeinjoy sana
shilole napenda hayo mapaja mm umejaaliwa
🤣🤣🤣
very smart move Shilole kuepuka jibu la swali uliloulizwa:
MSANII GANI HAKUSTAHILI KUPATA TUZO? 25:39
maana hiyo ni kujitafutia beef kwa makusudi..!
Vipenzi vyangu salama na shishi😘😘😘
At last🙌🏼🙌🏼
daah am happy to know Diva .....sauti kale mmmm
ok
nakukubali sana shiloli
Sasa huyu jama mkodowa macho jamaniii.... Anaboa Sana yani kama anategeshea mabinti kwa pozi zake wasiwasi🤣🤣🤣 duh....
salama mfundisheni muba maswali ya kumuuliza mtu.
Namupenda salama
Salama umenifurahisha hapo ulimpomcheka kuwa igunga wanamuita akagombee ubunge yn mwenyewe nimecheka balaa
hahahaha shishi nyota ya chumvi.. salama nimekukoma... hahahah
Apo unamsema vibaya bibi yetu Bikidude
shilole hahahaaa eti najiamini kuliko maelezo
mh hatari eti huwa ni mzee wa kuharibu kila mahara 😂😂😂
huyu kaka!mtu ushasikia kabakwa lakini mpe umuulize ivoo,halagu kiumbea mbeaa!
Muba vp kubakwa kwa jins unavyo uliza kama ulikuwepo akibakwa
hamkua serios kwenye kumuhoji kama mlikua mnachukulia utan sana
Nimependa wazo lako
hiyo miguu vepeeee mbona uso different na miguu
+Internushka Al-adawy lol
fanta head coca cola bottle.
budget 😃😃😃
hongera bidada
walai shishi umenimaliza ww ni comedia kiupande mwengine
i love salama. where are you>>
salama kikongwe na role wa watu wengi
ipandishe show ya Jay Moe banah@mkasi
mubah huna akili.. kichwa box ni binadamu flani mjinga mjinga yani ni Zombie huna akili blaza.
Mi nimependa tu hapo uliposema "Bobmarley" ya Belgium si kama ya 'ARUSHA'
Lakini pia hilo swali la 'kubakwa' mnaliuliza mtadhani ni jambo la kuchekesha huo ni ushenzi na muulizaji ni mshenzi. Huyo ni binadamu na anafeel kila dhihaka mnayomfanyia. Hata kama kuna mambo alofanya hayaridhishi jamii ni makosa yanayofanywa na kila binadamu katika maisha. Acheni kujifanya wasafi!
+Neema Loy yaah umeona eeh.. af kauliza kuhusu kubakwa siiipleee... non-profesional kaabisaa
haswa!....at first i thought im misunderstanding,i thought kiswahili chani piga chenga, but fo ril yo...she did ask it dah!
watu hujiuwa after kubakwa,its not a jokin matter
cool
Vip
nyota yako Maj sio. wasipo inywa watayaoga
hahahaha salama belgam atashilole agevaa gunia story wagetamfutia maana mh
Nechlo hair (natural hair) shilole duh
hahahahahaha mbavu zangu😂😂😂😂😂
+Jane Kinuthia hahaha
mozaltha ahmed
jmn salama huyu ni mke ama mume yarab mola wng
Tatzo muba anajibia wasanii maswal
ya mkude simba (kitale) ipo wapi???
Mubah chizi maswali gani hayo?
Not sure whats going on in this interview, but what a complete mess!!! Mnauliza aje issue ya kubakwa huku mna cheka cheka??? yaani ni kama munamuuliza ulinunuliwa nyanya sokoni???? Salama can you sit still!!! Have several seats!!!! Plus stop interrupting your fellow interviewees every bloody time they open their mouth!!!
+Zami Mila, i think the concept of this show is to make sure the interview happens naturally. i think they don't use a script and the hosts are allowed to move freely around the set which creates a good mood for viewers and makes the guest feel free....p.s scripted shows suck plus they are doing something different which is rarely witnessed on tv,
Peter Rosalia angebakwa yy salama angekua anachekaa hivo. msichukulie issue za sexual abuse poa hivo just bcoz they never happend to u
Bee Gee a dntn r
Tumewait hadi tumechoka
maswali mengine mizizi mikali mbna wanayakimbia salAMA WHY/?????
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hadi nimecheka kwa nguvu shishi muongo eti nimepokea cm nyingi igunga wanataka niwe mbunge
leticia mbilinyi i swear shishi unanifuraisha lkn one day yes bi dada big up.
leticia mbilinyi shish nouma
Lestaulanti sio?
😃😃😃😃😃 nakufa apa
hehehehe
Mbona fujo?
salamainterview nzuri but hao vijana sometimes wanahitaji mafunzo sio kumjibia mtu swali kama John kijibu kuhusu kuzalilika na huyo muba about kubakwa...its not good at allll.
shishi wewe kiboko
uyo muba kanikera eti "salama kitu usichokijua ni kua shi kashawai kubakwa" ni sifa au?msyuuuu
Yani hawajui maswali yakuuliza haswa huyo aliosema hivo..that wasnt professional at all
lol😂😂😂shilole English
darlin kiwanga ukowapi
salama mimi ni fun wako sana ila sasa tatizo utaulizaje maswali km la kubakwa halafu huoneshi kua una sympathy.
yaani unacheka tuu. unaona simple tuu. hivi salama ungekua wewe ungejisikiaje kuelezea issue ya namna hiyo kwenye media?
halafu anaye uliza anachukulia mzaha.
there is something not right about Muba and the questions he asks...plz do something.
I don't know why Salama works with these guys. she seems to understand the problem but she doesn't work on it. The guys are so disgusting
English
hatariiii shishi
wtf is some "scarrege"..?
+Boniface Joseph lol well...now it means marital problems
Doto Boniface J ..
a
muba respect ur self kubakwa ushaona swali la kumuuliza mtu. better go back to school and use ur common sense. chefuuuuuuu
the show has gone down hill since last year! production is not professional
hahahaha salama belgam atashilole agevaa gunia story wagetamfutia maana mh