Mpuuzi tu huyo kwani mtoto ambaye hakutimia hapaswi kuish huyo mtot wao alie timia mbona ucku kucha anaziniw hata ndoa haioni ovyo kabisa coment nyingine ni sawa ba kukosoa uumbaji wa mungu kwaio wasikumize kichwa dada yangu
Haolewi mtu hapo Duniani nani anataka kuowa mwanamke wa michambo Mtu anapotaka kuowa kwanza anaangalia tabia Wakiowana labda wasigombane au watachambwa ukoo mzima
Queen darling nimekupenda huna baya mama MUNGU Akufungulie RIZIQ kubwa na ndogo ndogo Asante sana kumsapoti ZUCHU🤲
No one can dim Zuchu's light 🎉 Esma and mama ndangote kazi mnayo. Huyu Mwenyezi Mungu has already decided!!! Simba jike❤
Kwel kabisaa❤❤
ABSOLUTELY ❤❤
Ila bi Khadija mashallah sauti anayo jamani mpka Raha
Singers family❤❤❤❤
Haloooo zuchuuuuu🎉🎉🎉🎉🎉mamakeeee
Live show hyo khadija ni fireeee
Waaaa..nmepitwa kumbe ❤❤hongera zuu 🥰
Safi sana zuchu❤❤❤❤ mpk naumwa 💋
Bi Khadija mrembo mashallah 😊
Na sauti anayo Yan Masha Allah
When Zuchu is happy we are happy 🎉❤❤❤🎉🎉🎉from Holland 🇳🇱
HASSBIA ALLAH ! HONGERA MY LOVELY DAUGHTER ZUCHU❤❤❤❤
Nawapenda sana zuchu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wewe ndio wewe hakuna mwingine zuchu ❤❤❤❤
Nawapenda❤❤❤❤ila zuchu
Yani darini mendacious shuuli uyu😂😂❤❤❤
Bwana tunae na tunatamba nae😊😊😊😊
TEEEEEEEENAAAAAAA❤
😅😅😅sio shida zetu
Tunatamba Nae hasaaa❤❤❤
Yaani mama dangote na Esma mutabaki kumsukumua aaliyah....mtakunya haswa!!!!!! Huyu ako kwake
ASANTE zuchu umeweza ,mwanamme kujiamini haswa wewe mwanetu tumekuzaa mimba iliyo timia ,bila operation ❤❤❤❤❤
Ni mwanamk
Nimezaa wiki 43 kwa operation mtoto anatabasamu na kutazama kwa hiyo hskutimia 😢nimelia xn
Mpuuzi tu huyo kwani mtoto ambaye hakutimia hapaswi kuish huyo mtot wao alie timia mbona ucku kucha anaziniw hata ndoa haioni ovyo kabisa coment nyingine ni sawa ba kukosoa uumbaji wa mungu kwaio wasikumize kichwa dada yangu
aca tuwangojee wenye asira zao wakiamka wanze kumcamba zuchu.maman sumaa😂😂 😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😅😅😅😅
Oyooooh zamani sana 😂😂😂😂😂 aisee tamu kweli
❤❤❤❤❤❤❤ you zu. Forever 🇺🇸
Alooo mambo ni bulbul 😊🥰💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽
Alafu hakuna anae ongelea utam wa Wimboo 🎉🎉❤❤❤😂😂😂😂😂😂haaa weee patam hapo
Uko poa naskiza tu
NAMPENDA SANA QUEENDARLING HANA BAYA NAMTU,MWENYEWE ANAMPENDA WIFI YAKE
Eeh Hana chuki Na MTU
Kwnai zeche uwaolewa ama hina ya nini 😅 haya twndeni nalo khadija kopa mama ❤
Daimond umeyatimba hpa aachwi mtu umeingia mziki wa uswahilini ulikuwa unawachezea watoto wa kizungu sasa umeyakanyaga kwa waswahili😂😂😂
Shida ni kuoa tu hapo hata asipoachwa ila atateseka sana kuomba ndoa kila siku na huku anataka kuzaa. Aombe afanye hiyo ndoa
😂
Kwani quin darling yuko halloo ❤
Ukisikia kuula wa chuya ndo huu sasa 😅😅😅
Hongeara bi hadija
😂😂😂 safari hii kazi wanayo wakina mama dangote na esma 🤣🤣🤣🤣
Pwagu kapata pwaguzi😂
Wakijifanya wanapenda shughuli wenzao wanazijuwa haswaaaa
Yaan wameingia mtumbwi wa vibwengo, zanzibar hatoki boya. Wamepata zaidi yao mana sio size yao. Final say naona hana say🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 tena kazi kubwa na nzito kazi isiyokujua off days Wala holidays hapa kazi tuuuu wajembe watarejesha tuyuuu haloooo
Yan wamekanyaga miwaya duuuh😂😂😂😂
Ila zuchu mdogo angu ❤❤❤ acha kabisa unawakonesha na ndo inavotakiwa unatokaje kirahisi 😅😅
❤mungu akulinde nahusdazuchu asikusumbue yoyote
Hii kweli jamani au akili yangu TU inavonituma you 😂😂
Zuchu mama khadija kakupa ujasiri❤
zuchuuuuu kiboko yawacawiiiiiiiii ❤
Mambo haya nandy hawezi
Unaelewa maan ya usaniii uwe available 😂
Nampenda mama zuu kwa sapoti
Jaman ka zuchu jaman kaolewa tu na huyo chibu😢😢
😂😂😂😂jaman ww
Ila zuchu unajua kuwakera 😂😂😂😂😂😂😂
Mhhh ila zuchu kiboko shikamoo zuchu 🔥🔥🔥
Jaman 😂😂😂ata nacheka
👌🦋🥂
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂jamani hata sielewi kwani zuchu anaolewa au vp mwenye kujua anijuze
❤❤❤❤💃💃💃👌👌
❤❤❤❤
Taarabu imo aipate wapi nyauba wew enderea na huyo said prince Burundi mbwa wew pamoja na huyo mme.wako
❤❤❤❤❤❤❤❤
jaman mm sielew hapa mwenyeshighil ni nani au ndo zuchu maandalzi ya simba kichukua jiko
Labda promo ya album yke 😂😂simba bado sana kuoa
At mi sielewi😅
Lokole atakuwa anajua kila kitu
Imekutoka wallah😂😂😂🎉@@Nihadshighadi
saf mdogo wangu wanyoshe vizusho
Muna from Kenya
Nzuri
Mambo ya uswahilini hayo waachiane wenyewe ndio taaluma yao kunyegeshana.
Usiku wa wake wenza ... Hua wanaume tunaona Raha wake zetu wakichambana
Zuchu♥️♥️♥️
Jameni umemdamshi❤zuchu❤❤
Hatikubali ndoa lazima ipite
Kumekucha uko 😂😂😂😂
Yaan zuchu kachangamka kama kaumwa siafu Hadi Raha aisee
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Hadja kopa anajua kuimba jmn saut ss km yang vile😂😂😂😂🎉
JAMANI MACHO YANGU YANAONA QUEEN DARLEEN TUUU
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉😊😊
❤
Zuchu unajua kuwashusha madui wako🎉🎉🎉🎉
Pambe I wish ningekuwa huko
Jummah lokole tulia kama mojaa😂😂😂😂😂😂
😂😂
Inapendeza
😂😂😂😂 batachoka
Zuchu anajiamin sn
Haolewi mtu hapo
Duniani nani anataka kuowa mwanamke wa michambo
Mtu anapotaka kuowa kwanza anaangalia tabia
Wakiowana labda wasigombane au watachambwa ukoo mzima
🥰🥰🥰watajua awajui
😂😂😂😂😂nakwambiya nihatari.
Diamond uje nikutengenezee kiloweko alafu upige tizi sana mtoto kama huyu zuchu unatakiwa umshone mzee na umpige mimba sio unampeleka kwao amependeza piga mimba mzee ndio heshima yako itakuwepo na hatakusahau 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂kiliweko ndio nini😊
😂😂😂😂
Mbona Khadija mwenyewe kajichubua, zamani alikuwa mweusi tii, na wigi na yeye hapo kalivaa
Kawaida ya wazanzibari hawana dogo
Hiii hatar na nusu
Jamani utambukisho wa album yake simba kuoa hadi bado sana
zuchuuuuu kiboko yawo
Wamepata kiboko yao Ma dangote
mbona mambo olèwa tena ramadhani iiyo yaja wadonge mtihani voo acha bikhadija
Ko ndoa tunayo au
Queendarling anacheza kwahisia chezea ukewenza wee
Harusi tunayo mwaka huu
Nimefurahi Sana zu mwanagu huwondo umwanamke kaza mama
Hadija kopa shikamoo hajawai kuchuja malkia yupo lelelelele
❤❤❤❤❤😢zuu
😅😅😅😅😅😅😅😅❤
5:50
Nawapend hawa watu
Aun baya mung akulind
hina ni kwa zuchu?
Black mamba mmh
kama wewe hapo
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Zuchu usisahau kuwa mbeya bado wanataka uje wakutandike
❤❤❤
❤❤❤❤
Nzuri
❤❤❤❤🎉🎉🎉
Nzuri
❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤