It's 2024 and am here...he bwana kwangu chikuzee ndo no one coast na kama cnoma huyuu jamaa Kuna time aliwaangusha hata wabongo sai angekua far sana❤️💯
Do Kenyan artists benefit from their music? By now, this song would have been diamond in charts and Chikuze would have been a dollar millionaire. Big up Chikuze!
Chikuzee bazenga. Enzi zangu za utotoni tukijua feelings for the first time😂. Chikuzee rudi kazi bana bado naamini potential bado iko na haiwezi potea kamwe. Rudi kazini banaa
Nakukubalia 2 sana chiku nikotu apa saudia bt nakula mziki kinoma safi sana kaka. kijiji kizima ndio kichuna pekeo kwanza akipigiwa sim full dem hapatikani.
You can't convince me that there's a better artist in Kenya than Chikuzee. He just didn't find the right promoters to push his craft beyond Kenya and Tanzania.
Chikuzee, kids the jembe,susumila, ascoba wazo baba na ft s mlitutesea wazazi wetu tulikua tukipanga mitungi kwa vitanda na kufinika shuka ili wajue kama tuko humo kumbe nyuma tumebomoa tundu kwenye ukuta ndio tulikua tukirudi tunaingia na hapo😂😂😂😂 aaaa kwa kweli sjapenda
2024 Niko hapa Bado ...chikuzee kiumbe 💯
kama unasikilisa mwez wa kwanza 2024 gonga like
Wow naskiliza bado July napenda sana nyimbo zake huyu bro❤❤❤❤
Najikumbusha, nilifanya hii video nikiwa dogo sana
August 2024
Kama bado unaskiza hii wimbo ady waleo piga like tukisonga
Nov 2023 Ngoma ingali Kali
Brother❤
@@abdulldebruyne761yo
❤a❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😊😊😊😊😊😊@@kihotijohn12
Bado naskiza hii ngoma Hadi Leo ...wapi likes
Niko na wewe braaah😊
Daah aiseeh chikuzee ni mkali tokea zama hizo...2024 na bado ngoma ni hit
It's 2024 and am here...he bwana kwangu chikuzee ndo no one coast na kama cnoma huyuu jamaa Kuna time aliwaangusha hata wabongo sai angekua far sana❤️💯
Do Kenyan artists benefit from their music? By now, this song would have been diamond in charts and Chikuze would have been a dollar millionaire. Big up Chikuze!
Who still watching this song 2019.?
Kam bado unaiangalia kam Mimi ngonga like twende Sawa.
Still here
2020 still watching wa likoni pigeni like
My last time kusikiza was 2009 now 2020
Nasikizia mamangina
Shieet cant believe he is kenyan nimeishi kusena hii ngoma ni ya tz
Kwani si mTZ...??
@HabibaSalim-x2s mkrnya bana from Coast
Nani akona na mimi 2019😍
This songs deserves million views 😢❤❤❤
nakumbuka enzi hizo 2010!kila kona inchezwa!na mpaka sasa bado IPO ipo
Priscilar Kahindi hizo enzi my friend ...acha tuu....
Priscilar Kahindi sanaaaaaa tuuuu
From tz tanga mpaka kenya salute chikuzee
Hii Ngoma ukiwa msanii na upande nayo stage ata aliyelala ama kalewa ataamka big up chikuzee💯
Huu ndo wimbo pekee nikuickliza wakumbuka madem wangu wote wa kitambo
Hii nyimbo Kali sana daa zama izo upo juu bro Kaz nzuri ❤❤❤
kama wahenga walivyo amba........big up chikuzzzzz
from 2010 -2018 utamu tuu bado upo. Ama mm ndiye napenda chikuzee?😁😁
Haha flavor zakitambo huaga haziishi
Mambo
We love him too
Are you well siz 😢
2023 still on fire 🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤❤
safii maumbo nitofauti wenye sura za mvuto wenye na sauti 😍😘😘
Bado nakubali nyimbo zko mkuu❤❤
Amazing song am here 2024
Safi sana nko Saudi bt naisikiza hii nyimbo naipenda sana kuko pamoja
Come back to the industry chikuzee.its 2024 and no one does music the way you did it 14 years ago
May 8 ,2024..kama inabamba angusha like
Inanikumbusha utotoni..those sweet childhood days back home in the coast ..
kilicho na sifa kipewe sifaa....upo juu bro chikuzee.love it.
Still fire this will always be a master piece 🔥🔥😪
Waaaw milele fm. Imefanya nika tafuta hii song. Team 254 Benda wewe sana 😘🇰🇪
Kali sana chiku hadi 2019 am still hear
2019 had 2020 Kali sanaaaaaa haishii utamu rud kaka
Chikuzee bazenga. Enzi zangu za utotoni tukijua feelings for the first time😂. Chikuzee rudi kazi bana bado naamini potential bado iko na haiwezi potea kamwe. Rudi kazini banaa
2020 na quarantine ju ya corona
Love dis song from 2010 till niw 2019
Chiku....nlisema nkikua mkubwa ataniowa ....😢😢😮😮😮
Nakukubalia 2 sana chiku nikotu apa saudia bt nakula mziki kinoma safi sana kaka. kijiji kizima ndio kichuna pekeo kwanza akipigiwa sim full dem hapatikani.
Rehema kalama Love pa1 Sana
Quarantine imeturegesha huku Kwa Mziki🔥🔥🔥😂😂😂😂👑👑🔥
Hii ngoma inanikumbusha nikiwa dj wa disko matanga
Nyimbo nilio ipenda yani mpaka Leo ya vibe kinoma🎉❤
Unaposhikwa we shikamana 2021😎😎😎
We need stars like you in Kenya.
nimependa sana hiyo wimbi
Imenipendeza sana Io ngoma
My Brother daah 😢 siku nyingi ilikua miaka kumi na miwili ililopita wish ningerudishwa nyuma
Chikuzee ma love nakupenda sana hii song yanikumbusha ma x yani mapenzi yalitia wazimu kwake jamn kweli unayempenda sana ndio atakuumiza.
Kijiji kizima lamu west wewe ndo star ju ya kupewa sifa njema
nzuri chiku,ina hit xana bado listening frm +966
sana 2
Kabeaut Phenny representing 254 all the way from +966
Kabeaut Phenny same here
ma favorite song ...daily oder listening ....love yeah chiku...from state
You can't convince me that there's a better artist in Kenya than Chikuzee. He just didn't find the right promoters to push his craft beyond Kenya and Tanzania.
You alwats rocked man….how you vanished from the game puzzles me.🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Bdo 2naisikiliza 2019. Kukurudia hilo kwangu nimwikoooooo
2024 chikuzee killed it back them . Great talent
chikuzee nakkumbali nyimbo zako zina sms nzuri sana yani hazitaisha utamu.mola akuzidishie broo napungika nikiwa jorda nikama niko kwetu kenya
2024 niko hapa noma sana hii song nikiwa campus twas my dopest
manze ngoma yenyewe yanimbamba keep it up u juu 2 xana
Gengetone haitakua na utamu kama hii tukifika 2030,😅this song is still liiit
Still on the hit 🔥 2022 in my playlist big ups 💪✌️
2023 bado nasikiliza
Disco vumbi chonyi land ilikuwa balaa😎😎
2020 representing , corona jamani sikpendi unahanyahanya sana tuliiza mshono
2023 Feb 20...12:44pm na Niko hapa naskiza nikiwa job ikinichangamsha
Unapanga foleni kwa sababu ya milioni lakini kumbuka ni wengi wako mbioni... Kali
Nmemiss Chikuzee Leo nmetembea
Yupo wap uyu jamaa kwa sasa
Coast anapiga mishe zake mara kwa mara
@@kunstrikerasochi2103 🥹🤝🤝🤝👏
Chikuzee is so talented...this jam was a big hit those days and still it is...#2020 we're still here💯🔥🔥🔥
😢are you still there bro it's been long
Am still loving this song Chikuzee God bless you.
Nani yupo 2019😄😄😄😍😍😍
Mii hapa
Hy mafans
Still on fire 2023
Chiku kali sana mpaka sasa naisikiza kila skku
quarantine imenileta ,,hapa
Tupo hadi mwaka wa 2024
where is these guy , his vocals are top
chikuze yuko talented tu sana lyric's vocal's pahali yake kabisa
Nawa panga folen ukiwa kwenu nyumban hutembei kwamguu unatembea kwafaniiii Nakukubali sana brooo
2023 and it's still lit.
Actually 2024
Sijawai ona 1M views kwa msani wa Mombasa
Sheeeesh!!!! Am here,good old music 🎶
Your songs doesn't fate kabisa ungaa kila kuchao
Hiii ngoma hilivyo toka nilinunuwa CD yak nilingowa watoto. Sna😮
2022 still love this song
great message inside
Chikuzee, kids the jembe,susumila, ascoba wazo baba na ft s mlitutesea wazazi wetu tulikua tukipanga mitungi kwa vitanda na kufinika shuka ili wajue kama tuko humo kumbe nyuma tumebomoa tundu kwenye ukuta ndio tulikua tukirudi tunaingia na hapo😂😂😂😂 aaaa kwa kweli sjapenda
Mambo mseto na Willy M Tuva got me hooked up ,Chikuzee alienda wapi
Am here 2021 Kama unawatch na Mimi gonga like 🤫🤫
Dah kipindi hii ngoma inatoka sina hata sm Leo ni 2020 nipo Quarantine nasikiliza hii na bonge la sim
Chikuzee your talented
Love you bro
Reminds me of Mombasa zikichezwa Kwa matt nice song bro
kijiji kizima wee ndo kichuna pekee wooow big up chikuzee nice song
Asante kwa huu ushauri @ chukuzee 2021 kutoka 254
Hii nyimbo bado iko bomba fantastic @chikuzee.- kenya
🔥🔥🔥🔥kali zaidi ya jana
Ila nakusihii bby uctelezee
2022 niko apa tena kwa mara elfu moja . CHIKUZEE
2020 imenirudisha hapa kwa chikuzee 😅 Unaposhikwa unashikamana......Asiyeskia la mkuu huvunjika kuu......
Ndani ya Surfside mida iyooo
Irudie hino nyimbo na rayvany remix itakua amazing
❤❤❤this song
hii. Nyimb nilipenda sana
Dec 21 still listening
2023 and am still jamming to this amazing masterpiece,, kazi safi sana Chikuzee 👏🥳💯💯
Coastal music is a struggle and that breaks my heart but chiku struggle yako naiaminia jah bless enzi hizo
Good song yenye mafunzo..keep rocking broz🔥🔥🔥