USHUHUDA WA MASANJA MWAKA 1 WA FREE CHURCH

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 чер 2021
  • USHUHUDA WA MASANJA MWAKA 1 WA FREE CHURCH

КОМЕНТАРІ • 55

  • @musalufuke_1130
    @musalufuke_1130 3 роки тому +6

    Kwenye funza mtumish hapo mi nilioza kabisa na nilikuwa na chunga mbuzi unavyo jua tena mbuzi huwa hawatulii sehem moja ila ssa Mungu ameniinua na namtumikia Mungu kwanjia ya uimbaji ameeen

  • @jimmyjohn8184
    @jimmyjohn8184 2 роки тому +1

    Mungu alikuwa anakuanda ukitoka kwenye kuchunga ng,ombe , ukachunge watu

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 11 місяців тому

    Asante sn Mchungaji, ushuhuda wako umenitia nguvu ya kutokata tamaa❤

  • @xmaramoja362
    @xmaramoja362 3 роки тому +1

    Masanja the Best.
    Kuna watu wanaona comedy kila wakikuona lakin kuna watu tunamwona Yesu tukikusikia.

  • @catherinekidava1859
    @catherinekidava1859 Рік тому

    Bwana yesu asifiwe tunaomba uweke mkutano sumbawanga karibu sana

  • @latefalatefa2664
    @latefalatefa2664 3 роки тому +2

    Haleluya tuliyetoka ludewa tumtukuze Mungu kupitia PASTOR Emanueli Mgaya ameeen

  • @catherinekidava1859
    @catherinekidava1859 Рік тому

    Mahubili yako Kama vile yesu ameshuka karibu Sana sumbawanga

  • @restitutadanda8141
    @restitutadanda8141 2 роки тому +1

    Udalikhe mswamu va khuludeva ,NGULUVI akhutange necho.
    Matekhenya kakhasumbwe nyeva mweee ung'umbwise khatali.

  • @venancshirima9103
    @venancshirima9103 3 роки тому +1

    Tumsifu yes kristo Mimi naamini Nina karama yakumwimbia mungu pia ninapenda Sana ila sijui shetani kapanga kitugan namuaibisha kwajina layesu

  • @ericrobi887
    @ericrobi887 3 роки тому +1

    Thanks brother kwa ushuhuda huu hakika huwa ni swala la muda tu ....nmechunga ngombe saana😶

  • @zuwenajuma2927
    @zuwenajuma2927 3 роки тому +1

    Mungu akubariki karama uliyonayo Mungu akuinue zaidi ya hapo uwe kama TB Joshua ,,

  • @revinastephen3365
    @revinastephen3365 3 роки тому +1

    Safi sana kaka piga neno nakukubarigi sana ,hiyo sehemu nakataa hata mimi niliipitia lakini niko viwango vingine ,kuna watu wanakuangalia kama mfano ndo ninavyojichukulia

  • @yohanalairumbe-pq1qx
    @yohanalairumbe-pq1qx 6 днів тому

    Amina 🙏🙏

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому +1

    Ameen Mchungaji Emmanuel

  • @ditrickmtega2802
    @ditrickmtega2802 2 роки тому +1

    Hahaha 😂 wibita khwii, khulukalava😂

  • @alfredzunda4655
    @alfredzunda4655 3 роки тому +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana

  • @elgonalex2411
    @elgonalex2411 3 роки тому +3

    Amina kubwa

  • @farajachesco985
    @farajachesco985 2 роки тому +1

    Barikiwa baba

  • @AMPH_NKURUNZINZA
    @AMPH_NKURUNZINZA 3 роки тому +2

    Be blessed Brother!!!

  • @SMEDIA298
    @SMEDIA298 10 місяців тому

    Amen Amen

  • @bigjohndeliveranceworship6606
    @bigjohndeliveranceworship6606 3 роки тому +1

    God bless u pastor nakupenda sana mafundisho yako yananijenga nasi nikuombe weka MTU wa kutafsiri in English and francais ili na wengine wasikie

    • @d.a.t3383
      @d.a.t3383 3 роки тому +1

      Na kirusi kichina ki sweedish ki denish kipare kizambia SIJUI ATAKUA NA WAKALIMALI WANGAPI

  • @williamgeorge150
    @williamgeorge150 3 роки тому +1

    daaaah be blessed pastor

  • @jumaeduardo
    @jumaeduardo 3 роки тому +3

    Tunakukubali apa Mozambique

  • @jacquelinekilas307
    @jacquelinekilas307 2 роки тому

    Amina

  • @isayajerad
    @isayajerad Рік тому

    Muhgu akupake mafuta zaidi asikofu wahgu emanuer mgaya

  • @gentleetvone7511
    @gentleetvone7511 3 роки тому +1

    Wanibaliki sana

  • @johnsonayo
    @johnsonayo 2 роки тому

    I love this

  • @Isabellependo6389
    @Isabellependo6389 3 роки тому +1

    Mjo juuu

  • @dyannnaasy3746
    @dyannnaasy3746 3 роки тому

    🙏🏼🙏🏼barikiw

  • @johnyty498
    @johnyty498 3 роки тому

    be masanja nyigha univunganise nimifirimason

  • @ealisetvealise602
    @ealisetvealise602 3 роки тому +1

    Asante

  • @Mwakilasa51
    @Mwakilasa51 2 роки тому +1

    Amen MUNGU AMEFANYA TABASAM KWA BISHOP NAMI NAJIUNGAMANISHA
    ua-cam.com/video/R31XBltDTu8/v-deo.html
    TAFADHALI UKISIKILIZA WIMBO HUU USIACHE KUTOA USHUHUDA BAADA YA KUWA UMEUSIKILIZA
    MUNGU AKUBARIKI SANA🙏🙏🙏

  • @emmanueljohn8970
    @emmanueljohn8970 3 роки тому +3

    Kumbe kuna Watu wana Wivu tuu Huduma yenu ni nzuri mno.

  • @mariadaudi377
    @mariadaudi377 3 роки тому +1

    Goood

  • @jescafaida4372
    @jescafaida4372 3 роки тому +1

    Maisha nofolen

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 3 роки тому

    Hatari sana,,,,,mchungaji amenyoa panki!!

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 3 роки тому +1

    We tafuta hela usepe tu

  • @ephraimndelwa4073
    @ephraimndelwa4073 2 роки тому +2

    😂😂aaah pastor Masanja ulikuwa mzembe kweli kutoka masimbwa hadi njombe siku 6 kweli jamaangu?!? mwenzako nilitokaga Lugalawa hadi njombe kwa siku mbili tu! Pia nilikuwa natembea kwa mguu toka njombe to lupila siku moja na nusu, kwa kuzunguka ya uwemba...

    • @ditrickmtega2802
      @ditrickmtega2802 2 роки тому +1

      Avee mfifu ukhukenda. Mbona Pala sikhu chivili tuu

    • @Feelfreechurch
      @Feelfreechurch  2 роки тому +2

      Umetisha sana

    • @ephraimndelwa4073
      @ephraimndelwa4073 2 роки тому

      @@Feelfreechurch ila nimefurahi huduma yako umekua ndg yng ulianza kama masihala vile, leo unatema madini ya Mungu kama yote duuuh!!! 🤔🙏🙏🙏ningekuwa naishi dar ningehamia kanisani kwako! Mungu akusaidie sana

    • @ephraimndelwa4073
      @ephraimndelwa4073 2 роки тому

      @@Feelfreechurch ila nimefurahi huduma yako umekua ndg yng ulianza kama masihala vile, leo unatema madini ya Mungu kama yote duuuh!!! 🤔🙏🙏🙏ningekuwa naishi dar ningehamia kanisani kwako! Mungu akusaidie sana

  • @yelikopangalas2610
    @yelikopangalas2610 3 роки тому +2

    Daudi hakuwa mhuni Kama ww acha utoto freemason mkubwa we

    • @innocentmwangosi3399
      @innocentmwangosi3399 3 роки тому +4

      Usihukumu usije ukahukumiwa hukumu ni juu ya Mungu sisi tunafundishana na kusaidiana

    • @anthonymodest7019
      @anthonymodest7019 3 роки тому +5

      Kaka kukaa kimya ni hekima

    • @johnpaul6212
      @johnpaul6212 3 роки тому +4

      Acha wivu fanya kazi hakuna cha Freemason

    • @vincentmushi1247
      @vincentmushi1247 3 роки тому +1

      Freemason baba ako kenge wewe
      Tulia watu tunapata ushuhuda,kama haujawai chunga mifugo kama ss,hauwezi jua chochote,
      Kwetu msumbiji yeliko maana yake fala

    • @ellennkota6599
      @ellennkota6599 3 роки тому +3

      @@vincentmushi1247 wakati mwingine ukiona kitu hakipo sawa kwa Mwenzio muombee awe sawa Kama wewe na Mungu atakubariki majunguu yanaumiza na yanaleta uchungu usiopona haraka