vyama vya wafanyakazi na wakulima vinaungana kutegeneza chama kimoja cha siasa kinaitwa Tanganyika Associations National Unions (TANU) 1954 , Zanzi bar nako vile vile Washiraz wanaungana kutengeneza Afro shiraz Party, ASP, baadae vyama viwili vinaungana na Kutengeneza chama cha mapinduzi CCM 1975 , CCM inaongozwa na katiba, vyama vya upinzani vyote unganeni muwe na chama kimoja chenye nguvu na mtengeneze katiba ya pamoja , kabla ya kudai mabadiriko katiba ya nchi..

Kazi ipo
Na hapo ndio mnashindwa na CCM
Wala hamna uchungu na taifa mnataka kushika dola ya nchi msitudanganye kuwa mnapigania shida zetu
Ni miongoni mwa wanufaika nini wa Ccm
Kamanda komaa tupo nyuma yetu mliza swallow katumwa na maccm
MNALIPWA RUZUKU YA CHAMA CHENU INATOKA WAPI KAMA SIO KODI ZA WANANCHI