MBOWE AWAFOKEA WAANDISHI WA HABARI | WAMBANA MASWALI MAZITO | MLITAKAJE ILITAKIWA MTUPONGEZE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 33

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z 18 годин тому +1

    Safi sana baba

  • @KaidiMajengo-sv7dd
    @KaidiMajengo-sv7dd 7 годин тому +1

    Nilianza, chadema, kablausajili, hadiusajili,najua,vizuri,waliochangia,kuifikisha,chadema,hapa,,najuakwanini, haikusambartiswa,, Kama,komaa,mbowe,umetuvusha,

  • @EmmanuelSeleman
    @EmmanuelSeleman День тому +2

    Unawadanganya

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 2 дні тому +3

    Kwaiyo unataka na sisi tupigane umeishiwa

  • @willymdeka6034
    @willymdeka6034 2 дні тому +2

    Anza na katiba ya chadema kwanza

  • @hezronitete3622
    @hezronitete3622 19 годин тому +1

    Kwenye amani ukovizuri sana unalipenda taifa

  • @PelegsamsemwaMsemwo
    @PelegsamsemwaMsemwo 4 години тому

    Watapata tabu sana ccm

  • @simonnyadwera8595
    @simonnyadwera8595 2 дні тому +2

    Mh,Mbowe

  • @kaponasalum3648
    @kaponasalum3648 День тому +1

    Ukitumia neno matakwa ya wananchi ina maana wa Tanzania wote. Sema matakwa ya chama.

  • @salehesalehe2967
    @salehesalehe2967 2 дні тому +2

    Hili lijamaa ilnaharibu chama

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 3 години тому

    Uchumvi achinvi hiyo alitoa Mzee JK ukuda

  • @CCMMKOAIRINGA
    @CCMMKOAIRINGA День тому +1

    Kwann tusianze na katiba ya chama chako hasa wewe Ambae mda wote unataka uwe wewe tu kuwa kiongozi

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 2 дні тому +1

    Majibu ya kisiasa mimi huwa yananifurahisha sana miaka yote wakati vyama vya siasa vikiwa vimezuiwa kufanya siasa mlikuwa mnasema chama kipo imara kuliko wakati wa huko nyuma kabla ya hamjazuiwa sasa leo unajibu eti hata hiyo hiyo 30% mmejitahidi kwasababu mlikuwa mmezuiwa kufanya mikutano ya siasa

    • @kaponasalum3648
      @kaponasalum3648 День тому +1

      Kelele zone hizi wanalinda Ruzuku isikatwe.

  • @ShabaniKuziwa-p8m
    @ShabaniKuziwa-p8m 2 дні тому +3

    Mnao mponda Mbowe nakumtaka ajiuzulu mnania ovu na Chadema naamini yuko vizuri na kama hafai basi waacheni wafanye uchaguzi

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v День тому

      Mda wake imeisha elewa, demokrasiya ufanye kazi siyo mpaka uondolewe kwanguvu niaibi kwanini Mika yoye wewe ndie mwenyekiti?

  • @BorySaronge
    @BorySaronge День тому

    Mbowe neno la kutana kuwa watu hawana akili ni kweli hao unaowangoza na wanaopiga makofi mbele yako ndio hawana akili kwa sababu hawajitambui na hawajui ni lini ataongoza watu wenye akili mbowe ajitafakari .

  • @piusprospa8832
    @piusprospa8832 День тому

    nchi yetu inatakiwakua nawatu kama mboee huyujamaa nchi itageuka nakua nchk ya kidemokrasia

  • @TonyTrans-xw3bb
    @TonyTrans-xw3bb 2 дні тому

    mbowe angekuwa anatamaa angechukua hela za ccm siku nyimbo ila mbowe nimpambanaji na nishujaa wa uhakika

  • @EmmanuelSeleman
    @EmmanuelSeleman День тому

    Hawakua na sifa

  • @saidbawazir2879
    @saidbawazir2879 2 дні тому

    Mwamba usitoke ukitoka juhudi zote za mtei ww na wengine wema zitatoweka usikubali kuachia ngazi

  • @ToivoJase
    @ToivoJase 2 дні тому

    Nilikielewa hiki Chama,ila huyu kichaa now naanza kuwa simuelewi,,anatamaa sn na madaraka,,from now sitaki kusikia Mambo ya siasa

  • @MakameAbdallah-wn3hc
    @MakameAbdallah-wn3hc 2 дні тому

    Watu tunataka maendeleo na si siasa za maji taka.
    Yaliyo ndani ya Sacoss yako yanakushinda utaweza haya ya dola?
    Katawaze ukalale
    Watanzania walio wengi wana uelewa mkubwa utakaowapata ni hao wapiga dili wabwagiaji unga vibaka wezi na wasiojielewa.
    Mungu washinde na walegee wote wenye nia ovu dhidi ya Tanzania yetu
    Mungu Ibariki Tanzania na watu wake wake.

  • @abasishayo1402
    @abasishayo1402 2 дні тому

    Mbowe ukiondoka chama kitakufa

  • @RestitutaNjau-k8x
    @RestitutaNjau-k8x 2 дні тому

    Kweli kabisa Mr.Mbowe

  • @kiluiWanguvu
    @kiluiWanguvu 2 дні тому +1

    anachoongea mnampigia makofi wakati hamna kitu blabla na haileweki anawaza saccos pesa

  • @willymdeka6034
    @willymdeka6034 2 дні тому

    Acha uongo wewe sio dar labda moshi machame kwenu huko

  • @Educatedmind-k9r
    @Educatedmind-k9r 2 дні тому

    Mbona mzee kapanic? Step down. You're the problem