WATU WASIOKUWA NA MIILI | BISHOP JOSEPHAT GWAJIMA | 16.01.2022

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 87

  • @maryamayitsa6181
    @maryamayitsa6181 2 роки тому +9

    Nilipata uponyaji kupitia hii injili nilisikiza,tarehe 19 na nikapata uponyaji tarehe 20,ulipo sema viumbe visivio namili viachie nikarudia nikanza kuskia kitukikitoka tumboni keshoyake maumivu yaliendelea kufika jumapili jioni damu zikatoka zimegandana nasasa nimepona nashukuru mungu kwa uponyaji huu,jina la Yesu lihimidiwe, haijalishi ukoumbaligani nipokea hajaya moyo wangu,hakika utabaki kua mungu maishani mwangu🇰🇪.

    • @rerisamba
      @rerisamba Рік тому

      Glory to Jesus

    • @MariamuMahir
      @MariamuMahir 7 місяців тому +1

      God bless you 4ur testimony ❤

  • @maryamayitsa6181
    @maryamayitsa6181 2 роки тому +3

    Natamani tuwe na wachungaji hata watano tu kama Gwajima hapa kwetu Kenya,wote tungenda mbinguni, mungu akuweke Bishop.

  • @VioletNekesa-wl7ph
    @VioletNekesa-wl7ph 3 місяці тому

    Watesi wangu wote na wa wanangu wateseke wote milele kwa jina la yesu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @VioletNekesa-wl7ph
    @VioletNekesa-wl7ph 3 місяці тому

    Waangamizi wangu wote na wa wanangu waangamie wote milele kwa jina la yesu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @VioletNekesa-wl7ph
    @VioletNekesa-wl7ph 3 місяці тому

    Wachawi wangu wote na wa wanangu waokoke leo ama wakufe leo kwa jina la yesu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @PatriciaSidi-c4w
    @PatriciaSidi-c4w Місяць тому

    Barikiwa sana Pastor unafungua watu wengi mungu azidi kukutumikia zaidi na zaidi Amina ❤❤❤

  • @VioletNekesa-wl7ph
    @VioletNekesa-wl7ph 3 місяці тому

    Roho chafu kwangu na kwa wanangu siteketee Kwa jina la yesu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @maryamayitsa6181
    @maryamayitsa6181 2 роки тому +2

    Mungu wa Gwajima nitembelee, maana wachungaji wengi hapa kwetu ni matapeli wa kiroho, 🇰🇪.

  • @We2k7
    @We2k7 2 роки тому

    Basi Baba umefika kazini
    Nimewekewa kifafa hatakazini sikotena
    Nasubiriya nishuudiye baaada yakuniondowa kifafa iki nimetiliwa kiwarudi Baba
    Asante

  • @victoriamordgard8653
    @victoriamordgard8653 Рік тому

    True Gospel of Christ. Thank you Papa.

  • @Patience.67
    @Patience.67 3 роки тому +6

    Baba asante Kwa mafunzo na maombi,tangu nianze kukusikia na kuomba nawe sijawaj Kula ndotoni wala kunajisiwa nimeona mabadiliko maishani nakupenda baba gwajima 😍

    • @divvanajohnson4895
      @divvanajohnson4895 3 роки тому

      Mshukuru mungu miss mpe yy utukufu, kwa hayo mafindisho

    • @edwinkimambo1482
      @edwinkimambo1482 3 роки тому +2

      @@divvanajohnson4895 na wewe uweke herufi kubwa kwa Jina la Muumba

    • @sharonwalubengo7628
      @sharonwalubengo7628 2 роки тому +1

      Mungu anijalie pia mimi nina pepo hili

    • @Patience.67
      @Patience.67 2 роки тому

      @@sharonwalubengo7628 fuatilia tu mafunzo na maombi ya Baba gwajima utaona mabadiliko

    • @JoyfulGod
      @JoyfulGod 2 роки тому

      Very true me too.... glory to God.

  • @mirabelle174
    @mirabelle174 3 роки тому +6

    Askofu Gwajima is such a great storyteller

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 3 роки тому +5

    Jamani mimi niko Lamadi simiyu nikija dar nitampa vipi Askof Gwajima

  • @essaukapufi424
    @essaukapufi424 10 місяців тому

    Asante Ark Bishop(Baba) Yetu!

  • @bukuruphilibert2968
    @bukuruphilibert2968 Рік тому

    Jitu la mbinguni you're blessed papa

  • @gladyssaumuwilliam3879
    @gladyssaumuwilliam3879 2 роки тому

    BWANA YESU asifiwe BABAA,mimi nko kenya Mombasa mungu akubariki mchungaji maana nabarikiwa sana

  • @rerisamba
    @rerisamba Рік тому

    This 2024 and am here watching this great man of God

  • @fastonngatulile6628
    @fastonngatulile6628 3 роки тому

    Asante MUNGU Asante kwa kumtuma mtumishi wako wakati huu Asante MUNGU

  • @Uplifiting
    @Uplifiting 3 роки тому +5

    Bishop Gwajima, your my Mentor, God of Gods bless you again and again. I love you Dady! 🔥🔥🔥🔥🌸🌸🌸❤️❤️❤️

  • @honestingwaleng117
    @honestingwaleng117 3 роки тому

    Nabarikiwa san nikisikiliza haya mahubiri,Askofu Mungu akubariki Sana 🙏

  • @JC-lk3me
    @JC-lk3me 2 роки тому

    Asante sana mchungaji hakika Mungu yuko pamoja nawe, katika uponyaji kwa jina la Yesu, Amina. Mungu akubariki sana wewe na familia yako.

  • @Carolinenyagaka-h5q
    @Carolinenyagaka-h5q 11 місяців тому

    Amen am blessed 🙏🏻🙏🏻

  • @RaymondBegga
    @RaymondBegga 6 місяців тому

    You're the real Genius

  • @joycegeorge4712
    @joycegeorge4712 3 роки тому

    Apostle wewe ni mwl mzuri
    Apostle you are good teacher
    Mungu aendeleee kukutumia kwa viwango vya juu saana Zaid ya hapo

  • @leahenockmrina5381
    @leahenockmrina5381 3 роки тому

    Amen mtumishi wa Bwana Askofu Gwajima na utukufu kwa Mungu

  • @We2k7
    @We2k7 2 роки тому

    Sasa jeee hâta najipaka Damu ya Yesu ananikariya tuuu mpaka kunitiya kifafa !!? Hâta zambi natafuta sipati nisaidiyeni nitafsiliwe Asante
    Baba

  • @issackpastor1915
    @issackpastor1915 3 роки тому +1

    Barikiwa sana baba unanijenga

  • @philipmahava7168
    @philipmahava7168 3 роки тому

    Nakuelewa sana mtumishi wa Mungu

  • @methodywiliammkini7601
    @methodywiliammkini7601 2 роки тому

    Asante baba

  • @anettekandole8335
    @anettekandole8335 3 роки тому

    Amen 🙏 baba tume barikiwe sana

  • @We2k7
    @We2k7 2 роки тому

    Baba unasema unayajuwa yakuchokaaaaa
    Nachoka nakuikaliwa bila sababu naitaji upako mamlaka na mengi mengine niwafate na nisipige swataaa Kwa sifa za Muumba Kwa jina la Yesu

  • @moniquebankibigwira866
    @moniquebankibigwira866 3 роки тому

    Jesus loved from a long time.

  • @carolyneoirere4748
    @carolyneoirere4748 2 роки тому

    Amen and amen

  • @mwimurengukana1119
    @mwimurengukana1119 Рік тому

    Amen Amen 😊

  • @chantalkakozi8657
    @chantalkakozi8657 3 роки тому

    Kiumbe yeyote asiyekuwa na mwili aachiliye kila kitu alichochukuwa kwenye maisha yangu

  • @nenoninuruyauzimatv.9801
    @nenoninuruyauzimatv.9801 2 роки тому +1

    Jasusi la Mbinguni likidhihirisha , Ujasusi wake , Mbingu duniani.

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    Kwa jina la Yesu kila jicho la kichawi limludie yeye kwa jina la Yesu

  • @divvanajohnson4895
    @divvanajohnson4895 3 роки тому

    Hivyo gwajima anaongeleaga dhambi

  • @rithersospeterkati2303
    @rithersospeterkati2303 3 роки тому

    Amen Amen Baba.

  • @EMChantalG
    @EMChantalG 3 роки тому +1

    Hallelujah amen

  • @JulianaNgunyali
    @JulianaNgunyali День тому

    Maombi yamebariki

  • @esthermayi4045
    @esthermayi4045 3 роки тому +1

    Amen...

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому +1

    Ameen

  • @yombolifestyle1138
    @yombolifestyle1138 2 роки тому

    Askofu nakukubali hata kasani nimefika

  • @kpayakiduku1871
    @kpayakiduku1871 3 роки тому +9

    Huyu sio askofu tu,ila Ni mwalimu mwelimishaji😃

    • @saudakabogo
      @saudakabogo 3 роки тому +3

      Niongezee ni mwalimu mkuu

    • @kpayakiduku1871
      @kpayakiduku1871 3 роки тому +3

      Hakika...nampenda bure aiseh!!!Mungu ambariki zaidi

  • @catherinemasakhwemakokhama9117
    @catherinemasakhwemakokhama9117 3 роки тому +1

    Amen and Amen 🙏🙏

  • @annaezra2344
    @annaezra2344 9 місяців тому

    Naomba namba ya mchungaji gwajima

  • @alphonseziragora5151
    @alphonseziragora5151 3 роки тому +1

    Amen

  • @brendakikech2961
    @brendakikech2961 2 роки тому

    Nko Kenya...naeza fika vipi kanisani kweni wapendwa

  • @We2k7
    @We2k7 2 роки тому

    Nakataaaaas
    Na sura mbaya ajabu

  • @beatricefilbert1171
    @beatricefilbert1171 3 роки тому

    Amen Mwana wa Mungu

  • @rehemamwakinyaka3167
    @rehemamwakinyaka3167 3 роки тому

    Ameni

  • @jacksonpetro9558
    @jacksonpetro9558 3 роки тому

    Tumpate wap tena mtu kama huyu ambaye anena wazi maneno ya kweli ya Yesu .

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 3 роки тому

    Tegeta kwa Yesuuu

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 3 роки тому +1

    Ameeen my father 🙌 🙌

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 3 роки тому

    Ameeeeeeeen

  • @alexjopata5756
    @alexjopata5756 3 роки тому

    Umemchapa kitu🤣🤣🤣. Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu

  • @millicentochieng5740
    @millicentochieng5740 3 роки тому

    🙏🙏🙏

  • @anettekandole8335
    @anettekandole8335 3 роки тому

    🔥🔥🔥🇦🇺

  • @ritakhamis7531
    @ritakhamis7531 3 роки тому

    Amen 🙏🏽

  • @brunolwambano6752
    @brunolwambano6752 3 роки тому

    Chuma mtupuuuu

  • @alexjopata5756
    @alexjopata5756 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣 eti ufaulu umeshuka kwasababu ya ulokole.

  • @MaryNjeri-f5g
    @MaryNjeri-f5g 2 дні тому

    Amen Amen Amen

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 3 роки тому +1

    Amen

  • @esthermayi4045
    @esthermayi4045 3 роки тому

    Amen...

  • @sarabendera7688
    @sarabendera7688 3 роки тому

    Ameeeeeeen

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    Ameen

  • @Fatma-qi9yc
    @Fatma-qi9yc 9 місяців тому

    Amen 🙏

  • @gilbertwanje
    @gilbertwanje 3 роки тому +1

    Amen

  • @daliuskahilila2431
    @daliuskahilila2431 3 роки тому +1

    Amen amen

  • @gracembaabu3754
    @gracembaabu3754 3 роки тому +1

    Amen

  • @leahenockmrina5381
    @leahenockmrina5381 3 роки тому

    Amen

  • @JoyfulGod
    @JoyfulGod 2 роки тому

    Amen