dogo waseme sana napo we ni tajili wagapi wenye pesa kyela wamewai kufanya ivi unavyo fanya wewe mungu akubaliki edeleya kusaidiya watu hao wanao kuponda ndo wameshindwa kitafuta maisha wamekaliya majugu tu acheni ujiga tafuteni pesa mwacheni dogo avimbe na pesa zake
Chief huyu chaijaba tafurahi ame enjoy sana awamu hii anahisi yupo peponi kwa kweli mungu akubariki sanaa mwana familia
Hongera God love you take care your father❤❤❤ hongera kakangu njoo Kenya nakuomba 🇰🇪
Mzee wa heshima na anaejielewa hawezi kuyafanya hayo sasa ndo tunaamini we mchawi kama huyo Baba yako kweli
dogo waseme sana napo we ni tajili wagapi wenye pesa kyela wamewai kufanya ivi unavyo fanya wewe mungu akubaliki edeleya kusaidiya watu hao wanao kuponda ndo wameshindwa kitafuta maisha wamekaliya majugu tu acheni ujiga tafuteni pesa mwacheni dogo avimbe na pesa zake
mbn Mzee mwanyew kama waya moja imelegea vile au ndo ndafu ya binadamu
Ungekuwa wewe ungemficha yeye anamuonyesha
Kumbeeee mtotooo ukimkataaaa anakuaaa tajiriiii duuuu uyuuuu babaaa Akeee kweriiii mamaaaa ariretaaa umarayaaa tuuuuuu ikiwaaa damm yakooo aipotei
Sasa naamini umemtoa kikoa mzee wako
Sio babaake huyo ni mgonjwa wa akili huko kyela maarufu anaitwa israel ,MZEE wake ni mchungaji wa wokovu hawez kushiriki hizi takataka anazofanya
Baba na mtoto
Kwani si mgonjwa kbs huyo wa akili
Safi sana 🎉
NAONA UMEMFANYA BABA YAKO TAHIRA NAONA AKILI HAIKO SAWA
Sasa baba si msikule uyo wewe si unamuona baba ndondocha kabisa kweli mitandao inatuonyesha mengi
Sasa uyoo yupo ivyoo toka Zaman ndondocha ni wewe
Israel kapendeza leo
Mbona baba hayuko sawa? Yuko sawa kweli?😢😢
Ni mgonjwa wa akilu, anaitwa izsrael y
@@leonardnelson5651 mbon anamuita baba sasa..kwahyo ni muongo
Kafara