Kuna gharama nyingi sana za ghorofa kuanzia kwenye ramani na vibali ,umeelezea vizuri sana na gharama za materials unazijua vizuri ,ila kwenye kokoto ni vyema ukachukua za Msata semi moja milioni 2 , pia Kuna gharama zitajitokeza ambazo hazipo kwenye baheti
Nzuri Sana❤
Great job
Kaka. Unajitaidi kutuchambulia asant na. Ongera kwa kaziyako
kumbe inawezekana, ngoja niendelee kujipanga miaka yangu kadhaa ntamiliki kaghorofa kangu
Asante kwa uchambuzi
Unapatikana tz. Sehem gani
Pamoja kaka
Naomba no yako
kumbe nikijikusanya miaka 4 naweza jenga gorofa kama hil
Unaweza kuamina kwa level hiyo ya ground floor
Kaka enderea kutupa erimu
❤️❤️
Naomba no yako ya simu Brother pliz
Tofali inchi 6 ni 1200 kiwanda gan?
Tofali inchi6 ni 2300 au 25000
Kuna gharama nyingi sana za ghorofa kuanzia kwenye ramani na vibali ,umeelezea vizuri sana na gharama za materials unazijua vizuri ,ila kwenye kokoto ni vyema ukachukua za Msata semi moja milioni 2 , pia Kuna gharama zitajitokeza ambazo hazipo kwenye baheti
Kweli kajitahidi maana yuko karibu sana na ukweli
Je Bei ni uharisia?? Nilitaka hiyo ramani