Mashee kidogo lugha iwe ya upole ili tuweze ku walika kwa nuru askofo ali toa mfano ya mtume wetu tusi tumia mfano wa mende tuwe wapole ili tuwe kivutio mashallah kazi yenu na hoja zote mme jibu vizuri sana quran ni la rayba fi hudal lil mutakin❤️👃👍
Thank you so much our Sheiks and also the Christian brothers and sisters. They, the Christians, are humble as Quran states. The Christian brother appears so close to Islam because of his passion. He will make a Good Muslim, God Willing. These sheikhs are working hard to save their brothers from the hell fire. They love their Christian brothers and sisters. They have good intentions, so please listen to them with an open heart. I am from Canada and your lectures strike lessons fairly deep into the heart. Your examples are sweet, and make one think of our short and GHAFLA { deceptive} lives on earth. Bless you my brother. Your knowledge amazes us! May our Christian brothers search for their Creator and accept the One who created them. It is the same God of Christians and Muslims and all humans and everything created. Let us not fight for the sake of holding on to our bias. The Truth stands alone, differences are many. Regards from Ray in Canada Reply
Askofu amesaidia sana kuonesha Uislamu ni Dini ya Mungu na Muhammad ni Nabii wa Mungu na Yesu sio Mungu na sio mtoto wa Mungu, Yesu ni Nabii. Allaah Awabariki sana Waislamu juhudi kubwa mnaitenda
heri inshallah na baraka kwenu maskhehe namuomba Allah awalipe ujira mkubwa mnno akujalieni wepesi katika maisha Allah akujalieni muingie peponi pamoja na waislam wanaume na wanawake tupate pepo yake mkono kwa mkono hadi peponi
Viongozi Wetu acheni kutumia neno, UBARIKIWE. Je! Mumetoa wapi dua hiyo? Kwani mnawaiga Wale waliopotoka? Waislamu huwa wanamuomba Allah abariki. Tangu mwanzo husemwa, Allah akubariki
Jesus was God in flesh.. My friend you need the help of the holy spirit to understand the Bible. You don't just read and memorize it to understand it...
@@nikizaanociata4730 sasa wapi yesu kasema yeye ni wakwanza na wamwisho ? Nazani we msomi basi soma biblia, kwanini mungu amekupa akili minazani ni iliumtafute
@@nikizaanociata4730 NA wewe Kweli kama yesu alikukombowa mbona wenda kanisani? Huyu mchungaji wenu hajielewe diyo atapatapa kama mfa MAJI! DINI YA HAKI mbele ya ALLAH ni USILAMU! Upo?
Kila mtu akae na Imani yake, siku ya kiyama Mungu mwenyewe anajua atakavyo amua. Kwa sababu akuna mtu ataskiza wakristu eti Yesu sio mwana wa Mungu, so, waislamu wakae walivyo na wakristu walivyo bila kujaribu kubalishana Imani ama kua na mabishano ya Imani.
When I saw this debate I went and asked Jesus.There are people here arguing about you.You are God and author and Finisher of our Faith. What would you answer these kuran teachers? This is what Jesus told me: 1.To look for a sign of a Virgin Birth 2.I said I would die 3.I said I would resurrect.If they have the three signs then they have seen the Christ of God. But they refuse to believe that I resurrected.They deny the finished work of the Cross and that I was crucified. If their prophet wrote the 3 signs in their book why was it not fulfilled if he was right.True Prophecy must be fulfilled.Why does their prophecy deny itself?🤷 In the kuran who saw Jesus physically going up? If he said he would resurrect?
Mimi nakataa Yesu sie isa Yesu naisa nitofauti Waisilamu mkikubali kuwa Isa ndie Yesu mkubali damu nakifo chake wakati vyote mnapinga hivyo nainjili inakuwa ngumu kwawaridhia waisilamu kwakulazimisha Yesu ndie isa Mimi Nakataaaaaa
Point kubwaa ni hiii walizaliwa sehem Tofauti lkn kikubwaa Yesu kristo Alitabiliwa na manabii kwenye Torati na zaburi kuhusu kuzaliwa kwake kazi zake kufa kwake na kukufukaaa kwake issa hajatabiliwa sehem yeyote wala hakufa wala hakufufukaa. Yesu kristo alibatizwaa issa hakubatizwaa ni watu wawili Tofauti. Shetani amewafungaa watu ufahamu na kuwapa upofu. Nabii TIMETHEO ALISEMA WATAACHA KWELI YA MUNGU NA KUFUATA HADITHI ZAO ZA UONGO Timetheo 4:4
Kuran 19 inao esha aliyemzaa Isa bin Maryam ni Maryam ambaye ni dada take Haruni aliyeishi miaka mingi kabla Kuzaliwa YESU..Hapo Sasa ndio Muhammad alijichanganya Hapo.
@@StraightPathDawah uangalie uisram katika.roho vitabu viwili vinapigana kila mmoja anavutia kwake ukweli wa.mungu wakuaminiwa nakuabudiwa.uko wapi? Hilondilo la kujiuliza
Bishop anamsema Miriamu wa Biblia na kwa mjibu wa Biblia inadai alikuwa Nabii wa Israel enzi za Nabii Musa kama mwanisha soma Hesabu kutoka 2 na 15 hesabu 12 na 20,Hesabu 26:59na Hesabu 12:1-2
Where do they hold these debates in Nairobi? Who can invite me to debate with them? I am a christian. Any Muslim, SDA, atheist who wud want to debate me? I really feel sad seeing these shallow shallow arguments against my God, Jesus going on. Invite me I debate u n show these ur ears may never hear otherwise.
Deut 18:15-18 is not about Jesus Christ as a Prophet but it was Moses prophesying about Joshua-Yeshua (Saviour) who became like him to take the children of Israel to Promised land.Many Christians also do not know about this revelation.It is Joshua go and read about the work of Joshua -Yeshua, (Saviour) it's almost exact copy of Moses in teaching the commands of God.
Asanteni sana waislamu Wana hekima sana ,askofu anavyo zungumza ana hasira sana,mm n mkristo lakini nasema ukweli, ukweli n mzuri
Ww sio mkristo acha acting😊
Mashaa Allah,masheikh wetu wana hekma sana,askofu ana hasira,ukweli unamwingia,askofu tulia upewe dozi,qur an aijawahi kukosajibu
Maashaallah Allah awajaalieni kulla la kheir yaarab 🤲
Mungu ni mwema Sana IPO siku atamusilmisha yarabb atakabal dua zetu🤲
Amin amin
Aamiin
Wallah uyu Askofu atakuja kuslim kwasababu anapenda kujifundisha nasio kuwa mjuwaji. Allah amuongoze Inshallah.
Nan mbishi balaaa
Ĺ
Ĺ I
Amiin
Insha Allah
Mashallah eeh Mwenyezi Mungu umuongonze Bishop asilim mbona ana poteya aswa juu anarib kabisa
Pastor amechemka! Juu anasema Issa sio yesu! Na "Jesus ni yesu?
Pastor amechemka! Juu anasema Issa sio yesu! Na "Jesus ni yesu?
Amiin
Mashee kidogo lugha iwe ya upole ili tuweze ku walika kwa nuru askofo ali toa mfano ya mtume wetu tusi tumia mfano wa mende tuwe wapole ili tuwe kivutio mashallah kazi yenu na hoja zote mme jibu vizuri sana quran ni la rayba fi hudal lil mutakin❤️👃👍
Allahamdhulla kwa neema ya uislamu barikiweni sana dawa is unstoppable allahamdhulla
Masha Allah tabarak Allah
May Allah SW bless you ❤
I love so much all your Video ❤
Thank you so much our Sheiks and also the Christian brothers and sisters. They, the Christians, are humble as Quran states. The Christian brother appears so close to Islam because of his passion. He will make a Good Muslim, God Willing. These sheikhs are working hard to save their brothers from the hell fire. They love their Christian brothers and sisters. They have good intentions, so please listen to them with an open heart. I am from Canada and your lectures strike lessons fairly deep into the heart. Your examples are sweet, and make one think of our short and GHAFLA { deceptive} lives on earth. Bless you my brother. Your knowledge amazes us! May our Christian brothers search for their Creator and accept the One who created them. It is the same God of Christians and Muslims and all humans and everything created. Let us not fight for the sake of holding on to our bias. The Truth stands alone, differences are many. Regards from Ray in Canada
Reply
Mashallahu Mungu awabarki mashehe wetu awape nguvu na afwa njema muzd kuwaongoza ktk hak
Huyo Bishop Askofu mliye naye, anaujua ukweli kabisaa, lakini atapindisha ukweli. Yote hayo, Shauli ya sadaka zimeisha tawala. ACHANA NAYE HUYO.
Askofu amesaidia sana kuonesha Uislamu ni Dini ya Mungu na Muhammad ni Nabii wa Mungu na Yesu sio Mungu na sio mtoto wa Mungu, Yesu ni Nabii. Allaah Awabariki sana Waislamu juhudi kubwa mnaitenda
Shukran San masheikh wetu kwajumla Somo askof. Asalam alaykum
heri inshallah na baraka kwenu maskhehe namuomba Allah awalipe ujira mkubwa mnno akujalieni wepesi katika maisha Allah akujalieni muingie peponi pamoja na waislam wanaume na wanawake tupate pepo yake mkono kwa mkono hadi peponi
SubhanaAllah
Allah atuongoze Sisi pamoja na yeye
Masha Allah mashekh wetu mnavomsikiliza kwa makini na hekma ili mpate kumjibu na kumuelewesha vizuri aijue dini ya haki
Nimewapenda kwa utulivu wao kwa kweli wako vizuri Sana.
Shukrani kwa kituleta pamoja kama waja hakika mnafanya jambo la haki
Bishop hana hoja zozote tumuache apate elimu inshaallah mungu atamuongoza
Nawapenda mashekh wangu Allah awazidisshie palipapungua na atujaalie mwisho mwema
Masha Allah. Ujumbe umefika.
Bishop mpingamizi....ata nimetoka ukristo....mapishano tupu...
Mashaaallah brothers good job
Viongozi Wetu acheni kutumia neno, UBARIKIWE. Je! Mumetoa wapi dua hiyo? Kwani mnawaiga Wale waliopotoka? Waislamu huwa wanamuomba Allah abariki. Tangu mwanzo husemwa, Allah akubariki
Masha Allah mashekh wetu wa Kenya mnahekma sana Allah awalinde na husda za wabaya Amiin inshaallah
Amin
Allah awabari kazi mnzuri ya da waah
Mashallah good job Rahmadan
Umewatia aibu wakristo wenzako
MashaAllah
Barakaallah fil quraan kareem
Allah yupi semu Mwenyezi Mungu
The only one who can forgive sins, 《Our almighty JESUS CHRIST》
Eloi eloi.someone who calling his God for help how can he forgive your sin??
Jesus was God in flesh.. My friend you need the help of the holy spirit to understand the Bible. You don't just read and memorize it to understand it...
Thubutuuu
@@maherzain615 when he healed a leper,,,,he said to him ua sins are forgiven pick up ua luggage and go....Also read Matthew 1:21.
@@ikhavi naomba kusomewa sita nane yamosi tafadhali
Mashaallah mashaallah mashaallah mwenyezi mungu akulipeni pepo yahali yajuu kabisaa ya jannat firdau nahuyo Bishop mungu amuongoze yaarab
ubishi wanajua basi TU ukiristo siyo dini
Askofu ukiulizwa swali la kwenye Quran usihusike sana sababu ukristo ulitangulia kuja kuranhaijaja utalizwaje swali kwenye Quran
Wanamzonga bishop kwakua wamelemewa wanauliza maswali ya kijinga
Wanamshika bishopu kwa nini wasione kwa mdomo tu hawa waislamu wamelemewa
Mbona mnamgusa bishop. Mlifikili mtampaka majini
True apologetics congrats you all but balance the number please two by two
Takbir
Allah wakbar
Masheehe mko na moyo mashallah mm siwezi angekula kofi mpaka akae sawa makelele ni ya nn
🤣🤣🤣
😂😂
Masha Allah Tabaraka Allah
Asalam Alaykum! Masha Allah! Wacha nisikize MGENI wetu ! Twamlaribisha kwa DINI YA HAKI!!!!
Uslamu nidini ya majini acheni uongo kama niyahaki nihakiyamajini tunazikemeya kwa jinala Yesu wakwanza na wamwisho
@@nikizaanociata4730 jini niww unaekaa uchi bila kumfata mamake yesu maryam kajistiri
@@nikizaanociata4730 sasa wapi yesu kasema yeye ni wakwanza na wamwisho ? Nazani we msomi basi soma biblia, kwanini mungu amekupa akili minazani ni iliumtafute
@@nikizaanociata4730 ivi bilakutafuta kitu chochote unaweza kukipata au kukiona ?
@@nikizaanociata4730 NA wewe Kweli kama yesu alikukombowa mbona wenda kanisani? Huyu mchungaji wenu hajielewe diyo atapatapa kama mfa MAJI! DINI YA HAKI mbele ya ALLAH ni USILAMU! Upo?
Mimi nimejifunza vizuri Sana kumbe mambo haya ukikurupuka utapotea
Allah amuongeze nguvu amulide ampe afya dawa iendelee Allahamdhullah kwa mafundisho yenye utaratibu yani mawaidha ya Koran
Amina
Mashallah
Sote tumeona ufisad wa huyo kafir
Shekh yussufu mashaallah huyo bishop anafa kuwalipa kwa elimu hii munamupa bule
ALLAH BARIIK always
Hyu Mzee mwishowe atasilimu...Mungu muongoze
Askofu anafoka Sana ongea pole pole
Yaarabi mungu amjalile huyo Bishop aslimu wasipotezane
Huyo Askofu Hajielewi Jamani.Hebu Muelimisheni Mashekhe Wetu
Asalam Aleikum,hapo Askof aslimu tu kwani mada imeisha
asalamualylkum
Kila mtu akae na Imani yake, siku ya kiyama Mungu mwenyewe anajua atakavyo amua. Kwa sababu akuna mtu ataskiza wakristu eti Yesu sio mwana wa Mungu, so, waislamu wakae walivyo na wakristu walivyo bila kujaribu kubalishana Imani ama kua na mabishano ya Imani.
,😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜Hiii Kali Sana 👏👏👏👏👏👏👏👏
Bin Kaguo Leo Kimevaluka.
NIMEISHAAAaAAAAAAAAAAA
Yesu ni zaidi ya manabii wote.Yeye ndio alitabiriwa kwenye agano la kale
Babake Yesu Kristo ni Mungu mwenyewe sasa yesu atakua nani
Bishop anakataa issa sio yesu kwasababu ya tofauti ya jina
jee jesus au yeshua nao sio yesu?
When I saw this debate I went and asked Jesus.There are people here arguing about you.You are God and author and Finisher of our Faith.
What would you answer these kuran teachers?
This is what Jesus told me:
1.To look for a sign of a Virgin Birth
2.I said I would die
3.I said I would resurrect.If they have the three signs then they have seen the Christ of God.
But they refuse to believe that I resurrected.They deny the finished work of the Cross and that I was crucified.
If their prophet wrote the 3 signs in their book why was it not fulfilled if he was right.True Prophecy must be fulfilled.Why does their prophecy deny itself?🤷
In the kuran who saw Jesus physically going up? If he said he would resurrect?
Bishop tulia ufundishe m bishi na hujui tulia ufundishwe na uslim
Mashalah Alhamdulahi calaa islam
Mimi nakataa Yesu sie isa Yesu naisa nitofauti Waisilamu mkikubali kuwa Isa ndie Yesu mkubali damu nakifo chake wakati vyote mnapinga hivyo nainjili inakuwa ngumu kwawaridhia waisilamu kwakulazimisha Yesu ndie isa Mimi Nakataaaaaa
Askofu n mjinga sana
Nilikuwa mchristo tangu mwanzo hadi mwisho yesu alikuwa nabii na mtume wamungu hawa wa christo ni bibilia ipi huwa wanasoma??
😅😅😅😅 du mkorofi huyu askof ikisha mmbish mno Allah amuomgoze ktk kheir inshallah 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻
Askofu unabarabata sana maandiko hatukuelew kabisa
Wanabishania vitu vya kitoto, Musa= Moses,Yuda=Judah,Yohana =John.Mungu= God.
Subiri majibu yako a ha ha sira zako
Assalam aleikum,mbona maandiko hayamaliziki
Tupe andiko yesu ni zaidi yanabii
Jamani Bishop mkali asije piga wanaokuja kuswali kwake buree punguza ukali mzee
Askofu sarkasi
😃😂😁😁mchungaji nimempenda
Askofu mchuzi mix
😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Huyu bishop ana kimbia haki...mbona ashaelewa lkn anaona gere kukubali...Allah aulainishe moyo wake akubali haki ilio WAZI KABISA
Amin
Amiin
Amiin yaarab mungu amuongoze huyu bishop
Kama hawa ndio wa kristu ninaenda msikiti sasa
Mpaka wanampingaga Mungu wao yesu
Jaman masheh wangu huyo mchungaji hana swali wala hoja wala jibu hajasoma hajui kitu zaidi ya kupoteza muda tuu
MashaLLAH
Ww askofu uwe unajibu unacho ulizwa ili wapate kuelewa mbon unakanyag kanyag maneno tuu hatukuelew
Point kubwaa ni hiii walizaliwa sehem Tofauti lkn kikubwaa Yesu kristo Alitabiliwa na manabii kwenye Torati na zaburi kuhusu kuzaliwa kwake kazi zake kufa kwake na kukufukaaa kwake issa hajatabiliwa sehem yeyote wala hakufa wala hakufufukaa. Yesu kristo alibatizwaa issa hakubatizwaa ni watu wawili Tofauti. Shetani amewafungaa watu ufahamu na kuwapa upofu. Nabii TIMETHEO ALISEMA WATAACHA KWELI YA MUNGU NA KUFUATA HADITHI ZAO ZA UONGO Timetheo 4:4
Mchungaji amepatikana
Subhanallah mpeleken bishop pole pole bado hajui mijadala
Yesu hazeeki.Sasa ni miaka 2023 bado ni kijana
Bibilia ikasema usipunguzee na usiongeze kwa maneno ya mungu
Mary had other children she was married to Joseph.Matt 12:46, 13:55, Mark 6:3,
Kuran 19 inao esha aliyemzaa Isa bin Maryam ni Maryam ambaye ni dada take Haruni aliyeishi miaka mingi kabla Kuzaliwa YESU..Hapo Sasa ndio Muhammad alijichanganya Hapo.
Askofu amepandwa na jahzba amegundua haki ipo side ya Qur an inshallah fanya upesi uje kwa haki
Ila hawa wakristo jmn hpn duuuuuuuuh cjui vichwa vyao vipoje aisee
Wanamacho lakini hawaoni wana masikio hawasikii subhanallah qur'an ipo wazi ila wamepotoka
Waache watafika mbinguni wakiwa wamechoka sana
Padri ujuwe risk anae towa ni Mungu si kanisa usipotoshwe wewe ukawwpotosha watu kwa tonge soma usilimu
SubxanaAllah unaombea nani? Wewe mwenyewe unahitaji maombi
Mnapotea kwa sababu.yakutotafuta kujua ukweli kuruani haina.ukweli.wowote.wa mungu
Ina nini?
@@StraightPathDawah uangalie uisram katika.roho vitabu viwili vinapigana kila mmoja anavutia kwake ukweli wa.mungu wakuaminiwa nakuabudiwa.uko wapi? Hilondilo la kujiuliza
Bishop anamsema Miriamu wa Biblia na kwa mjibu wa Biblia inadai alikuwa Nabii wa Israel enzi za Nabii Musa kama mwanisha soma Hesabu kutoka 2 na 15 hesabu 12 na 20,Hesabu 26:59na Hesabu 12:1-2
Dah,askofu nimecheka,anayakataa maandiko ya kitabu chake
Kiukweli huyu Mzee nishaanza kumpenda hata kama anatudanganya....Mzee uko funny
Askof mbona unafoka sana baba 😀😀😀😀tulia dawa iingie kwenye nyama
Where do they hold these debates in Nairobi? Who can invite me to debate with them? I am a christian. Any Muslim, SDA, atheist who wud want to debate me? I really feel sad seeing these shallow shallow arguments against my God, Jesus going on. Invite me I debate u n show these ur ears may never hear otherwise.
Deut 18:15-18 is not about Jesus Christ as a Prophet but it was Moses prophesying about Joshua-Yeshua (Saviour) who became like him to take the children of Israel to Promised land.Many Christians also do not know about this revelation.It is Joshua go and read about the work of Joshua -Yeshua, (Saviour) it's almost exact copy of Moses in teaching the commands of God.
Twende kaz
askofu amepatikana😂😂😂😂
Mwenyekiti unanifurahisha hhh
Na hio capital letter mbona haiko umesema nabii yake nikapital letter na umeoneshwa ni small letter alafu unaruka