DAWAH KWA "MALAIKA" MTU ANAYEMUABUDU "MUNGU" MTU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 129

  • @veronicawangari8089
    @veronicawangari8089 Рік тому +1

    Vipi Jesu anasubishwa lini Mimi nagonja sana kuona 😂😂😂😂

  • @udaudauda8594
    @udaudauda8594 Рік тому +10

    Najivunia kua mwislam alhamdulillah ya Rabbi kwa neema hii🤲 ya Allah tuongoze njia iliyonyooka sio ya wale uliyo wakasirikiya wala ya wale walio potea

    • @jeanmuzaliwa9023
      @jeanmuzaliwa9023 Рік тому

      ndio ww baki ukijivunia uislam,ila siku za mwisho ndio utajuwa kama ujui,maana maandiko yaliwajuwa watu kama nyinyi kitambo sana,1timotheo 4:1,ebu soma iyo ndio utajuwa biblia si adhisi kama qu'ran!

    • @ashatybella8641
      @ashatybella8641 Рік тому +1

      Hacha hujiga mpe Yesu mahisha yako wewe 😢

  • @Leseelasumayia
    @Leseelasumayia Рік тому +12

    Mi nimeslimu just juzi ningependa wakunifunza Arabic ndo nijue kusoma quran .
    Quran ni nzuri ukiisoma kwa lugha ya Arabic asanti Ramadhan

    • @allydavy6919
      @allydavy6919 Рік тому +1

      Manshallah japo me ni muislam sjajua kusoma vizuri Quran but najua siku moja Allah atatuwezesha na tuihifadhi allahma amiin🙏

    • @ramlahkadesa4136
      @ramlahkadesa4136 Рік тому +2

      Masha Allah karibu Sanaa Kwenye njia ya haki, Allah akufanyie wepesi katika Kila jambo Ameen

    • @mohamedgayoye4131
      @mohamedgayoye4131 Рік тому

      Waishi wapi ww chukua namba yangu unitafute

    • @Leseelasumayia
      @Leseelasumayia Рік тому

      @@mohamedgayoye4131 how can I reach you

    • @Nora-v1m3p
      @Nora-v1m3p Рік тому

      Allah akuogoze ukufe ukiwa muislam n nenda karbu nawe msikitini utapata elimu bure

  • @guenterernst5481
    @guenterernst5481 Рік тому +3

    Hawaeleweki wahawa

  • @isseamin2017
    @isseamin2017 Рік тому +4

    May Allah protect you ustadh Ramadan

  • @kawtharalbarwani1337
    @kawtharalbarwani1337 Рік тому +10

    Allah akubarik sheikhe Ramadan naninakutakia Ramadan Mubarak
    InshaAllah Allah amuongoze aijuwe dini ya haki mbele ya Allah

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  Рік тому +3

      Nawe pia Kawthar Allah akulipe Jannah pamoja na wenzako wote ambao huwa hamchelewi kutazama na kuacha comments zenu.

    • @kawtharalbarwani1337
      @kawtharalbarwani1337 Рік тому +2

      @@StraightPathDawah Shukran jazilan

    • @kawtharalbarwani1337
      @kawtharalbarwani1337 Рік тому +2

      @@StraightPathDawah amiin kwa sote

  • @mukandamaakbar599
    @mukandamaakbar599 Рік тому +2

    Allah awabariki kua kazi zenu

  • @ggv866
    @ggv866 Рік тому +3

    Allah akupe kila la kheri Ustadhi Ramadan

  • @estatekisombola9251
    @estatekisombola9251 Рік тому

    Sio kila anaye zeeka ndiye mwenye akili kbs kwasababu ata vichaa wana zeeka. Watching from Australia 🇦🇺

  • @AishaAmeen-vp8mh
    @AishaAmeen-vp8mh Рік тому +3

    Huyu Babu huwa ananichekesha ila kuwacha huo upotofu tu ndio hataki..nilimfwatilia Toka vipindi vya mwanzo...

  • @ashatybella8641
    @ashatybella8641 Рік тому

    Acha kulazimisha watu wahigiye kuwa wa esalaam wewe hendeleya na dini yako na tuwache sisi wa christo na diniyetu hacha kutukazaniya kila mtu habaki na dini yake 🙌 hinatulazimisha sana kahukijuwa hatugehuki tutabaki wa christo tu 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪 Jesus Christ for life 💪💪💪💪💪💪 timoteo 12:1

  • @ggv866
    @ggv866 Рік тому +3

    Waleykum salaam waramadhulahi wabarakatuh Ustadhi Ramadan

  • @1vy1231vys
    @1vy1231vys Рік тому +3

    Subhanallah Allah amuongoze alipo potea

  • @samxx411
    @samxx411 Рік тому +3

    Naam sheikh Ramadhan leo tumemaliza siku ya kwanza ya wajina wako alhamdulilah, naona unaendeleza daawa ndani ya mwezi wa wajina wako.

    • @samxx411
      @samxx411 Рік тому

      @@faridbashuu wajina maana yake wamefanana majina, huu ni mwezi wa ramadhani na yeye anaitwa ramadhani, huku kwetu mkifanana majina unaweza mwita mwenzio wajina

  • @musaomar5230
    @musaomar5230 Рік тому

    Allah akusahalishie kueneze neno la haki ndugu Ramadhan

  • @zainaal-nabhani9034
    @zainaal-nabhani9034 Рік тому +2

    Inna lilahi wainna ilahi rajiun wanaume wote malaika daa sheh ramazan kazi unayo mungu atakulipa heri kwakaziyako tukufu pamoja najop lako wote mungu ataleta wepesi inshallah

  • @hassadube225
    @hassadube225 Рік тому +2

    Subah ALLAH walai tunaomba tu ALLAH aogoze

  • @munawwarbashir2680
    @munawwarbashir2680 Рік тому +2

    Astaghafirullah 😢😢 yy yupo na mungu anaemuona na hatobadilika Allah amuongez aujuwe ukweli

  • @mohamedhozi8110
    @mohamedhozi8110 Рік тому

    Wallahi ikiwa umuislamu inafaa ushukuru sana wafkiri kama ungekuwa na itikadi hii ungeambiwa nn mpaka ukaelewa hakki

  • @sofymoha
    @sofymoha Рік тому +2

    assalam aleikuym sheikh Ramadhan....Allah akufanyie wepesi kwa kazi mnayo ifanya Insha Allah

  • @Yu-jr9uf
    @Yu-jr9uf Рік тому +1

    Assalaam alykum warahmatullah wabarakatuh shekh Ramadhan... naomba shekh utuwekee program ambae na sisi tutakua tunapata nafasi ya kuchangia sadaka katika harakati zako za kuitangaza dini ya Allah

  • @sheemaryam
    @sheemaryam Рік тому +4

    Inna lillahi wainaillaihi rajaún..

  • @mohamed-zh6cn
    @mohamed-zh6cn Рік тому +1

    Mansha allah ustad ramadhan kuria bin kaguu

  • @rosemaina4500
    @rosemaina4500 Рік тому

    Paul aliharibu mambo....

  • @eunicemoraa9293
    @eunicemoraa9293 Рік тому +2

    Ramadan waha kweli wakenya wamepotea wakijua pia wanataka kupotosa pia wenye awajijui wenye awajajua mana awajajua umuimu wa Bible kwakweli dunia kwisa wadau wesangu najua tumeanza Ramadan japa like tukisonga joo

    • @barrioswilmar8405
      @barrioswilmar8405 Рік тому

      Sheikh unafanya kazi nzuri sana mungu akubariki kwa kazi unayofanya mungu akupe umri mrefu uendeleye kufanya kazi alietuachia mtume Muhammad. Mungu akubariki sana

    • @jeanmuzaliwa9023
      @jeanmuzaliwa9023 Рік тому

      ata nyie waislamu wote duniani mumepotea,maana apawezi kuwa kweli mbili kweli ni moja tu na njia ya kwenda mbinguni ni moja tu ya kupitia kwa Yesu yohana 14:6 iyo tu ndo njia ya kweli sasa mumekataa nakugeukia manabii wauongo ambae wakwanza wao ni Muhammad!

  • @oscarezekiel1826
    @oscarezekiel1826 Рік тому +1

    Big up shekh Ramadhani

  • @safiaabdullahibrahim3730
    @safiaabdullahibrahim3730 Рік тому +1

    Mungu wanyonye.anauwezo.sio ajenge gorofa aishi kwagorofa.nimatooe
    Inalilahi wainaeley rajiun

  • @ggv866
    @ggv866 Рік тому +2

    Waluya wamezidi Yesu watongareni na Jehova wanyoni wanapoteza watu

  • @nooor1120
    @nooor1120 Рік тому +2

    Ewe babu mmungu akuhidi .

  • @mwanaishiaomar5695
    @mwanaishiaomar5695 Рік тому +4

    Mashallah ❤❤❤

  • @1vy1231vys
    @1vy1231vys Рік тому +1

    Allah amuongoze

  • @ashaabubakar7699
    @ashaabubakar7699 Рік тому

    Sheikh ati ukishikwa na roho utakua kama yeye 😂😂😂😂😂

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 Рік тому +2

    Yani kenya😂😂😂ina duniayake

  • @zainaal-nabhani9034
    @zainaal-nabhani9034 Рік тому +1

    Uyomzee anajuwa mengi katika uwislam lkn mkaiditu kukubali shahada mungu alete wepesi sheh ramazan nakutakiya ramazan karim tuko kwenyemwezi wasomayako mashallah

    • @jeanmuzaliwa9023
      @jeanmuzaliwa9023 Рік тому

      ivo nyie munafunga kweli?wanafki nyie!

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf Рік тому

      @@jeanmuzaliwa9023 unafiki unatokea wap sasa

    • @jeanmuzaliwa9023
      @jeanmuzaliwa9023 Рік тому

      @@Yu-jr9uf ndio nyie wanafki wapi andiko munapo funga mpaka mutangaze?

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf Рік тому

      @@jeanmuzaliwa9023 we unayako.. kwanza sijaona sehem amecomment kwamba amefunga then wala sio dhambi kusema umefunga ikiwa unatakikana kuepukana na kero na maudhi ya watu alaf we unaeandiko kwamba muislamu akisema amefunga anakua amepata dhambi??? ushaur... sio kila jambo ni la kucomment mengine km hayakuusu soma ukaushe tu

    • @jeanmuzaliwa9023
      @jeanmuzaliwa9023 Рік тому

      @@Yu-jr9uf ww shida yako ni nini?kama mm nimesema muko wanafki najuwa sababu,kwanza sababu ya kwanza ni kutangaza kufunga,pili munakula asubui afu munasema kama munafunga!

  • @siraji23
    @siraji23 Рік тому +2

    Sheikh Ramadan nimeona umechoka vile huyo mzee amekuambia atakufa akiamini Jehova Wanyonyi 🤣Ni Allah tu anaongoza mtu kwa njia yake.Tunaombea kila mtu aongozwe kwa njia iliyonyooka

  • @hajinkulunge8493
    @hajinkulunge8493 Рік тому +3

    Maasha Allah

  • @yaqubabdi9532
    @yaqubabdi9532 Рік тому +1

    Tandikia mandiko huyu Mzee,

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 Рік тому +12

    Ttzo hawana elimu ya kua binaadamu kaumbwa kwa dongo, malaika kaumbwa kwa nur na shaitwani kaumbwa kwa moto.

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 Рік тому +1

      Ivi unajua maana ya Shetani? Shetani kaumbw na Moto? Ama kweli waislamu mnadanganywa

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 Рік тому +4

      ​@@madetetv6576 wewe ambae udanganyi tuambie jini kaumbwa na nini? Kazi yenu nikupinga na hamna mnacho kijua, mfuasi wa JEHOVAH wanyonyi

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 Рік тому +2

      ​@@madetetv6576 wewe ndio hujui maana ya shetani

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Рік тому

      ​@@madetetv6576 kakusudia jini

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 Рік тому

      @@fatumamwalimu5765 hata ww unaweza kuwa shetani au na ww uneumbwa kwa Moto?

  • @hamisihassan8530
    @hamisihassan8530 Рік тому

    Huyo kweli ni yesu

  • @jeanmuzaliwa9023
    @jeanmuzaliwa9023 Рік тому

    ukrito raha jamani akuna mambo ya kuiji aho hasira kama wafuasi wa mtume alie silimisha majini!

  • @sophiajuma6798
    @sophiajuma6798 Рік тому +2

    MashaAllah

  • @luciejumastake2977
    @luciejumastake2977 Рік тому +1

    Kuria enda uhojiane na johana mbatizaji wa huko huko bungoma naskia ameandika bibilia nyingine

  • @princessj7192
    @princessj7192 Рік тому

    Waluhya nyi ata mnasinya bana nkt ata kama mm ni mluhya

  • @themalumalufamily1860
    @themalumalufamily1860 Рік тому +1

    Ramadhani sinilisikianhuyi mzee amefarik

  • @athumanimvula3718
    @athumanimvula3718 Рік тому

    Ahsantum

  • @mohamedibrahim7732
    @mohamedibrahim7732 Рік тому +1

    unafanya kazi nzuri ila mwaipopo alinishangaza Allah anajua niya yako zaidi

    • @shaibusaady2420
      @shaibusaady2420 Рік тому +2

      Nami imenisikitisha sana hyo ishu Kwa kweli

    • @Desireyakubu
      @Desireyakubu Рік тому

      Kwani Mwaipop kafanyaje?

    • @mohamedibrahim7732
      @mohamedibrahim7732 Рік тому

      hata naona uchungu kusimulia tafta clip ya mwaipopo ujiskilie mwenyewe Allah tabaraka wataala ndio unajua niya yetu wanaofanya Amali kwaajili ya Allah au wanaofanya kwaajili ya madlaha yakidunia

    • @Desiree872
      @Desiree872 Рік тому

      Hata mm imenisikitisha ila namuomba shekhe rana aongee tujuwe ukweli

  • @tantinebettynduwimana380
    @tantinebettynduwimana380 Рік тому +1

    huyo ni njaa ndo inamusumbua

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 Рік тому +1

    Masha Allah

  • @maya10000
    @maya10000 Рік тому +1

    Assalam alailum shekhe Ramadhan mzee Yussuf hatumuoni sikuhizi yupo?

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p Рік тому

    Astaghfir llah Allah atuepushie bala izi

  • @zaitunirashidi5532
    @zaitunirashidi5532 Рік тому

    This angle thou😂😂😂😂

  • @zohramariga6678
    @zohramariga6678 Рік тому +1

    Asalam,alekumu,,shehe Ramadhan karimu

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 Рік тому +2

    Assalam alleykum. 😂😂😂

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 Рік тому +1

    Ivi ni kwann hawa wakiristo yaan wao tuu mara wameenda mbingun mara cjui nini ukiuliza ety niliota loh salale

  • @yaqubabdi9532
    @yaqubabdi9532 Рік тому +1

    Sheikh Ramadan, huyu Mzee anastori yake binafsi , tandika na mandiko ya bible.

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 Рік тому +1

    Waizrqili waafrika waliopotea wanajuilikana wapo Ethiopia mpaka Leo hii wapo. Wanazungumza mpaka kiizrail na ndio mana Izrail unawakuta wa Ethiopia tele mana asili yao ni Izrail. Babu ww sie na lugha huijui.

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Рік тому +1

    Hahahaaa kumbe malayka wako hivoo

  • @ggv866
    @ggv866 Рік тому +2

    Mbona uko Kenya na wewe ni muesraeli

  • @Allystor
    @Allystor Рік тому

    Ila ni kweli waisrael ni watu weusi ila hayo mengine ni upotofu.

  • @jeanmuzaliwa9023
    @jeanmuzaliwa9023 Рік тому

    najisifu sana kuwa mkristo maana sijawayi kwenda kuiji makkah kama wenzetu wa moja ivi,pia najivunia sana zaidi biblia maana inatabiri mambo ya takayo kuja kabla si kama qu'ran ambao ni adhisi mtupu,pia qu'ran kitabu kinatumiwa na waganga wakienyeji!

    • @woah.africa99
      @woah.africa99 Рік тому +2

      Hocho kitabu cha Bible kilicho andikwa na wazungu mashoga leo wanasema muwe hivyo injili ni ya kale na guruan hakibadilushwi na mitume woooote ni wa ALLAH MMOJA UKAE UKIJUA KITABU KILICHO KA.MILIKA KISICHO NA SHAKA KILICHO ONGELEA MANA BEE NA ARDHI NA MMUNGU MMOJA SI MCHEZA FILAM WA YESU PICHA MKAZIABUDU WAISLAM KUHIJI NI NGUZO NA ALE JENGA HIYO NI IBRAHIM AMBAE NI WA MMUNGU HUJUI KITU NYAMAZA HITORIA HAMFATILI NDIO UKATHUBUTU KUSEMA GURUAN TUKUFU NI YA MAJIN INGEMZUNGUMZIA ISA BIN MARIAM ACHA CHUKI JINGA WW MANA BEE WOTE NI NDUGU WW KAMA NANI HUJULIKANI ULIKOTOKEA NDIO MZUNGU KUKUITA NYANI SAWASAWA KAKULETEA DINI YAKE HUJATAKA KUCHUNGUZA DINI ILIPO TOKEA

    • @woah.africa99
      @woah.africa99 Рік тому +1

      Ndio mana jina lako jin kazaliwa

  • @jeanmuzaliwa9023
    @jeanmuzaliwa9023 Рік тому

    uislamu bila biblia ahuwezi kbs,yani uislamu ni sarakasi mtupu!

    • @woah.africa99
      @woah.africa99 Рік тому

      Hili nalo limetokeaa wapi jin mzaliwa wenzako wanatoa mandiko unakurupuka tu mitume wote ndio walio toka mashariki ya kati wa mmungu mmoja huyo wanyoyi ndio mungu wako hata ukristo huna ww fata historia ujue

  • @mukandamaakbar599
    @mukandamaakbar599 Рік тому +6

    Allah awabariki kua kazi zenu