Dini tumeletewa afrka ilo liko wazi afrka hatukuwa nadini nadini zimeletwa tubaguane ili wazungu wafanye yao afrk tulimjua mungu nasi dini mungu yupo dini hakuna ni hila za watu flani wasiotutakia mema watu weusi uo ndo ukweli unaepinga kaa naaiman yako naamn unachokiamn saafi saana afande nakukubali mno mzee namawazo yako nayakubali afande
dont know if anyone gives a damn but if you are bored like me atm you can stream pretty much all the new movies on Instaflixxer. Have been binge watching with my brother for the last weeks :)
HATA WEWE UTAKUA UMERITHI DINI KUTOKA KWA BANIANI..KWENYE DINI HUNA HOJA LABD KWENYE BANGI.... #HATA WATU WA NABII IBRAHIYM(ALEYHI SALAM) WALIONGEA MANENO KAMA YAKO,HATA WATU WA NABII MUSA(ALEYHI SALAM)WALIONGEA MANENO KAMA YAKO KIPINDI KAENDA KUIPOKEA TOURAT KWENYE MLIMA SINAI NDANI YA SIKU 40,WATU WAKE WALIMSUKBUA KUTAKA AWAONYESHE RABBI WA ARSHI NA MBINGU #UNAWEZA KUWA NA ELIMU ILA UKAKOSA UFAHAM WA ELIM YAKO, HAPA NDIO NAGUNDUA KUWA KUFIKIRI HUWA SI KAZI RAHISI😷
AFANDE SELE ANAMJUA SANA MUNGU ISPOKUWA IMANI YAKE KWA WAKATI HUU IMESHUKA, SASA KAMA UMEKUFURU MASHEKHE WAMFUATE NA WAKAPANDISHE IMANI YAKE, ANGALIA CLIP HII,AFANDE ANAMJUA MUNGU SANA. TUMUOMBEENI HUYU MJAMAA HUENDA ATAMRUDIA TENA MUNGU,BAADA YA KUKUFUR KATIKA MSIBA WA MH. MAGUFULI.
Napata hasara kifedha kununua msokoto Kila siku ilihali ningeweza kuotesha Miche yangu kadhaa nikajisevia. Serikali heshimuni haki za watu ili mradi isivutwe barabarani. Maafisa kwenda kuisaka mashambani, majumbani mifukoni,iwe marufuku. Kuwa na bangi isiwe kosa . Kosa nimehalifu Nini.Bangi ni kiburudisho hata Canada nchi yenye wasomi wengi imehalalisha. ''Smoke for your responsible''
Dini tumeletewa afrka ilo liko wazi afrka hatukuwa nadini nadini zimeletwa tubaguane ili wazungu wafanye yao afrk tulimjua mungu nasi dini mungu yupo dini hakuna ni hila za watu flani wasiotutakia mema watu weusi uo ndo ukweli unaepinga kaa naaiman yako naamn unachokiamn saafi saana afande nakukubali mno mzee namawazo yako nayakubali afande
Ni sahihi kabisa 💯💯
Ww kula tu bangi
Nakukubali saana afande namahojiano yako uwaga siyakosagi kuyasikiliza
Nakuelewa sana kk tena n'a penda nyimbo Zako kwani zina elimisha sana
Nakukubali sana Afande
Smart head!
Afande sele we ni genius ww ni true g.o.a.t
Hongera kwa kuwa una nyumba pia unajishughulisha
Huyu jamaa huwa yupo conscious saana
dont know if anyone gives a damn but if you are bored like me atm you can stream pretty much all the new movies on Instaflixxer. Have been binge watching with my brother for the last weeks :)
@Malcolm Cruz Definitely, been watching on instaflixxer for years myself :D
Ubarikiwe Kwa Kuwa karibu na familia yako
Kweny bangi apo sawa
Nakuelewa vzr afande sele.
Kweliiii kwel🙌🙌
ahahaaa unaiitaa dawaa ya mitishambaaa
Hakika mtu uishi kwa imani yake iliyokuu moyoni mwake.
kitu chaMoro sio powa duuuuuu eti mungu moto🤣🤣🤣🤣🤣🤣
noma,,,mkweli sana
nakukubal sana nyani mzee
❤
We makini Afande Sele✊🏿☀️
Yah Man..
Ngoja nikatry kubleize
Utaona kama ulikua unachelewa since wayback
Ndo muda wa kubreeze huu
jah Rastar farai
Sele nipe namba yako kaka maana inafikika kama zanguu
Innalilah wainna ilaihi rajiun
Afande sele ludi kwnye gem ata ng'ombe akikonda awezi kuwa Kam ndama unajua mbka kesho saruti kwako
😀 🤣 SAWA KAKA SELE NAKUELEWA SANA SALUTE KWAKO KAKA
Sele saluti
Nimemzungumzia nasibu kwakuwa nisimba namnyama kama jamii yangu iki kichwa hatari😂😂😂😂
🤣🤣🤣😂😂😅😅😅😅😅😅 kwely brother
kaka tumekumicccccc rudi kwenye game Kala a AAA
Afande ninaomba number yako ya simu please
Toa nyimbo afande vp mtoto yupo dakawa miso hard koo awe mrisi wako utakubali afande
Simba wa morogoro
we chiz kweli Tatizo kichwan bag nyig sana yan ata adiko mpaka uzikwe ukiwa kwanye miti
Sikusapoti kwailo
baba angu mim nishabiki yako tumekumis
HATA WEWE UTAKUA UMERITHI DINI KUTOKA KWA BANIANI..KWENYE DINI HUNA HOJA LABD KWENYE BANGI....
#HATA WATU WA NABII IBRAHIYM(ALEYHI SALAM) WALIONGEA MANENO KAMA YAKO,HATA WATU WA NABII MUSA(ALEYHI SALAM)WALIONGEA MANENO KAMA YAKO KIPINDI KAENDA KUIPOKEA TOURAT KWENYE MLIMA SINAI NDANI YA SIKU 40,WATU WAKE WALIMSUKBUA KUTAKA AWAONYESHE RABBI WA ARSHI NA MBINGU
#UNAWEZA KUWA NA ELIMU ILA UKAKOSA UFAHAM WA ELIM YAKO,
HAPA NDIO NAGUNDUA KUWA KUFIKIRI HUWA SI KAZI RAHISI😷
Death Row: hao wote ni wazungu umetaja
San day
kwenye mungu apo umebugi
Aina za ganja wadau zipo 2,, nazo ni;_
Sativa na Cannabis
@@aloyceiluminata3650 💪
Afande Babalao 🤔
Pwaaaaaaaaaaa
Afande sere namkubari
Bangi sio mchicha mzeee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Bange isha mvuruga akili
Picha zote alizopiga na mke, mchizi anang'aa kinoma. Ila single dady rasta man jipange. 👍🏽
Afande apo umechemka,
tutazame maandiko yanasema nn sio wazungu wameleta nn
hayo maandiko ungeyapata vp hao wazungu wasingeyaleta
George Thomasi kisanga: hayo maandiko wa nani waliyaandika kama sio wazungu?
AFANDE SELE ANAMJUA SANA MUNGU ISPOKUWA IMANI YAKE KWA WAKATI HUU IMESHUKA, SASA KAMA UMEKUFURU MASHEKHE WAMFUATE NA WAKAPANDISHE IMANI YAKE, ANGALIA CLIP HII,AFANDE ANAMJUA MUNGU SANA. TUMUOMBEENI HUYU MJAMAA HUENDA ATAMRUDIA TENA MUNGU,BAADA YA KUKUFUR KATIKA MSIBA WA MH. MAGUFULI.
Hata songa amewahikusema " IMANI NI BORA KULIKO DINI"
MAJUKUMU YA BANGI BANGI NYINYI NA NAFSIYAKO CHAFU PUNGUZA JAZBALAKO
Napata hasara kifedha kununua msokoto Kila siku ilihali ningeweza kuotesha Miche yangu kadhaa nikajisevia. Serikali heshimuni haki za watu ili mradi isivutwe barabarani. Maafisa kwenda kuisaka mashambani, majumbani mifukoni,iwe marufuku. Kuwa na bangi isiwe kosa . Kosa nimehalifu Nini.Bangi ni kiburudisho hata Canada nchi yenye wasomi wengi imehalalisha. ''Smoke for your responsible''
Afande apo umuchemka
Hahahhah bangi sio nzuri
Bangi mbaya sana achana nayo
Ubaya wake Nini??....acha ushamba wewe
+255 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥
Aya ndo madhara ya bange za uzeen😂😂
Huyu speed darasa la maana...
Hahaha...bro nmekuelewa sanaa
Hutoumaliza huu mwaka ukiwa hai ww afande sele halafu nduo utajua huo Mungu uliyemtukana yupo au?
Bado miez 3 fetty vip uko
Aaa wp Allah ndio wa dunia yote hata kama ww ulifundiswa kumua Seif sharif Hamad ulishindwa ila bangi zakusumbua pia
Ama kwel bangi syo mchicha
Bangi mchicha tuile tu
MJINGAAA
King Suleiman
Du
Mze iyo dawa unayokula sio poa..
bangi haijawah kumuacha mtu salama
swaiba bangi sioishu
yes
Afande sele unaakili sana wanaokubeza.hawana uwezo mzuri wa kuwaza kbs.
@@daudikinyoga2977 mmmh
Afanye sule wewe na iblisi muko sawa