Sheikh Muharram Mziwanda Katika Arafa Ulighafilika Inabidi Urekebishwe | Sheikh Mbarak Awes

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 259

  • @KhamisMdzomba-w6h
    @KhamisMdzomba-w6h Рік тому +6

    MaashaAllah.
    Mola atujaalie nyoyo zetu tufuate yaliyo sawa.
    Ustadh Awes Mungu akupe Kila la kheir

  • @imranbanda3963
    @imranbanda3963 Рік тому +15

    Since I started listening to awes on this issue I have learned a lot may Allah give you health long life so that we continue learning from Him

    • @ahz6907
      @ahz6907 Рік тому

      Amen

    • @salafy3566
      @salafy3566 Рік тому

      Hio hadithi aliotaja awes ktk asli yke ni (yaani arafa) sio (yawmu arafa)

    • @salafy3566
      @salafy3566 Рік тому

      Kuna clip moja tafta sheikh Qassim mafuta anazungumzia kuhusu haya mas'ala utafahamu zaidi

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 3 місяці тому

      ​@@salafy3566kasim mafuta hana lolote zaidi ya kupotosha na kutukana wanazuoni na mtume s a w alikata kuwatusi wanazuoni sasa watuambia tumsikize huyu wahabi mafuta

  • @abdallahmuharram8669
    @abdallahmuharram8669 Рік тому +7

    Bismillah, na Allah atuongoe.
    1. Waislam tuache ushabiki katika Dini na Masheikh.
    2. Halafu tusilazimishane kwamba kila mtu afahamu vile ulivofahamu weye kwakuwa kila mtu anatafuta Salama ya nafsi yake kwa kufanya kitu sahihi kitachomfaa Aakhera.
    3. Mtu asijione yeye Yu sahihi mno kuliko mwenzie bali tumuombe Allah Atuoneshe kilicho sahihi, waweza jiona Usahihi na Kesho Ukaja kuta Ulikuwa O.P na ulishawapotosha watu, Sijui utawabeba kwa Mbeleko gani siku hio.
    4. La muhimu ni kuwaelekeza watu, kuwa hili jambo lilivyo na Ikhtilafu yake, Kisha mwache Mtu afanye kile ambacho nafsi yake yatulizana kulifanya.
    5. Allah atuoneshe Haki kuwa ni Haki ili tuweze kuifata, na Atuoneshe Baatil kuwa ni Baatil ili tuweze kuiepuka...

  • @AIFOSMUGOTV
    @AIFOSMUGOTV Рік тому +5

    nilimsikiza vizuri Sheikh Awes na nikamuelewa,,,insha Allah zidi kutuelimisha kwa mawaidha yako mazuri Sheikh Mbaraq awes

  • @HamisHassan-ro6hb
    @HamisHassan-ro6hb 3 місяці тому

    Awes Allah akulipe kheri nyngi nyingi inshallah

  • @mariamsefu825
    @mariamsefu825 Рік тому +3

    Maa Sha Allah shekhe wetu nakupenda kwa ajili ya allah m/mungu akupe afya njema

  • @JRN2612
    @JRN2612 Рік тому +16

    Sheikhe Mubarak kabla ya kukutana na video zako nilikuwa nafata mkumbo sana. Lakini nina mwaka wa nne huu tokea nimeona video yako ukichambua funga ya Arafa, na mpaka leo nafunga mwezi tisa kulingana na mwandamo wa sehemu niliyo. Uliniqinaisha vizuri. Allah akubariki🙏🏻

    • @ahmedalkiyum7592
      @ahmedalkiyum7592 Рік тому +3

      Kachambua vzr sana huyu sheikh kwa kweli na ni hoja nzuri sana

    • @JRN2612
      @JRN2612 Рік тому +3

      @@ahmedalkiyum7592 maashallah yuko vizuri.

    • @muslihallyiddi
      @muslihallyiddi Рік тому +2

      Mashallah

    • @adnanel-islam3291
      @adnanel-islam3291 11 місяців тому +2

      Jamaa anajua Sana Allah amrehemu

  • @nassormohamedmwarizo4433
    @nassormohamedmwarizo4433 Рік тому +8

    Sheikh Mubaarak Awes ni mjuzi anayetambua sana

    • @MaldiniEl-Dugheish-fs9zh
      @MaldiniEl-Dugheish-fs9zh 4 місяці тому

      Huyo mziwanda ni wahabi aliye jifinika katika vazi la sufi na ndio maana kuna siku kassim mafuta aliingizwa katika group la whatsap ila alichagua wa kufanya nae mdahalo nae n mziwanda ni wahabi mwenziwe

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv Рік тому +2

    Mashaa-Allah Mashaa-Allah sheikh Awes

  • @hashimiyDaudii
    @hashimiyDaudii 5 місяців тому +1

    maashallah maashallah majibu matamu sana ❤❤❤❤❤❤

  • @zeitunMohammed
    @zeitunMohammed Рік тому +2

    Sheikh Ahmed uwes,twakushukuru sanaaa.lau mngesimma nyote hivi mawahabi wasingelipata nafasi.ata Kama hatuna wafadhili lakini mjitolee Inshaallah.

  • @balkisamisi2131
    @balkisamisi2131 Рік тому +1

    Nawapenda nyote sheikh zetu barakallahufiykuma

    • @suleim505
      @suleim505 3 місяці тому

      taratibushekhe kiarabu kwa maandishiayo ya kiswahili neno la mwisho ungeliongezea herufi moja ambayo ni a ya pili kuenda sambamba na kimatamshi pia kuleta maana sahihi.

  • @MohamedAbdala-eb8wl
    @MohamedAbdala-eb8wl Рік тому +28

    Sheikh Mziwanda anatowa hoja kutoka Kwa akili yake, Ustadh Awes anatowa point kutoka vitabu

    • @ibinswidiiqi3226
      @ibinswidiiqi3226 Рік тому

      Hahahah

    • @makwali4854
      @makwali4854 Рік тому

      Kumbe na Muawiyah nae pia ni radhiaallahu ...?

    • @NdiyembukeJr
      @NdiyembukeJr Рік тому

      Kwa hio Hayo alosema sheikh mziwanda na hio Hadithi zote katoa katika Akili yake na sio katika Vitabu

    • @ummuhassan1089
      @ummuhassan1089 Рік тому

      Sasa mbona Awesu anajichanganyatu

    • @khadijamahmoud4365
      @khadijamahmoud4365 Рік тому

      Yaan huyu Aweso ana hadithi nyingi za utata utata

  • @muftiahmadimahmudulemba1918

    Mungu akuzidishie elimu na akupe mema maziri na mwisho mwema tukopamoja

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 Рік тому +6

    Weweeeee mubaaraka unajichanganya kwa mafuhumu mukhaalafa.....usiwapotoshee watuuu ....

    • @ayah844
      @ayah844 Рік тому

      Anajichanganya na anachanganya watu allah mustaan

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 Рік тому +1

      Ufahamu wako Ni mdogo sana. Wewe unapingana na wanazuoni wa kiwahabi na fatwa zao.

    • @rashidhemed1444
      @rashidhemed1444 Рік тому +2

      Basi kama anajichanganya tufundishe mtume alifunga vipi sote SI tunamfata mtume tujibu

    • @AllyMkulula
      @AllyMkulula Рік тому

      Lashay un atw yabu katafakkur

    • @abuushakiraddausiy8666
      @abuushakiraddausiy8666 Рік тому

      @@rashidhemed1444 alifunga siku ya arafa ....

  • @rajababdallah579
    @rajababdallah579 Рік тому

    Sheikh Mziwanda tupeleke shule... Allah akuhifadhi

  • @allylassuh4947
    @allylassuh4947 Рік тому +5

    Shukran sana shekh mbaaraq aweis zidi kutupa faida

    • @ayah844
      @ayah844 Рік тому

      Huyu mzimaa? Anatoa dalili ya tangu adam,anasema arafa ni tatu ,hata iweko nne,sisi tumeletewa mtume,tumfuate mtume ,watu wakisimama arafa wajib watu tununue baas siku wanatuma mawe nasisi mnaswali did baas kazi kwisha

    • @ayah844
      @ayah844 Рік тому

      Paka mufti wa masri wa alopita anasema khtilafu ziwekwe Ramadhan hapa kwenye arafa hamna jhtilafu iko wazi sote tunafuata arafa baaas

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Рік тому

      ​@@ayah844arafa ipi

    • @rashidhemed1444
      @rashidhemed1444 Рік тому

      @@ayah844 kasome

    • @rashidhemed1444
      @rashidhemed1444 Рік тому

      @@ayah844 kasome weye yaani mpaka hadithi unapewa bado unapinga ya Allah tuongoze tunefikwa na mtihani wstu hata ufahamu anakosa Kwa sababu ya madhehebu

  • @alitano6769
    @alitano6769 Рік тому +4

    Shekh awes allaah akulipe kheri

  • @hassanmkufya2867
    @hassanmkufya2867 Рік тому +3

    She kh mziwanda Mungu akuweke

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Рік тому

      Mziwanda ni wahabi kabsaa anaj8dai tu kuwa mtu wa twarika

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 Рік тому

      Wewe fanya ubishi wako lakini ukweli keshausema Arafa haiko tanzania iko makkah labda mkwepe majukumu tu ..!

  • @yasinmustafa6710
    @yasinmustafa6710 Рік тому +10

    Imam shafi anasema: saumu ya Arafa ni siku yamahujaj wako arafa,, Soma (Almajmu nawwy 6/428)

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Рік тому +2

      Sasa mtume alipokuwa akifunga kabla kufaradhiswa hajj.mahujjaj walikuwa wapi?

    • @Team-t6k
      @Team-t6k Рік тому

      ​@@abiabi9353mziwanda alishakupa tafsiri acha ushabiki katika dini mbona hausikiyiiiii

    • @Team-t6k
      @Team-t6k Рік тому

      Hao hawana cha Imam Shafi ao nini zao nikufata mindamo ya Iran nq Oman😊😢😂

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Рік тому +2

      @@Team-t6k nyie majahili kweli.sasa mtume alipokuwa anafunga saumu ya arafa kabla ya hajj kufaradhishwa alimuwa anasubiri majujaji wapi?

    • @hamzaqaacm38
      @hamzaqaacm38 Рік тому

      Inapo zungumzwa ilmu wewe ukaleta ubishi wa bila ilmu hutofautiani na shangingi umeambiwa imam shaf kasema na umewekewa kitabu Hapo unataka nn tene

  • @Zuwenamachela
    @Zuwenamachela 26 днів тому

    Hoq iko waz mziwanda nakupenda sn

  • @suleimanhaji7057
    @suleimanhaji7057 Рік тому

    Impressed by Sheikh Muharram

  • @khatibujuma4933
    @khatibujuma4933 Рік тому +2

    Maranyingi ktk elm shek mbaraq awes na she othumani napowasikiliza huwa siwamalixi muache aitwe doctor towa doxi mashall ala akupe umri mref tuxid kupata ilim

  • @HashimHassan-u4p
    @HashimHassan-u4p Рік тому

    Sh. Mziwanda asante kwa statement yako "sithubutu kumtoa thamani bali ameghafilika" Tunatamani Mashehe wengine waige hiyo statement badala ya kukashifiana juu ya mimbar.

  • @zimammbaruk4231
    @zimammbaruk4231 Рік тому

    Masha Allah

  • @AthumanSeleman-p9s
    @AthumanSeleman-p9s Рік тому

    Masheikh mnatuchanganya Sana ukimsikia huyu anasema hiv huyu anasema hivi mnaiopoteza jamii hasa kutengeneza migogoro juu yenu

  • @kitosio
    @kitosio 3 місяці тому

    Shekhe Focus ktk Point. Kila umma una utaratibu wake. Wewe upo ktk zama za Nabii Adam. Mbona unajichanganya

  • @Tabibuibrahimu
    @Tabibuibrahimu Рік тому +1

    Allah awalipe Maskh wote Kwa jitihada zao

  • @ImaniMsongoro
    @ImaniMsongoro Рік тому

    Sheikh mziwanda yupo sawa sana we Awes kasome kwanza halafu uje kutoa masheikh makosa

    • @issaahmad1264
      @issaahmad1264 Рік тому

      Wewe haumjui awes vizuri huyu Ni mwana wa chuoni mkubwa sana

    • @abdallahmkali3251
      @abdallahmkali3251 Рік тому

      Hakika ukiitafuta hiyo video ya shekh Mziwanda mwanzo mwisho utapata maarifa makumbwa lkn sio hiyo fupi

  • @hassanjuma6144
    @hassanjuma6144 Рік тому +2

    Sheikh Wang mziwanda Leo hatukutanishi kabis
    بسم الله الرحمن الرحيم
    الحمد لله والصلاة والسلام على رسول الله صلى الله عليه وسلم وبعد
    السؤال
    انتقلنا بسبب ظروف معينة إلى السكن في دولة الباكستان ، وقد تغيرت علي عدد من الأمور من أوقات الصلاة إلى غير ذلك ..... أردت أن أسألكم بأنني راغبة في صيام يوم عرفة ، ولكن يختلف التاريخ الهجري في باكستان عن المملكة بحيث قد يكون التاريخ في باكستان 8 والذي يوافق 9 في المملكة ... فهل أصوم يوم 8 أي تاريخ 9 في المملكة أم أصوم على حسب تاريخ باكستان ؟؟ .
    الجواب
    الحمد لله.
    سئل الشيخ ابن عثيمين رحمه الله عما إذا اختلف يوم عرفة نتيجة لاختلاف المناطق المختلفة في مطالع الهلال فهل نصوم تبع رؤية البلد التي نحن فيها أم نصوم تبع رؤية الحرمين ؟
    فأجاب فضيلته بقوله : هذا يبنى على اختلاف أهل العلم : هل الهلال واحد في الدنيا كلها أم هو يختلف باختلاف المطالع ؟
    والصواب أنه يختلف باختلاف المطالع ، فمثلا إذا كان الهلال قد رؤي بمكة ، وكان هذا اليوم هو اليوم التاسع ، ورؤي في بلد آخر قبل مكة بيوم وكان يوم عرفة عندهم اليوم العاشر فإنه لا يجوز لهم أن يصوموا هذا اليوم لأنه يوم عيد ، وكذلك لو قدر أنه تأخرت الرؤية عن مكة وكان اليوم التاسع في مكة هو الثامن عندهم ، فإنهم يصومون يوم التاسع عندهم الموافق ليوم العاشر في مكة ، هذا هو القول الراجح ، لأن النبي صلى الله عليه وسلم يقول ( إذا رأيتموه فصوموا وإذا رأيتموه فأفطروا ) وهؤلاء الذين لم ير في جهتهم لم يكونوا يرونه ، وكما أن الناس بالإجماع يعتبرون طلوع الفجر وغروب الشمس في كل منطقة بحسبها ، فكذلك التوقيت الشهري يكون كالتوقيت اليومي . [ مجموع الفتاوى

  • @AhmedMohamed-un4zh
    @AhmedMohamed-un4zh Рік тому +2

    MSHAANZA MASHEIKH WA MCHONGO
    HAMUONEKANI ILA KIPINDI CHA ARAFA

    • @hamisipadrice4869
      @hamisipadrice4869 Рік тому

      😂😂😂 Jamani, hao Huwa wapo siku zote na shekh mzuri ni yule anaeendana na matukio

    • @hasinaalrahbi6681
      @hasinaalrahbi6681 Рік тому

      AIBU TUPU MAMBO YAKUFATILIA YAPO MENGI.SASA MASHEKHE NIKUKOSOWANA TU HAPO HAKUNA KOSA LOLOTE. NI VEMA UNGEMALIZANA NAE SIO MTANDAONI. FUNGA SIKU ARAFA NDIO TUNAITAMBUWA.FATILIENI MASHOGA NA WANAO IVUNJIA HESHIMA QUR'AN.ACHENI KUVUTANA NA JUTUCHANGANYA MAAMUMA.DINI MNAIANGUSHA DINI YETU.

  • @abdullbardisba9279
    @abdullbardisba9279 Рік тому +7

    Anatafuta kiki huyu sheikh, mziwanda masha Allah ww ni mtu mwenye fasaha ya ulimi, aweso una ropokwa unaongea kwa jazba.. Tuliza ulimi

  • @w4058
    @w4058 Рік тому +2

    Sheikh Ahmed uko sawa sawa kabisa Allaah atakupa nguvu zaidi na watafahamu tu waache ukaidi walonao

    • @kitosio
      @kitosio Рік тому

      Masufi wako sawa. Kisha hujiita ahlu Sunna. Hawa wanaokoromea dhikri hamuwajui. Fatilia hawa asiliyao ni Iran na Iraq. Wanakoroma hawa. Aaah hatwaaar

  • @MakameMufadhil-n8d
    @MakameMufadhil-n8d Рік тому

    Hmmm poleni

  • @SalehLofy
    @SalehLofy 5 місяців тому

    Wafahamishe na uwaweleweshe Mawahabi hao wapotoshaji

  • @AliMohammed-e2g
    @AliMohammed-e2g Рік тому +1

    Mashehe wa Tanzania ni mtiani sanaa wao nI tende mbele au wao nI matibabu

  • @MwanadieJinango-fu6tr
    @MwanadieJinango-fu6tr Рік тому +3

    Mashekh wengine ni warongo hajui dini wanatfuta kiki wape ukweli awes

  • @ummahmed3354
    @ummahmed3354 Рік тому

    Unajichanganya mwenyewe sheikhe...sheikh mziwanda hakuzungumza kabisa kuhusu Arafat tatu...huyo ni wewe...na ulichokisema kuhusu kufanya arafa makka ndicho alichokisema....yeye kazungumzia sehemu...ni were tu ndiye unajifakharisha na elimu kwa kujionyesha...muogope Allah...tuheshimiane...ungempigia simu kama kweli ulikuwa na nia ya kumuelewesha...Nina uhakika sheikh mziwanda angepokea na kukusikiliza na kufikia maelewano...Lakin his sio njia ya kudumisha umoja by sincere Muslims...Bali ni ya riyaa na mifarakano

  • @hamisrajab5340
    @hamisrajab5340 Рік тому +3

    Endeleeni kulumbana sisi tumeshamaliza kazi

  • @omarynamkape-cg8qx
    @omarynamkape-cg8qx 3 місяці тому

    Asalam àlaykum mashekh wote munaotoa fatuah za mwezi ninyi mmapenda kulumbana kwajiri ya mwezi bada muiendeleze uislam ufike vijijini ninyi mwez tu maendeleo ya dini mbona amuongelei.

  • @haidarsalum9228
    @haidarsalum9228 Рік тому

    Nin lengo la hii video?

  • @vuaikitwana2752
    @vuaikitwana2752 Рік тому +1

    Waislamu nyote sio fair kutoleana maneno mabaya, hebu tumuogope Allah.

  • @daudiali8584
    @daudiali8584 Рік тому

    Apo jamani tusiwaone mashekh wengine wanapotosha watu Bali hayo ni Mambo ya ki ikhtilafu. MUNGU katuumba tofauti kwa ufahamu tofauti yatubidi tuvumiliane na kupitishwa hoja Ambayo ni ya makubaliano kwa pande zote mbili.
    ASSALAM ALYKUM

  • @mullahhassan8042
    @mullahhassan8042 Рік тому

    Hapo ndipo tulipofikishwa na makafiri sasa hivi wametulia pale wanamwagilia moyo wametuacha tupambane na ujinga wetu, Kila mmoja anajiona yeye yupo sawa tushatengeneza siku mbili mbili dunian lakin hizo tunakubaliana ni kwenye idi tu ila mpira,mizik, valentine,pasaka,krismass,mwaka mpya zote hizo tunakubali kuwa hasitofautian siku nzima ila mwezi wetu wa haki ndio unatofaut ya siku nzima yaani waislam ss tuna jumatano yetu wakati wengine Leo jumanne halafu tunajiona eti tumesoma sana

  • @SeifMassoud
    @SeifMassoud Рік тому +1

    Kwani hii hadithi ya mtume SAW aliposema al hajju arafa inanasibisha na funga ama mtume alikusudia kuwa ibada ya hijja inabebwa na vitendo vya siku ya arafa, kwa upana zaidi hijja ikikosa nguzo ya arafa inakosa vigezo?

  • @yoliswabontsa8469
    @yoliswabontsa8469 3 місяці тому

    Sheikh awes uko sahih jambo la Arafat ulishalitatuwa sababu ulitowa ushahidi wote, Allah akupe pepo ya firdaus na sote kwa ujumla.

  • @suleimandaud1402
    @suleimandaud1402 Рік тому +1

    Mwambieni sheikh Mziwanda asikilize hio clip mpaka mwisho ya Sheikh Ahmed Awesi ili atoe hoja yake juu ya wanazuoni aliowataja sheikh awesi maan kaeka tuh clip bila hoja y mwanzuoni

  • @yasinnyange6233
    @yasinnyange6233 Рік тому

    Hitlafu za maulaamaa
    Tuacheni siasa za dini

  • @ABUUALLY-t1b
    @ABUUALLY-t1b Рік тому +1

    Ukweli ni kwambaa izii tv ndo ziloletaa mtafarukuu mkubwa sanaa mpka zikatoka fatwa mpya ambazo hazina kichwa wala miguu

  • @MahmudSalim-cl4eh
    @MahmudSalim-cl4eh Рік тому +1

    Mbarak alhajj arafah hakuna kuvutana

  • @said6494
    @said6494 Рік тому

    Wewe ndiyo unajua saaana mashekhe mnakera saaana

  • @sefuriyembe7864
    @sefuriyembe7864 3 місяці тому

    Hapa Mziwanda umechemka, huna hoja yenye maana !!😅😅😅

  • @hajimuhidini1903
    @hajimuhidini1903 Рік тому

    mmi sipendi kujiingiza kwenye coment lakini hizi comenti nyengine ni ujinga wwe unasema zamani kabla kuja sim na tv walifunga vipi kwanihujuwi walivyofunga? Kamahiyo ndiohoja basi huna haja ya kusikiliza Radio usichukue khabari ila subiri hapokwenu maana Radio ni chombo cha kutoa taarifa sawa na tv na sim

  • @saidkhamis9507
    @saidkhamis9507 Рік тому +3

    Tusihukuniane vibaya sote tunaemfanyia ni Allah na yy ndie atakae kwenda kutulipa

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 3 місяці тому

    Arafa hii inayozungumzwa ni Ile aliyoizungumza Mtume kwamba Hajj Arafa"sasa hizo nyengine unazijuwa wewe sheikh unapaswa utuambie hizo mbili mbili ili tuweze kuzifunga na sisi

  • @tanzaniaally
    @tanzaniaally Рік тому

    Kwani ilishindikana nini hawa masheikh wetu kukatana iwe masjid au ofisini mwa mmoja wao wakumbushane ama wazinduane mpaka waanikane mtandaoni? Rejea hekima za imam shafii,"mwenye kumnasihi nduguye faragha uyo haswa amemnasihi na mwenye kumnasihi nduguye hadharani kwa mapungufu yake basi hakumnasihi ila kamuabisha kama haitoshi mtume kasema "mkitofautiana kwenye jambo lolote rejeeni kwenye kitabu cha Allah na sunnah." Wala hakusema muende mtandaoni mkaanikane mapungufu yenu. Ni maoni tu ni Mimi ndugu yenu katika imaan wabillah tawfiq.

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 Рік тому +1

    Huwezi kumlazimisha Shaykh Mziwanda afuate fikra zako,mbona wewe sasa hufuati fikra zake.?Acha kupenda jidala sana. Amini unavoamini muache Mziwanda anavyoamini. Wahubirie wafuasi wako si basi yatosha.!

    • @Team-t6k
      @Team-t6k Рік тому

      Izo video wali edited wala mziwanda hausishiyi na izo video zake aliona mziwanda alichana akaona aweke video ya kumradi pale sasa mwenye channel hiyo ni mkosefu wa elimu ngo katika hili swala amekhafilika ingekuwa niwangine angeweka ngo ni radd na kuwaita majina ya maajabu😂😂😂😂 tutafika tu

  • @saadmbarak1903
    @saadmbarak1903 Рік тому +3

    Kwani jamani watu wa zamani kabla kuja hizi simu na tv alkua watu wanafunga vp arafa ama alkua wanajuaje eid ni siku ya kumi???

    • @ahz6907
      @ahz6907 Рік тому

      Kwa kufuata mwandamo wa eneo lao

    • @OmaryKalundwe
      @OmaryKalundwe Рік тому

      Kwan Uislamu ni dini isiyokwenda na wakati?

  • @ابوماهرآلزنجباري

    Swali sasa kwa nini Singida na Dar es Salaam, hamfungi tofauti, ukionekana Singida dar manafunga na kinyume chake, Hadithi ya Quraib imepotelea wapi hapo???

  • @Hamimumakonde-ct9vl
    @Hamimumakonde-ct9vl Рік тому

    Shkh mbaraka katembea na dalili na kaweka jambo wazi hakuhitji mwanga wa toch hapo sem tu mashkh mabifu yao tangu kitmbo yapo hivyo , ,

  • @kassimnassor8707
    @kassimnassor8707 Рік тому +1

    Muharam mziwanda nenda ukasome tena usipotoshe watu.

  • @NabahanAhmad
    @NabahanAhmad Рік тому +1

    Watu wasome

  • @JamalAbdallah-m1o
    @JamalAbdallah-m1o 8 місяців тому

    Hapa Mziwanda dishi liliyumba 😂😂😂

  • @Team-t6k
    @Team-t6k Рік тому +1

    Kwa mziwanda sio Radd😂😂😂😂😂😂😂😂ao sio Muhab😂😂😂😂 ni nyingi tu Mtume swallalahu alayhi wa salam anasema sema ukweli japo utachoma.

  • @jumpjumpin1477
    @jumpjumpin1477 Рік тому

    Mbona unamsingizia Mtume wa ALLAH UONGO... Ni wapi Mtume wa ALLAH kasema... Kila mmoja afunge na muandamo wa mwezi wa kwao....?????

  • @mgazamhina840
    @mgazamhina840 Рік тому +1

    Mfuateni huyo Mziwanda si wakwenu,mumuulize awarleze vizuri katoa wapi?

    • @Team-t6k
      @Team-t6k Рік тому

      😂😂😂 mziwanda ni mzee wa kuvuruga hana pakuegamiya ikiwa n dalili njoo chenye nampendaga

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 Рік тому

    Mziwanda umeshakuwa mujtahidi madh habi ni kitabu gani kinacho Sema arafa ni kisimamo Hakuna ktk wanachuoni wote WA madh habi MAnne alie Sema arafa ni wakati WA kusimama ndio na saumu siku moja Dunia hiyo labda ni ysko maana haiwezekani kuwa siku moja ndio maana wanachuoni hawaja Sema siku moja sasa wewe umetoa wapi

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 Рік тому

    Wewe mwarabu koko utakuja kueleza siku ya hesabu upotoshaji huo Arafa ni Tukio na napale Mahujaji wanapokuwa katika viwanja vya Arafa ambao hawajajaliwa kuwa katika viwanja vya Arafa ni kufunga ili kushikamana nao wqliekuwa kwenye viwanja vya Arafa.

  • @OmaryKalundwe
    @OmaryKalundwe Рік тому

    Mwanazuoni akilitolea hukumu jambo na akalipatia anapata swawabu 2,na mwanazuoni huyohyo akalitolea hukumu jambo na akalikosea anapata swawabu 1.sioni sababu ya wanazuoni kukosoana.Aweso hana adabu ya kielimu.3/4 ya waislamu leo hii wako kwenye Idd.aseme basi kuwa walioko kwenye Idd leo kuwa wataingia motoni

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Рік тому

    WE AWES ACHA UJINGA!!ARAFA INAYOHUSIANA NA IBADA YA HIJJA NI MOJA TU!!
    HIZO ZINGINE UNZOZITENGENEZA WEWE HAZIHUSIANI NA IBADA YA HIJJA!!
    BAKI NAZO WEWE MWENYEWE!!
    MZIWANDA YUPO SAHIHI MNO!

  • @OmariHashimu-cz6yq
    @OmariHashimu-cz6yq 5 місяців тому

    Nilichogundua hapo nikutunisha tu misuli Arafa ni eneo kwahiyo matukio yote hayo chanzo cha jina Arafa ni hilo eneo kuwa arafa ilkuwepo kabla ya hijja haina mashiko swali la msingi ni nani aliyetoa jina la Arafa kwa lile eneo na zama gani

  • @rushu1232
    @rushu1232 Рік тому

    Hapo sheikh wangu Mwaziwanda umekosea kufunga ni youm arafa nia niya youm arafa ambyo ni tasul dhulhijja.

  • @ZINDUKAMUISILAMU30
    @ZINDUKAMUISILAMU30 Рік тому +1

    Mm namuelewa mziwanda lkn hapa km sijamfahamu kiufup

  • @omaryramdhani9823
    @omaryramdhani9823 Рік тому +1

    MZIWANDA ULIKUBALIKA SANA ,LAKINI KWA HILI LINAKUPOTEZEA WAPENZI,MWENZAKO ANAJIELEZA VIZURI NA ANAELEWEKA,

  • @AhmadaTahir-cu8se
    @AhmadaTahir-cu8se Рік тому

    Kwamaana ya maneno ya Sheikh Mziwanda kama kusingekuweko na Ibada ya Hijja,sikukuu ya Dhulhijja isingekuwepo? Maana Hijja ndio hakuna!!

  • @ramadhanihamisi5596
    @ramadhanihamisi5596 Рік тому

    Siri 5 Kuhusu Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za kiume Kwa Wanandoa...
    ... Je, upo kwenye ndoa lakini huna amani na ndoa yako?
    ... Je, tendo la ndoa kwako ni tatizo?
    ... Je, umehangaika kutafuta mtoto au umeambiwa unazalisha mbegu pungufu?
    Je, unahisi ndoa yako ipo hatarini kuvunjika kwasababu unahisi mke wako anachepuka?
    Kama majibu ni NDIYO, basi ujumbe huu ni muhimu sana kwako usipuuze kusoma hii makala...
    Tafiti Zina Sema ndoa 3 hadi 4 kati ya kumi zinavunyika kila mwaka...
    kwasababu ya mwanaume kushindwa kushiriki tendo la Ndoa barabarani..
    wanaume wengi wanapenda sana kupuuzia vitu hasa ushauri kuhusu afya zao pia kuhusu lishe...
    Kama ni wewe unapitia hizi changamoto hapa chini basi Soma makala hii hadi mwisho...
    1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke na uume kuwa legelege.
    2)Kuhisi harufu mbaya, kichefuchefu mara tu baada ya Kumwaga mbegu za Kiume.
    3)Mwili kuchoka sana baada ya tendo la Ndoa huambatana na usingizi mzito.
    4)Kuhisi maumivu kwenye korodani baada ya kumaliza tendo la ndoa.
    5)Mwili kukinai na kuhisi ganzi mwili nzima.
    Hizo ni baadhi ya dalili za upungufu wa nguvu za Kiume kama umeziona moja ya dalili hizo usipuuze, na Kama unamfaham mtu mwenye Changamoto hizo usipuuze mpatie taarifa hii atakushukuru, kumbuka hilo tatzo likiwa sugu utapata shida Sana kurejea ubora wa mwanzo itakuwa ngumu sana na utadhalilika. Jenga Afya yako sasa hivi kwa nini usubiri kesho?
    NITAKUPATIA USHAURI WA JINSI YA KUTUMIA FORMULA MAALUM YA KUTATUA CHANGAMOTO YA NGUVU ZA KIUME KWA NJIA ASILIA PASIPO. KUTUMIA DAWA YOYOTE.
    Jaribu kuangalia performance yako ya tendo kwa miaka mitatu iliyopita.Alafu lingalisha na performance yako ya sasa, utagundua tofauti kubwa.
    Tuma Ujumbe neno AFYA NJEMA kwenda wassap 0784161431 au piga simu usaidiwe haraka.

  • @khamisiiddi2470
    @khamisiiddi2470 Рік тому

    Mziwanda nilikua nakukubali lakin kuanzia Leo naomba uniache umepishana mpka na swahiba wako ward toka wewe njaa inakusumbua tu

  • @Sheikhmadaba-cm2hw
    @Sheikhmadaba-cm2hw Рік тому

    Anathubutu kumkosea adabu sheikh mubaraka awais amefellii huyu ni sheikh mzito ana taqwa ya juu amesoma ila mziwanda anatafuta kiki aimpendi jaman yoyote atakaemkowea adabu sheikh langu awais dah mziwanda kuwa na adabu

    • @hamzaqaacm38
      @hamzaqaacm38 Рік тому

      Acha ushabiki kuku wewe hawa wote ni walimu adabu itawale Hapo hatupo kweny uwanja wa sanaa

  • @saidnyonzo850
    @saidnyonzo850 Рік тому +1

    MZIWANDA RUDI DARASANI KWA USHAURI TU

  • @hassanchombola-ui5de
    @hassanchombola-ui5de Рік тому +1

    Anaegombanisha ni uyu anaweka mawaidha lama vile watu wanabishana kumbe kila mmoja anatoa mawaidha kwa wakat wake .elimu ni pana akuna aja ya kugombans

  • @fatumajuma592
    @fatumajuma592 Рік тому +1

    Mwenye kanzu bado ajasema

  • @rashidhemed1444
    @rashidhemed1444 Рік тому

    Mimi nawauliza wote wanabisha na hadisi za mtume aliyoitoka shekhe mkubwa mbaraka awesu mutufahamishe mtume na maswahaba na tabiina na tabii tabiina walifunga vipi na sote Hawa tunawaamini Ili tujue humu ndani nani anampinga mtume mukijibu visalafi muje munipige

  • @fahmymasoud1205
    @fahmymasoud1205 Рік тому

    KILA MTU AFANYE A'AMAL VILE ALIVYOAMINI,MUSILAZIMISHANE ALLAH NDIO MLIPAJI MUSIDHARAULIANE,

    • @rashidkhamis9159
      @rashidkhamis9159 Рік тому

      Sawaswa Allah ndio mlipaji wa matendo so tumuachie yy

  • @kitosio
    @kitosio Рік тому

    Kamanda usijizonge.
    صيام يوم عرفة.... Maana yake nini. Mbona mnababaisha watu . Mtaenda kujibu nini

  • @isihakaselemani5727
    @isihakaselemani5727 Рік тому

    duuuh allah atujalie ila hapo mziwanda nilipomuelewa tu kabla ya hijja hiyo arafa ilikuwa inanuiwaje yaan niya yake ,,yapaswa tusome tu hakuna namna au tukiona tumeshindwa kusoma tukaishi saudia.

  • @arrawaahiyahtv9800
    @arrawaahiyahtv9800 Рік тому

    Mawahabi kama mna andiko linalosema tufunge SWAUMU ya ARAFA siku wanayosimama watu viwanja vya ARAFA lileteni hilo andiko, mbona mwatoa vichwani mwenu tu?

    • @aliali-gw5pq
      @aliali-gw5pq Рік тому

      Hawa wote masufi wanaumana hakuna wahabi hapooo!

  • @HamadAlly-ki8lr
    @HamadAlly-ki8lr Рік тому

    Halafu kauli ya kusema" HAKUNA MAFUNGAMANO KATI YA KISIMAMO NA FUNGA YA ARAFA" Kauli hii inakwenda kinyume na kauli za wengi katika wanachuoni wa madhhebu ya Kishaafi. Ni porojo tu za Bwana huyu Aweso ndio zimejaa kwenye hii vidio

    • @Suleimansalum
      @Suleimansalum 4 місяці тому

      Kuna kitabu kinaitwa majmuulfatawa warrasail cha ibnu uthaymeen kaeleza vizuri nenda kasome. Shida wengi wetu tunatumia akili zetu

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 Рік тому +1

    sheikh mziwanda hata haelweki i hoja yake hasa nini naona anazunguk tuuuuuu

  • @mariammmbaga976
    @mariammmbaga976 Рік тому

    Mtuache kabisa. Mwandamo ni mmoja tu. Tena mtuache kabisa

  • @hawakiza6067
    @hawakiza6067 Рік тому +1

    Sasa mbona Mahujaji hawafungi
    Sisi tunafunga hiyo imekaaje

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 Рік тому

    Kitabu gani mziwanda fatwa hazisemi hivyo mwezi ndio kiegezo siku gani itatuonyesha arafa umeshakuwa mujtahidi madh habi arafa sio kusimama ni kwa mujibu WA muandamo

  • @KAIPAAA3211
    @KAIPAAA3211 Рік тому +1

    Mazezeta

  • @slymsameer5415
    @slymsameer5415 Рік тому

    Kwani lengolako shekhe awes sijui ninini nikwamba wajua kuliko wezio au mbona sijamuona mtu akikukosoa katika mfumo huo wewe umekuwa ukifanya kwa nudin kishik sasa kwa mziwanda mie naimani kabisa mziwanda kakuzidi wewe mbali kabisa kielimu sema unatafuta kujilinganisha tuu

  • @hamzaqaacm38
    @hamzaqaacm38 Рік тому

    Shekhe mubaraaka bado kaa chini tafakar kiilmu half mckilize vzur Habib mziwanda na tumia uchamungu kutafakar maneno yake c kutafuta ushindi
    Ukiweka maelezo ya kabla ya mtume unakuwa umetoka nje kabisa ya mada mana anavyo eleza mziwanda ndio uelewa wa imamu shafi juu ya hyo mada ujue

    • @rashidhemed1444
      @rashidhemed1444 Рік тому

      Sisi ndugu hatufati maneno ya mziwanda Wala maneno ya mbaraka awesu sisi tunamfata maandiko aliyoyatoa mbaraka awesu na hivyo ndivyo alivyofunga mtume na maswahaba na tabiina na tabii tabiina kama unabisha Lete hoja

    • @hamzaqaacm38
      @hamzaqaacm38 Рік тому

      @@rashidhemed1444 sasa matuc na dharau zicwepo hata mziwanda nae katoa maandiko pia kwa hyo mfuate shekhe wako bila kumtic shekhe mwingine

    • @rashidhemed1444
      @rashidhemed1444 Рік тому

      @@hamzaqaacm38 Kwa nini hamutaki hoja ya kumfata mtume au.ngumu kumeza tuwajue muko mlengi Gani tujibuni namna alivyofunga mtume

  • @salumndihokubwayo-t4o
    @salumndihokubwayo-t4o Рік тому

    porojo ukweli uko pale pale mziwanda yuko sahih

  • @Team-t6k
    @Team-t6k Рік тому

    Naomba mnisaidiye kwa hili huwenda huelewa wangu ni mfinyu ikiwa calendar ni tafautu na nyingine vipi tarehe zibadilike kisha siku zisibadilike mnisaidiye saana mbona ijuma sote ni moja mawahabi na masufi ? Naomba mniweke sawa 😅

    • @omaryissa2562
      @omaryissa2562 Рік тому

      Umeongea pwent sana ila hakuna wakukujibu

    • @allyismaily3876
      @allyismaily3876 Рік тому

      Ijumaa unafata karenda gan...? Ya kiislam au ya sekula

    • @Team-t6k
      @Team-t6k Рік тому

      @@allyismaily3876 ua-cam.com/video/HaupB2rG5Sk/v-deo.html chukuwa elimu ya bure iyo sikiya mpaka mwisho utapata muongozo

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 Рік тому +3

    Acha uongoooo mubaaraka wewe ni muongoo ......swaumu siku ya arafa nitofauti na funga ya mwezi tisaa.....

    • @ayah844
      @ayah844 Рік тому

      Mpotoshaji sana huyu aweis,eti ahava kimasri, eti Kasoma masri,mufti alopita wa masri anakataa khtilafu za arafa,anasema watu wote duniani wafuate arafa

    • @ayah844
      @ayah844 Рік тому

      Huyu aweis vp

    • @naufalfarouk-ts5jo
      @naufalfarouk-ts5jo Рік тому +1

      Msiwaseme masheikh kwa majina mabaya km kumuita muongo huo ni ufaham wke na ww fuata ufaham wk alafu Allah atahukumu

    • @AllyRashid-lf2rx
      @AllyRashid-lf2rx Рік тому

      ​@@naufalfarouk-ts5joumesem kwelii kbs

    • @ajmalyrashid-rb9lg
      @ajmalyrashid-rb9lg Рік тому

      Acha upuuz unamwitaje shekh kuwa ni muongo

  • @kitosio
    @kitosio Рік тому

    Wajizonga.
    Tutafsirie hiyo hadithi na utuwekee lugha. Msibabaishe watu ambao hawafamu phylosophy iliyotumika.

  • @SuleimanHassan-o6f
    @SuleimanHassan-o6f Рік тому

    Watu Wa meleawa mutapata
    Tabu kuwaregesha watu Katika pale mulipo hata masheikh Wenu wamelikubali Hilo Na Kuna wengi

  • @dastaniguni5599
    @dastaniguni5599 Рік тому

    Hii ndio Raha ya Uislam